FIDEL CASTRO,binadamu alieshindikana KUUWAWA na MAREKANI mara MIA SITA katika maisha yake.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 44

  • @manyakigeorge9221
    @manyakigeorge9221 4 ปีที่แล้ว +8

    Kazi nzuri Sana lakini Castro siyo wa kumuelezea kwa dakika 10...jitahd ku extend mda uwe mkubwa sisi washabiki tuko nyuma yenu!kazi nzuri Justine

  • @davidntwale4028
    @davidntwale4028 4 ปีที่แล้ว +5

    Story nzuri sana lakini imeishia hewani , ilitakiwa utueleze scenario nyingi zaidi na kisha kifo chake kilikuwaje.Kazi nzuri kaka

  • @timilaishemalamba3058
    @timilaishemalamba3058 4 ปีที่แล้ว +3

    Ebu Fanya kama watuletea historia ya Joseph kony kiongozi WA LRA

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 4 ปีที่แล้ว +8

    Kama hutojali tuletee story ya FAMILIA ZA MFALME WA DUBAI

    • @ctbtanzaniavlog
      @ctbtanzaniavlog 4 ปีที่แล้ว

      Subcribes my channel my dear ujione Tanzania yako

  • @lameckdjuma6864
    @lameckdjuma6864 3 ปีที่แล้ว +2

    God is protectar

  • @claudejauzairakoze44
    @claudejauzairakoze44 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kunijuza , thanks Mr Justin

  • @khanifakhalfan389
    @khanifakhalfan389 2 ปีที่แล้ว +1

    Pemba ipo shule inaitwa fidel castro

  • @arisramsy488
    @arisramsy488 4 ปีที่แล้ว

    Asanti sana

  • @rama.7han715
    @rama.7han715 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee story ya chegue vara plz bro

  • @Babaverah
    @Babaverah 4 ปีที่แล้ว +1

    vocal sasa....

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 2 ปีที่แล้ว

    Kazi Saffi Bwana Justin

  • @homeboybx8031
    @homeboybx8031 4 ปีที่แล้ว

    Wow good

  • @shaelscott779
    @shaelscott779 4 ปีที่แล้ว +2

    Am the fourth today..... 😊😊😊😊

  • @lowoipeter7309
    @lowoipeter7309 4 ปีที่แล้ว +1

    You are good thank you 💓💓💓💓

  • @amashaliwowa133
    @amashaliwowa133 4 ปีที่แล้ว +1

    Jembe castro

  • @timilaishemalamba3058
    @timilaishemalamba3058 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe izo cone mpk huko

  • @witnessallan4274
    @witnessallan4274 4 ปีที่แล้ว +2

    Je Ni kweli Fidel Castro aliogelea majini kutoka Cuba to England kwa siku 3 au uzushi tu??

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahahaha dada angu

  • @alineabby3272
    @alineabby3272 4 ปีที่แล้ว +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @shabanipembe
    @shabanipembe ปีที่แล้ว

    Shedi ni noma

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 ปีที่แล้ว

    America na ulaya na mbuzi, kazi yao kuhangaika kuharibu maisha ya wengine, wamejaribu kwa JPM wakaweza, mbuzi hao yaani nawalaani kilasiku

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @allypipi7947
    @allypipi7947 4 ปีที่แล้ว

    Tuletee na story ya new world Oder

  • @shabanipembe
    @shabanipembe ปีที่แล้ว

    Che ni nani?

  • @davidzainab3647
    @davidzainab3647 3 ปีที่แล้ว

    We nimungo bhana

  • @appleboi3365
    @appleboi3365 4 ปีที่แล้ว

    Wajina

  • @jaymandy1914
    @jaymandy1914 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mze alikua anatumia majini sio bure

    • @arafatnasser
      @arafatnasser ปีที่แล้ว

      Nyimnawaza uchawi kila muda

  • @mesakaivatha4096
    @mesakaivatha4096 4 ปีที่แล้ว

    Mzee wa kwende kazi mbona ujasema alikufa kwa nn?

    • @fahadfaraj1822
      @fahadfaraj1822 4 ปีที่แล้ว +2

      Kafa na maradhi na uzee alifika miaka 90

  • @melkizedeckkiputa165
    @melkizedeckkiputa165 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba tuijue historia ya kapustine area ya urusi na area 51 ya malekani kama utojari kaka mkubwa

  • @lucymbaga1751
    @lucymbaga1751 4 ปีที่แล้ว

    Naomba story ya mwanajeshi (wa marekani) aliyeongoza vita ya Vietnam na marekani

    • @shairanadam1443
      @shairanadam1443 4 ปีที่แล้ว

      lucy mbaga untkaaa ukpndueee marekani 😂

    • @lucymbaga1751
      @lucymbaga1751 4 ปีที่แล้ว

      @@shairanadam1443 hhhhh hapana i would like know the story hilo tuuu....

    • @shairanadam1443
      @shairanadam1443 4 ปีที่แล้ว

      lucy mbaga lugha gni hyo tn na ww mbna sifaaa ivoo😘😘😂

    • @lucymbaga1751
      @lucymbaga1751 4 ปีที่แล้ว +1

      @@shairanadam1443 hahaaaa samahani...

    • @shairanadam1443
      @shairanadam1443 4 ปีที่แล้ว

      lucy mbaga haya tuchat sup basiii 😘😘😘😍

  • @Kai_busati
    @Kai_busati 4 ปีที่แล้ว +1

    CHIBU EVARA ndo nani??