Agricom Africa
Agricom Africa
  • 38
  • 49 907
Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujilenzi Wa Kiwanda Cha Trekta Mkoani Dodoma.
Ujenzi wa kiwanda cha Matrekta nchini Tanzania
Kampuni ya Agricom Africa ltd, inayoongoza kwa uuzaji na usambazaji wa zana za kisasa za kilimo kwa ukanda wa Africa mashariki, katika kutekeleza dhamira yake kuu ya *kutoa suluhisho kamili kwa mkulima,* imeendelea kudumisha na kuimarisha huduma zake kwa wakulima kwa kurahisisha zaidi upatikanaji wa huduma hizo kupitia wataalamu wake na matawi yake yaliyosambaa kila kanda nchini Tanzania, kama ifuatavyo:
Kanda ya mashariki (Eastern zone)
1. Dar es salaam (kamata makao makuu)
2. Morogoro (melela)
3. Morogoro (ifakara)
Kanda ya nyanda za juu kusini (southern highland zone)
1. Mbeya ( IGURUSI )
2. Mbeya (Mlowo)
3. Mbeya (Ubaruku)
kanda ya kati (central zone)
1. Dodoma (KIBAIGWA)
Kanda ya ziwa (Lake zone)
1. KAHAMA
2. Simiyu
Kanda ya magharibi (western zone)
1. SUMBAWANGA
Pamoja na mawakala wake waliosambaa nchi nzima.
*Agricom Africa ltd* kwa kushirikiana na mdau wake *Mahindra Mahindra ltd* imeanz ujenzi wa kiwanda cha kuunganisha matrekta nchini Tanzania, katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muunga wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu hassani aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda hiki, katika sherehe za wakulima nanenane 2024.
Kiwanda kinachotarajiwa kuanza kuunganisha mashine mbalimbali za kilimo hususani Trekta aina ya Swaraj, ambazo limekuwa chaguo bora la wakulima nchini Tanzania na Africa kwa ujumla.
Kwa mahitaji ya zana za kilimo wasiliana nasi kupitia namba 0745350778
มุมมอง: 231

วีดีโอ

Thresher Kutoka Agricom Africa
มุมมอง 4914 วันที่ผ่านมา
Tafiti zinaonyesha kilo 30 hadi 40 katika kila kilo 100 za nafaka hupotea kutokana na upotevu wa mazao baada ya hatua ya mavuno (post harvest loss) Upotevu huu unaweza kudhibitiwa kwa kutumia teknolojia sahihi za uchakataji na uhifadhi wa mazao baada ya mavuno. Jipatie mult-crop thresher(Mashine ya kupiga mazao) yenye uwezo wa kupura, kupiga na kupembua mazao tofautitofauti kama ✅️mpunga ✅️Mahi...
Agricom Africa NaneNane
มุมมอง 4714 วันที่ผ่านมา
Agricom Africa. Kampuni ya kilimo inayoaminika nakukubarika zaidi Nchini Tanzania na ukanda wa Africa ya mashariki kwa ujumla Lengo lake ni kutoa suluhisho kamili katika sekta ya kilimo. Kwa sasa tunatoa huduma za uuzaji wa za kilmo kama vile ✅️Matrekta, ✅️Mashine za kuvunia, ✅️Mashine za kukaushia mazao na ✅️Na zana nyingine mbali mbali kwa matumizi ya kilimo Tumeanzisha matawi kila kanda ya T...
Swaraj Code
มุมมอง 1344 หลายเดือนก่อน
MASHINE YA KUPULIZIA DAWA MAZAO, KULIMA NA KUTIFUA ARDHI, KUPALILIA MAZAO, NA KUBEBA MIZIGO
FIELDKING EQUIPMENT IN TANZANIA
มุมมอง 254ปีที่แล้ว
Kutoka kwa maandalizi ya ardhi mpaka mavuno ya kuvutia, zana unganishi za Fieldking kutoka Agricom Africa ni wenzi wako wa kuaminika! 🚜💪 Jionee nguvu ya kudumu inayolinda mashamba yako, na tuliza akili ukiwa na uhakika wa kupata vipuri halisi kwa urahisi. Safari yako kuelekea mavuno mazuri inaanzia hapa! Tupigie sasa 255 784 796 493 #Agricom #FieldkingEquipments #NaweKilaWakati
FIELDKING PLANTER HD
มุมมอง 93ปีที่แล้ว
Chaguo bora la kupanda mazao yako kwa ufanisi ni PLANTER ya FIELDKING. ✅ Inapanda mistari 13. ✅ Inakupa nafasi ya kutumia mbegu na mbolea kwa wakati mmoja Epukana na upotevu wa mbegu kutumia machine hii Tembelea matawi yetu nchi nzima kupata huduma ya zana za kilimo msimu huu! #NaweKilaWakati
FIELDKING ROTAVATOR
มุมมอง 67ปีที่แล้ว
FIELDKING ROTAVATOR: MKALI WA KUCHABANGA! Tazama video kuona mashine hii na kazi zake zinginezo, usisite kututafuta tukuhudumie msimu huu!
KUBOTA 75HP TRACTOR
มุมมอง 950ปีที่แล้ว
Jivunie Ufanisi wa trekta ya Kubota 75hp yenye horse power 75, yenye uwezo wa kufanya kazi za kilimo kwa ufanisi na kwa haraka zaidi. Tazama video yetu kwa maelezo zaidi na jifunze jinsi Kubota inavyosaidia wakulima kufikia mafanikio makubwa zaidi katika kilimo. #KubotaTraktor #75hp #KilimoBora"
JIFUNZE UTOFAUTI WA SPARE HALISI KUTOKA AGRICOM NA SPARE FEKI.
มุมมอง 256ปีที่แล้ว
Kwenye wiki ya huduma ya wateja, Agricom Africa inawaletea punguzo la hadi 20% la spare halisi ikiambatana na elimu ya kutofautisha kati ya spare halisi na spare feki.
Agricom NaneNane 2023 Mbeya
มุมมอง 219ปีที่แล้ว
Matukio mbalimbali yaliyojiri katika maonyesho ya 15 ya kilimo ya NaneNane 2023 yaliyofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.
KUBOTA COMBINE HARVESTER DC70H
มุมมอง 597ปีที่แล้ว
Agricom tupo kwa aili yako mkulima! KUBOTA Combine Harvester DC70H dio yenyewe katika kipindi cha kuvuna. Tupigie kupitia 0745350778 au tembelea tawi letu la karibu yako kupata huduma zaidi. #ShambaPesa #TabasamuShambaniTabasamuSokoni
Mashine ya Kuvunia Mpunga (Combine Harvester) ya KUBOTA kutoka Agricom Africa Ltd Ikielezewa.
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
Kutana na mashine ya kisasa ya kuvunia mpunga (combine harvester) aina ya KUBOTA kutoka katika kampuni ya Agricom Africa. Ili kuendana na kilimo cha kisasa chenye tija, matumizi ya zana za kisasa za kilimo hayaepukiki. Tizama kwa ufupi uelewe ni faida gani utazipata kwa kutumia mashine hii tofauti na kilimo cha jadi wananchi wengi walichokizoea.
Mtaja WA Agricom Africa Kibaigwa
มุมมอง 4023 ปีที่แล้ว
Mtaja WA Agricom Africa Kibaigwa
16 November 2021
มุมมอง 1433 ปีที่แล้ว
16 November 2021
Agricom Africa na CRDB Bank wawawezesha Wakulima Mbarali
มุมมอง 1223 ปีที่แล้ว
Agricom Africa na CRDB Bank wawawezesha Wakulima Mbarali
Mteja akielezea trekta aina Swaraj kutoka Agricom Africa
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
Mteja akielezea trekta aina Swaraj kutoka Agricom Africa
Kubota tractor 75HP
มุมมอง 6373 ปีที่แล้ว
Kubota tractor 75HP
Mteja akielezea trekta aina Swaraj
มุมมอง 5K3 ปีที่แล้ว
Mteja akielezea trekta aina Swaraj
Agricom Africa na TADB kuwanufaisha Wakulima
มุมมอง 623 ปีที่แล้ว
Agricom Africa na TADB kuwanufaisha Wakulima
Mkulima wa mpunga usisubiri hadi msimu wa kuvuna ukufikie. Mashine ya Kubota DC 70 G
มุมมอง 1903 ปีที่แล้ว
Mkulima wa mpunga usisubiri hadi msimu wa kuvuna ukufikie. Mashine ya Kubota DC 70 G
Siku Ya Lugha Mama Duniani
มุมมอง 213 ปีที่แล้ว
Siku Ya Lugha Mama Duniani
Mwaka mpya mambo mapya Mkulima wa mpunga, mahindi na mboga mboja karibu Agricom
มุมมอง 1K4 ปีที่แล้ว
Mwaka mpya mambo mapya Mkulima wa mpunga, mahindi na mboga mboja karibu Agricom
Fahamu uwezo wa trekta aina ya Kubota L4508
มุมมอง 1.9K4 ปีที่แล้ว
Fahamu uwezo wa trekta aina ya Kubota L4508
Mkulima jipatie power tiller kwa ajili ya msimu wa maandalizi ya shamba
มุมมอง 1.8K4 ปีที่แล้ว
Mkulima jipatie power tiller kwa ajili ya msimu wa maandalizi ya shamba
Fahamu reversible mould board plough inavyotumika kwa ajili ya kulima
มุมมอง 804 ปีที่แล้ว
Fahamu reversible mould board plough inavyotumika kwa ajili ya kulima
MKULIMA USIPITWE NA OFA HII YA NANENANE KUTOKA AGRICOM AFRICA LTD
มุมมอง 19K4 ปีที่แล้ว
MKULIMA USIPITWE NA OFA HII YA NANENANE KUTOKA AGRICOM AFRICA LTD
Mashine za Kuvunia Mpunga za Kubota Kutoka Agricom
มุมมอง 2.7K5 ปีที่แล้ว
Mashine za Kuvunia Mpunga za Kubota Kutoka Agricom
Agricom Africa
มุมมอง 4376 ปีที่แล้ว
Agricom Africa

ความคิดเห็น

  • @am2323tze
    @am2323tze 4 หลายเดือนก่อน

    Kifaa kizuri lakini bado hamjaweza kuhudumia mimea. Shamba ni. Chafu

  • @benestersindagulu7569
    @benestersindagulu7569 5 หลายเดือนก่อน

    Hii mashine ya Kubota ya kuvunia mpunga inauzwa wapi na ni Bei gani

  • @Vicentsalumshelia
    @Vicentsalumshelia 6 หลายเดือนก่อน

    Nipateje? Nitajieni hp trekita swalaji na bei zake

  • @racinebenaya-vm1uo
    @racinebenaya-vm1uo 7 หลายเดือนก่อน

    Bei yake ngapi?

  • @avax5717
    @avax5717 11 หลายเดือนก่อน

    Tarehe ngapi?

  • @dkalhajijbmatatala9392
    @dkalhajijbmatatala9392 ปีที่แล้ว

    Mnada Upo Wapi ???

  • @JacobErnest-vk7me
    @JacobErnest-vk7me ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @JacobErnest-vk7me
    @JacobErnest-vk7me ปีที่แล้ว

    Hizi combane bei gani

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 ปีที่แล้ว

    Mnauza pia mashine ndogo za kulimia

  • @SimfolianKikoti
    @SimfolianKikoti ปีที่แล้ว

    Bei

  • @leonardmhongole3262
    @leonardmhongole3262 ปีที่แล้ว

    iko vizuri sana

  • @hamisimichael6909
    @hamisimichael6909 ปีที่แล้ว

    Dada naomba mamba unisaidie muongozo

  • @ShabanRamadhan-xe6wm
    @ShabanRamadhan-xe6wm ปีที่แล้ว

    bei ngan

  • @eliabgitti9716
    @eliabgitti9716 ปีที่แล้ว

    Bei zake ngapi!?

  • @fredrickchisanyo6663
    @fredrickchisanyo6663 2 ปีที่แล้ว

    Nawezaje kupata mkopo wa power tiller ikiwa ni mkulima mdogo kutoka mtwara

    • @agricomafrica6882
      @agricomafrica6882 ปีที่แล้ว

      wasiliana na afisa mauzo wetu naye atakuhudumia 0656227522

  • @sigistoamon9532
    @sigistoamon9532 2 ปีที่แล้ว

    Mashine(tractor) imara inayodumu na kukupa matokeo mazuri Kwa uwekezaji wako. Hatimaye bidhaa Bora kabisa tunaipata hapa nyumbani..

  • @mrboss3874
    @mrboss3874 2 ปีที่แล้ว

    Mbona spare hakuna

    • @maryluhaga1589
      @maryluhaga1589 ปีที่แล้ว

      Naitaji jamani

    • @agricomafrica6882
      @agricomafrica6882 ปีที่แล้ว

      0746163885 wasiliana na afisa mauzo wetu atakuhudumia, karibu

  • @appleiphone3226
    @appleiphone3226 2 ปีที่แล้ว

    I am also an employee at swaraj division

  • @jumacharles5678
    @jumacharles5678 2 ปีที่แล้ว

    Munauzaje

  • @annasaiabdallah3495
    @annasaiabdallah3495 3 ปีที่แล้ว

    Hallloww habar

  • @pauldeusmsona7579
    @pauldeusmsona7579 3 ปีที่แล้ว

    Mnazingua mno nyie agricom mnauza trector spear hamleti au mnataka matrector tupaki sasa

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 3 ปีที่แล้ว

    Huwa natamani niwe mkulima wakisasa Sasa bei ya vifaa inanichanganyaga kabisa mnanisaidiaje?

  • @latadotto8923
    @latadotto8923 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hapa dar mko sehem gani

  • @hsmktdigital2516
    @hsmktdigital2516 3 ปีที่แล้ว

    Inquirveu😍😘😙😙😘😍😘😙😛😎😎😎😚

  • @jennyjane8164
    @jennyjane8164 3 ปีที่แล้ว

    which country are you from?want contact you .

  • @josephkashindi8981
    @josephkashindi8981 4 ปีที่แล้ว

    nahii machine nayo beyi shilingi ngapi tafadhali mnijibu

  • @josephkashindi8981
    @josephkashindi8981 4 ปีที่แล้ว

    tafadhali mimi nimkulima toka drc fizi nata mould plough nibeyi shilingi ngapi

  • @MalaikaKimomwe
    @MalaikaKimomwe 4 ปีที่แล้ว

    Bei zenu mnauzaje? Na ofisi ziko wapi?

  • @sigistoamon9532
    @sigistoamon9532 4 ปีที่แล้ว

    Wakulima wa Tanzania mmepata Mkombozi wa uhakika katika kuongeza ufanisi wa shughuli za kilimo. Msiache kuitumia nafasi hii adhimu. Fanikiwa na Agricom kwa vifaa vya kilimo Aina zote!

  • @shyafrica493
    @shyafrica493 4 ปีที่แล้ว

    Agricom Africa...Really a fully dedicated company to upgrade Tanzania Farmers life through farm mechanisation...👍✨

  • @gideonburton467
    @gideonburton467 5 ปีที่แล้ว

    shingapi kubota DC 70G