MBOWE APIGILIA MSUMARI WA MWISHO ATUMA BARUA YA WAZI WANANCHI WAKUBALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 4 วันที่ผ่านมา +25

    CHADEMA MKISHINDWA KUFANIKISHA MAANDAMANO HAYO BASI MTAKUWA HAMNA SIFA YA KUIONGOZA HII NCHI

    • @MpKarmanda
      @MpKarmanda 3 วันที่ผ่านมา +2

      BOBU YATAKAYOTOKEA TANZANIA ITAKUWA MFANO KWA AFRIKA NZIMA. HAWA MACHOKO WA CCM WANADHANI TUNAPIGA KELELE ALAFU TUKALALE KAMA WALIVYOZOEA. SIO AWAMU HII😢

    • @robertmhikwa8174
      @robertmhikwa8174 3 วันที่ผ่านมา

      pamoja ​brother @@MpKarmanda

  • @MpKarmanda
    @MpKarmanda 3 วันที่ผ่านมา +6

    CCM SAIVI MNAJAMBA JAMBA TU HUKO MAOFISINI KWENU. WAKATI WENU UMEKWISHA SASA TUONE NGUVU YA VIPOLISI NJAA WENU NA WANANCHI IPI KUBWA 😢 MMESHINDWA KUJIFUNZA YALIYOTOKEA NCHI JIRANI MMESUBIRI MPAKA YATOKEE NA YATATOKEA.

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 3 วันที่ผ่านมา +5

    Kapigwa lisu risas wafuwasi wamelala

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 3 วันที่ผ่านมา +5

    Jeshi la polisi litatulinda trh 23/9/24. Siku ya maandamano!!
    Polisi msiposhiriki tutajua ndio watekaji na wauuaji!
    Ili mtudhilihirishie nyie police njooni mtusimamie ktk maandamano yetu maana hiyo ndio nuia pekee ya nyie polisi kukataa kuwa ndio watekaji na wauaji!!

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t 3 วันที่ผ่านมา +5

    Maandamano yako pale pale waje watuue na wao wajiandae kufa tumechoka na wauaji hawa wanaosaidiwa na polisi wa CCM kufa ni Sehemu ya maisha tusipoandamana tutakufa tukiandamana tutakufa hivyo tutaandamana tunajua utesaji wenu umefika mwisho acheni ujinga jiandaemi tu kutuua.mtakufa ninyi.

    • @MpKarmanda
      @MpKarmanda 3 วันที่ผ่านมา +1

      POLISI WENYEWE WANAJAMBA JAMBA TU MPAKA SASA. HAWAJUI ITAKUWAJE 😂 YAANI WANAISHI KWA KODI ZETU ALAFU BADO WAJE WATUUE, HAWA WAMETUZOEA VIBAYA. MIAKA 60 INATOSHA WACHA TUANDIKE HISTORIA.

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 วันที่ผ่านมา +9

    Serikali inafanya mambo ya hovyo sana!

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 3 วันที่ผ่านมา +2

      Sana Utafikiri nchi haina viongozi

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mpk kieleweke , kurudi nyuma mwiko.

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 3 วันที่ผ่านมา +14

    Jeshi la polisi ACHENI woga wajibikeni kuwalinda raia na Mali zao nyakati za MAANDAMANO na sio kuingilia na kuikandamiza KATIBA
    NI HAKI YA RAIA KUPAZA SAUTI ZAO KWA NJIA YA MAANDAMANO NA NYNY MNALAZIMIKA KUSINDIKIZA KWA AMANI MAANDAMANO YO YOTE YA CHAMA CHO CHOTE
    MSITOWE TATHMINI NA KUHARAMISHA MAANDAMANO KABLA HAYAJAFANYOKA

  • @user-cz5sd6ys8i
    @user-cz5sd6ys8i 3 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu akutie nguvu mh mbowe

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 3 วันที่ผ่านมา +5

    Unaweza kuona hizi kauli ni za uchochezi pale ambapo ndg yako, rafiki yako au mke/mume wako hajakutana na kisanga cha kutekwa/kuteswa mpaka kufa

  • @JordanMpande
    @JordanMpande 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi polisi wanatumia katba Gani?? .Hajasema kifungu kinacho zuia hayo maandano?.

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 3 วันที่ผ่านมา +6

    maandamano ni haki Yao kikatiba hivyo jeshi la polisi halina budi kuweka ulinzi watu wapate haki Yao ya kikatiba!

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hawayatambui Kwa sababu gani za misingi!Polisi wayafuteni waliotekwa na siyo kuzuia maandamano ambayo yapo kisheria.

  • @africonexion
    @africonexion 3 วันที่ผ่านมา +5

    Msemaji wa polisi anasema eti maandamano haya ni kinyume cha sheria. Sheria ipi? Tamko la polisi ndio sheria? Polisi wametoa tamko linalokiuka katiba ya Tanzania. Tamko la polisi dhidi ya maandamano ya amani linakiuka tangazo la kimataifa la haki za binadamu. Jeshi la polisi linataka kuleta vurugu, na inabidi dunia ifahamishwe hilo.

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 3 วันที่ผ่านมา +1

      Polisi wengi hawajui hata katiba ya nchi..wanachojua ni uchawa na kutumika hovyo..Yaani ni bure kabisa…

    • @MpKarmanda
      @MpKarmanda 3 วันที่ผ่านมา +1

      JESHI LA POLISI NDIO WAKUANZA NAO KWASABABU BADALA YA KULINDA RAIA WANALINDA MASLAHI YA CCM HIVYO BAS TUNAISHI NAO MTAANI TUNAWAJUA WATOTO WAO WAKE ZAO, TUTAANZA NAO ILI TULIE KWA PAMOJA. LABDA WABEBE FAMILIA ZAO WAENDE NAZO MAKAZINI.

  • @Mkazially
    @Mkazially 3 วันที่ผ่านมา +2

    Polisi kazi yenu ni k❤utoa ulinzi Sio kupiga marufuku maandamano mnakazidisha jazba bure pasipo sababu

  • @justineronard7747
    @justineronard7747 3 วันที่ผ่านมา +2

    Maandamano lazima yawepo, maana yapo Kwa mujibu wa sheria na siyo Kwa Kwa mujibu wa Police wala kiongozi yoyote wa Taifa hili.

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 3 วันที่ผ่านมา +2

    NAUNGANA NA CHADEMA KWENYE MASLAHI MAPANA YA TAIFA KUTETEA UHAI NA KUPINGA MAUJI YA BINADAMU HILI NI JAMBO LETU SISI WOTE..

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hii imefik mwsho tumechok watz na so ishu ya chadem pekee hii n ya nchi nzim tunatk haki zetu

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 วันที่ผ่านมา +2

    Miaka 63 ya UHURU NA KARNE YA 21 BADO SERIKALI YA CCM INONGOZA NCHI KISHAMBA SHAMBA!!!(BILA KUFUATA SHERIA DOUBLE STANDAD WENGINE WAKO JUU YA SHERIA)!!! WAKATI DUNIANI DEMOKRASIA INATAMALAKI LAKINI TANZANIA UFISADI UNADIDIMIZA DEMOKRASIA. NI AIBU.

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 3 วันที่ผ่านมา +2

    Naiwe hvyo mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe🤔🤔

  • @FadhilMkulu
    @FadhilMkulu 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna kuludi nyuma tarehe 23 ndo tutajua mbivu na mbichi

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenye macho haambiwi njoo ule, ukibanwa na mavi huchagui choo

  • @jamilamuhammedtanzanian8129
    @jamilamuhammedtanzanian8129 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kuandamani ni haki ya mtanzania

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 3 วันที่ผ่านมา +1

    Bila KATIBA MPYA mzee wangu mtakuwa mnalala mika tu kila siku na hakuna msaada!!

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ndugu mtangazaji unaongea sana

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 3 วันที่ผ่านมา +3

    Tanganyika woga sirahisi kuingia Road tukodini siai wazanzibar tuje kukianzisha

  • @MpKarmanda
    @MpKarmanda 3 วันที่ผ่านมา +2

    TULIOMBA KATIBA MPYA KWA HAKI NA KWA AMANI KABISA WAMEGOMA NA BADALA YAKE WANAUA NDUGU ZETU, TUNAWAHOJI MASWALI JUU YA HAYA YANAYOENDELEA WANAJIBU KWA NYODO NA KWADHARAU, HII MAANA YAKE WANAJIAMINI HATUNA LAKUWAFANYA. SASA IMEFIKA MWISHO NI ZAMU YAO KUANGUA VILIO VYA DAMU. KAMA UNAFAHAMU NYUMBA YEYOTE YA KIGOGO WA CCM, MAHAKAMA, POLISI, USALAMA WA TAIFA, KADA YEYOTE WA CCM KUANZIA NGAZI YA CHINI KABISA HAWASTAHIKI KUBAKI DUNIANI. TUMELIA VYA KUTOSHA SASA NI ZAMU YAO.

    • @ElishaOisso
      @ElishaOisso 3 วันที่ผ่านมา +1

      Acha izo wewe ,watu wana akili kuliko hayo mawazo yako yakuchora watu.

  • @karebukaminyoge
    @karebukaminyoge 3 วันที่ผ่านมา +1

    Siku mbili kabla mtakamatwaaaa acheni kupangaaa hayooo

  • @karebukaminyoge
    @karebukaminyoge 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kabla ya siku hiyo mtakuwa mmewekwa ndani wote na wafuasi wenu watatawanyikaaa

  • @DenisRugaiganisa
    @DenisRugaiganisa 3 วันที่ผ่านมา +1

    ✌️✌️✌️✌️✌️

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 วันที่ผ่านมา +2

    Freeman wewe ni one of the most intelligent Opposition leader in Africa thats the work of opposition na MBOWE UKO SAHIHI

    • @mussamussa9446
      @mussamussa9446 3 วันที่ผ่านมา

      intelligent kwa lipi?

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 4 วันที่ผ่านมา +3

    Kwanini wanazuia maandamano ya chadema? Watoe mateka wote waliotekwa na polisi wanaofanya maovu wawekwe hadharani. Uhai wa watu siyo kitu cha mchezo. Polisi mnatuhumiwa ninyi na viongozi wa juu nchini. Achieni maandamano Rais na waziri mkuu wawasikilize waandamanaji.

    • @FestoMkemwa-k9f
      @FestoMkemwa-k9f 3 วันที่ผ่านมา

      Misiime au IGP wanazuiaje maandamano kaba hata Ma-OCD wa maeneo husika hawajapata barua rasmi za TAARIFA za uwepo wa maandamano?

  • @norahfrank
    @norahfrank 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mnapifuta mnazuia wananchi kutopaaza sauti zao dhidi ya mauaji na watekaji. Police nyie ndiyo mnaoharibu nchi hii na kumwaribia Rais naviongozi wote walio madarakani

  • @IsmailLoi
    @IsmailLoi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kamanda hakuna kuogopa nchi nyingi wamekomaa kwa kuandamana Bora wapunguze mabomu stoo

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 3 วันที่ผ่านมา +1

    Chama kinaangaika bila vision

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 วันที่ผ่านมา +1

    KWANINI HAWAYATAMBUI WAO POLISI INAWAHUSU NINI

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 3 วันที่ผ่านมา +1

    LAzima tuende maandamano watekaji wasipopatikana

  • @Asajilemwanjala
    @Asajilemwanjala 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi na uhai bora nini?

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 3 วันที่ผ่านมา +1

    Haki ni msingi wa amani

  • @jescageorge-fv8yt
    @jescageorge-fv8yt 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tupo pamoja makamanda

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wamechoka na uonevu uliopindukia pamoja na mauaji ya watu wasio na hatia

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 3 วันที่ผ่านมา

    Maandamano ni ya muhimn na haki kwa watanzani pia natumaini kuwa yatakuwa ya haki na amani.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 3 วันที่ผ่านมา

    TUNAOMBA POLISI WAWE WA MBELE KONGOZA AMANI YA MAANDAMANO. NAJUA CHADEMA NI CHAMA CHAWAXEE WENYE HEKIMA NA BUSARA.

  • @LoisGrant-m2s
    @LoisGrant-m2s 2 วันที่ผ่านมา

    Jackson Brian Garcia Mary Miller Eric

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 วันที่ผ่านมา

    Mbowe Must go.

    • @georgesteven5185
      @georgesteven5185 3 วันที่ผ่านมา +2

      Cheki zoba hili nalo

    • @johngibson3089
      @johngibson3089 3 วันที่ผ่านมา +2

      Go where? For what???

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 3 วันที่ผ่านมา +1

      Asante chawa must go 👏🏼👏🏼👏🏼😮😮😮😮😮

    • @FatumaSaid-t4r
      @FatumaSaid-t4r 3 วันที่ผ่านมา +1

      Sisi tunalia. wew unakebehi.Acha hizo,hata paka wa jiran akipotea utahudhunika.

    • @FestoMkemwa-k9f
      @FestoMkemwa-k9f 3 วันที่ผ่านมา +1

      Eti "Mbowe must go...😂.Aende wapi? Wewe Mrundi ndiye unayetakiwa kurudi Burundi. Unafikiri hatukijui? 😎Bangladeshi

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂wacha maigizo badilika mwenyezi mungu apendi viroja na viongozi wasiyo waadilifu achia uongozi wa chadema washike wengine umeshindwa umebaki kutusi na maigizo we na mboe mnatakana jeshi liwakamate msaidie upelelez juu mnaatalisha amani ya inch

    • @EliyaPaulo-uf6hh
      @EliyaPaulo-uf6hh 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe Ibrahim hata uchawa hukufai ww kunguni kabisa mpuuuzi wee

    • @erestizacharia4758
      @erestizacharia4758 3 วันที่ผ่านมา

      Mamako af achukue Ile nafasi ya mweshiwa mboye au, huna hata ubinadamu wewe.

    • @ibrahimjuma9709
      @ibrahimjuma9709 3 วันที่ผ่านมา

      @@EliyaPaulo-uf6hh Asante kwa matusi unijui unanitusi pole sana ujinga wako usikuingize kwenye bendera fata upepo

    • @ibrahimjuma9709
      @ibrahimjuma9709 3 วันที่ผ่านมา

      @@erestizacharia4758 shida yako nini mwanaharamuwewe unauchungu mama yako alikwambia tz ni mali ya baba yako shika adabu yk

  • @user-zp3ki3cm8n
    @user-zp3ki3cm8n 3 วันที่ผ่านมา

    Hao Scotland Yard mbowe mbona ni manyan'gau tu hatuna iman nao kwanini usitafute hata kikosi cha Urusi.

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 วันที่ผ่านมา

    ilitakiwa chadema wacheze mchezo wa ccm ,

  • @RAPHAELMASUKAMasuka
    @RAPHAELMASUKAMasuka 3 วันที่ผ่านมา

    Chedema juzjuz Mmechapwa na polis Mbea. Mkatoka na malalamiko nyote viongozi. Leo mnataka kuvunja shelia tena. Yetu macho.

    • @alexkatabi2951
      @alexkatabi2951 3 วันที่ผ่านมา

      Funga mdomo wako

    • @alexkatabi2951
      @alexkatabi2951 3 วันที่ผ่านมา

      Wacha waelewa watanzue matatizo yao

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 วันที่ผ่านมา

    chadema bado haina ushawishi kwa wananchi

  • @MkusaMfaume
    @MkusaMfaume 3 วันที่ผ่านมา

    Utaumiza vijana wetu nawewe utakimbia Unatoa Amri kama nani?

  • @NasraAlMarjabi
    @NasraAlMarjabi 3 วันที่ผ่านมา

    Acheni Ufisadi Chadema Chauwa Watu

    • @FadhilMkulu
      @FadhilMkulu 3 วันที่ผ่านมา

      Ufisadi gani ambao wanao ufanya chadema, unaongea bila aibu au ni serikali yako na viongozi wako ndo waache ufisadi

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 3 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye scotiland yard sipo na ww

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 3 วันที่ผ่านมา

    NDUGU MWANDISHI, VIDEO HAIENDANI NA MAELEZO YAKO.

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 3 วันที่ผ่านมา

    Nazi haishindani na jiwe

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 วันที่ผ่านมา +1

    ILA AWAM HII WAKIWAPIGA MPAMBANE NA HALI ZENU MSIJE TENA KUTUPIGIA MAKELELE MAKE MTAKUWA MMEYATAKA JESHI LETU LAZIMA LIHESHIMIWE MUACHE KUJIFANYA KWAMBA NYIE N WATU SPECIAL TUMIEN NJIA NYINGINE KUDAI HAKI

    • @noelmwalwange
      @noelmwalwange 3 วันที่ผ่านมา

      Mfano njia ipi? Kama sio uoga au uchawa

    • @RichardKilepo-xj1sy
      @RichardKilepo-xj1sy 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hana jipya mbowe

    • @NikasiMbuya
      @NikasiMbuya 3 วันที่ผ่านมา

      We ni mbumbumbu

    • @MathiasiGregory
      @MathiasiGregory 3 วันที่ผ่านมา

      Kama hauna cha kucoment kaa kimya hii nchi haina amani kabisa polisi wanahusika kuteka watu na kuwaua kwa kushirikiana na chama kinachojiita CCM

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 3 วันที่ผ่านมา

      Inaonekana huyu kwenye genge la watekaji anahusika.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 วันที่ผ่านมา

    Subwenke watanzania wanaakili saana ataamdamana peke yake

    • @MpKarmanda
      @MpKarmanda 3 วันที่ผ่านมา +1

      MIMI SINA AKILI NA NITAANDAMANA CHOKO WAKIJANI WEWE!