❤ Amina...! Amina, Ee mwenyenzi Mungu pokea sala ya mtumishi wako baba Askofu Lobulu na mafundisho haya adhimu aliyotupatia yakae ndani yetu na yazae matunda mema. Naye mjubilei wetu na mchungaji mkuu wa kundi Lako alilokabidhiwa libaki kumpa ushirikiano na upendo aufurahie utume wake hata uzima wa milele. Amina
NIMEFURAHI SANA KULIKO SIKU ZOTE NILIZIWAHI KUISHI KWA MAHUBIRI MAZURI. Kiukweli nashindwa niendelee VIPI kusema mnielewe...nimefurahi...ILIKUWA TU nipo ofisini ROHO tu akanisukuma kufunga TBC...Nikakutana na kipindi kikirushwa..BABA ASKOFU, NIMEPATA MOYO KUENDELEA KUMPENDA MUNGU NA KRISTO YESU.❤❤❤❤❤❤❤❤
Hakika ni Mungu anazungumza na watu, na wanajubilei mababa na hata wanafamilia wote. Mungu awabariki sana, awajaze zaidi furaha, amani na upendo wa Kristo Yesu. Atukuzwe Mungu.
Babu yangu Mhashamu Askofu msaafu M/Mungu akutunze uendelee kutulea ktk imani iliyo timilifu,M/Mungu aendelee kukutunza milele
Tumshikuru Mungu Kwa Homilia hii takatifu kutoka Kwa Mtumishi wake Mhashamu Askofu Lebulu
❤ Amina...! Amina, Ee mwenyenzi Mungu pokea sala ya mtumishi wako baba Askofu Lobulu na mafundisho haya adhimu aliyotupatia yakae ndani yetu na yazae matunda mema. Naye mjubilei wetu na mchungaji mkuu wa kundi Lako alilokabidhiwa libaki kumpa ushirikiano na upendo aufurahie utume wake hata uzima wa milele. Amina
Baba Lebulu Mungu aendelee kukutunza maana Roho Mtakatifu anaongea nawewe kama ulivyoomba mwanzo!
NIMEFURAHI SANA KULIKO SIKU ZOTE NILIZIWAHI KUISHI KWA MAHUBIRI MAZURI. Kiukweli nashindwa niendelee VIPI kusema mnielewe...nimefurahi...ILIKUWA TU nipo ofisini ROHO tu akanisukuma kufunga TBC...Nikakutana na kipindi kikirushwa..BABA ASKOFU, NIMEPATA MOYO KUENDELEA KUMPENDA MUNGU NA KRISTO YESU.❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu ampe maisha marefu zaid maana maubiri yake yananigusa
sana
Tunaendelea kumshukuru Mungu kwa zawadi ya huyu Baba
Hakika ni Mungu anazungumza na watu, na wanajubilei mababa na hata wanafamilia wote. Mungu awabariki sana, awajaze zaidi furaha, amani na upendo wa Kristo Yesu. Atukuzwe Mungu.
Mungu akutunze baba Lagweni,big up babu Lebulu
Mungu akutunze daima, unabariki wengi sn baba❤
Mungu akuweke sana Mahubiri yako siku zote ni mazuri una karama ya tofauti sana Baba Lebulu
Huyu askofu uwa ananibariki sana,Mungu aendelee kumtumia,amina
Tunakutakia maisha marefu
Ninampenda sana huyu askofu... pamoja na kwamba mimi si wa imani yake (RC). Yuko tofauti sana katika mahubiri yake.
4:29
6:41
Sanaaaaa
Hahubiri kama anatoa hotuba, anahubiri neno la Mungu kwelikweli akiongozwa na roho mtakatifu plus vionjo vyake. Unapata hamu ya kuendelea kumsikiliza.
Alikwisha staafu muda mrefu kadha lakini bado Ana nguvu. Ahsante Mungu kwa zawadi yako hii.
Tusikate tamaa enyi watu wa Mungu kama tulivyokumbushwa na baba askofu
Baba Mungu akupe Maisha marefu Baba askofu wa mbulu.
Best homily!
Mungu akupe miaka mingi sana uendelee kuitenda kazi yake
Aminaaa sanaaa
Amina. Mungu amjalie Afya njema Askofu Lebulu.
Baraka nyingi kwako pia baba.
Babu yetu Askofu wetu mstafu was Jimbo letu la Arusha Mungu aendelee lulupa kukulinda na kukupa nguvu mdo 1:8
MUNGU akubariki mtumshi wa ke
Asante sana baba askofu nami pia nimepokea hiyo Baraka pamoja na kushindwa kufika jimboni mwetu....Asante Asante kwa maombi na Baraka ...
Chuma hicho askofu mkuu mstaafu Josephat Lebulu.
Ni aibu Kwa waandishi kukosea Jina lá baba askofu. Sio leburu Bali lebulu