Yaani Mimi ata ikitokea siku nimekengeuka nikiyakumbuka mafundisho ya Moses Magembe huwa napata hukumu sana moyoni mwangu 😢🥲🙆😔 Magembe ni mchungaji mzuri sana na mafundisho yake ni ya kweli 🙏 MUNGU aenende pamoja nae popote aendapo 🙏 pia hongera mtumishi wa mungu umeongea vitu vya maana sana Mungu akubariki 🙏
Asante Saana Mtumishi Huu Ndio Ukweli wa Neno! Shetani Anaalarisha Uongo Wa Katiba Kuwa Ukweli wa Mungu! TAG Kama Mnamuofu Mungu Kaeni Chini Mjilekebishe na Katiba Hiyo ya Kidunia!
Kwakweli hii habari inaumiza sana. Mungu amshike mkono mzee Magembe mtumishi wake. Wanakiri kwa vinywa vyao kanisa la majumba 6 liliasisiwa na Mzee Magembe sijuwi wanajisikiza wallah 😢😢😢
Natamani kutoa chochote Kwa ajili ya mch magembe.Fanya utaratibu tumshike mkono.mimi sio T.A.G lakini Huwa napenda mafundisho yake.Mungu atamwinua zaidi maana anasimamia kweli ya Mungu.
Yesu wangu nipe uvumilivu nipe uvumilivu kwa kweli kwa jambo hilo la magembe limenifikilisha sana na bila msaada wa mungu kwa kweli linavunja moyo maana sielewi mtumishi aweje au afanyeje ili awapendeze wakuu yaani aweje magembe ameisaidia dunia sana kutambua sula ya mungu iweje kwa kanisa leo anaonekana kadhalilisha katukana kakasfu wakati uhalisia tunaona tupo hali tete visuluali vya kubana washilika wanatia huluma ukiwaona hutaamini waliwahi kuokoka
Hakika hii ndo maana huwa namuomba MUNGU anijalie kile kilichomfanya Yesu awe maskini.... Ningemnunulia MZEE MAGEMBE GARI JIPYAAA! Nawaombeni mliojaliwa uwezo please mpeni huyu Baba Tena kimya kimya.
Mbarikiwa nakuona kama mtu wa mizozo tena isiyojenga kama huu haujengi bali unabomoa ndio maana nahusika wamekaa kimiya sio kama hawana majibu hao viongozi wako chini ya sheria na kanuni kwanini mbarikiwa unataka kuamini au kuaminisha watu kua viongozi wilioko ni maamuzi hao
Umeongea hoja sana mtumishi wa Mungu. Mimi mchungaji wangu wa TAG. Amenunua uwanja kwa pesa yake. Na ametoa matofali yeye mwenyewe. Maana washirika kipato ni kidogo. Baadae ataambiwa akabidhi vyote😢
Yaaani katiba yao ndiyo inasema hivyo. Na serikali ndiyo inakubali huu unyang'anyi maana wachungaji wanaosajili makanisa kwa kukiondoa hicho kipengele cha unyang'anyaji wanakataa kuyasajili. Mojawapo ya kanisa walilokataa kulisajili ni la Mbarikiwa kisa amesema ikiwa mtu atahama kutoka kanisa lake hatachukua chochote kutoka kwa huyo mtu. Wakamkatalia kumsajili.
Huo ndio utaratibu wakanisa mtu kama hawezi aanzishe hudama yake ambayo itakuwa Mali yake na familia yake kama zilivyo ministry na kujiunga TAG hajalazimishwa ma dhehebu yapo mengi.
Huyu jamaa naye changamoto, mali ni za kanisa na siyo za mtu hapo ndiyo tunakwama, na mambo ya malimali haya yanafanya wachungaji kuwa na viburi sababu nao ni binadamu. Pia duniani hakuna sehemu salama mpaka ukamwamini binadamu.
Mzee anajua anachokifanya, muacheni afanye kusudi la mwito wake . Mungu atamtokea magembe huko aliko, kama ni mali, Mungu atamrudishia kwa viwango vya kufurikishwa
Acha uchanga, kaa na Imani Yako. Shule Ina maana sana kwenye maisha. Wachungaji someni shule. Endelea kuongoza kiroho roho tu. Baadae utajua umuhimu wa sheria
Kwajina la Yesu Mch Magembe Atafanikiwa kwa damu ya mwana kondoo aliye Hai mana mijitu wa tag Ni wanyan'ganyi bwana Msimamie Moses Magembe mana wengi tunazidi kulisikia jina lako kupitia yeye
Taratibu zilizotumika sio zilitumika kwa ajili ya mch magembe bali ni katiba ambayo magembe alisaini au kukubali kufanya kazi chini yake sasa isitafsiriwe kama amedhulumiwa maana hata yeye alijua sio mali yake na pia ana vitu vyake ambavyo kanisa la haliwezi kumuuliza na wala yeye hawezi kuvitoa kanisani hivyo alivyotoa sio vyake na anajua
Unaufahamu mdogo sana mtumishi usioyajuwa usiangaike nayo... Umeacha kusudi unapambana na TAG...nakushauri rudi kwenye lengo ambalo Mungu alikuleta nalo duniani..
Wewe mbarikiwa hubiri injili acha kushughulika na Mambo na taratibu za watu wengine. Wewe huna kanuni na taratibu kwa sababu kanisa ni Mali yako. Yeye huyo aliyekabidhiwa siyo Mali yake ni ya kanisa na siku na yeye akiondoka atakabidhi.
Aaaaà wewe unamfundisha magembe vibaya hapo magembe amefanya vizuri alipokuwa majumba sita alimtumikia MUNGU kwahiyo amemwachia MUNGU na watu waliopo hapo
Mim ni mmoja wa watu wanaokufuatilia kwa umakini mkubwa sana! Ila leo ktk hili uliloongea,nimeanza kukuelewa rasmi Mbarikiwa! Huu ni uonevu mkubwa kwa huyu mzee,kwsbb hata hao nao wana mapungufu yao..
Hiii nimekubali asilimia moa moja yan hii kitu itapeleka wengi san moton kwasababu huwez kula josho la mtu eti tu anahama rejesta yan unakabidhi vitu kama vile unaenda kuacha wokovo na hii inaonyeshe ni kias gan watu hukomoana kwa kuhama rejesta moja kwenda ingine
Mbalikiwa wewe sio mtawala wa makanisa yote kila kanisa na katiba yake magembe anajua katiba yake we ni nani? We ni kibaka kama vibaka wengine hayakuhusu.
Wewe acha uongo mchungaji kwa nini unaongea uongo magembe hajanyang'anywa anajua utatatibu ndio sababu akakabithi mbona unafanya tuone utumishi wako ni wa mashaka umelogwa au una uhitaji
Kwa hili sikubaliani na wewe mtumishi wa Mungu, Mchungaji Magembe yuko sahihi kulingana na katiba ana ukomavu wa uongozi na imani na sio mpenda mali isiyokuwa halali kwake, kwa hili hauko sahihi mchungaji
Mbarikiwa, Tag ni Tag. Tag sio mtu mmoja. Usiwaletee wenzio vitabia vya mtu mmoja mmoja. Tag ni tasisi yenye kujitambua, isiyo mtazama mtu. Magembe anaijua Tag ndo maana anakabidhi kwa moyo mmoja
Mwakipesile mimi ninaswali tu kwako ivi kwenye kikundi chako unachokita kikosi kazi Cha injili nikikosi kazi Cha matusi? Mnamwabudu mungu yupi mbona hamweleweki kwenye kikundi chenu mpo upande upi vijana wako niwahuni wee mwenyewe hueleweki matusi mitandaoni kila itwapo leo pamoja na vijana wako mnamwabudu Mungu gani ?
Kabla sijamaliza video umezingua pastor Mbarikiwa .....ILO NI KANISA LA MUNGU sio Magembe ....NAKUKUBALI ILA HAPA UMEYUMBA..... unataka kutuaminisha Sadaka zinatotolewa kwaajili ya kazi ya Mungu ni mali ya watu ...??🚫🤯 Kama nivya Mungu basi anaekuja nae nikwajili ya kazi ya Mungu hivo bas hakuna kilicho haribika Ahaha pastor umeyumba KUMBE VINAKUWA VYENU NA SIO KWAAJILI YA KAZI YA MUNGU...??🤯
WEWE MBARIKIWA ACHA UMBUMBUMBU WAKO KITAASISI CHAKO CHA KINYAKYUSA SI NDIO MAANA HAKINA MUELEKEO? UNATAKA KUTUPA USHAURI WAKO WAKIJINGA TUFELI KAMA WEWE? KILA MCHUNGAJI ANAEJIUNGA T.A.G ANAJUA HILO KUWA HUKU UKIANDIKA MALI KWA JINA LA TAASISI HICHO KITU SIO CHAKO TENA
Ndugu zangu akuna mtu aliyemfukuza ila yeye mwenyewe ndio ameondoka kwa hiyo msiwaone viongozi kama watu wabaya kumbuka hii ni taasisi kwa hiyo taasisi inaongozwa kwa sheria na taratibu walizojiwekea ili swala tusilizungumze kwa mihemko wengi atuujui ukweli ila kuna watu walitaka kuingizwa kwenye mtego wa kumfukuza mtu ili waonekane wabaya lakini walishtuka kwa hiyo hayo ndio madhara ya hila
Labda mgemtia moyo akae ukizingatia jasho lake kwenye hiyo taasisi hiyo!!! Mmemwacha tu aende kana kwamba ndicho mlichokuwa mnangojea!!! Mngepaswa kumtia moyo Mahubiri yake ni sawa hayana shida Yalitaka tu watu kumuelewa Ukwei kanisa linakwenda sivyo inahitaji kukemewe kwa ukali
Sisi sio EAGT utaratibu wetu mali zote ni mali ya TAG sio mchungaji kwahiyo magembe mwenyewe anaeliwa vyema ,,acha ujinga mzee hata wewe umemsikia magembe anajua utaratibu wa TAG
Sio pesa za washirika si. Sadaka kwa Mungu kwenda kwa mtumishi wa Mungu. Kwani wachungaji wote wanazo hizo Mali na wanawashirika wengi ila cha msingi mzee kaamua kuacha kwa moyo wa kupenda Mungu atambariki mnoooooo ila jasho la mtu limeliwa kikatiba
Sadaka hupewa mtu wa Mungu baada ya mtu kuuona mkono wa Mungu kupitia huyo. Huyo mtu wa Mungu ndiye ambaye aweza kuzifanya mali hizo kuwa za wote au la kutegemea moyo wake. Ila kibiblia ni mali zake na anatakiwa kuzitumia ionavyo roho yake.
Ila swala wachungaji wengine wamenyamaza tu. Lakini kwa hili la maghembe,wengi wamejifunza kuhusu Mali,na limewachoma sana sio mchezo. Daah! Kwasababu,kuna vingine yamkini alifadhiliwa na watu na sio waumini, sasa anapokonywa vyote😢. Mhm!
Hakupokonywa alikabidhi yeye mwenyewe kwa hiari yake wala hakunyang'anywa.Yule ni Mtumishi wa Mungu Mkubwa anaelewa utaratibu na katiba ya kanisa lake anajua.Usimsikilize mpotoshaji mbarikiwa
Napata shida na wewe kiumbe unayejiita Michaelkibiki. Una roho mbaya na roho ya utapeli kwa asili au umeingiziwa na dini. Neno langu ni sheria au katiba ya dini haiko juu ya Biblia. Kibiblia huo ni unyang'anyi. Una roho ngumu kaka! Ila subiri UPANDACHO UTAVUNA
@@michaelkibiki3309 Alikabidhi kwa hiyari wapi?? Asingekabidhi mngemuacha nyie??? Mbona mlianza hata kuimezea mate huduma ya PCC mkitaka nayo aikabidhi. Katiba zenu zimekaa kinyang'anyi halafu mnatuambia amekabidhi kwa hiyari hebu tuache na propaganda zako we jamaa
Kweli kabisa mtumishi wa Mungu,Kuna hali ya unyang'anyi ndani yake! Mimi roho imeniuma sana. Huyu mzee amepambana miaka 50, Angefikiliwa Kwa chochote.@@Mbarikiwa_Mwakipesile
Nilishanga kuona mtu na mkewe eti wanajiita wachungaji kuchekelea kwa madaha huchukua jasho la mtu kwa shelea ya wanada.u utafikili watu walikuwa wanawafulahisha watazamaji si kibiblia aibu siku ya mwisho mtajibu kwenye kiti cha enzi kwa shelia za ki.ungu sio zaki tag mtajibu tu ampenyi hapo
Sasa mchungaji ulitaka kanisa libaki peke yake. Ndo mana amekabizi. Yeye amestafu. Swala la Mari za kanisa ilikuwa nilazima akabuzi rabda kama ulitaka wamuachie
Bora hata wangechukua uwanja na majengo ambayo hayahamishiki, lakini magari na vitu vinavyohamishika mngemwachia aende navyo au bora zaidi mngempa fidia ya fedha kwaajili ya mali zisizohamishika alizoziacha
TAG sijawahi jua Kama mko hivi Hamna hofu ya Mungu kiasi hiki hamjui kusamehe jamani mkimua chia huyo mzee gari mtakufa? Mnahubiri Nini? Nyie nimeumia machozi yananitoka kweli kabisa
Hivi nikiwa Kiongozi serikalini na kuleta matokeo makubwa, ninapoondoka serikali itanikabidhi gari, ilihali kuna mwingine anayekuja atalitumia? TAG inaweza ku.muaga kwa namna ya tofauti pengine zaidi ya tunavyofikiri. Kwanini tunawaza gari lililotumika? Je, wakiamua kumnunulia jipya?
Mchungaji Moses Magembe nami pia nakuombea uso wa Mungu uende pamoja nawe.
Yaani Mimi ata ikitokea siku nimekengeuka nikiyakumbuka mafundisho ya Moses Magembe huwa napata hukumu sana moyoni mwangu 😢🥲🙆😔 Magembe ni mchungaji mzuri sana na mafundisho yake ni ya kweli 🙏 MUNGU aenende pamoja nae popote aendapo 🙏 pia hongera mtumishi wa mungu umeongea vitu vya maana sana Mungu akubariki 🙏
🙌🏿🙏🏽
Wanafiki tu
Mungu msimama na mtumishi wako
TAG mmekwishaaa mpaka gari amewakabidhi duuuh kweli pastor magembe ni mtu wa Mungu.
Mungu ni mkuu sana. Maghembe hatapungukiwa kabisa.
Asante Saana Mtumishi Huu Ndio Ukweli wa Neno!
Shetani Anaalarisha Uongo Wa Katiba Kuwa Ukweli wa Mungu!
TAG Kama Mnamuofu Mungu Kaeni Chini Mjilekebishe na Katiba Hiyo ya Kidunia!
Kwakweli hii habari inaumiza sana. Mungu amshike mkono mzee Magembe mtumishi wake. Wanakiri kwa vinywa vyao kanisa la majumba 6 liliasisiwa na Mzee Magembe sijuwi wanajisikiza wallah 😢😢😢
Wanao abudu kanisani kwako, wanashida sana. Siasa sio injili Mchungaji. Mungu atusaidie tuijue injili na siasa.
Natamani kutoa chochote Kwa ajili ya mch magembe.Fanya utaratibu tumshike mkono.mimi sio T.A.G lakini Huwa napenda mafundisho yake.Mungu atamwinua zaidi maana anasimamia kweli ya Mungu.
Magembe alikuwa anakemea uovu,siyo kama wengine wanaotiana moyo wa utajiri tu utafikili kanisani ni chuo Cha entrepreneurship(ujasilia mali)
Big point Pastor, God bless you about this
We magembe anaendelea na kazi ya mungu anakiwasha vilevile namkubali sana mchungaji magembe na lazima nihamie kanisani kwake
nampenda Sana uyu Mchungaji mung u azid kumuinuia tena
Kweri watu wamungu mnashindwa hatakumuachia gari miakayote arioitumikia kanisa kama asante mungu wambinguni atuhurumie
Yesu amuinulie watu wamnunulie,Yesu hajaishiwa
Kwa umri Ile wanashindwa. Kumpa?
Kweli kabsa Mtumishi wa mungu hizi huduma zinawatesa sana Wtumishi Wa Mungu
Maghembe ametumika kwenu mpaka amekuwa mzee leo mwamnyanganya kilakitu T A G hiyo nilaana
Unafahamu ameondokaje? Unajua ameachana vipi.na viongozi wake?
Awajamnyanganya Bali hizo ni Mali za TAG
Yesu wangu nipe uvumilivu nipe uvumilivu kwa kweli kwa jambo hilo la magembe limenifikilisha sana na bila msaada wa mungu kwa kweli linavunja moyo maana sielewi mtumishi aweje au afanyeje ili awapendeze wakuu yaani aweje magembe ameisaidia dunia sana kutambua sula ya mungu iweje kwa kanisa leo anaonekana kadhalilisha katukana kakasfu wakati uhalisia tunaona tupo hali tete visuluali vya kubana washilika wanatia huluma ukiwaona hutaamini waliwahi kuokoka
Kwakweli Babaangu Mungu akusaidie sana
Jamaniiii mi nafikiri zilizo kuwa Mali zake binafsi alichukua lakini Mali za kanisa aliziacha kwa kanisa,teachable siasa kwenye mambo ya Mungu.
Hakika hii ndo maana huwa namuomba MUNGU anijalie kile kilichomfanya Yesu awe maskini.... Ningemnunulia MZEE MAGEMBE GARI JIPYAAA! Nawaombeni mliojaliwa uwezo please mpeni huyu Baba Tena kimya kimya.
Baba mchungaji mbarikiwa wewe ni mchungaji wakusafisha dunia
Mbarikiwa nakuona kama mtu wa mizozo tena isiyojenga kama huu haujengi bali unabomoa ndio maana nahusika wamekaa kimiya sio kama hawana majibu hao viongozi wako chini ya sheria na kanuni kwanini mbarikiwa unataka kuamini au kuaminisha watu kua viongozi wilioko ni maamuzi hao
Umeongea hoja sana mtumishi wa Mungu. Mimi mchungaji wangu wa TAG. Amenunua uwanja kwa pesa yake. Na ametoa matofali yeye mwenyewe. Maana washirika kipato ni kidogo. Baadae ataambiwa akabidhi vyote😢
@@AshaJuma-s7l Kama hutaki kutoa kwaajili ya Mungu kaa na mali zako kwani unalazimishwa
@@michaelkibiki3309 Kwani Mali zimebaki kwa Mungu au TAG? au TAG ndo Mungu wako?
Yaaani katiba yao ndiyo inasema hivyo. Na serikali ndiyo inakubali huu unyang'anyi maana wachungaji wanaosajili makanisa kwa kukiondoa hicho kipengele cha unyang'anyaji wanakataa kuyasajili. Mojawapo ya kanisa walilokataa kulisajili ni la Mbarikiwa kisa amesema ikiwa mtu atahama kutoka kanisa lake hatachukua chochote kutoka kwa huyo mtu. Wakamkatalia kumsajili.
Kama hutaki mwongozo wa Tag nenda kwingineko
Huo ndio utaratibu wakanisa mtu kama hawezi aanzishe hudama yake ambayo itakuwa Mali yake na familia yake kama zilivyo ministry na kujiunga TAG hajalazimishwa ma dhehebu yapo mengi.
Huyu jamaa naye changamoto, mali ni za kanisa na siyo za mtu hapo ndiyo tunakwama, na mambo ya malimali haya yanafanya wachungaji kuwa na viburi sababu nao ni binadamu. Pia duniani hakuna sehemu salama mpaka ukamwamini binadamu.
Mzee anajua anachokifanya, muacheni afanye kusudi la mwito wake . Mungu atamtokea magembe huko aliko, kama ni mali, Mungu atamrudishia kwa viwango vya kufurikishwa
Hakika ukimsikia Mch Moses Maghembe wewe umeokoka na Mungu anakuona na wanadamu tumejua watakatifu wapo duniani
Ameen, ubarikiwe baba!
Acha uchanga, kaa na Imani Yako. Shule Ina maana sana kwenye maisha. Wachungaji someni shule. Endelea kuongoza kiroho roho tu. Baadae utajua umuhimu wa sheria
Wewe mbarikiwa mda mwingine huereweki ameaga na ameacha sawa
Mali na fedha havikuwahi kudumu kwenye mikono ya mwanadamu lakini Mungu anasimama katika haki siku zote milele hata milele
Haya Maneno aliyoyasema Mch Magembe kuwa Mungu anajua yatawagharimu kabisa
Mubarikiwa kama ww nikiongozi wa watu huwezi kuwa mfano mm binafsi sikuerewe kuwa ww ni Mtumishi au ni mwanasiasa
Mtumishi wa Mungu akubariki sana kwa kazi unayofanya baba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi ya kupingana na watumishi wenzake?
Kwajina la Yesu Mch Magembe Atafanikiwa kwa damu ya mwana kondoo aliye Hai mana mijitu wa tag Ni wanyan'ganyi bwana Msimamie Moses Magembe mana wengi tunazidi kulisikia jina lako kupitia yeye
Taratibu zilizotumika sio zilitumika kwa ajili ya mch magembe bali ni katiba ambayo magembe alisaini au kukubali kufanya kazi chini yake sasa isitafsiriwe kama amedhulumiwa maana hata yeye alijua sio mali yake na pia ana vitu vyake ambavyo kanisa la haliwezi kumuuliza na wala yeye hawezi kuvitoa kanisani hivyo alivyotoa sio vyake na anajua
Hongera sana Mchungaji maana Waswahili wanasema Hasidi hana Sababu!!
Unaufahamu mdogo sana mtumishi usioyajuwa usiangaike nayo...
Umeacha kusudi unapambana na TAG...nakushauri rudi kwenye lengo ambalo Mungu alikuleta nalo duniani..
Mushi ndugu yangu na wewe haujui lolote, magembe anajua anachokifanya na huyu mbarikiwa anasema ule ukweli,
Upo sahihi kabisa.
Wewe mbarikiwa hubiri injili acha kushughulika na Mambo na taratibu za watu wengine. Wewe huna kanuni na taratibu kwa sababu kanisa ni Mali yako. Yeye huyo aliyekabidhiwa siyo Mali yake ni ya kanisa na siku na yeye akiondoka atakabidhi.
Mbarikiwa awezakukabidhi mali za kanisa siku za usoni
Hako kagali ka mzee magembe alikokuwa anatembelea na apekewe haraka, hao washilika wa majumba Sita wamnunulie mchungaji wao gari
Aaaaà wewe unamfundisha magembe vibaya hapo magembe amefanya vizuri alipokuwa majumba sita alimtumikia MUNGU kwahiyo amemwachia MUNGU na watu waliopo hapo
Mim ni mmoja wa watu wanaokufuatilia kwa umakini mkubwa sana!
Ila leo ktk hili uliloongea,nimeanza kukuelewa rasmi Mbarikiwa!
Huu ni uonevu mkubwa kwa huyu mzee,kwsbb hata hao nao wana mapungufu yao..
TUNAUMIA MAGEMBE KUONDOKA T.A.G TUNAMPENDA NA BADO TUTAENDELEA KUMSIKILIZA AKIHUBIRI. TUNAMUHITAJI BADO. KABADILI TU TAASISI ILA BADO MLOKOLE
Lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa kadhalika na lililofunguliwa mamlaka zimewekwa na Mungu ziheshimike
Magembe kapambana sana juhudi zake maono yake ndo yameleta maendeleo hayo. Bodi huwa haileti chochote kwenye makanisa.
Wewe jamaaa ungenyamaza tu ...bado sana akili za uongozi , ingenyamaza itakusaidia
Unaingiliaje mambo yasio kuhusu, wale wanautaratibu wao,waache wenyew wapambane na Hali Yao
Siasa hizi!!!
IACHIE TAG,HAYAKUHUSU
Kanisa bila katiba mbona itakua vurugu mechi we msemaji
KWANZA WEWE KANISA LAKO LINAITWEJE?
Wewe huleleki, ila shida ni shule. Umeshindwa hata kuishi na mzazi, utaweza kuishi na jamii?
Wewe hujasoma theolojia na umejawa na misimamo kuliko fundisho la neno na nani kakupa mamlaka ya kua mkosoaji wa wengine
Waweza kusoma theolojia lakin hamna kitu
Kwahyo nikama anakomolewa,,,,,wamechukua Hadi gari😁
Daaah
Kwahiyo, anayekuja atatumia usafiri gani?
Mzee na mch magembe utabarikiwa utainuli kwa kiwango cha juu watakushangaa endelea kuchapa kazi yamungu kunana matunda mbele
Naomba selikali iingilie kati sakata lamaghembbe na t:a:g kwa katiba ya walonayo nisawa natapeli
Hujui unachoongea
Kwa kweli inamaaña hata kumpa mkono wa kwa heri hakuna miaka yote nibure?
Hiii nimekubali asilimia moa moja yan hii kitu itapeleka wengi san moton kwasababu huwez kula josho la mtu eti tu anahama rejesta yan unakabidhi vitu kama vile unaenda kuacha wokovo na hii inaonyeshe ni kias gan watu hukomoana kwa kuhama rejesta moja kwenda ingine
Ubarikiwe baba
magembe mungu amtumie ila wangemwachia baaz yavitu
Ndugu acha uchonganishi angalia kazi yako acha kujishughulisha na Tag .
Mnapokea Laana, cha kwanza jiulize kwa nini magembe aondoke. Kutengeneza figisu alafu mtu aondoke ili mpate Mali jueni kuwa hukumu IPO mbele
hakuna hukumu watu wengi wanapiga pesa tu sio maghembe Wala mwakipesile Wala pasko kinachosakwa ni
Nikweli kweli kabisa unachosema uko sahihi kabisaa
Mbalikiwa wewe sio mtawala wa makanisa yote kila kanisa na katiba yake magembe anajua katiba yake we ni nani? We ni kibaka kama vibaka wengine hayakuhusu.
Wachungaji sio mashabiki kama wewe
Wewe nani Mungu wa mbinguni akurehemu fanya yako
Wewe acha uongo mchungaji kwa nini unaongea uongo magembe hajanyang'anywa anajua utatatibu ndio sababu akakabithi mbona unafanya tuone utumishi wako ni wa mashaka umelogwa au una uhitaji
Kwa hili sikubaliani na wewe mtumishi wa Mungu, Mchungaji Magembe yuko sahihi kulingana na katiba ana ukomavu wa uongozi na imani na sio mpenda mali isiyokuwa halali kwake, kwa hili hauko sahihi mchungaji
Hilo nalo neno. TAG ijitafakari maisha ya wachungaji nimabaya sana na Mungu inapo fika mahara ana mwinua mchungaji mwisho wake nikama huu.
Unafahamu kwamba wachungaji sasa hadi wanawekewa NSSF?
Kabisaaa 🎉
Mbarikiwa, Tag ni Tag. Tag sio mtu mmoja. Usiwaletee wenzio vitabia vya mtu mmoja mmoja. Tag ni tasisi yenye kujitambua, isiyo mtazama mtu. Magembe anaijua Tag ndo maana anakabidhi kwa moyo mmoja
Kasema kweli
Hata hamjitambuiiiii TAG Rudi kwa Mungu
Hakika umenena Mtumishi Kuna mchungaji wa full Gospel naye anakesi mahalamani kesi kama hii
Kanisa ambalo anondo anaondoka magembe usikeni ushauli wa mchungaji mbalikiwamwakipesile mtakuja mlie
Jasho la mtu haliliwi yahe! MUNGU akutetee Askofu Magembe
Mali ya kanisa
@@bahatimshali2731mali ya kanisa, hakuwepo aliyekesha na kuomba kwa ajili ya kanisa? Huo ni ulafi😢
Mwakipesile mimi ninaswali tu kwako ivi kwenye kikundi chako unachokita kikosi kazi Cha injili nikikosi kazi Cha matusi? Mnamwabudu mungu yupi mbona hamweleweki kwenye kikundi chenu mpo upande upi vijana wako niwahuni wee mwenyewe hueleweki matusi mitandaoni kila itwapo leo pamoja na vijana wako mnamwabudu Mungu gani ?
Siku TAG wakirudi rohoni haya makosa watayajutia sana ila mbinguni hakuna wahuni na matapeli kama hao....
Maskiniii pole Sana Baba yangu
AMINA Mchungaji mbarkiwa
Mchungaji hajakula jasho la magembe yeye NI mtumishi Tu kaitwa kuwahudumia watu na sio Mali pole Sana Kwa kuangalia hayo
Kabla sijamaliza video umezingua pastor Mbarikiwa .....ILO NI KANISA LA MUNGU sio Magembe ....NAKUKUBALI ILA HAPA UMEYUMBA..... unataka kutuaminisha Sadaka zinatotolewa kwaajili ya kazi ya Mungu ni mali ya watu ...??🚫🤯
Kama nivya Mungu basi anaekuja nae nikwajili ya kazi ya Mungu hivo bas hakuna kilicho haribika
Ahaha pastor umeyumba KUMBE VINAKUWA VYENU NA SIO KWAAJILI YA KAZI YA MUNGU...??🤯
WEWE MBARIKIWA ACHA UMBUMBUMBU WAKO KITAASISI CHAKO CHA KINYAKYUSA SI NDIO MAANA HAKINA MUELEKEO? UNATAKA KUTUPA USHAURI WAKO WAKIJINGA TUFELI KAMA WEWE? KILA MCHUNGAJI ANAEJIUNGA T.A.G ANAJUA HILO KUWA HUKU UKIANDIKA MALI KWA JINA LA TAASISI HICHO KITU SIO CHAKO TENA
Watu hawanahuruma
Ndugu zangu akuna mtu aliyemfukuza ila yeye mwenyewe ndio ameondoka kwa hiyo msiwaone viongozi kama watu wabaya kumbuka hii ni taasisi kwa hiyo taasisi inaongozwa kwa sheria na taratibu walizojiwekea ili swala tusilizungumze kwa mihemko wengi atuujui ukweli ila kuna watu walitaka kuingizwa kwenye mtego wa kumfukuza mtu ili waonekane wabaya lakini walishtuka kwa hiyo hayo ndio madhara ya hila
Labda mgemtia moyo akae ukizingatia jasho lake kwenye hiyo taasisi hiyo!!!
Mmemwacha tu aende kana kwamba ndicho mlichokuwa mnangojea!!!
Mngepaswa kumtia moyo
Mahubiri yake ni sawa hayana shida
Yalitaka tu watu kumuelewa
Ukwei kanisa linakwenda sivyo inahitaji kukemewe kwa ukali
Umenena sahihi kabisa, mtu akiamua kuondoka unamuacha tu aende!! Asanteni mmefanya vyema ❤
Magari ni ya jimbo na kanisa la TAG ni sahihi kukabidhi. Mungu atampatia huko aendako❤
Vitu vyote vitapita ila neno la Mungu litasimama.... endeleeni kuipenda dunia "mafisi" in Magembes' voice😂😂
Ameacha mali za kanisa si mali zake binafsi,kwa nilivyoelewa mimi.
Dini na siasa zimevamiwa na majambazi majizi na matapeli.
Nyie watanzania mna matatiso ni kulaumiana na kuhukumiana tu.Tafadhali okokeni.
Itawafaa nn muupate ulimwengu mzima Muikose Mbingu? Mungu atusaidie.
Sisi sio EAGT utaratibu wetu mali zote ni mali ya TAG sio mchungaji kwahiyo magembe mwenyewe anaeliwa vyema ,,acha ujinga mzee hata wewe umemsikia magembe anajua utaratibu wa TAG
Wangetumia hekima wakamwachia hata gari,maana waumini walimnunulia mch magembe .
Hiko kiti /nafasi na yy atatoka sbb ya hila
Mtamkbuka magembe
Mungu si mwabadamu kama tunavyofikiri
Pole mali ya kanisa ni ya kanisa, magembe kaokoka kweli ila mbarikiwa unatafuta fitina tu
Dini siyo salama wachungaji?
Mnatamaa za mdaraka. Na Mali. Kanisa mnawaza magari da!
Wee mjinga sana kwani si pesa za waumini mjinga sana wewe ndoo maana serikali ilikufunga
Sio pesa za washirika si. Sadaka kwa Mungu kwenda kwa mtumishi wa Mungu. Kwani wachungaji wote wanazo hizo Mali na wanawashirika wengi ila cha msingi mzee kaamua kuacha kwa moyo wa kupenda Mungu atambariki mnoooooo ila jasho la mtu limeliwa kikatiba
Acha ushamba hivi utachunga Ng, ombe Asie na Maziwa!!
Watu mnachanyikiwa mbarikiwa anazitamani hizo pesa magembe ameachana na hizo sheria ndiyo maana ameziacha
Hao waaumini uliwatafuta wewe? mbwa wewe! stupid and nonsense.
Wewe elewa watu wanamfuata mtu na siyo jengo.Maghembe amefanya maendeleo makubwa.Ni onyo kwa alieshika kijiti asile jasho la Maghembe
Hizo mali ni za kanisa kwani wahumini ndio waliotoa sadaka kwa kanisa,na kanisa la TAG ni taasisi.Wewe Mbarikiwa ni tapeli kama matapeli wengine.
Umeona hee mali za kanisa
Omba yasikukute.
Sadaka hupewa mtu wa Mungu baada ya mtu kuuona mkono wa Mungu kupitia huyo. Huyo mtu wa Mungu ndiye ambaye aweza kuzifanya mali hizo kuwa za wote au la kutegemea moyo wake. Ila kibiblia ni mali zake na anatakiwa kuzitumia ionavyo roho yake.
Kuna sadaka kwa ajili ya mchungaji lakini kunachangizo za kanisa kwa ajili ya maandeleo ya taasisi
Magembe yupo sahihi kabisa maana zile mali hakununua yeye kwa pesa zake amewaachia walio changa
KWA HIYO HAO WACHUNGAJI wanaopokea Mali HIZO ndio walichanga ? MAGEMBE ameanzisha KAZI kukiwa hakuna Mali yoyote hapo
Ila swala wachungaji wengine wamenyamaza tu. Lakini kwa hili la maghembe,wengi wamejifunza kuhusu Mali,na limewachoma sana sio mchezo. Daah! Kwasababu,kuna vingine yamkini alifadhiliwa na watu na sio waumini, sasa anapokonywa vyote😢. Mhm!
Hakupokonywa alikabidhi yeye mwenyewe kwa hiari yake wala hakunyang'anywa.Yule ni Mtumishi wa Mungu Mkubwa anaelewa utaratibu na katiba ya kanisa lake anajua.Usimsikilize mpotoshaji mbarikiwa
@michaelkibiki3309 katiba imemtaka sio hiyari yake. Wewe si mchungaji wa TAG, na Mimi ni mshirika wa TAG. Ngoja kikurambe ndiyo utaelewa
Napata shida na wewe kiumbe unayejiita Michaelkibiki. Una roho mbaya na roho ya utapeli kwa asili au umeingiziwa na dini. Neno langu ni sheria au katiba ya dini haiko juu ya Biblia. Kibiblia huo ni unyang'anyi. Una roho ngumu kaka! Ila subiri UPANDACHO UTAVUNA
@@michaelkibiki3309 Alikabidhi kwa hiyari wapi?? Asingekabidhi mngemuacha nyie??? Mbona mlianza hata kuimezea mate huduma ya PCC mkitaka nayo aikabidhi. Katiba zenu zimekaa kinyang'anyi halafu mnatuambia amekabidhi kwa hiyari hebu tuache na propaganda zako we jamaa
Kweli kabisa mtumishi wa Mungu,Kuna hali ya unyang'anyi ndani yake! Mimi roho imeniuma sana. Huyu mzee amepambana miaka 50, Angefikiliwa Kwa chochote.@@Mbarikiwa_Mwakipesile
Nilishanga kuona mtu na mkewe eti wanajiita wachungaji kuchekelea kwa madaha huchukua jasho la mtu kwa shelea ya wanada.u utafikili watu walikuwa wanawafulahisha watazamaji si kibiblia aibu siku ya mwisho mtajibu kwenye kiti cha enzi kwa shelia za ki.ungu sio zaki tag mtajibu tu ampenyi hapo
Yesu mpe gari mchungaji Magembe Sina hela Mimi Yesu unazo jamani ungeni group tumchangie Mimi Nina uwezo mdogo sikosi hata kidogo ya kuchangia?
Tunaendelea na mchango, karibu
Sasa mna tufundisha Nini sisi wapagani sasa mbna nikama mnazingua sanaa aisee hakuna Ibada Wala MUNGU KWENU ILA NI UPIGAJI TUUU À
Sasa mchungaji ulitaka kanisa libaki peke yake. Ndo mana amekabizi. Yeye amestafu. Swala la Mari za kanisa ilikuwa nilazima akabuzi rabda kama ulitaka wamuachie
Bora hata wangechukua uwanja na majengo ambayo hayahamishiki, lakini magari na vitu vinavyohamishika mngemwachia aende navyo au bora zaidi mngempa fidia ya fedha kwaajili ya mali zisizohamishika alizoziacha
Kweli kabisa. Bora akaunti na gari wangemwachia. Miaka 50. Ametumika. Daah! Mungu wangu. Hapa Kwakweli hekima kuu sana ya kimungu inahitajika
Viongozi wa T: A :G hukumu iko juu yenu alicho sema maghembe kama kipo ndani yenu
Unajua unachoongea au unasikia kwenye mitandao tu
HUYU MZEE KWELI AMEOKOKA. MUNGU ATAMSAIDIA TU
Barua ya Wazi kwa Kanisa la TAG na Mchungaji Maghembe
th-cam.com/video/aBiqBW3K9y4/w-d-xo.htmlsi=aOwIDMI3jsXsEJeP
TAG sijawahi jua Kama mko hivi Hamna hofu ya Mungu kiasi hiki hamjui kusamehe jamani mkimua chia huyo mzee gari mtakufa? Mnahubiri Nini? Nyie nimeumia machozi yananitoka kweli kabisa
Waache watamjua mungu wakwel kupitia mzee huyo