My best of all time. Ninkwenda mno mawe.Mapenzi yangu sugu kwa Saida na aina spesheli ya utunzi yake asili ya tamaduni.Nampa yangu alisimia 100 kama shabiki sugu toka Kenya.
Saida wewe ni Sweet voice of 🇹🇿🇰🇪🇨🇩🇺🇬, sema tuu basi kwasababu watu hupenda kusifiaa ukifaa, ila Mimi acha nikusifiee ukiwahaii, Wewe Saida unajuaa kuimba na kupangiliaa muziki, Usiachee kuimbaa hata kama hupati kikubwaa ipo siku ukitanguliaa mbele ya haki watakuja faidi kizazichako utunzii wako, Haki Mungu akuweke atakavyoo 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🔥
Ukitaka uone uimbaji wa kiwango cha juu wa Saida hacha Saida aimbe kwa lugha yake na akipenda amix lugha zingine inapendeza sana, mbona tunasikilizaga nyimbo za congo sisi tunaoelewa lugha yake Saida anatumia tafsida katika mashairi kiasi ambacho sijawahi ona kwa wanamziki wa Afrika mashariki labda Kongo, BIGUP Saida Karoli keept up mwana.
Saida karoli My peers do call me Saida Karoli because my official name is Caroly Moses. Even though saida is a girlish name, I've never felt ashamed of it because you have raised the bars so high. You are a legend
Msanii wangu namba moja SAIDA KALOLI nukukubaki sana u ajua kuimba sijawah kuona wimbo wako hata mmoja ambao ni mbaya: hongera sana mtoto wa kihaya ubarikiwe sana na usije ukaacha kuimba maana ndo kipani chako nakufahamu ukiwa bado unaimbaimba kinijini hiki nikipaji chako cha asili usije kukiacha kiende zake:: enjoy❤❤❤❤🎉🎉🎉
Unaweza shindwa furaia ukaanza kulia2 we dada angu mapenz yang niyaweke wapi ila unaflaisha mpaka unaumiza mwenyez mungu yaan mungu akulinde sanaaaa2 unanikumbusha mbali.
My best of all time. Ninkwenda mno mawe.Mapenzi yangu sugu kwa Saida na aina spesheli ya utunzi yake asili ya tamaduni.Nampa yangu alisimia 100 kama shabiki sugu toka Kenya.
6yrs later I approve this song🎉❤❤❤ 🇺🇬🇺🇬to the world..love frm 🇰🇪🇰🇪
Ongera sana Saida Karoli kwa kuendelea kutangaza Tanzania nje ya nchi
This lady will never dissapoint,east african legend.she should be made east african unity ambassador,she unites us more than our leaders do
good.👉👏👏👏👏👏
True
She is more of the EAC and AU in uniting east africa and africa at large.a true icon
Walai blessings to her 🙏 🙏 ❤❤❤
Blessings to her@@nayigamariam2310
This song is something else. Much love from Kenya
Saida wewe ni Sweet voice of 🇹🇿🇰🇪🇨🇩🇺🇬, sema tuu basi kwasababu watu hupenda kusifiaa ukifaa, ila Mimi acha nikusifiee ukiwahaii, Wewe Saida unajuaa kuimba na kupangiliaa muziki, Usiachee kuimbaa hata kama hupati kikubwaa ipo siku ukitanguliaa mbele ya haki watakuja faidi kizazichako utunzii wako, Haki Mungu akuweke atakavyoo 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🔥
🥰🥰🥰🥰
niwainchi gan at
Mama Saida ni raia wa Tanzania @@FredyMolley-zq3em
Tanzania 🇹🇿 @@FredyMolley-zq3em
Tanzania@@FredyMolley-zq3em
I like the "ohooo oohoo" part of it. So amazing.
,,,,,,and me also,,,ooooh,,oooh,,,,oooh
Long live Ssabasajja Kabaka wa Buganda. Kyetagisa Kabaka wa Buganda asiime Saida karoli olwoluyimba luno
Thanks our dia sister from neighbor TZ to sing for our loved King of Buganda kingdom
Indeed!
She has made me cry she showed luv to us bambi mukazi watu tamanyi nabyatula
Mmm saida bana !
Saída karoli toca as melhores musicas Parabéns ❤❤❤ !
kiukwer huyu dada noma kama unamukubar rike hapa twende sawa
Nimeipenda sana wimbo pamoja na sauti yako asilia isiyobadirika hata uwimbe kizungu kazi nzur
East African legend ,so nice
Asante Sana Tanzanian prince and queen Mimi ana jua nyimba yako sana Bob from uganda
Titok has made me search for this song like gold 😂
😅😅me too imagine ❤
thought was alone
Same here
Thought nko alone the song has hit on TikTok men
me too
Mungu akubariki dada yetu kwa kuitangaza nchi yetu ya tanzania ktk dunia ya musiki waoooo!!!! Saida kaloli
You don't know how much we love you tanzanians
Yes we do.
Ukitaka uone uimbaji wa kiwango cha juu wa Saida hacha Saida aimbe kwa lugha yake na akipenda amix lugha zingine inapendeza sana, mbona tunasikilizaga nyimbo za congo sisi tunaoelewa lugha yake Saida anatumia tafsida katika mashairi kiasi ambacho sijawahi ona kwa wanamziki wa Afrika mashariki labda Kongo, BIGUP Saida Karoli keept up mwana.
Video xx
Kutambaa nakupigia video
A talented woman in Tz perpetually
Yaani huyu mama anaimba jamani, nakupenda sana Saida Mungu akuongezee kipaji chako
Nakupenda sana dada huyo mpiga kinanda yupo vizuri
Saida karoli
My peers do call me Saida Karoli because my official name is Caroly Moses. Even though saida is a girlish name, I've never felt ashamed of it because you have raised the bars so high. You are a legend
Said a kaloli Malikia wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Very,nice song
I bet Saida was proving a point here...... East Africa or African's we are One
I bet that some Southern Africans understand her too. Zambians especially.
That's lovely @@Zamaninasasa
Waaaa poa sana abana baw uganda,umeimba ,batanzania pia ,wapi sasa abana ba KENYA ....ilike your music saida
Sophia amimo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aisee nampenda sana dada ang by muhaya mwenzake❤
TikTok challenge led me to here...🎉 melodious voice🎉
Wow on the best East African sweet voice 😊😊😊 much love from Kenya 🥰🥰
Thx for the kabaka's tune dear,Bob from uganda
Empologoma ya sabassajja kabaka... Abana be mengo we tuli nyooo
wow! that is Luganda? Loving it all the way from Nairobi
Wow our beloved saida kalooli Am from Uganda 🇺🇬 l vow dat we L❤ve you so much
SSAABASAJJA KABAKA WA BUGANDA MUWENDA MUTEBI KIMERA 2ND AWANGAALE 🤲🤲
Nimekuskiza tangu utotoni saa hii mi ni mzee ngoma zako zavuma sana kongole
Jackson Nega gooood
Listening from Kenya Nairobi 2024
Kiukwel nakupenda xana(ninkwenda mno mawe )
Mimi ni.kijana mutogo but napenda nyimbo zako ata nikiwa mutogo mungu akupe kufu
Saida dada yangu bado yuko na energy yakutosha❤❤❤❤❤❤
Msanii wangu namba moja SAIDA KALOLI nukukubaki sana u ajua kuimba sijawah kuona wimbo wako hata mmoja ambao ni mbaya: hongera sana mtoto wa kihaya ubarikiwe sana na usije ukaacha kuimba maana ndo kipani chako nakufahamu ukiwa bado unaimbaimba kinijini hiki nikipaji chako cha asili usije kukiacha kiende zake:: enjoy❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hii nyimbo nilisikia kwa jiran yangu nikajua mpya aisee nilivyo ipiga apa ndan na full voice tena nilikuwa na wife aiseeee
Unaweza shindwa furaia ukaanza kulia2 we dada angu mapenz yang niyaweke wapi ila unaflaisha mpaka unaumiza mwenyez mungu yaan mungu akulinde sanaaaa2 unanikumbusha mbali.
Eeeh jaani saidi tunaenzi mziki wako sana ukichezwa hadi nywele zinasimama kichwani😂😂😂😂😂
Bambi thanks saida....KABAKA my KING wangala
Asante sana saiida karori uko juu sana nakkubali
Wow one of the best East African voices
I am not understanding the language.But since 2003 nimekua nikisikisa hizi nyimbo.mapezi kizunguzungu
Nyimbo nzuri Sana ama kweli kuna wasanii na ambao sio big up never give up love you Soo much
The queen no words can describe how I love your music
Lol, najivunia sana kuwa mufrika na mganda pia, hongera sana saida kalori
Nampenda mummy sana she never disappoint , always amazing and beautiful queen in Uganda,kuja kabarnet unitembelee
Nakupenda sana we dada na kaz zako
Wimbo kienyeji tam sana
Hongera sana Saida! Una wapenzi wengi wa dhati😍
Got it today.... Music ensembles I go for them now. Been your fun mom
2024 still fire 🔥🔥 Kenya 🇰🇪 to the world 🌍🌎
The queen. I love my African music.
saida nkwagadde nnyo muchalla MUNGU akubariki more and more. si waTZ tunakukubali
Dah Tz sweat heart inakufaaa kabisa, love uuu
Nampenda sana Saida, yuko stable.
saida mungu akutangulie ufike mbali zaid ya hapo
Daaaaah nyimbo zuri cn
Saida we really miss you in Uganda
always I will call kibonge mwepesi, penda sana wewe my Saida😊😘😘😘😘
Está senhora marcou minha infância ❤
Hapa mama umeingia kazini kweli Kweli hapa chezea wewe penda sana kazizako.....
This woman she is so talented
Hi
Noma sana hta kama sisikii vile anasema congratulations saida karoli ,I love your songs 💟💟💟💟💟💟💟
5yrs but trending now waaah tiktok walaii ❤❤❤❤❤❤❤
Legend of all time....nairobi kenya imekubali
Abana ba buganda tugende ❤
saida ometisha sana onacheza kganda ndani ya kihaya duuuuuuu love it
webale nyoo
Boniventure Ntanga yaani mi nampenda hatli
You remind me of my mom everytime I listen to your music.
Hi
Poleee sanaa
All the way from Papua New Guinea...titok made search for your son...love the ohooo....ohooo..
Yallab this maama ngawatabu much love princess mom❤❤❤❤❤❤❤❤l feel happy for what I 👂 👂 😂😂😂😂
subscribe plizzz
Thanks to entertain our beloved king ( Kabaka )of Buganda kingdom.
Asante sana dada 🙌🙌🙌🙌🙌🙌💃💃💃💃💃💃💃💃😘😘😘😘😘😍😍😍😍✌😎💃💃💃💃💃💃
Asante wanayuganda kwa kumpokea dada yetu vizur
yaaani song ni ya kitambo sana ivo na imehit aki kitu kino will not get away and God's tym is best
Saida nyimbo zako nazikubal sana❤❤❤❤❤❤❤
I love your music very inspirational. 😭😭😭😭🥰💙😭💙😭💙😭🥰😭🥰
Thank you so much mama 💓 for loving my king The king of Buganda were i come from ❤
For really u frm western Uganda , thanks for loving mi king big up proud Muganda
Tanzanian
Wow Ur still a vibe mama,just the way u move Ur waist I really like it🥰much love from kenya❤❤❤
Kazi nzuli dada angu
Kam Kenya haki siku moja
We love you so much Saida respect 🙏
Kwakweli Saida unaweza
2024 and it's still fire.
Saida Karoli;;;;
East Africa's Queen of the drums/ costumes. Original music
Sijui ata nimarangap kuitazama duh ngoma tamu sana
😻😻😻 nzurii jmn utafsiriii jmn mm nazipenda japo siielewii klugha
I truly love this song bird deeply.... voice since the the days of chambua kama karanga
Preciosa musica,me encanta.viva Tanzania viva Africa
Happ sawa wakwetu hongera Sana dada saida
bonge la ngoma. Fullesr of vibes
I really like this woman’s voice ❤❤
❤❤❤❤❤Gosto muito desta música 🥰
Nze Saida wa Karoli wachekechaaaaaa.... Owangale nyabbo
Nipe basi maana ya huu wimbo japo kidogo
She really needs to come back officially
Long live my beene,thanks saida kalooli I've got to know this song from tiktok❤❤❤
Naipenda sana from kenya
Woow❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪