Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya DW mjini Bonn wamuaga mfanyakazi mwenzao Oummilkheir sauti ya dhahabu ambaye amestaafu baada ya kuhudumu kwa miaka takribani 42. #kwaherioummilkheir
Nafurai kuwaona waandishi wengi tu wa DW,nilikuwa nafikiria Rasid Chilumba na Bruce Amani kuwa ni waxed kumbe hapana,Ma OMil hongera sana kwa yote ulio tufanyizia sisi wasikilizaji wa DW Asanteni kabisa kila la Hero kwa ku stahafu
Jina lake ni ishara tosha ya kua mtu mzuri. Ummi= mama Kheir = kheri/mwema Nakupnda sana sana, wengi wanasifu sauti yako ila mimi nasifu lafdhi yako na namna ya unvyokichambwaga kiswahili.
africa mashariki na ya kati wengi watoto wakike waliitwa kwa jina umul khair ndio sauti nzito kweli weka sign up ile sauti yakufungua radio dw we will miss you mungu akuchunge from kuwait
Hakika nilikupend sana uommi na sitochok kukupend kwa saut yko. Na ekesha wakati ulipokua ukitangaz nilikua nafikiria ni mzungu ambae amejifundish kiswahil. Samaha unatokea wp Mama oummi
Very unique and wonderful voice . All the best Oummi. Kulikuwa na mtangazaji mwingine wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle ambaye alikuwa anaitwa Osman Mirachi(ji). Alikuwa na kipindi kiitwacho 'Darubini' kila Jumanne baada ya habari ya saa saba mchana ambaye nalikuwa nakienzi sana. Alienda wapi?
Mama yangu hongera sana, nitakumbuka sauti yako daima ila nitakuwa napitia maktaba mbalimbali mtandaoni nisikilize tena na tena. Mungu akujaalie afya njema
Machoz yannitoka tu ila nakuombea kheyr nmemmis mno Mohammed Abdul-rahman na sasa ht sijazoea kumkosa ntakukumbka nawe saaana nkipenda mno ukitaja majina ya Kansela wa ujeruman na Rais wa Uturuki daaah allah akuzidishie kheyr.....
Na Sasa huko ujerumani ,Chancellor Angela marcel ameiba ujerumani kutuma katika ufanisi kidiplomasiiiia,,Na Sasa tuangaaziie huko mashariki ya mbaaaali
Yani nakupenda bure mama yani natamani kukusikiliza kila wakati Kwa kweli kwa hii sauti yako ya kipekee mimi natamani kuendeleea kuisikiliza sauti yako mama Hivi kuna mtu umemwachia hiyo sauti?? Hakika nitaimisi DW kwa ajili yako
Nahisi natokwa na machozi ya huzuni kuwa sitaisikia sauti ya aina yake ya utangazaji ya huyu mama Oommi ambae amestaafu. Ninamwombea maisha mema uko aendako. Naamini pengo lake haitazibwa.
Mara ya kwanza namsiliza ilikuwa 1998.Ndo nilianza kupata akili yankusikiliza taarifa ya habari.Ubishi ulokuwepo ni mwanaume au mwanamke?Binafsi yeye na Adulhaman Baramia nilikuwa nawapenda sana.Halafu wote wa Comoro
Huyu mama kwakweli amekua akinipasha habari na binafsi nimewahi kua najaribu kuongea kama yy. Nimeanza kumsikia hasa taarifa za habari za saa saba mchana tangu nasoma shule ya msingi mpaka nahitimu chuo kikuu. Ni miongoni mwa watangazaji ambao sitaweza kuwasahau kamwe. Mungu aendelee kua pamoja nae daima kama alivyokua nae DW. Kutoka Boooooooo.......nnn
@@abilahirufai8269 ndiyo lkn kwa mujibu wa Maelezo yake Oumilkheir baada ya kustaafu Commoro ni nyumbani lkn pia Zanzibar ni nyumbani kwa hiyo ni Kama ana uraia wa nchi mbili na anapapenda Sana Zanzibar kwani amekulia huko.
mmmmm! huyu mama nilikuwa nampenda utangazaji wake sauti nzuri tunakutakia maisha mema ubarikiwe maisha mema ya kustaafu mama
Hongera ummylkhery kapumzike mama ,ila wengi wamejifunza kupitia kwako miaka 42 sio mchezo
Grew up listening to Oummi on SW. Wish you well. Thanks big bro for introducing me to DW.
Nafurai kuwaona waandishi wengi tu wa DW,nilikuwa nafikiria Rasid Chilumba na Bruce Amani kuwa ni waxed kumbe hapana,Ma OMil hongera sana kwa yote ulio tufanyizia sisi wasikilizaji wa DW Asanteni kabisa kila la Hero kwa ku stahafu
Jina lake ni ishara tosha ya kua mtu mzuri.
Ummi= mama
Kheir = kheri/mwema
Nakupnda sana sana, wengi wanasifu sauti yako ila mimi nasifu lafdhi yako na namna ya unvyokichambwaga kiswahili.
Mm nimeumia zaidi yako mama yangu
Boooorne, Ujarumaniii.
I will miss her voice, God bless her
Abari za Africa
Nakupenda sana mama Oummilkheir. Sauti yako tu yanitosha . nitakumiss mnoo
Mungu ampatie miaka mingi
Mimi nimeanza kumsikia na kumfaham 16 years ago.
Amekua hapo kwa miaka 42
Dah mama kiboko na nikielelezo Cha utangazaji duniani
Nampenda saana bi Umm nimependa kumuona lakini lazima nionane nae iko siku najua nitafika nionane nae nampenda mnooo
Great umi Great umi
Dah! Jamani sauti ya dhahabu itakuwa hatuisikii Tena bi ummi tunakutakia maisha mema na yenye kheir na wewe
Mungu ampe maisha marefu..bi Umilkher..
africa mashariki na ya kati wengi watoto wakike waliitwa kwa jina umul khair ndio sauti nzito kweli weka sign up ile sauti yakufungua radio dw we will miss you mungu akuchunge from kuwait
Thanks very much madam I wish you all the best I'm going to miss her voice, I'm called David Twinamatsiko here at Somalia
dah tutakumiss sana mama yetu Oummikheir kwa saut yako ya bashasha Mungu akulinde sana
Daa tuta miss sana Sauti yake 😘😘😘
Congratulations! you are the legend!
Kila la kheri mama angu nakupenda sana
Hakika nilikupend sana uommi na sitochok kukupend kwa saut yko. Na ekesha wakati ulipokua ukitangaz nilikua nafikiria ni mzungu ambae amejifundish kiswahil. Samaha unatokea wp Mama oummi
Sauti bora zaidi ya sauti
Thenks our god
Very unique and wonderful voice . All the best Oummi.
Kulikuwa na mtangazaji mwingine wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle ambaye alikuwa anaitwa Osman Mirachi(ji). Alikuwa na kipindi kiitwacho 'Darubini' kila Jumanne baada ya habari ya saa saba mchana ambaye nalikuwa nakienzi sana. Alienda wapi?
Daaah saut Kali sanaaa
Mimi binafsi alinihamasisha sana kusikiliza DW tangu kitambo. Kila la heri Bibi oummilher
Mapumziko mema mama kher
mic u ummulikhery
Pumzika salama mama dw Swahili nimeanza kufutilia toka 2005
Mm nitamkumbuka sana kwa umahiri wake wa uchambuzi wake wa magazet ya ujerumani kuhusu bara LA Africa
Daaaa huyo Mama namkubal sana
klla la kheyr mama kipnz twakukumbka saaana na tutakumbka daima utu na weledi wko....
Nalia Na Furaha Tangu Mdogo- Habari Za Mjana na Jioni.. Maisha mema.
Mama yangu hongera sana, nitakumbuka sauti yako daima ila nitakuwa napitia maktaba mbalimbali mtandaoni nisikilize tena na tena. Mungu akujaalie afya njema
Sauti yake ni ya dhahabu .Nilipenda DW kwasababu yake .Umetuachia pengo kubwa sana wasikizaji wako.Nakutakia mapumziko mema mama
Heeeheeeeee sauti ya dhahabu, 🥂🥂
Mwongezeeni mkataba anaweza kuendelea kwani kutangaza siyo kushika jembe ni sauti na kukaa
Penda sana bibi yangu
Kwa sura ya Ujerumani. Asante bibi.
Nime mkumbuka sana
Kutoka musoma Tanzania Nyamboga Nyamshora dw nawapata kwa umakini na matangazo yenu.
Idhaa Yangu ninayoipenda
Machoz yannitoka tu ila nakuombea kheyr nmemmis mno Mohammed Abdul-rahman na sasa ht sijazoea kumkosa ntakukumbka nawe saaana nkipenda mno ukitaja majina ya Kansela wa ujeruman na Rais wa Uturuki daaah allah akuzidishie kheyr.....
Nitakukosa sana mamayangu..
Watangazaji wote wako wako vizur hamna garasa
Na Sasa huko ujerumani ,Chancellor Angela marcel ameiba ujerumani kutuma katika ufanisi kidiplomasiiiia,,Na Sasa tuangaaziie huko mashariki ya mbaaaali
Hahaa kumbe unamsikiliza
Very very sad rip
Nilikua nadhani ni mama wa kizungu ambae anajua kiswahili kumbe ni mwafrika kabisa
Mbona redioni sauti kama wazee
Ohh jamani alikuwa na sauti ya kipekee. Ametuwakilisha vizuri sana sisi wanawake hasa kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa weledi. Binafsi nitammiss
Alikua vizur sana huyu mama saut yake ilikua nzur sana mitambon
Saf sana mama yetu
Du mama kastaafu ?. Shikamoo mama
we will.miss the voice
tutakumic mnooo
KIUKWELI naumia sana kuona hyu mama anastahafu nataman angefanya milele maana alikua kinala wa sauti
Kwa kweli mimi pia sijapenda habari za kustaafu kwake! Yaani, basi tu!
Nimemsikiliza mwanahabari huyu maarufu tangu nikiwa shule ya msingi...alikuwa na sauti nzuri kweli..
mtangazaji umetuangusha umeshindwa kulitamka vzr jina la mama pumbafu yako
Mtandao unasumbua
Nilikuwa napenda kukusikiliza mama na nitafata njia zako ili na mimi nifikie malengo katika tasnia hii ya habari
Yani nakupenda bure mama yani natamani kukusikiliza kila wakati
Kwa kweli kwa hii sauti yako ya kipekee mimi natamani kuendeleea kuisikiliza sauti yako mama
Hivi kuna mtu umemwachia hiyo sauti??
Hakika nitaimisi DW kwa ajili yako
MUANZISHE NA TV SWAHILI
Niliipenda na kuifuatilia DW kwa sababu ya staili ya utangazaji wake..Mwanzoni nilijua ni mwanaume!
Dah mm ndo nimejua Leo kumbe kastafu mungu awe nae pia watangazaji wengine nimefurai kuwaona maana nilikua cjawaona b4
Naomba mtu a anijulishe Habari za muhaymina farisi/muhaimina faarisi...yupo hai au amefariki..nilikua mdogo sana alpokua akitingaza
Nahisi natokwa na machozi ya huzuni kuwa sitaisikia sauti ya aina yake ya utangazaji ya huyu mama Oommi ambae amestaafu. Ninamwombea maisha mema uko aendako. Naamini pengo lake haitazibwa.
Tunajivunia kwa matumizi bora ya Lugha ya Kiswahili katika utangazi wako
Dah bibi tulipenda saut yako lakin kustaafu nako ndio hvo hongera bi umi
Mara ya kwanza namsiliza ilikuwa 1998.Ndo nilianza kupata akili yankusikiliza taarifa ya habari.Ubishi ulokuwepo ni mwanaume au mwanamke?Binafsi yeye na Adulhaman Baramia nilikuwa nawapenda sana.Halafu wote wa Comoro
DW nmkumbuka sana kwa sauti yake na kipindi cha sura ya ujerumani au akiripoti taarifa🤦 nmemis bara bara
Huyu mama kwakweli amekua akinipasha habari na binafsi nimewahi kua najaribu kuongea kama yy. Nimeanza kumsikia hasa taarifa za habari za saa saba mchana tangu nasoma shule ya msingi mpaka nahitimu chuo kikuu. Ni miongoni mwa watangazaji ambao sitaweza kuwasahau kamwe. Mungu aendelee kua pamoja nae daima kama alivyokua nae DW. Kutoka Boooooooo.......nnn
Kumbe bi ummy kastaafu
Mama
Ummy
Nakupenda
Munguakubrki
Nlianza
Kukusikia
1995nkiw
Mdogo
Barkiw
Ummy
Mwaka
2005
Ninakumbuk
Uchaguzi
Mkuu
Ulivyo
Anatoka nchi gani huyu?
Maisha mema leo ndo namjua,nilikuwa nasikia saut tu.lakini ni mzaliwa wa wapi?
Kazaliwa visiwa vya comoro na hatimaye akahamishiwa Zanzibar akiwa mtoto mchanga akaishi huko hadi akafikisha miaka 15.....
@@leonarddamian asante bro.kwa taarifa nzur,so ni mcomoro
@@abilahirufai8269 ndiyo lkn kwa mujibu wa Maelezo yake Oumilkheir baada ya kustaafu Commoro ni nyumbani lkn pia Zanzibar ni nyumbani kwa hiyo ni Kama ana uraia wa nchi mbili na anapapenda Sana Zanzibar kwani amekulia huko.
@@leonarddamian asante bro.
Very very sad rip