WIFI NA WEWE MWANAMKE, ZAA WA KWAKO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2022
  • Jamaa kaoa ... Anaishi na mke wake kiroho safi tuuu... Sasa jamaa anamdogo wake wa kike kamaliza shule anasubiri matokea... Sasa akashauriana na mkewe kwamba aje akae hapo nyumbani kipindi hicho huku wakisaidiana majukumu ya hapa na pale... Basi ikawa hivyo... Bwana weee amani ndani ya nyumba kwani ilibaki tena... Wifi kichomi kichomi kweli yani... Sikiliza Simulizi hii kuna kitu utajifunza kwamba ni kheri ukakaribisha watu baki ndani kwako kama umeoa kuliko ndugu.. Sikiliza hii utajua kwa nini.

ความคิดเห็น • 76

  • @kemuntojackline2267
    @kemuntojackline2267 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika nimejifunza asanteni sana d oen na simulizi mix pamoja na jogoo poll be blessed with all family members of simulizi mix and all family zenu

  • @kemuntojackline2267
    @kemuntojackline2267 2 ปีที่แล้ว +3

    Sauti yake d oen lovely voice Asante sana simulizi mix and jogoo poll

  • @happinesshelkon3015
    @happinesshelkon3015 2 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sana 😂😂😂😂 Yani simulizi atungea jogoo poll Arafu isimuliwe na Kaka D oen weweeeeeee 😂🔥 raha sana D oen unajua mpka unakela kabisa 🔥🤣👌

  • @ffed1876
    @ffed1876 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafunzo ni nzuri sana simulizi.

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 2 ปีที่แล้ว +1

    Mafunzo mengi mno thank you for your simulizi mix bingo

  • @vitreenandeth8481
    @vitreenandeth8481 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaah hi si SIMLIZI bali na mafndisho, wacha nitafte kalamu na kitabu nirudiye kusikisa huku nikiandika badhi ya mambo yanawesa nisaidia wakati tofauti kwenye majira tofauti 🙏 ikiwemo mandiko matakatifu😢🙏🙏🙏 hongera mtunzi pamoja na kaka D oen na SIMLIZI MIX kwa kituandalia SIMLIZI ya kutufnza na kutuelemisha 🙏🙏 MUNGU awafanyiye wepesi kwa kila jambo 🙏🙏

  • @joycekazungu4003
    @joycekazungu4003 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika hii elimu munayotuletea ni bora Zaidi 🙏🙏🙏 MUNGU awabariki Sana familia ya simulizi mix Kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏

  • @zuhurakarabashinze1854
    @zuhurakarabashinze1854 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante simulizi mix tunawapenda sana♥️♥️♥️♥️♥️🇧🇮

  • @joycepeter7714
    @joycepeter7714 2 ปีที่แล้ว

    Akika mungu mi mwema kweli tumejifunza Mambo mengi,

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 2 ปีที่แล้ว

    Asante simulizi fupi kwa burdani tamu ongera kk oen kwa sahuti nzuri Marshall...

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 ปีที่แล้ว +1

    Izi siku mnatupatiya simulizi nzuri za mafunzo bola kbsa mbalikiwe🙌🏻🙌🏻🙌🏻🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sn wwe jogoo poll pamj na d oen mbrkiwe na Sante kw simulizi nxul ipo hot 🔥🔥🔥

  • @user-cv4bo4jh2y
    @user-cv4bo4jh2y 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana kwa elimu mbarikiwe sana

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว

    Ubaya haujengi. Mchimba kisima huingia mwenyewe. Loooh

  • @saragh1243
    @saragh1243 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana D oen simuli hii inajumbe mzuri sana mbarikiwe simulizi mix

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana d oen Kwa simulizi hii simulizi imenitoa kwenye shimo apo kwenye somo la wanaume wasio faa

  • @jacklinekwamboka6245
    @jacklinekwamboka6245 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏mafuzo mazuri nimejifuza mengi mungu akupari sanaaaa🙏🙏🙏🙏

  • @elizabethbarasa5832
    @elizabethbarasa5832 2 ปีที่แล้ว

    Asanteni Sana Simulizi mix Mungu hawabariki.

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengu nashukuru

  • @janetsimiyu479
    @janetsimiyu479 2 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri sana

  • @wemambonge2948
    @wemambonge2948 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri saaana

  • @lovelytatiana6502
    @lovelytatiana6502 2 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazur asante sanaa kwa simulizi

  • @aaaaa2440
    @aaaaa2440 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @nancygitonga3282
    @nancygitonga3282 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa masomo ya baraka

  • @zainabubahati5661
    @zainabubahati5661 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana D'oen na Jogoo

  • @aggynjeri7522
    @aggynjeri7522 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awavariki na awazindishie neema simulizi mix Asanteni ni mejifunza mengi

  • @termankalendo1439
    @termankalendo1439 2 ปีที่แล้ว

    Very sad story 😢😢

  • @asdfhdv9230
    @asdfhdv9230 2 ปีที่แล้ว

    munazinguwa roho za ma binti 6 mbon season to akuna

  • @kellyraju6254
    @kellyraju6254 2 ปีที่แล้ว +1

    Good work simulizi mix pamoja sana 🇦🇪🇦🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sana

  • @etaleetale3736
    @etaleetale3736 2 ปีที่แล้ว

    Simulizi nzuri sana

  • @salmakiungo8168
    @salmakiungo8168 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana

  • @aishamaulid1896
    @aishamaulid1896 2 ปีที่แล้ว

    Jamani napenda simuliz zote asimlie Onesmo au Felix kwakeli wajua

  • @selemanikiumwa836
    @selemanikiumwa836 2 ปีที่แล้ว

    JOGOO POLL upo juu na simulizi mix mpo juu

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 2 ปีที่แล้ว

    Ninachompendea d oen anajua kubalance mambo ya Faraga ata wtt wakisikiliza

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️

  • @alhabsialhabsi1098
    @alhabsialhabsi1098 2 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri kweli

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 2 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @Galaxy-yu6bk
    @Galaxy-yu6bk ปีที่แล้ว

    😘😘😘😘

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 2 ปีที่แล้ว

    Mtu mbona story zinafanana nimezaa na.baba

  • @FFf-wq5fr
    @FFf-wq5fr 2 ปีที่แล้ว

    🙏🤣🤣

  • @FFf-wq5fr
    @FFf-wq5fr 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 2 ปีที่แล้ว

    Tayari nipo sehemu ya 8

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhh jmn jmn

  • @vero756
    @vero756 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭yaani kama nisha soma ni leo hug you jogoo poll na D asanteni sana 😢

    • @happinesshelkon3015
      @happinesshelkon3015 2 ปีที่แล้ว +2

      😂😂🔥 Vero umeshamaliza kazi za wenyewe lkn

    • @vero756
      @vero756 2 ปีที่แล้ว +1

      @@happinesshelkon3015 😂😂😂yaani hapa niko jikoni but airphones kwa sikio

    • @happinesshelkon3015
      @happinesshelkon3015 2 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🤣kila siku wananiambia utakuja kuwa husikii wewe

    • @vero756
      @vero756 2 ปีที่แล้ว +2

      @@happinesshelkon3015 😔😔😔nitafanya aje sasa siezi kaa bila kuskiza simulizi na kubembabemba simu kila pahali ni mzingo tena😒

    • @vero756
      @vero756 2 ปีที่แล้ว

      @@happinesshelkon3015 nimekuwa Addicted wa simulizi mix kweli na sikidogo