Video hii ya Shilole akiwa China yawavunja mbavu mastaa na mashabiki mtandaoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 52

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kikubwa wameelewana aisee,safi sna sio kinyongee🤣🤣🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @VictorGosbert
    @VictorGosbert 3 หลายเดือนก่อน +5

    Raha sana shule wasome wao,achaneni na Shishibaby

  • @abubakardiwani5968
    @abubakardiwani5968 3 หลายเดือนก่อน +2

    She really tried the confidence top notch❤

  • @StarMerinyo
    @StarMerinyo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nampenda shishi maana kweli hajui ila ahajiamini na anaongea ajuavyo 😂😂

  • @Black-sound24
    @Black-sound24 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vingine sio kiki babu COMED tuh 😂😂 daaa waBONGO

  • @rajah9328
    @rajah9328 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shida iko wapi apo mbona wao wakikosea lugha yetu tunasema wanajaribu ila sis tukikosea tu tunafnya wenyewe issue kubwa san

    • @bellaguershom-su7lz
      @bellaguershom-su7lz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kbs

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 3 หลายเดือนก่อน

      Yaan sipend mtu akikosea English watu wanacheka na wakat wazungu wanakosea kiswahili tunaona kawaida

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 3 หลายเดือนก่อน

      Hat hao wazungu wengne pia hawajui kingereza mm nishakutan namzungu anafanya kutumia kitab cha tafsir

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 หลายเดือนก่อน

    Yes❤❤❤❤❤😂😂😂😂kwani iko n ini

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 3 หลายเดือนก่อน

    Nampenda tu huyu single mother

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 3 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa ni kuelewana TU nawameelewana

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ajua Lugha sema anatafuta kiki

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hajui

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 3 หลายเดือนก่อน +3

      Shishi hajui wala haigizi inkwell kabisa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 หลายเดือนก่อน +3

      unamfariji ee

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅anapenda sifa mno

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabxa anajuwa vzr ila anatafta tu kiki

  • @dullahabdallah-nu1py
    @dullahabdallah-nu1py 3 หลายเดือนก่อน

    Dada umepoa sana

  • @aishayassin4458
    @aishayassin4458 3 หลายเดือนก่อน

    I love shish❤

  • @EmmyNamoyo
    @EmmyNamoyo 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 หลายเดือนก่อน

    Shishi food

  • @chany9950
    @chany9950 3 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣👍🏾

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 3 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha shishi mtu mbadi

  • @fatmahirimu1574
    @fatmahirimu1574 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 kwani lazim kuongea kizungu

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa apo azungumze lugha gani 😂

    • @kidatokassim7616
      @kidatokassim7616 3 หลายเดือนก่อน

      Unadhani angeongea lugha Gani hapo na ww😂😂😂

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@MashaMbwanaumeonaeeeh

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@kidatokassim7616hembu muulize haswa.

    • @priscajube4239
      @priscajube4239 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa yuko China ataongea kiswahili kwani wanakijua. English yenyewe inawashinda

  • @elphinejoshua1914
    @elphinejoshua1914 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 หลายเดือนก่อน

    But why don't she join some english classes since she have the bag already.

    • @VictorGosbert
      @VictorGosbert 3 หลายเดือนก่อน

      Sio lazima kwa Shsh 😂

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa shida Gani alionayo?

    • @VictorGosbert
      @VictorGosbert 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni mtafuta maokoto hayo ya kusoma ni ya kwenu mapro...Shshbaby kusoma unakuwa unamchosha,ndo mana anasomesha watoto kwa nguvu zote

    • @LucyCornery
      @LucyCornery 3 หลายเดือนก่อน +2

      Na wenye kizungu chao hawajafika china bado😂😂😂nan mkali apo😂😂

    • @VictorGosbert
      @VictorGosbert 3 หลายเดือนก่อน

      @@LucyCornery si ndo hapo

  • @sharonvugutsa969
    @sharonvugutsa969 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 3 หลายเดือนก่อน

    Mmh ulaji wake tu sasa ndo umeniacha hoi alafu ni kioo cha jamii jaman mtu mzima kula na kupuliza iyo vip😂😂😂

  • @LucyRichard-hn8wg
    @LucyRichard-hn8wg 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂....mbavu zangu jmn

    • @RayChausa
      @RayChausa 3 หลายเดือนก่อน

      I make me here here😂😂😂😂😂

    • @nzeyimanamwavita1904
      @nzeyimanamwavita1904 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂 napedaka Sana shishi😂😂😂❤❤

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 3 หลายเดือนก่อน

    Hao wanaocheka pia utakuta hawajui hata hivi anavoongea shishi ni wajinga tu

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 3 หลายเดือนก่อน

    Tutaambia nini Wakenya wakiiona hii?🙈😂🤣🤣🤣

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wameelewana vizuri kabisa 😊😊😊
    Kikubwa ni kujiamini tuu

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 3 หลายเดือนก่อน

    Tutaambia nini Wakenya wakiiona hii?🙈😂🤣🤣🤣

    • @MuniraShughuli-kc7vj
      @MuniraShughuli-kc7vj 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @sarahrashidabdallah3109
      @sarahrashidabdallah3109 3 หลายเดือนก่อน

      Kizungu sio lugha yetu na haipo kbs mdmoni kwetu 😅😅😅Hata Wao wanajua sindio wakenya 😅😅majirani zetu 😅😅

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Shishi
    Keep on ❤ 🌎