RAIS SAMIA AKIKAGUA JENGO LA ABIRIA KIWANJA CHA NDEGE MPANDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege huo mkoani Katavi ikiwa ni sehemu ya ziara yake aliyoianza leo tarehe 12 Julai, 2024.

ความคิดเห็น • 16

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi iendelee lets Work continue hongera mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr S Hassan

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mheshimiwa Raisi, karibu na huku kigoma,

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mama tuwachie urais wetu kwanza hujiwezi Tena unajilazimisha tu , umezeeka mama

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 23 วันที่ผ่านมา +1

    Watanganyika tunataka Rais wetu

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 22 วันที่ผ่านมา +2

      acha kupoteza muda, tafuta kazi ya kufanya hizi mada zitakuzeesha tu mwisho vitakufanya uwe mchawi

  • @lakasid3860
    @lakasid3860 22 วันที่ผ่านมา

    Hilo ni jengo la abiria au nyumba ya kupanga? Acheni utani kuna watu binafsi wanajenga mijengo ya maana kwa 1.4 Billion halafu eti serikali ndiyo inajenga kajengo gani hako 🤔

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 23 วันที่ผ่านมา

    Hatimaye kaenda kwa vifaranga vyake

  • @johnfani9380
    @johnfani9380 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mama umezidi upore mno watakuibia sana

  • @mambas264
    @mambas264 23 วันที่ผ่านมา

    Vizuri mama. Ila pesa mmepiga, niliposikia 600m nilijua ni inclusive kila kitu. Lakini 1B+ kwa ajili ya mifumo? Ipi? System integration ya TAA na CCTV ndio zimetajwa pekee. Tunataka viongozi wawe na uwajibikaji na uzalendo.

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 22 วันที่ผ่านมา

      Uchaguzi unakaribia hawa watu dah! Wanajua danganya toto je kule Tanga kimekwisha tangu enzi za ukoloni wanakarabati tu mji kufa watu wanakula pesa ni wale wenzie wanamuangusha sio kosa lake inauma😭

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 23 วันที่ผ่านมา

    Nawaza Hawa watu wameenda kukagua uwanja wa ndege na si ajabu Kuna mtu hajala na anawaza mchana atakula Nini.
    Hebu wananchi badilikeni
    Ccm inawapofusha macho msione.
    Kuna mikoa Iko imewekwa akina kubwa ya umasikini ili iwe mtaji wa ccm

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 23 วันที่ผ่านมา

    1.4 b ! Hata nyumba ya mjomba wangu ya 300m ni nzuri zaidi! Huu wizi utakwisha lini? Kwa kweli inaudhi. Na huyu mama akubali kudanganywa? Funga, fukuza, taifishaaa.

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 23 วันที่ผ่านมา

    Leo mpanda Wana jengo lipya la abiria na mwanza bado Wana jengo lakutoka ukoloni aibu kwa mwanza.
    Mama futa KAZI viongozi wote wa mwaza