Rashid Nakushukuru sana kwa Salaam hizi kutoka kwa Mama yetu kipenzi Oummi. Ninaomba pia utuletee na Baba yetu Mohammed Abdulrahman, tunammiss sana wanawe😢
i am happy mama Ummy anaendelea vizuri, sauti yake inanikumbusha marehemu babu yangu alipenda sana DW and i too got to know mama Ummy then, be safe mama and God bless you, we love you. Thank you Rashid for posting this.
Rashid
Nakushukuru sana kwa Salaam hizi kutoka kwa Mama yetu kipenzi Oummi.
Ninaomba pia utuletee na Baba yetu Mohammed Abdulrahman, tunammiss sana wanawe😢
Mama arudi kazini walau miaka miwili
Daaah shukrn saana kipenz changu Rashid kwa kumtembelea mama yetu mtangazaj wetu kipenz tafadhwal mtafute pia bwana Sekione Kitojo...
i am happy mama Ummy anaendelea vizuri, sauti yake inanikumbusha marehemu babu yangu alipenda sana DW and i too got to know mama Ummy then, be safe mama and God bless you, we love you. Thank you Rashid for posting this.
Nimefurahi kumwona mkongwe aliyekonga nyoyo zetu
daaaa namkubali sana huyu mama..iseee namna yake ya kutangaza ilinivutia sana..
Daah bi mkubwa alikua hodar sana kwenye utangazaji
tunakisubiri hicho kitabu mama Oumilkheir sijui bado hakijatoka ...
Huyo mama ndiye aliyenivutia nikaipenda Dw. Hadi sasa napenda matangazo yao.
Madame Ummilkheir sauti ya dhahabu na mtangazaji wetu pendwa
Nafikiria saana kuwa Rashid Chilumba ni Muzee Bwana kumbi ni kijana Tu !!
Sauti ya dhahabu
Nilifikiri umerudi nyumbani
Huyu Mama napenda bure jamani daa!!
Child boy mambo ni Moto nitafute mm dada ako
Salaam, niandikie nambari yako ya whatsapp
Hadi mtangazaji anastaafu kwanini
Kumbe upo gizani hamna kazi ambayo binadamu hasitaafu