ONA NDEGE MPYA ILIVYOWASILI TANZANIA, YAOGESHWA MAJI NA MAGARI YA ZIMA MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 142

  • @eddynyaki5539
    @eddynyaki5539 9 หลายเดือนก่อน +7

    Pongezi nyingi kwa Mwamba Magufuli haupo nasi kimwili ila kazi zako tunaziona

  • @edwinkachenje7677
    @edwinkachenje7677 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Mama Samia kwa kutuheshimisha. Majirani sasa tumbo joto. Piga kazi mama tuko nyuma yako

  • @racheljoseph9402
    @racheljoseph9402 9 หลายเดือนก่อน +9

    Thanks JPM endelea kupumzika kwa Aman kazi inaendelea 🙏🙏

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mama la mama oyeeee

  • @Amryasser-s5d
    @Amryasser-s5d 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mama Samia,kwa kuendelea kufata usia uloachiwa na hayati Magufuli. Tunajifahari kwa kua wa Tanzania, ❤️

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kukumbuka jitihada za Magufuli ktk hili si dhambi ni uungwana! Rais Samia hoyeee Kwa kazi nzuri!

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 9 หลายเดือนก่อน +9

    Magu noma sn aiseee!!

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 9 หลายเดือนก่อน +10

    Hongereni jpm na samia

  • @Solace577
    @Solace577 9 หลายเดือนก่อน +10

    Asante Magufuli

  • @jumamatanuru942
    @jumamatanuru942 9 หลายเดือนก่อน +6

    Asante mama

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 9 หลายเดือนก่อน +7

    Ndege za Magufuli zakaribia kukamilika, Hongera Mh. Samia kwa kuhakikisha kile achoacha JPM kinatimia.

  • @FabianoSinghania
    @FabianoSinghania 8 หลายเดือนก่อน

    Vizurii sana samia naona unafanya kama magufurii🙏🙏

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dar kuna mtu kauliza swali zur sana twiga kachozwa wapi na katumia bei gani kwani magu aliokoa kiasi kikubwa cha pesa kuhusu uchoraj wandege vipaji tunavo kwanni hatumii

  • @thamani5842
    @thamani5842 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi iendeleeee

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi ya magufuli

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 9 หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania yangu oyeeee❤ mama samia oyeeeee jpm oyeeee❤ nawapenda viongozi wangu hakika matunda tunayaona kazi iendeleee❤

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 8 หลายเดือนก่อน +1

    Katawala mwanamke wa kizanzibar mmeumia ivo!!! Je munge angeliweka dume hapo xi mwengali ..... nyote. Mwache mungu aitwe munge kama mgawaji wa rizki engekuwa ..... basi twengali koma.

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 9 หลายเดือนก่อน +4

    Rest in Peace JPM-Thank you Mama Samia. Ndoto ya kufika ndege 14 imekamilika.

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 9 หลายเดือนก่อน +5

    Rais wangu Samia hongera kwa muendelezo mzuri wa maendeleo Tanzania.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hii kazi ya JPM. Pongez mama unaendelez pale alipoaxhia Mwamba

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 8 หลายเดือนก่อน +4

    Jpm kazi tunaiona

  • @PatrickLembeli-v3f
    @PatrickLembeli-v3f 9 หลายเดือนก่อน +4

    Arizinunua magu hizo JPM forever

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama Samia

  • @TonnyJunior-cc2bt
    @TonnyJunior-cc2bt 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Tanzania yangu kwa kasi ya maendeleo ya kuhakikisha Tanzania inakuwa sawa

  • @khamisjuma1278
    @khamisjuma1278 9 หลายเดือนก่อน +5

    With out JPM this would not have happened 4,rever

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ibariki tanzania

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 9 หลายเดือนก่อน +3

    JPM daah😭😭😭😭

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 9 หลายเดือนก่อน +1

    NITAKUA wa KWANZA Kuipanda hii ndege 🔥🙌 Habibi twenzetu Dubai

  • @husseintalent
    @husseintalent 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mh ssh

  • @senziashwaibu3219
    @senziashwaibu3219 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mama anaupiga mwingi wacha mataira wa milembe povu liwatoke

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 9 หลายเดือนก่อน +3

    Tunamshukuru mama maana anatekeleza ya kwake na ya waliopita,

  • @Henrick-ni1io
    @Henrick-ni1io 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya baba

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yoote yasemwe ila Ujasiri wa Magufuli Usipuuzwe tena ingefaa kwenye haya Mambo atajwe si dhambi bali itaongeza Credit kwa Serikali iloyopo sasa kwasababu Magufuli ndio aliyelifufua hili shirika

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 9 หลายเดือนก่อน +3

    HAKILI KUBWA SANA ILITUMIKA KUZIPA MAJINA NDEGE ZETU MBUGA ZETU NAHIFAZ KWA UJUMLA...RIP M

  • @ChristianSosella-zo1lt
    @ChristianSosella-zo1lt 8 หลายเดือนก่อน +2

    Magu ulisema tutakukumbuka nilifikili ni uongo sasa nakukumbuka sana kwa kuendelea kupokea ndege ulizonunua

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 8 หลายเดือนก่อน

    Magu oyeeeee jembe la Africa rip baba ❤

  • @Kidera-w8s
    @Kidera-w8s 8 หลายเดือนก่อน

    Inapendeza kweli tena zaidi ya kweli jina la bwana libarikiwe ni kwa nehema ya mungu

  • @jafariligalawa9424
    @jafariligalawa9424 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mama oye.

  • @StonesSemwenda
    @StonesSemwenda 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa mwendelezo

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 9 หลายเดือนก่อน

    Hapa sasa Mama safi sana. Kazi ziendeleee

  • @ELIASBUGOMBA
    @ELIASBUGOMBA 8 หลายเดือนก่อน

    Good at outlook.

  • @Mkuujojy
    @Mkuujojy 9 หลายเดือนก่อน +2

    majungu kuleni wenyewe zege hailali mam kaz buti kazi inaonekan tuonane 2025 kwenye kisanduku cha kura mitano ten penye majaaliw majaaliwa!!!!!

  • @KELVINSOSPETER
    @KELVINSOSPETER 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 8 หลายเดือนก่อน

    Acha uchawa. Ardhi ni ya Mungu wala si ya baba wala mama. Acheni kujikomba. Hiyo ndege haifai kuruka nchini ni hasara na ujinga. Mnaharibu maji na kuendekeza ukoloni na mila msizojua.

  • @OmariMsumi
    @OmariMsumi 9 หลายเดือนก่อน +9

    Ongera mzee magu japokuwa aupo rkn matunda yako yanaonekana

  • @hamissnjumba302
    @hamissnjumba302 9 หลายเดือนก่อน

    MAMA SAMIA OYYEEEEE I LOVE YOU MAMA

  • @kelvinmboya5846
    @kelvinmboya5846 8 หลายเดือนก่อน

    We must stop this now, khaaaa kazi nzuri lkn hakuna umuhimu wa viongozi wakubwa kuwa hapo 😢

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hili la ndege sawa lkn tupunguzie Tozo,vat, petroleum sukar, umeme mgao, hazishuki,Latra,zipo juu,n wa unguu mtu, Allah saidia wa Tanganyika,

  • @musamakuhana2200
    @musamakuhana2200 9 หลายเดือนก่อน

    Daima mbele nchi yetu kila la kheri nchi yangu

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 9 หลายเดือนก่อน

    HII NDIO ndege Ya Kwenda Dubai 🔥 Habibi twenzetu Dubai

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hizi mila za kupokea ndege ziliridhiwa toka wapi?

    • @betyjoseph6812
      @betyjoseph6812 9 หลายเดือนก่อน

      Me nashangaa 😅😅

    • @mohammedalishamis9405
      @mohammedalishamis9405 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 9 หลายเดือนก่อน

      Kwa MWANACHATO MWANA MTEULE 👊🏿👊🏿👊🏿👍🏿👍🏿💪🏿💪🏿

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 9 หลายเดือนก่อน

      @@atutweve4160 😃😃😃😃😃

    • @aoloathumani10
      @aoloathumani10 9 หลายเดือนก่อน +2

      Bro hata Mimi nashangaa, mi nadhani tulitakiwa tupokee zile za mwanzo tu, hizi zingine ni kutoa taarifa tu kuwa ndege inakuja bac, hii kuwekwa sherehe na viongozi kujazana ni ushamba, tuache haya mambo tufanye vitu vingine vya msingi

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 9 หลายเดือนก่อน +3

    Magufuli aliacha ndege 8 na nyingine 3 zikiwa zinaandaliwa,huyu ni 3 sasa

  • @RamadhanNgoma
    @RamadhanNgoma 9 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuli alishasema alilipia na ilibakia ndege 7 na kabla ya zote inaefatia ni ya mizigo na ilishafika

    • @josephfrank4446
      @josephfrank4446 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa wabongo tunajisahau kaka

  • @JSL.TV_TANZANIA_1
    @JSL.TV_TANZANIA_1 9 หลายเดือนก่อน +1

    NDIYO NI JAMBO JEMA KUJIPATIA NDEGE KAMA HIZI TENA NZURI TUU,,ILA SIJUI KAMA SISI WATANZANIA (VIONGOZI),,TUNATAMBUA KWAMBA TULIKWAMA WAPI KUENDELEA KITEKNOLOJIA,,YAMKINI TUSINGEAGIZA MIUNDOMBINU YA USAFIRI KWA MATAIFA YA NJE AMBAYO YAMKINI HATA TULIWATANGULIA KUPATA UHURU WAMETUZIDI KIASI KIKUBWA KWENYE TEKNOLOJIA MPAKA WANATUTENGENEZEA VITU VYA MAANA KABISA KAMA HIVI,,HALAFU SISI (TANZANIA),,TUNAFURAHI NA KUZIPOKEA KWA SHANGWE NYINGI TUU,,(ILA SI VIBAYA),,ILA MIMI BINAFSI HUWA INANIUMA SANA MNOO IVI KWELIII HATUWEZI KABISA HATA KUAZIMA MAARIFA YA WENZETU WANAFANYAJEE???!MFANO MATAIFA MAKUBWA KAMA URUSI TENA WAZALENDO KABISA KWAAJILI YA AFRIKA,,HATUONIII,,ILA TUNAFURAHIA TUU VILIVYOTENGENEZWA KWAOO,,,,DAAAAH!!!!??ILA,,,NINAAMINI INAWEZEKANA KABISA NA SISI KAMA TANZANIA (AFRIKA),,TUKAWA NA VIWANDA VYETU TUKAWA TUNATENGENEZA NA SISI MADEGE HATA ZAIDI YA HIYO,,, ANYWAYS,,BUT TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA SANA SANA 😭😭😭😭🇹🇿❤🇹🇿😎🤴🕰️

  • @MrLee-xl4kf
    @MrLee-xl4kf 8 หลายเดือนก่อน

    B. 300,, daaaa😢

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 9 หลายเดือนก่อน

    NITAANZA KUPANDA MIMI🔥 Habibi twenzetu Dubai

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni kazi ya JPM, Samia ukitaka wananchi wakukubali jitahidi sana gharama za maisha za watanzania ziwe chini. Sasa hivi bei ya kilo moja ya sukari inalingana na kipato cha mtu. Duuuh Allah tusaidie.

    • @renatus5687
      @renatus5687 8 หลายเดือนก่อน

      Kinachofanya uwe na maisha magumu ni iyo roho mbaya yako sukari tu inakuumiza akiri af pia sio lazima kunywa chai kazi afanye Samia af sifa upeleke kwingine c bangi zinakusumbua maana hata vichaa wanajua faida ya Doctor Samia hapa nchini

    • @fxmeddy9567
      @fxmeddy9567 8 หลายเดือนก่อน

      @@renatus5687 huo ndo uhalisia

  • @Nerd_Timzesjm2023
    @Nerd_Timzesjm2023 9 หลายเดือนก่อน +1

    Watch out for it's MCAS

    • @evaristcm2734
      @evaristcm2734 9 หลายเดือนก่อน

      Hakuna anayejua MCAS . . POLE SANA

  • @AbelMasuke
    @AbelMasuke 9 หลายเดือนก่อน +2

    Je twiga kachorwa wapi maana magu aliokoa pesa nyingi kwa uchoraji

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 9 หลายเดือนก่อน

    Lazima niipande hii kwenda 🎉Dubai

  • @KIHUNABOY-i6y
    @KIHUNABOY-i6y 9 หลายเดือนก่อน +3

    Magu ajengewe sanamu pare kwaki kwete nyumbun kwake😅😅😅😅

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 9 หลายเดือนก่อน +2

    TANZANIA JUU ZAIDI.

  • @Cheffhood
    @Cheffhood 8 หลายเดือนก่อน

    nafurahia lakini hii ndenge 737 max imefungiwa nchi nyingi boing wako presha ina matatizo sijui kama serikali inafuatilia haya mambo

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 9 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio ndege ya kwenda Dubai 🔥 Habibi twenzetu Dubai

  • @mabrukhamso3780
    @mabrukhamso3780 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hajji manara ameletewa twiga mwengine

  • @ProfAkili
    @ProfAkili 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ndege itanaswa tu kama ile nyingine, kwa sababu ya deni...Karibuni Kenya airways

  • @chachawambura811
    @chachawambura811 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sifa za Magufuli zimwendee huko aliko! Hatasahaulika katika historia ya Tanzania. Lakini sifa za Mama SSH na zikae naye, maana hapana ombwe lolote. Kazi inaendelea!

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 9 หลายเดือนก่อน

      MAGUFULI HATAKI sifa anatakiwa DUA njema Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi Ameen

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 8 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujua kuwa tz ina ubaguzi na ubinafsi angalia tu ww mpk leo hii bado anatajwa magu wakati zama za Rais Kiketwe hatukusikia alioyawacha Mpkapa yakaendelezwa na kikwete katajwa mkapa. 😅😅😅 muungano oyee,,, mama la wamaa rais kipenz Samia oyee. Piga kazi mama la kizanzibari tunakupenda ujenge muungano. Wenyew wivu na udini wajinyonge.

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kujibembeleza nakujipendekeza kumezidi,makonda oyeeee

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 8 หลายเดือนก่อน

    Wakenya inawauma sana hii

  • @mimimoop2617
    @mimimoop2617 8 หลายเดือนก่อน

    Ndege ya ngapi hii?

  • @allymohamed2630
    @allymohamed2630 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya jpm inaonekana

  • @HarunaFursana
    @HarunaFursana 8 หลายเดือนก่อน

    Nawapenden Tanzanie nikiingia iman yangu inaongezeka. Billions300 nazaidhongeren saana

  • @ShabaniJumaa-mq3rm
    @ShabaniJumaa-mq3rm 9 หลายเดือนก่อน +16

    Vikija vichwa vya treni vibovu ni Samia ila ikija ndege mpya ni magufuri acheni unafiki magufuli nikweli alifanya mazuri kwa wakati wake na Samia nae anaendeleza mazuri kwa wakati wake mitano tena

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 9 หลายเดือนก่อน

      Kaka Shabaan Jima TENA WAAMBIE UNAFIKI ndio WAO MAANA sijui KWANINI wanamchukia huyu Mama NAJIULIZA kawakosea NINI?? KILA afanyalo WAO hawaridhiki HIVI WANATAKA AFANYE NINI?? Hata kama mradi ulianzishwa na MAGUFULI lkn mmaliziaji NAE APEWE Heshima zake anajitahidi kumalizia SGR ,Bwawa la Nyerere,KIGONGO BUSISI,YOTE HAYO anajitahidi WANAFIKI hawaoni

    • @hassankurwa464
      @hassankurwa464 9 หลายเดือนก่อน +4

      Magufuli alilipa kila kitu kuhusu Ndege.
      Mabehewa ya Trein yalisubiri SGR kuwa ndio tuagize. Jiongeze

    • @Msemakweli2024
      @Msemakweli2024 9 หลายเดือนก่อน

      Offcourse

    • @Sisopotashiumz
      @Sisopotashiumz 9 หลายเดือนก่อน

      Choko weè

    • @MsevenSaudisaidi
      @MsevenSaudisaidi 9 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa unamfanananisha Samia na magu ndge Zote mwanzirishi ni magu

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona nasikia shirika linapata hasara Sieji anasema

  • @antidiuspaulo7110
    @antidiuspaulo7110 9 หลายเดือนก่อน +8

    Hizi si aliagizaga magu

  • @Sae3ed
    @Sae3ed 8 หลายเดือนก่อน

    Gari za kumwagia maji zipo ukandani airport lakini haziwezi kuzima katika soko la kariakoo

  • @jafariligalawa9424
    @jafariligalawa9424 9 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli oyeee magufuli oye.

  • @titusmisalaba1971
    @titusmisalaba1971 8 หลายเดือนก่อน

    Fanyen bei kama fast jet ili kila mtanzania afaidi matunda ya nchi yake

  • @ZbRe-ho2vy
    @ZbRe-ho2vy 8 หลายเดือนก่อน

    Mh mfanye namna nasisi masikini mtubepakize sku moja ili tuamini nasisi kama niyakwetu

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi hii ndege inabeba abiria wangapi

  • @MarckMasaki
    @MarckMasaki 9 หลายเดือนก่อน

    Kumbe magari ya zima moto yanakuwAga na maji,, Barbara umeme maji afya

  • @jafariligalawa9424
    @jafariligalawa9424 9 หลายเดือนก่อน +1

    Oye baba magu.

  • @masteradriank1087
    @masteradriank1087 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂hiii nchi Iko nyuma bna...ndege ndo inasherekewa ivi... Tanzania mlianza kuwa majirani wetu aje bna? Eeiiiii Tz bna, nyi ni WA wapi

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 9 หลายเดือนก่อน

    Jengeni viwanja kila wilaya ili kila mtu nufaike hat mara moj moja

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna aliyekuwa na ndoto ya kuleta ndege Tanzania ni magufuli

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 9 หลายเดือนก่อน

      Ulizaliwa mwaka gani

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@MohamedAhmada-ie7keleta hoja we muumin wa muhamad sio maswal ya kijnga

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 8 หลายเดือนก่อน

    Kama nawaona jirani zetu wakenya 😂😂😂😂

    • @masteradriank1087
      @masteradriank1087 8 หลายเดือนก่อน

      Jamani izi ni nini Tanzania... You people are idle😂😂😂

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 8 หลายเดือนก่อน

    Deni la nchi tirilion 90. 2027 itakua 120 huku mnapiga makofi kwa sababu ya ndege hii si maendeleo matatizo ndio mnaongezea nchi ndege saa hii 14 faida yake nn imetufaidi nn ndege moja iko china hii ni mwezi wa 4 iko huko ata kusema abari yake akuna na mengine simelala akuna kazi sina fanya alafu ujinga nikushukuru mjinga ktk makosa yake maana ni raisi akosolewi hii imekaaje kueni makini ktk kushukuru MTU nani kasema ikiwa unakosea na ww ni mkuu w nchi tukupigie makofi akuna hii ndege ili nunuliwa na magufuli nakulipwa asilimia 80 lkn hilo si hoja yangu ndege zote ziko wapi?hoja ni hy maana 6ndio ina onekana na sasa ziko 14

  • @darmianmgallah6210
    @darmianmgallah6210 9 หลายเดือนก่อน

    Wasafi acheni ushamba kwani mkiandika “Ndege ikipigiwa water salute” mnapungukiwa nn? Alafu muwaelekeze wananchi nn maan ya water salute. Sasa mnaandika ikiwa inamwagiwa maji kwani ipo kuoshwa hapo?😂😂😂

    • @harounali9057
      @harounali9057 9 หลายเดือนก่อน

      Msi sahau Magufuli alipo ingia madarakani miezi mitatu tu tuka aminishwa kuwa yeye ndie alie jenga daraja la kigamboni na kuna watu wakatumbuliwa hadharani.
      Hiyo ndio siasa.

  • @malakisomwe5641
    @malakisomwe5641 8 หลายเดือนก่อน

    Magufuli alikufa kanunua ndege 11 ndo hizi zingine zinaongezeja

  • @paulgitau6055
    @paulgitau6055 8 หลายเดือนก่อน

    Ha ha ha,sasa Tanzania imeshakuwa ulaya.

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 9 หลายเดือนก่อน

    We mtangazaji unanidhamu mbovu kwanini unaita TSH PESA YA MADAFU ACHA UJINGA THAMINI SARAFU YETU MSHAMBA WEWE

  • @abubakarothman6386
    @abubakarothman6386 9 หลายเดือนก่อน

    Watch out for MCAS and all associated loose bolts with it infact the MAX Family isn't stable

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 9 หลายเดือนก่อน

      The troubled Max series

    • @evaristcm2734
      @evaristcm2734 9 หลายเดือนก่อน

      We are in the dark. We are not aware of the MAX issues. Nobody knows, even the elite. It's just terrible

  • @hajikiame7551
    @hajikiame7551 9 หลายเดือนก่อน

    Ivi magufuli tangu afe imepita miaka mingapi

  • @ElishaElias-b5p
    @ElishaElias-b5p 8 หลายเดือนก่อน

    Umemuona twiga yupo kacholwa

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 9 หลายเดือนก่อน

    Mbna tairi vipara 😂😂😂😂

  • @JumaMapunda
    @JumaMapunda 9 หลายเดือนก่อน +1

    Magu baba

  • @evaristcm2734
    @evaristcm2734 9 หลายเดือนก่อน

    B737 MAX ni mtego. Not many people would fly in a MAX, since after 346 people died in two similar crashes: Lion Air flight 610 in October 29, 2018, and Ethiopian Airlines flight 302 on March 10, 2019. Since then the credibility of MAX planes has been shattered as well as that of BOEING. We should not be too happy with this arrival. Had it been a leased plane things would have looked different. POLE TZ . . . as always

    • @amiriadam9730
      @amiriadam9730 9 หลายเดือนก่อน +2

      Unaumia ukiwa wapi.
      Mpaka uyape pole maendeleo ya mwenzio.
      Crashes is an accident.
      Hauwezi acha kutembelea et italeta shida.
      Tuache tujipambanie

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nimeona comment yako ntaifanyia kazi

    • @abdullahabdul9246
      @abdullahabdul9246 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unazungumza maneno gani kuipa tzania pole Kwni ndege zote max zinaanguka tu acha maneno ya ujinga .ni kumwachia mwenyezi mungu