It's a good and hopeful speech, but those ministers and advisers of the president who are close to him while giving a speech, where were you b4??, why you didn't advise him to reject the oppressive budget before this happened???, stop the hypocrisy for clapping your hand. Leaders/countries with oppressive behavior like this, especially African countries, this is a lesson for you, be considerate, compassionate and wise for your citizens. Message sent & delivery.
Watz hatuko huko sisi tuko kumsikiliza mwijaku😂na tuko upande sana kujua maisha ya watu ila maisha yetu hatuyajui alaf ni wanafik nomber 1wabongo😢 am sory to say this ndio tulivyo 😢
Tanzania Sasa mmm matumiz ya hovyoo ndo picha ya kuonyesha kwa watanzania masikin..safar za nje Ni Kama kwenda choon Matumiz mabaya wakat watu wanahangaika ..Mungu anawaona ..Hongera saana wenzetu vox popli vox dei
Ndg zetu wakenya mnataka huyu Mzee awafanyie kitu gani jmn au hiyo amani mnataka kuiondoa Kwa chuki za huyo mvuta bange Kinyatta anyway kupanga ni kuchagua sisi huku tuna mkumbuka Magufuli wetu
Jidandanye, eti RUTO must go hawa wakubwa hawaondoki kipuuzi hivyo utasubiri sana, subiri uchaguzi ndo mtamtoa kwa kuwa aliingia kidemokrasia mtoeni pia kidemokrasia na si kwa kujidanganya kutumia nguvu "HUWEZI KUMSHINDA MKUU WA MAJESHI yote ya ulinzi na yy akitumia nguvu mtaikimbia hiyo Kenya yenu "Ni rahisi kubomoa kuliko kujenga"
Hiki ndo kitu cha kijinga sana na sinema ambayo waafrica tunafanyiwa na viongozi, in my opinion I believe ruto created this problem intentionally na amekuja kuisolve ili aonekane shujaa
This is all part of a HUGE script, keeping Kenya in the spotlight worldwide. Any publicity is GOOD publicity! Watu wamelala ubongo they don’t know how to join the dots!!
If you carefully listen to Ruto, nagundua wakenya mpejipiga selfie. Mmeyakimbiza maendeleo yaliyoazimiwa. Kwa lugha rahisi manake kwa mwaka huu maendeleo sahauni. Mtalipa deni la SGR kwanza.
Vyombo vyetu vya habari vya Tanzania vinajivunia kuripoti habari za maendeleo ya watu Kenya wakati huku Tanzania kunaoza inzi kila mahali na wanaishangilia serikali tu watawala wanaumiza watu, wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi wananyonywa kwa mikodi isiyoeleweka na pesa hazijulikani zinakwenda wapi kila siku business as usual... Budget yao ipo Bungeni na sijui wameshaipitisha lakin no one cares! Tanzania kuna watawala wanaoongoza maiti yaani wanachofanya ni kuonyesha kila kitu kipo sawa kwa kuwatumia wana habari tu na machawa wanaowalipa pesa za kula tu!
If all African youth could manage to put their politicians into a pressure like this, all leaders could be accountable to their people! Much congratulations to Kenyan Gen Z!
Sisi tulilogwa na NYERERE kale kafimbo tukakachukue kule makumbusho tukachome moto maana tumekuwa wapumbavu sana kuanzia wazazi,,,Vijana WA Sasa na WATOTO wanaoinukia
May God stand with Kenyans, the neighbours of us
Tuko pamojaa, wilote ni waafrika, shida ya mwenzako ni yakoo,tunauga mkono juhudii, Mungu awabarikii.
Najivunia kuwa mkenya, twende nalo guys❤
Kwani kuwa mkenya unawazidi nn watanzania au kuliwa kama kuku na polisi ya Kenya sisi tz amani tu
@@salehesalehe2967 What are you talking about?
It's a good and hopeful speech, but those ministers and advisers of the president who are close to him while giving a speech, where were you b4??, why you didn't advise him to reject the oppressive budget before this happened???, stop the hypocrisy for clapping your hand. Leaders/countries with oppressive behavior like this, especially African countries, this is a lesson for you, be considerate, compassionate and wise for your citizens. Message sent & delivery.
Naomba likes wadau.km umetambua nguvu ya wananchi.
HESHIMA KWENU WAKENYAAAA ASANTEEEEEE HONGERA MR PRESIDENT THAT IS MATURITY AND WISDOM ASANTE SANA
Togetherness! Ideas of youths! Futurology, reduction! All cycle routes!
Ila angalau huyu akiyaeleza yanaingia kichwani, sisi sasa aaa Mungu anajua.
Haki Wakenya hongereni sana , Rais ameelewa kina Cha bahari ni wapi. Eehee people's power
He knew that people will not agree and will rise, the kaja kuisolve ili aonekane yuko angainst na MPS waliounga mkono hiyo bill
Eeeee hio inaitwa no taxation in Kenya tuko pamoja Toka Tanzania dar es salaam
Vijana wa kenya ni noma
LOL
Big up youths👍👍👍👍👍
Yuko mnyonge sana inaonekana anajutia chenye kimetokea
Finance bill is withdrawin,then they will demonstrate Ruto must go!
Where were you before untill people died.
Gogra🎉 Mr president you delivered good speech and people of Kenya understood what you mean
Misura kama ng'ombe juu ya pesa ya uizi ya wanaicholi😅
Shida ya wake him kizungu mingi ndio inawatia maji ingekua ni kiswahli wingi wengiamka hii mwizi iko na mdomo tamu kudanganya vitendo hakuna kunguru
Serikali punguzeni matumizi... Period na sio kunyonyaa wananchi mfweeh
Watz hatuko huko sisi tuko kumsikiliza mwijaku😂na tuko upande sana kujua maisha ya watu ila maisha yetu hatuyajui alaf ni wanafik nomber 1wabongo😢 am sory to say this ndio tulivyo 😢
Umegonga ndipo tena wanaume ndio wanafaa muwavishe dera Kwa wanawake ni sawa umbea
Tanzania Sasa mmm matumiz ya hovyoo ndo picha ya kuonyesha kwa watanzania masikin..safar za nje Ni Kama kwenda choon Matumiz mabaya wakat watu wanahangaika ..Mungu anawaona ..Hongera saana wenzetu vox popli vox dei
Bravo President 👏
Ndg zetu wakenya mnataka huyu Mzee awafanyie kitu gani jmn au hiyo amani mnataka kuiondoa Kwa chuki za huyo mvuta bange Kinyatta anyway kupanga ni kuchagua sisi huku tuna mkumbuka Magufuli wetu
Nenda kuzimu
Just keep quite cause you don't leave in Kenya wewe
Ruto must GO
Must go where?
Jidandanye, eti RUTO must go hawa wakubwa hawaondoki kipuuzi hivyo utasubiri sana, subiri uchaguzi ndo mtamtoa kwa kuwa aliingia kidemokrasia mtoeni pia kidemokrasia na si kwa kujidanganya kutumia nguvu "HUWEZI KUMSHINDA MKUU WA MAJESHI yote ya ulinzi na yy akitumia nguvu mtaikimbia hiyo Kenya yenu "Ni rahisi kubomoa kuliko kujenga"
wajomba wamepenya mpja ikulu verry funny 🎉🎉🎉
Hiki ndo kitu cha kijinga sana na sinema ambayo waafrica tunafanyiwa na viongozi, in my opinion I believe ruto created this problem intentionally na amekuja kuisolve ili aonekane shujaa
We UMEAMKA 🤝🏾
This is all part of a HUGE script, keeping Kenya in the spotlight worldwide. Any publicity is GOOD publicity! Watu wamelala ubongo they don’t know how to join the dots!!
If you carefully listen to Ruto, nagundua wakenya mpejipiga selfie. Mmeyakimbiza maendeleo yaliyoazimiwa. Kwa lugha rahisi manake kwa mwaka huu maendeleo sahauni. Mtalipa deni la SGR kwanza.
Export of Labour sio...😅
Hongera ruto wafundishe na wengine wa east Africa wasiwe wababe ama kweli ww ni mzungu mweusi
😂😂😂 nimzungu mweusi 😂😂
Ikubali ngozi yako wewe acha utumwa wa rangi
Ruto amechelewa hapa anaondoka uyu awatamuelewa tena
Well noted
Mtaandamana tena muda sio mrefu sisi tupo na tutawakumbusha..
Ruto alibadilika kuliko zuwena
Zuweina
Must Go
Vyombo vyetu vya habari vya Tanzania vinajivunia kuripoti habari za maendeleo ya watu Kenya wakati huku Tanzania kunaoza inzi kila mahali na wanaishangilia serikali tu watawala wanaumiza watu, wafanyabiashara wadogo na wafanyakazi wananyonywa kwa mikodi isiyoeleweka na pesa hazijulikani zinakwenda wapi kila siku business as usual...
Budget yao ipo Bungeni na sijui wameshaipitisha lakin no one cares!
Tanzania kuna watawala wanaoongoza maiti yaani wanachofanya ni kuonyesha kila kitu kipo sawa kwa kuwatumia wana habari tu na machawa wanaowalipa pesa za kula tu!
Ongea kiswahili wakenya wote wakusikieee bhn
Is he adressing in kimombo ?!😂 no Kiswahili !!
ANATAKA KUONGOZA KIBEPARI HUYO
Walioongozwa na waamuzi wakakataa nakutaka mfalme walikiona badae. Jipangeni...
ALIPE UHAI WA WAKENYA WALIO KUFA KWAAJILI YAKE
Zuena RUTO
Sikiriza your people leave politics, the people are the government
Why didn't you say this before
Duuuuh wakenya ni fire 🔥🔥
Hamna chochote, this is all part of a larger script lol the world’s a stage & politicians are the actors!! remember this going forward.
Ruto kabadilika kuliko ZUENA wa Diamond
😂😂😂😂halooo napita
😂😂😂mungu nisamehe nimecheka zakayo wajemeni kasahau hata ambia wananchi habari yenyu
@@JeyJeydoctar-gq1bw yaani balaa nziiito 😂😂😂
@@Yassinseleman hatari
If all African youth could manage to put their politicians into a pressure like this, all leaders could be accountable to their people! Much congratulations to Kenyan Gen Z!
Wakat akiwa anaomba kura tukiwa huku tz tulisikia akijiita hustle
Anaitwa arap zakayo mtoto wa fera auni
😂😂
still tz waziri anavunja Sheria zen skiambiwa ukweli speaker anaingilia kati kumfukuza mp aliyesema ukweli alaf mps wapiga meza wanashangilia
Tz mdogomdogo tunasogea ipo cku watajua sisi wananchi niwajinga au ni welevu tunayetu moyoni
ONGEA KISWAHILI HII ANAJUA ANACHOKIFANYA NI KUJIONGELESHA NA WALOZI😊😅
😂😂😂
😂😂
Kizungu mingi ndio mafuta inawaingia bila maumivu
Mna Rais mzuri na muelewa mtumieni vizuri
Unaengelea hii mwizi kaa nae utamjua tu
Nikafikiri anaagiza police 🚔 wewe ulieandika rudi shuleni 😅
Maamuzi ya kiume sana hayo mheshimiwa Ruto!! Kupunguza matumizi ni njia sahihi mno
You have not touched employment
Haukuja sahau, vijana wamemshutua
Matumizi makubwa mnasahau watu wa chini yenu
Why didn't you say that before
WEWE NI MKOLA MKUBWA CHOKO WEWE.
PEOPLE'S POWER
Rais wa watu
SHUJAAA SHUJAA RUTO NI SHUJAAA TAWALA TAWALA WAKENYA WOOOOOOOOOOTE
HONGERAAAAAA🙏🙏🙏💪💪💪♥️♥️♥️✍️✍️✍️✍️ MIAKA KUMI
Mashujaa ni wananchi kudadeki
😂
Mungu ibariki sana kenya,na uwasaidie watanzania ambao mpaka sasa hatujui tumelogwa na naniii?????
Sisi tulilogwa na NYERERE kale kafimbo tukakachukue kule makumbusho tukachome moto maana tumekuwa wapumbavu sana kuanzia wazazi,,,Vijana WA Sasa na WATOTO wanaoinukia
RUTO is a real Man. Good plans for development. Safi.
Nimemuelewa vizuri mr president..