Fahamu uwezo wa trekta aina ya Kubota L4508

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Ni trekta la kipekee lenye uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote bila kukwama, lina uwezo wa kutokuingiza maji ili kuikinga injini wakati wa kazi katika maji mengi, limetengenezwa kwa ajili ya kilimo cha mpunga na mazao mengine na ina uwezo wa kulima ekari 6 hadi 12 kwa siku kutegemeana na mazingira ya shamba.

ความคิดเห็น • 3

  • @leonardmhongole3262
    @leonardmhongole3262 ปีที่แล้ว

    iko vizuri sana

  • @sigistoamon9532
    @sigistoamon9532 ปีที่แล้ว

    Mashine(tractor) imara inayodumu na kukupa matokeo mazuri Kwa uwekezaji wako. Hatimaye bidhaa Bora kabisa tunaipata hapa nyumbani..

  • @josephkashindi8981
    @josephkashindi8981 3 ปีที่แล้ว +1

    nahii machine nayo beyi shilingi ngapi tafadhali mnijibu