FAHAMU FAIDA ZA MAJANI YA MLONGE KWA AFYA YA BINADAMU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
- MLONGE UMERIPOTIWA KUWA NA FAIDA NYINGI SANA KWA AFYA YA BINADAMU. KATIKA VIDEO HII UTAENDA KUONA VIRUTUBISHO VILIVYOPO KWENYE MTI WA MLONGE, MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA MLONGE NA JINSI YA KUTENGENEZA JUICE ZA AINA MBALIMBALI KWA KUTUMIA MAJANI YA MLONGE NA MCHANGANYIKO WA MATUNDA MBALIMBALI
Elimu nzuri hii,turudi edeni,mimea ni lishe tiba nzuri sana.Endelea kutupa madini
Hakika umetufaidisha Sana.. ubarikiwe Sana Dr Frida 🙏🍀☘️☘️☘️
🙏🙏🙏
Congrats dear.....keep soaring!!!so impressive
Ooh, thanks a lot Liz 🙏🙏🙏
Asante kwa elimu hii Dr Frida, ngoja niutafute mlonge longe sasa
Karibu cousin 🥰
Asante kwa somo zuri
Shukrani 🙏🙏🙏
Hongera kabisa
Je nitapata uliyo kwisha kutengeneza?
Nitapataje?
Nice
Elimu nzuri Sana
Asante sana
Dada samahani mlonge longe unaweza saidia kutibu mtu mwenye matatizo ya Acid tumboni
Somo zuri sana dada.. keep
Going❤️
Asante sana mdogo wangu 🙏🙏🙏
Unaruhusiwa kutia sukar kweny iyo. chai ya mlonge ?
Hongera sana naomba uweke namba yako
Unaweza kutumia MLONGE wakati unakunywa dawa za Presha za hospitali?
Baba angu anasumbuliwa na uvimbe kwenye figo, je Majani ya mlonge yanaweza msaidia ?
kwani huwezi kutengeneza juice ya mlonge pekee?
Kama sina asali naweza kutumia sukari?
Sasa mbona hujanichemshia hiyo sister .......I will be back .....keep growing Msubhati
🤣🤣🤣. Utachemshiwa next time kaka. 🙏🙏🙏
kwani huwezi kukausha na kutwanga kisha ukatumia kwenye juice
Bahati nzuri mti husika ninao hapa nyumbani.... Hapo kwenye nguvu za naniliuuu!!! Hahahahaaaaa!
Hahaaaaa. Sasa Juma excuse. Katumie mlonge mura weito
🤣🤣🤣
@@fridahomestead6890je kipimo halisi baada ya kuchemsha ni kipi
🙏
Mm naomba kufanya biashara na wewe ya kukuuzia mlonge majani
Je ni dawa ya kutibu huu ukimwi?
😂😂😂😂😂😂
Namba zako za simu hazionekani
jiko hujazimaaa
jinsi ya kukaanga mbegu za mlonge kwa ajili ya nguvu za kiume
Je ni milonge mibichii
sio MLONGE LONGE BWANA NI MLONGE AU MORINGA