Innalillah wa innaillah rajiuun Allah akupe kauri thabit na akusamehe na adhabu ya kabri mama etu mpendwa Kiukweli naishiwa maneno mazuri yakusema zaidi ya kusema utaendelea kuish moyoni mwangu milele mama kibiki kwani nafasi yako hakuna na atakuwapo wakufanana nawe Mama mama mama nenda kapumzike pole na maumivu mama yetu Kila nafsi itaonja umauti mama angu ila twalia mazoea umetulea vyema mama angu Alhamdulillah
Innalillah wa innaillah rajiuun Allah akupe kauri thabit na akusamehe na adhabu ya kabri mama etu mpendwa
Kiukweli naishiwa maneno mazuri yakusema zaidi ya kusema utaendelea kuish moyoni mwangu milele mama kibiki kwani nafasi yako hakuna na atakuwapo wakufanana nawe
Mama mama mama nenda kapumzike pole na maumivu mama yetu
Kila nafsi itaonja umauti mama angu ila twalia mazoea umetulea vyema mama angu
Alhamdulillah
Mama umeniuma Sana nikweli umeondoka???