RAIS SAMIA KUONGOZA MKUTANO MAWAZIRI ZAIDI YA 70 / UVUVI, BAHARI NA MAJI KUHUSIKA/ MIKAKATI YATAJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza Mawaziri zaidi ya 70 kutoka mataifa wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) kujadili masuala mbalimbali ya uchumi wa buluu ili kuweka mkakati wa pamoja kuimarisha sekta ya uvuvi kwa Mawaziri wa Uvuvi, Bahari,na Maji ya Ndani kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki utakaofanyika jijini Dar es Salaam Septemba 9-13, 2024.
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News

ความคิดเห็น •