Mbarikiwa amekufuru? apinga watu kumfuata Mungu/Roho Mtakatifu moja kwa moja, bali wafuate mtu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimekupata na MUNGU akubariki sana.
    Musa Mtumishi wa MUNGU na yoshua mtumishi wa Musa. Yoshua 1:1-3

  • @princepaschal9963
    @princepaschal9963 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, hii ni dawa kamili kutoka mbinguni. Wale waasi ndiyo watakaonuna na kuchukia. Lakini sisi tunaofahamu ukweli unaozungumza tunakuletea na kufurahi.

  • @Moseskabambi-t9y
    @Moseskabambi-t9y 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina baba nmekwelewa sana mzee wangu

  • @JohnLugola
    @JohnLugola 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shukran sana mzee🙏🙏🙏

  • @wokovummilla5034
    @wokovummilla5034 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ameeni baba ubarikiwe nitakuangalia wewe tu, mimi nimeelewa kusudi na lengo /nia yako tukitaka kumpendeza Mungu njia imepita kwa watu wake

  • @michaelkibiki3309
    @michaelkibiki3309 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa Baba mchungaji unaeleweka mimi napenda uendelee kutupa madini hapo tutazidi kumwelewa Mungu ili tuzifuate njia zake kupitia wewe Baba mchungaji

  • @zionembassytv5672
    @zionembassytv5672 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakubaliana na hilo asilimia mia moja mtu mkuu wa Mungu

  • @farajanovath8564
    @farajanovath8564 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naponywa na Mafundisho

  • @ronaldsikaponda3553
    @ronaldsikaponda3553 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hebu ajibu anamfuata nani.Mm namfuata Kristo.

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amejibu kwa kusema; kwa sehemu kubwa wanaosema kuwa namuangalia MUNGU TU,NI KATI YA WATU WENYE VIBURI SANA

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama bado hujamuelewa basi ndani yako kutakuwa kumebunguliwa😂

  • @victorishengoma5724
    @victorishengoma5724 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijawai kuipita clip ya mafundisho yako Mbarikiwa nakuelewa na njia za Mungu naamin znanifungukia

  • @WTC492
    @WTC492 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujumbe ni mzuri sana.
    Samahani kwa swali. Wewe mbarikiwa unamfuata nani Na na sisi tumfuate?

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe bado hujamuelewa,RUDIA KUMSIKILIZA TENA NAWE UTAJUA ANACHOKIFUNDISHA

  • @UtukufuEliya-sy2po
    @UtukufuEliya-sy2po 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @BenjaminMtema
    @BenjaminMtema 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtumishi naomba mawasiliano yako.Nina hoja nawe

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      WhatsApp voice note 0769015164, 0655436603

  • @WTC492
    @WTC492 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujumbe ni mzuri sana.
    Samahani kwa swali. Wewe mbarikiwa unamfuata nani Na na sisi tumfuate?