Tazama Uwezo Mkubwa wa Kiungo Mpya wa Simba Anayesubiri Kutambulishwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Jean Vital Ourega ni kiungo mpya anayesubiriwa kusajiliwa na kutambulishwa tu kutokana na kua na uwezo mkubwa uwanjani.

ความคิดเห็น • 57

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 ปีที่แล้ว

    Hizi ndiyo habari siyo kabangu bwanaaaaa kabangu aende yanga

  • @msyanituntufye3441
    @msyanituntufye3441 5 ปีที่แล้ว +8

    Ni sahihi nimemuona mara nyingi akifanya mazoezi na simba yah naona ni mzuri

    • @alexjeremia7686
      @alexjeremia7686 5 ปีที่แล้ว +1

      Msyani Tuntufye alikuepo kipindi cha sportpesa ata mimi nilimuona akifanya mazoezi baadae sikumuona tena

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      alex jeremia sportpesa alikuja?

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      kipindi gani?

  • @mrishosalum799
    @mrishosalum799 5 ปีที่แล้ว +1

    Anaonekana ni mtu wa kazi anatufaa sana wanasimba tutfurai zaidi akiwa ktk ubora mzr

  • @andrewmwambozi2275
    @andrewmwambozi2275 5 ปีที่แล้ว

    safi saana kipingu tv

  • @fadhilikondo5555
    @fadhilikondo5555 2 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 5 ปีที่แล้ว +4

    Yap yupo hapa siku nyingi.

  • @mbwanasembwana703
    @mbwanasembwana703 5 ปีที่แล้ว +6

    kwanza ana bonge la mwili na mpila upo

  • @watendekibona1420
    @watendekibona1420 5 ปีที่แล้ว +4

    Ila kipingu Tv nawaamin kama kweli Simba Nguvu Moja

  • @francomustafa5345
    @francomustafa5345 5 ปีที่แล้ว +1

    Hanajua sana sasaviongozi wetu wasiganye makosa

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 5 ปีที่แล้ว +2

    Yuko poa au siyo vyura.

  • @salamthedon3279
    @salamthedon3279 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mtu

  • @mohammediallykaboza5862
    @mohammediallykaboza5862 5 ปีที่แล้ว +2

    huyu jamaa orega anatisha hata Kama tukimuuza mkude shida Hakuna

  • @selemanisaid7972
    @selemanisaid7972 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama yaya toure

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Selemani said nilikuwa pia natafuta huu mfanano!

  • @syksyk7295
    @syksyk7295 5 ปีที่แล้ว

    Saaf tukkutan n timu yyt y gol 4, 5 6 n kuendlea

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 5 ปีที่แล้ว

    Ngoja Ni subscribe channel yako,

  • @suleimanalawy2164
    @suleimanalawy2164 5 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa naangalia mazowzi ya simba namuona huyu jamaa nikajiuliza ni nani?

  • @hadijaissa9286
    @hadijaissa9286 5 ปีที่แล้ว +1

    bab bonge la kiungo

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      wataka ungia nn mama Hadija Issa

  • @abdulomary1830
    @abdulomary1830 5 ปีที่แล้ว +2

    Apana ila kama mzuri poa

  • @floranceflavian7720
    @floranceflavian7720 5 ปีที่แล้ว

    ni kweli lakin!!?

  • @hajiselleman9566
    @hajiselleman9566 5 ปีที่แล้ว

    sizani kama kama ata sajiliwa na simba na nikweli uyu ni mchezaji mzuri sana

  • @anodmwambinga507
    @anodmwambinga507 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama viera

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Anod Mwambinga 👌🏿

    • @kassimjumbe3899
      @kassimjumbe3899 5 ปีที่แล้ว +1

      Kama mzuri sawaaaa aje afanye kaziii

    • @yudashirima7961
      @yudashirima7961 5 ปีที่แล้ว +2

      Msimu hu watapata tabu sana simba nguvu moja

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 5 ปีที่แล้ว

    Anakasi na nguvu asiachwe

  • @sudymgeni6292
    @sudymgeni6292 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mpira wetu tutaishia hapa hapa mana tunajiona wazuri tukizifunga azam. Yanga. Mbao. Tukienda nje tunapigwa.

    • @mariamzuheir4278
      @mariamzuheir4278 5 ปีที่แล้ว

      Sudy Mgeni : KLABU YA WANANCHI

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Mariam Zuheir imefny nn

    • @mariamzuheir4278
      @mariamzuheir4278 5 ปีที่แล้ว

      Mnzava Chris : KUNA WATU WANAMACHO LKNI HAWAONI , PIA WAPO WENYE MASIKIO LKNI HAWAWEZI KUSIKIA HIVO SISI HATUWASHANGAI WALE WOTE WALIOPO KTK MAKUNDI HAYA MAWILI PENGINE WW NI MMOJA WAPO AMA VIPI ?

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      @@mariamzuheir4278 ww kwn wnionwje kw mtazamo wako?

  • @mahabadimjueni7771
    @mahabadimjueni7771 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtu kama Zana

  • @jumalokole5394
    @jumalokole5394 5 ปีที่แล้ว

    Wassf

  • @sethmsangwa1413
    @sethmsangwa1413 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnasajiri magarasa alafu mnaomba kubebwa na TFF

    • @patricksteven8854
      @patricksteven8854 5 ปีที่แล้ว +1

      Mtoto mwenye nidhamu nyumban lazima abebwe ww chura fc vp

    • @sethmsangwa1413
      @sethmsangwa1413 5 ปีที่แล้ว

      Khamsa zitaendelea kuwahusu kenge nyie

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      Seth Msangwa mtaenda p1 mara hii, tutajua nani garass