UNJU BIN UNUKI JITU PEKEE LILILOPONA GHARIKA YA NUHU, LILIPITA TANZANIA NA HUU NDIO USHAHIDI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 218

  • @fallykhan2383
    @fallykhan2383 ปีที่แล้ว +14

    Ahsante kwa kunitag 🙏🏻🙏🏻

  • @ismailkan2171
    @ismailkan2171 ปีที่แล้ว +57

    Kwa mujibu wa Imani yangu malaika hawali wala hawanywi, na hawana jinsia pia hawana matamanio ya nafsi, hivyo hakuna malaika atakayetokea kumuasi Mwenyezi Mungu abadani.

    • @victorvancharlz9125
      @victorvancharlz9125 ปีที่แล้ว +10

      Rudia maandiko yako upya jiulize wale waliomuasi Mungu na hata wakautupwa dunian walikua ni malaika pia

    • @moberoministries3610
      @moberoministries3610 ปีที่แล้ว +3

      Soma Sana kabla ya kutype ujingest kama huu

    • @moberoministries3610
      @moberoministries3610 ปีที่แล้ว +1

      Ibilisi alikuwa nani kama malaika awezi kuasi

    • @emmanueljonas84
      @emmanueljonas84 ปีที่แล้ว +1

      Ibilisi alikuwa nani???
      Mimi katika imani yangu..katika kitabu cha ufunuo,shetani na malaika zake walihasi,malaika wa Mungu mikaeli wakapigana,wakanshinda shetani kwa damu ya mwanakondoo yaani Yesu kristo na kwa neno.Akatupwa katika nchi.😊😊😊

    • @advancedmulla2449
      @advancedmulla2449 ปีที่แล้ว +16

      @@moberoministries3610 iblisi laanatullah hakua malaika ila alikua ni jinni ila alikua mwema akawa anaisha katika kundi la malaika watukufu refrence ktk Quran mwezi mungu anasema katika suratul jinni amemuumba jinikwa moto.. hivyo malaika kwa nuru.. so ni wazi ktk dini ya uislam kua iblisi ni jinni si malaika

  • @linfordkieya6512
    @linfordkieya6512 ปีที่แล้ว +3

    Kazi safi Justin Shed

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 ปีที่แล้ว +6

    Leo nimewai justine. Shed sasa twende kazi....!!!

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 14 วันที่ผ่านมา

    Apo kwenye mguu mmoja tabora na mguu mwingine Kongo du ni noma sana

  • @lastborn1796
    @lastborn1796 ปีที่แล้ว +3

    Much love bongo fasta
    By G.W.I.J

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 ปีที่แล้ว +4

    Kwa hio alipiga hatua Moja kutoka Tabora had Kongo😀😀

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +2

    KATIKA UISLAMU HAKUNA KIUMBE KAMA HUYO. NIUZUSHI. NIBORA UACHE HABARI ZA DINI YETU. HAKIKUPONA KITU NJE YA SAFINA YA NABII NUHU

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa unakanyaga Tanzania na mguu mwengine Congo basi kwa ukubwa huo huwezi kula samaki au kumkamata maana hashikiki mkononi maana ni mdogo sana

  • @essanfesto3049
    @essanfesto3049 ปีที่แล้ว +5

    Mh Tanzania niwaongo sijawahi ona

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 ปีที่แล้ว +2

    Katika gharika la Nuhu hakuna aliyepona isipokuwa yule aliyekuwemo katika jahazi tu.

  • @franknyanda4164
    @franknyanda4164 ปีที่แล้ว +3

    Huwa nasikia kuwa kuna uongo wa kuwango cha lami, sasa leo nimejua kumbe upo pia uongo wa kiwango cha flyover

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀😀😀😀 ni kweliii huyu mtu alikuwepo

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sijamsikia huyu mtu unju ndio mwanzo namsikia leo

  • @Ngendakumana_
    @Ngendakumana_ 3 หลายเดือนก่อน

    Ohoo😂😂😂nimerewa mwishoni manake akikanyaga hapa hatuwa yingine inatuwa inchijirani😂😂😂😂dhuu

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 ปีที่แล้ว +3

    Ni uwongo tu

    • @advancedmulla2449
      @advancedmulla2449 ปีที่แล้ว +1

      Nakubaliana na wewe ni uongo mtupu hana refrence. Anataja tu hapa kakwanga kidogo justin

    • @kautharsalat6449
      @kautharsalat6449 ปีที่แล้ว

      @@advancedmulla2449 asante

  • @malamafyisamkanda5362
    @malamafyisamkanda5362 ปีที่แล้ว +5

    Uyuu Jamaa ameqnza Kukosa Story Mpaka Ameqnza kutudanganya Kuwa Unju alikuwa Kwenye Ghalika Ya Nuhu 🤣🤣🤣🤣

    • @nasekawanga1737
      @nasekawanga1737 ปีที่แล้ว +1

      SIO LAZIMA UAMINI MZEE IYO STORY UNAAMBIWA NI NADHARIA SIJUI UELEWI MZEE. KO STORY YA NUHU UNAUHAKIKANYO

    • @malamafyisamkanda5362
      @malamafyisamkanda5362 ปีที่แล้ว

      @@nasekawanga1737
      Kaka kaka Story ni nadharia kwanini unju Alizkwa Ununio uyo Mwamba anaongopa Bhana kama ww ulikuwa Au haufuatiliag story lazma uongooewe siku Moja Moja uwe unaingia maktaba za Vitabu Ili uwe unasoma kama unanafac lakin III ya Unju jama katupiga palefu sana alow 🤣🤣🤣

    • @malamafyisamkanda5362
      @malamafyisamkanda5362 ปีที่แล้ว

      @@nasekawanga1737 ebu sikiliza vizuri ata yeye sehem anajifnga Yani Hana uhakika zaidii Yani yeye kababa bambaw Ili nae Apate kula zamani alikuwepo "Goliati" na Sio Unju 🤣🤣🤣🤣

  • @ochutrendmwonekano5619
    @ochutrendmwonekano5619 ปีที่แล้ว

    Hapa Justin sjakuelewa. Kihistoria Musa hakufika nchi ya ahadi alifia njiani. Wewe unatuambia Musa alifika kaanan na akakutana na unju duh.

  • @attainer-jr7494
    @attainer-jr7494 ปีที่แล้ว +3

    Hip hop ni elimu teka sikio na akili utayajua mengi sana. Unju, Nikki Mbishi

  • @edhaomar2853
    @edhaomar2853 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea uongo Leo sio kila kitu ukiulizwa useme mengine SEMA sijui

  • @migedowzer504
    @migedowzer504 ปีที่แล้ว

    Na ndo Mana mussa alisema atakuja mtu km Mimi nae Ni MTUME Muhammad saw, Musa alipigana JIHADI na MTUME alipigana jiahad , Musa alizaliwa na baba na mama km MTUME saw .

  • @ladymunahmunah5153
    @ladymunahmunah5153 ปีที่แล้ว +2

    🤣😂🤣🤣😂 hiiiiiii noumaaaa sanaaaa anachoma samaki karibu na jua Allah-Allah????
    Haaaaa kulikuwa hamn haja ya kupanda usafir ningekuwepo kipind hich ningekuwa nammpanda yeye nkitaka kwenda nchi jiran make so kwa ha2a hizooo

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 ปีที่แล้ว +1

    Ukisoma biblia vizuriii huwez kukutana na story hii...tosome maandiko jamaniii

  • @samwelkilibuche9115
    @samwelkilibuche9115 ปีที่แล้ว

    Ushauri wangu mambo yanayohusu Imani ungekuwa unayaacha maana kuyazungumzia inahitaji kama n mambo ya kikristo huna budi kuwa na roho wa kristo ili kuzungumzia mambo hayo sasa nimeona Kuna uwongo mwingi na upotoshwaji mwingi unapozungumzia mambo ya Imani especially kwa wakristo yaani umewaharibu wengi brother maana biblia inasema ole wake atakayeongeza na kupunguza.
    Sasa inabid uyaangalie hayo.

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 ปีที่แล้ว +2

    She'd uko vizuri

  • @user-uq2pz6yh3x
    @user-uq2pz6yh3x 7 หลายเดือนก่อน

    The problem of many people likely to comment without critical thinking

  • @josephatnombo6677
    @josephatnombo6677 ปีที่แล้ว +12

    Bin unuki, ni ninja kabisa, hakika niki mbishi, anafaaa kuwa unju wa hip hop

    • @shenaazkajee
      @shenaazkajee ปีที่แล้ว

      Hahahaha una chekesha aise

    • @sebastianalbert2857
      @sebastianalbert2857 ปีที่แล้ว

      Mmi neno unju nililisikia kwa siku m bishi kumbe linamaana

  • @Laughter_man
    @Laughter_man ปีที่แล้ว +2

    Mbona siielew hii😂😂

  • @user-ur8ir5qz5z
    @user-ur8ir5qz5z วันที่ผ่านมา

    Hivi huuu uwongo umeotoa wp. Huoni zambi kuongopa

  • @maydayndabisiys783
    @maydayndabisiys783 ปีที่แล้ว

    Mguu mmoja ukanyage tabora mwingine congo duu hao viumbe kweli ilikua nikivutio

  • @togetheranythingdf2212
    @togetheranythingdf2212 ปีที่แล้ว +2

    nice

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว +3

    Bro Justin shed tuachane na historia ambazo azina uhakikia tu fanye vitu vingine mm sina uhakika wa iyo story kama milima miti ili futuka yy alikuha wa kihasi gani tufanye mengine izo ni story zaku tuchanganya wa Africa ili tujikite sana kwenye istoria zaki dini kuliko mahendelea

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @noahayoubameninaendereakubarik
    @noahayoubameninaendereakubarik ปีที่แล้ว

    Hii ni hatari sana mtu anaweza kuunyanyua mlima na amekanyaga tanzania tabola mguu mwingine congo pia anaweza kuvua samaki kwa mkono na kuzichoma kwa kunyoosha mkono kwenyejua duh eee kiumbe hicho noma

  • @bonifacekigosi9582
    @bonifacekigosi9582 8 หลายเดือนก่อน

    inasemekana kidole chake kimezikwa eneo la kigamboni, islamic centre pale geza ulole\

  • @KoomeNzima-lp4ql
    @KoomeNzima-lp4ql ปีที่แล้ว

    Uongo atharani wakati wanuu wali baki wele walikua ndani ya safina

  • @maximemasinga9504
    @maximemasinga9504 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndo NICK MBISHI?

  • @samwelmbonea7335
    @samwelmbonea7335 ปีที่แล้ว

    Mguu moja tz mwingine congo

  • @bartonmosi6713
    @bartonmosi6713 ปีที่แล้ว

    Kuna alama ya mguu mkubwa kwenye jiwe huku kenya

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 ปีที่แล้ว

    Mguu wa kwanza tz wapir drc duu hii kwer stor y unju

  • @juliasgabriel6645
    @juliasgabriel6645 ปีที่แล้ว

    Una story mzuri. Keep it up

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 8 หลายเดือนก่อน

    Mwongo sana

  • @zaydaahmad1626
    @zaydaahmad1626 8 หลายเดือนก่อน

    Nimekukabali

  • @samwelandrew7625
    @samwelandrew7625 ปีที่แล้ว +9

    Historia ya hii Dunia imejaa Uongo saaaaana

    • @shadrickmwanjabala4681
      @shadrickmwanjabala4681 ปีที่แล้ว

      Basi tupe wewe za ukweli Yani wewe ukisikia changanya na zakwako

    • @samwelandrew7625
      @samwelandrew7625 ปีที่แล้ว

      @@shadrickmwanjabala4681 nyie ndo wale wale mnao Amin binadam alkua nyani"" ndo yalee mnaamini yesu na mungu n wazungu wa kati shetani n mweusi"" ignorance is brisis very foolish

  • @SharfaAlly
    @SharfaAlly หลายเดือนก่อน

    Acha unafki malaika hawezi kuingiliana kimwili na binadamu unachokifanya nikupotosha jamii isiyo na uelewa na malipo yako no dhambi

  • @protasmtechula9705
    @protasmtechula9705 ปีที่แล้ว +1

    Malaika waovu ndo walizaa na wanadamu wakapatikana hao

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 ปีที่แล้ว

      Hakuna malaika muovuuu

  • @adamnasango1743
    @adamnasango1743 ปีที่แล้ว +3

    Story ya lilth tayar Mzee? Kama bado leta unyama Mzee

  • @lucksonsikanyika5251
    @lucksonsikanyika5251 ปีที่แล้ว +1

    True story

  • @ABCD-ly3rq
    @ABCD-ly3rq ปีที่แล้ว

    😁😁😁 Kwa hyo Mungu alitegemea binadamu kuizuia safina,, waliotumwa walileta taarifa ya uongo ila Joshua alileta ukweli soma maandiko vizuri mzee

  • @atukuzwanthony4569
    @atukuzwanthony4569 ปีที่แล้ว

    Just shedi acha uongo km hunachakufanya TH-cam kausha sio kutudanganya alienda yeriko ni Joshua sio Musa kasome vzr maandiko sio kuongea kuongea tu

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 ปีที่แล้ว

    Malaika hawana jinsia vp wazaee, pia kwa mujib wa Quran mungu hana mtoto kwaio ni makosa kusema malaika ni watoto wa mungu, wewe tayar umekufuru. Hadith kubwa inayomuhusu nabii Mussa ndani ya Quran ni hadith ya Firaun na wana wa israel, hii ya kwako cjawah kuiskia na pia sikupata kuskia habar hii kwenye kisa cha nabii Nuh, pia unapotaja Quran basi taja surah, aya au kama ni hadith taja hio hadith, toa ushahid uliokamilika

  • @davidjohn4239
    @davidjohn4239 ปีที่แล้ว +2

    Mimi naitwa Justin shed sasa twende kazi

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 ปีที่แล้ว

    Hadhi hii ni ya uongo

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 ปีที่แล้ว +2

    SASA TWENDE KAZIIIIII

  • @nuhhumwakanyamale4771
    @nuhhumwakanyamale4771 ปีที่แล้ว

    Leo sikupingi Hata mimi maji ya bahari yananiishia kwenye ugoko,
    Kama kunamtu atabisha nitamtumia picha nikiwa Beach coco

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 ปีที่แล้ว

    Aiseeee

  • @ibnukhalil915
    @ibnukhalil915 ปีที่แล้ว

    Jaamaa muongo hatariii

  • @leylasalim9380
    @leylasalim9380 ปีที่แล้ว

    Muongo mkubwa ww ktk gharika ya Nabii Nuhu AS gharika ile haikumuacha mtu ispokuwa alioko ndani ya safina uwache uongo mpk mwanawe nabii nuhu AS aliangamia unataka kutudanganya bure🤫

  • @twahakaranga5989
    @twahakaranga5989 ปีที่แล้ว +2

    Shed unatish san

  • @UFC_HIGHLIGHT123
    @UFC_HIGHLIGHT123 ปีที่แล้ว +1

    Inaonesha alikuwa anaimaliza africa kwa masaa kadhaa tu

  • @suleimanjumamaulid879
    @suleimanjumamaulid879 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah

  • @rojasvideo6460
    @rojasvideo6460 ปีที่แล้ว

    mmmh, ahsante kwa hadithi yako ya kutatanisha

  • @francismtendepascal9495
    @francismtendepascal9495 ปีที่แล้ว

    Nakubali tafiti zako kaka naomba nipata story ni wap jamii ya rasta ilipo anzia na ilikuaje

  • @lisbonkabora7179
    @lisbonkabora7179 ปีที่แล้ว

    Sio tu Tabora alama za miguu yake pia ziko wilaya ya kilwa mkoani lindi maeneo ya pande na limaliao. Mwandishi pata mda katembelee ofisi za mambo ya kale kilwa utapata mambo mengi na stori itapata maana zaidi

  • @VascoKasambala-wb3ep
    @VascoKasambala-wb3ep 6 หลายเดือนก่อน

    MAJI YALIDUMU KWA SKU NGAP?

  • @antonynchama6053
    @antonynchama6053 8 หลายเดือนก่อน

    Uongo ulio kithili biblia inaeleza kuna miaka maelfu iliyopita toka kizazi Cha nuhu Hadi musa huyo mtu alikuwa ana miaka mingapi? Wakati huo MUNGU Alisha ilaani
    miaka akasema katika mwanzo roho yangu haitashindana na mwanadamu siku zake zitakuwa ni miaka 120
    Hizo ni hadithi za uongo ilikupata wafuasi tu

  • @emanuellugome4423
    @emanuellugome4423 ปีที่แล้ว

    Naomba story ya hanging garden of Barbironi

  • @gilberthpeter2450
    @gilberthpeter2450 ปีที่แล้ว +1

    Ww jamaaa 😂😂 sema me napenda uongo

  • @protasmtechula9705
    @protasmtechula9705 ปีที่แล้ว

    Watanzania hatusomi vitabu, jamaa yupo sahihi sons of Anarchy hii kitu ipo , na mmoja wao ni Mfalme Ogu wa Bashan , hivi vitu vipo msibishe akat mnashinda Instagram tuuuh

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 ปีที่แล้ว

    Malaika awez fanya ivyo rabda shetani kaka

  • @godchancelosica1458
    @godchancelosica1458 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye samaki kumchoma kwenye jua umatudanganya

  • @sharifsharif9060
    @sharifsharif9060 ปีที่แล้ว

    Malaika hawana mbegu

  • @NduguEzekiel
    @NduguEzekiel ปีที่แล้ว +1

    Stori za waislamu zimejaa uongo sio za kuamini hata kidogo

    • @zackdaxlover4132
      @zackdaxlover4132 ปีที่แล้ว

      Iv una akili wewe usiingize mmb ya dini

    • @NduguEzekiel
      @NduguEzekiel ปีที่แล้ว

      @@zackdaxlover4132 Sio mambo ya dini ukweli lazima usemwe Dini ya uongo tu mara mitume walikuwa waislamu alafu uislamu umeanza miaka 500+ baada ya kristo hamuoni ni uongo mkubwa

    • @NduguEzekiel
      @NduguEzekiel ปีที่แล้ว

      @@zackdaxlover4132 Sio mambo ya dini ukweli lazima usemwe Dini ya uongo tu mara mitume walikuwa waislamu alafu uislamu umeanza miaka 500+ baada ya kristo hamuoni ni uongo mkubwa

    • @jordancraz6195
      @jordancraz6195 ปีที่แล้ว

      Hapana hiyo si story ya kiislamu hiyo ni story yenu nyinyi wakiristo.

    • @jordancraz6195
      @jordancraz6195 ปีที่แล้ว

      @@NduguEzekiel wewe inaonekana ata iyo dini huna bali unafata mkumbo tu 😂😂

  • @tonykidimwastv5608
    @tonykidimwastv5608 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀
    Mm sipendi kuamini maana napenda kujifunza , stori yako imanipa faida ya kufurahi huku nikijikuta nikicheka kwa sauti mara nilipofikia sehemu et jitu kubwa liliwahi kupita Tanzania 🤣🤣 et mguu mmoja wa kushoto ulikanyaga Tabora huku mwingine umekanyaga COngo🤣🤣😂 duh huku akichoma samaki kwa kitumia jua ,
    Je nyayo hazijaonekana sehemu zingne, je kw urefu wake huo je hakuungua yeye na jua?

  • @nakali79
    @nakali79 ปีที่แล้ว

    Uongo ulio uchi

  • @salumsuphian
    @salumsuphian ปีที่แล้ว

    Uongoo

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว

    History ya Shetan hakuna malaika aliyemuasi mungu kwa maana hawanyi wala hanyi sio wanaume wala wanawake, ukishe alikuwa masihi Dajal nitakuba ukisema hivyo

  • @aseertimeibra2524
    @aseertimeibra2524 ปีที่แล้ว

    Unatafuta umaarufu au?

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 ปีที่แล้ว +1

    duh habo Leo sielewi kwa sababu malaika siwatoto wamungu Na hawana jinsia iliwazaie Na wakochiniya mwenye zimonku kwaajliya kumtumikia Allah sasa tuende kazii

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Sasa ni watoto wa nani utuambie malaika ni watoto wa nani

    • @muhsenali123
      @muhsenali123 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme nitakujibu ndugu ila unajuaya kwamba mungu azai wala hakuzaliwa itakuaje azai malaika niviumbe vaya mweenyezi mungu na waliumbuwa kwaajliya kuwatumikia mwenye zimungu na hawana jinsia yoyote yakiume walaya kike wala hawana matamaniyo

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha kwani huyu mtu alikuwa mkubwa namna gani!?

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 ปีที่แล้ว

    Tuliyofunuliwa ni yetu na wattowetu
    Na yaliyofichwa ni ya MUNGU

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 ปีที่แล้ว +2

    Kweli hii ni hadithi. Yani mgu mmoja upo Tabora na mwingine Congo! sema stori hizi kwasababu zinanifanya nijue kuwa bado sijui kitu

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +1

    Story za Kiswahili uwongo mwingi katika biblia hakuna masikulizi ya mtu eti alitaka kumeba mlima 🤣 labda katika kitabu cha nabii mzinzi ndiko kwenye masimulizi mengi yakubuni

    • @njehematata9713
      @njehematata9713 ปีที่แล้ว +1

      Au atunge ya Kwake aingize story mpyaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 ปีที่แล้ว

    Haha haha haha nyao za miguu yake ipo Tanzania na Congo dahh uyu Jitu alikuwa naurefu SIO wakawaida

  • @lonjiruyange6037
    @lonjiruyange6037 ปีที่แล้ว +1

    Haaaa

    • @hamzayusuf1894
      @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

      Bibliya kuna maneno yakweli na ya uongo mengini wandishi wame chafuwa soma vizuri

  • @almurajjabuaswabbu250
    @almurajjabuaswabbu250 ปีที่แล้ว

    Uongo mwingiii ukweli kiduchu

  • @begilamoney4730
    @begilamoney4730 ปีที่แล้ว

    Hizo atua za mwanamarundi sio unju mzee😏

  • @WatagwainMan
    @WatagwainMan 3 หลายเดือนก่อน

    Daah Mimi Nikajua Kuna Unachokijua Na Ndio Mana Nikaja Kukusikiliza Kumbe Shida Yako Ni Kupata Views!!!?..😂😂

  • @allychengula3511
    @allychengula3511 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mwongo kuhusu Mambo ya dunia achana nayo endelea na comedy zingine et

  • @platotaurus2301
    @platotaurus2301 11 หลายเดือนก่อน

    ANDAA STORI KUHUSU KUPOTEA KWA JIJI LA POMPEII NA HACULLANIUM TOKANA NA VOLKANO YA MLIMA VESUVIO

  • @pascaldominic9580
    @pascaldominic9580 ปีที่แล้ว

    Et maji ya bahari yaliishia magotini, hii story naichukulia kama ya kutunga tu

  • @alfatimezTz
    @alfatimezTz ปีที่แล้ว

    Kwahiyo malaika wanakutana kimwili na wanaadamu.

  • @nelsongodbless192
    @nelsongodbless192 ปีที่แล้ว

    Abunuwasi😂

  • @yohanalukanga6263
    @yohanalukanga6263 ปีที่แล้ว

    Anatisha

  • @allyhassanabdallah4295
    @allyhassanabdallah4295 ปีที่แล้ว

    Asipo angalia huyu jamaa sikuyahukumu atakua na dhambi nyingi kutokana nakuendelea kudanganya watu Allah amsamehe na amuongoze ili ajitambue kwani hajitambui maskin dah.....

  • @FarajBakar
    @FarajBakar 8 หลายเดือนก่อน

    Sit kwel

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 ปีที่แล้ว

    justin umeanza kumuingilia yesu sasa....

  • @erickgabanyaz7974
    @erickgabanyaz7974 ปีที่แล้ว

    Kwa story hii umepotoka kwa maana ukisema kuwa hakufa kwa maji umemaanisha kuwa alikuwa mkubwa kuliko Mungu?soma vzur bible utajua waliookoka na safina huyo biblia haijamtaja!weka story zako tu ili upate wafuasi lakini hapa umepotoka

  • @rogeZ928
    @rogeZ928 ปีที่แล้ว

    ENJI BIN UNUTI

  • @murtazantimba4270
    @murtazantimba4270 ปีที่แล้ว

    We waga ni muongomuongo tu

  • @einsteinfromeastern2704
    @einsteinfromeastern2704 ปีที่แล้ว

    Walaka wa unju bin unuq