Goodluck to singidablack stars ⭐️ Goodluck to ayub lyanga mm nshabiki yake toka nasoma moshi tec na akiw anachez new generation na naona n most underrated player kw soka la tz 😢 hope saiv atapata game time nyingi sana na atakua wa moto sana. i wish him the best ❤❤ cool heart
Goodluck to singidablack stars ⭐️
Goodluck to ayub lyanga mm nshabiki yake toka nasoma moshi tec na akiw anachez new generation na naona n most underrated player kw soka la tz 😢 hope saiv atapata game time nyingi sana na atakua wa moto sana. i wish him the best ❤❤ cool heart
Mimi ni naishabikia Singida kuanzia leo Kwa sababu ya Joseph Guede nakubali sanaaa J guede❤❤❤
Kivp yan❤
Chumvi leoooooop
Serious wameshindwa kumpokea maiki au ndio tamaa za kutaka kula hela peke yake, singida hapa mmeharibu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mc anaongelea kwenye kishundu ila bas sherehe imemalizika😂😂😂
Imekuwaje Tena kaka mbona watu mnahuu sana
😅😅😅😅chumvi imelowa😅😅😅😅
Daah maskini chumvi
Chumvi imekuaje tenaaa
Me naona hawa singida ndio wamesajiri wijana wadogo sio Simba
Chumvi imekuwaje
Mjomba mbona sauti imekata huo mji wawatu
Chumviiii
Uchawi upo😂😂