#ZaNdaaani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 77

  • @EliudMagoma-i6v
    @EliudMagoma-i6v 4 หลายเดือนก่อน +7

    Huyo ni mwamba from Wagadugu Aziz ki ndo mchezaji mwenye paja kubwa🤣🤣🤣 nishaifungua code hiyo kazi kwenu kufatilia anamkula dada yetu wawapi au ndo Hamisa Mobetto

    • @Kiba-iz9fp
      @Kiba-iz9fp 3 หลายเดือนก่อน +2

      Oya kak😂😂😂 uyo Azizi ki Kampa Mimba mobeto 😂😅😅

  • @markovuruga86
    @markovuruga86 4 หลายเดือนก่อน +9

    Iyo camera 📷📷 kiboko🙌🙌

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 4 หลายเดือนก่อน +10

    Kama ndivyo hivyo,akioa kanisa huyo binti yetu,kama yeye mwenyewe kama atakuwa radhi,tumpe na uraia,akipige hapa kwetu.

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 4 หลายเดือนก่อน +17

    Makolo mbn hampendi Azizi abaki yanga😂😂😂😂😂😂

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 4 หลายเดือนก่อน

      😁🐸🐸😁

  • @NdoileSelemani-zj6dl
    @NdoileSelemani-zj6dl 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hamisa mobeto ndo wakumpa faraja ili abaki

  • @EmmanuelKalist-o8b
    @EmmanuelKalist-o8b 4 หลายเดือนก่อน +4

    Furaha ya azizi ki nikuwa mfungaji Bora

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nawakubali Sana wasafi

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 4 หลายเดือนก่อน +11

    Wachambuzi wa wasafi mashabiki wa Uto wanajipa hope

  • @geroldjohn4698
    @geroldjohn4698 4 หลายเดือนก่อน +7

    Momo unazunguka sasaaa

  • @muhidinkaabuka5775
    @muhidinkaabuka5775 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaaa anaenda kuitwa baba hapa Tanzania

  • @anraneamisse9243
    @anraneamisse9243 4 หลายเดือนก่อน +6

    🎉mobeto oyooooo kamfanya k apaki yangaaa

  • @IbrahStaneliy-g7s
    @IbrahStaneliy-g7s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wasaf❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @PeterBenedict-vr2ev
    @PeterBenedict-vr2ev 4 หลายเดือนก่อน +1

    Liongo tu hiliiii lilisema KIBU anaondoka Kiko wapi??

  • @Mohammed-hg3qf
    @Mohammed-hg3qf 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ww kolo siyo mwananchi

  • @hamzamsuya112
    @hamzamsuya112 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ki Aziz

  • @bakuzawiston5401
    @bakuzawiston5401 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo chama ndo ali ambiwa na baba yake endepo itatokea ofa ina takiwa acheze simba yanga hawez cheza ata kwa dawa nando mana hawana papala zaku msajili kwa sasa mana wana jua mda wowote lazma ata sain

    • @EliudMagoma-i6v
      @EliudMagoma-i6v 4 หลายเดือนก่อน +1

      Chama ana mke mzee baada ya mke wake kufariki haikuchukuwa muda akaoa mke mwingine wa kwao Zambia huko ndo anaemlelea watoto mzee huyo wanaemsema hapo ni Aziz ki

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 4 หลายเดือนก่อน +2

    Azizi hatakuwa bwege akibaki hapa kwanza pesa mtoto yupo tu na mtoto anataka pesa na gharama yanga hawana pesa ndio kwanza wachangishe kwa wanachama njaa nenda baba mpira mchezo wa muda tu

    • @sadickkasaba8069
      @sadickkasaba8069 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wew ndo bwege unaepanga maisha yamwenzio.

    • @RobatiPatrick
      @RobatiPatrick 4 หลายเดือนก่อน +2

      Simba ana pesa ndy maan ana sajili wazeee

  • @josephudaudi4127
    @josephudaudi4127 3 หลายเดือนก่อน

    TABORA Atuwapati kwenye radio station uku jamani

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 3 หลายเดือนก่อน

    Eti big up kwa aliyepanga mipango ya mbinu,inabidi apewe mshahara mkubwa😂😂😂.
    Viongozi husika wanaakili nyingi sana ya kumbadilisha mtu mawazo yake

  • @seifsaid-kn1dj
    @seifsaid-kn1dj 4 หลายเดือนก่อน +1

    bb uyo mwenye mtoto ni msanii au ni mtu tu wakawaida

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie yanga huwa mwasema cmba bila chama haiendi mbona nyie kuondoka kwa Aziz k mna wacwac

  • @dabomtanzania
    @dabomtanzania 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tushajua

  • @Land25lord
    @Land25lord 3 หลายเดือนก่อน

    Momo ujaelewa swaliii ni kwamba uyo JR ni wa muziki au Mpiraaa? Mana mama JR mwenyew yule Jr mwingine mpka leo hatuelewi elewi mdogo wako nae kakaa kimya t momo 😂😂

  • @MariamMpanga
    @MariamMpanga 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi Ni Yanga Damu but sioni chance ya Ki Aziz kubaki yanga😢

    • @dullywa9973
      @dullywa9973 4 หลายเดือนก่อน +2

      aziz keshasain yanga

    • @husseinmagessa7721
      @husseinmagessa7721 4 หลายเดือนก่อน +2

      Nina wasiwasi jamaa wanakusnya ela kiakili tu ila Aziz alishaongza mkataba kwann watamke hadharani kuwa hajaongeza mkataba sio kiulahs hvyo wew kna namna wanaksany pesa ili 2sishnglie tu tuwe 2nachangia na chochte k2

    • @MariamMpanga
      @MariamMpanga 4 หลายเดือนก่อน

      @@husseinmagessa7721 point yako nimeipata

    • @EliudMagoma-i6v
      @EliudMagoma-i6v 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@husseinmagessa7721Sasa kutangaza ni vibaya?
      Ulitaka waseme washampa mkataba ili hali hawajampa hivi unajuwa kuwa kwenye huo mkataba wa Aziz ki atakao saini lazima serikali ijuwe na hata kodi inapanda kutoka ile ya mwanzo kutokana na malipo ya ke atakayopewa kwa sasa kwa sababu lazima mshahara utakuwa umepanda
      Sasa wafiche kitu gani?

    • @fidecomedytv5735
      @fidecomedytv5735 3 หลายเดือนก่อน

      Unataka abaki Mara ngapi mkuu, Azixi yupo, watu wanaandaa namna ya kuitangaza usajili wake kibiashara Yanga ipate Hela kupitia usajili wake

  • @EsterSekela
    @EsterSekela 4 หลายเดือนก่อน +2

    hahaha yaani ki azizi ana mtoto binti mkubwa tu sasa nashangaa mnapotosha ok ngoja tuone 😂😂😂😂

    • @elizabetharon6334
      @elizabetharon6334 4 หลายเดือนก่อน

      Mi mwenyw nashangaaa😂😂

    • @aakashsolank-l7h
      @aakashsolank-l7h 4 หลายเดือนก่อน

      Kuna demu wake ana mimba Na ni mwigizaj muwe mnafatilia kidg

  • @EugenAssenga
    @EugenAssenga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aya makolo ngoja tuone mwamba k anakuja msimbazi kweupeeeee

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂... Ubuntu achaaa kuota ndoto za mchanaaa ... Kaeni msubirini Manzoki

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makolo Huwa hamnaga akili aisee yaani roho inawauma? Kafieni mbele nyau nyie

  • @muhidinkaabuka5775
    @muhidinkaabuka5775 3 หลายเดือนก่อน

    Anapata mtoto karibuni

  • @tutumarzouk9803
    @tutumarzouk9803 4 หลายเดือนก่อน +6

    Master K & vee kaveshera mwamba lazma abak

    • @MariaMchomvu-ko8qw
      @MariaMchomvu-ko8qw 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona nasikia wameachana na vanesa

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 4 หลายเดือนก่อน +1

    hamisa mobeto kamteka azizi k

  • @greatest_of_africa
    @greatest_of_africa 4 หลายเดือนก่อน +1

    😁🎉🥳

  • @AmbweneMwasongwe
    @AmbweneMwasongwe 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wachambuzi wanaongea kilichopo mbele yao wala sio mashabiki wa timu frani no

  • @elynejosiah
    @elynejosiah 4 หลายเดือนก่อน +3

    Usitubebe ufala , AZIZI KI ANA KATOTO KENGINE

    • @aakashsolank-l7h
      @aakashsolank-l7h 4 หลายเดือนก่อน

      Ana demu wake ni mwigizaj na ana mimba ya azizi ki Na n mwigizaj maarufu tu, usimshambulie mtu kwa kaul mbaya kama huna uhakika muwe mnafatilia

    • @elynejosiah
      @elynejosiah 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@aakashsolank-l7h we naye una kichwa kigumu,, YEYE AMESEMA MTOTO ANAYEENDA KUZAA NA YULE MWIGIZAJI NDO WA KWANZA WAKATI AZIZI KI ANA MTOTO MWINGINE

  • @josephmakuri5724
    @josephmakuri5724 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pakome 😂😂

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 หลายเดือนก่อน +5

    Momo ukisema , umesema.

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 4 หลายเดือนก่อน +1

    Diara tu uyo

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh

  • @NotiAlly
    @NotiAlly 3 หลายเดือนก่อน

    Siasa hizo

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx 3 หลายเดือนก่อน

    Wapeni moyo utopoloni

  • @EmmyFesto
    @EmmyFesto 4 หลายเดือนก่อน +37

    kama huwapendi wasafii kama mmi gonga like hapo

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 4 หลายเดือนก่อน +3

      Sababu nini?

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 4 หลายเดือนก่อน +7

      Sasa unatafuta nini huku kama huwapendi tena na message una comment

    • @felixmoto4088
      @felixmoto4088 4 หลายเดือนก่อน +6

      Unawapenda sana unawafatilia sana

    • @festovenas502
      @festovenas502 4 หลายเดือนก่อน +6

      Tafuta ela kitendo cha Ku comments apa Tu unawapanda😅😅😅

    • @ashrafchande869
      @ashrafchande869 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kwel wew ne maku upnd uku unacoment n like

  • @EmmyFesto
    @EmmyFesto 4 หลายเดือนก่อน +4

    sijuwi ni kwa nn wasafii imejaza wachambuzi wa yanga kwanzia ba levo na wangine wote

    • @FatumaIssa-w1s
      @FatumaIssa-w1s 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa nn efm imajaa Simba joff lea maestro jemedari Wilson uruma

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ubuntu tuliza mshono

    • @emmanuelpaul5704
      @emmanuelpaul5704 4 หลายเดือนก่อน

      Ttzo umejaa makasiriko ndo maana kila wakisema unaona unasemwa wewe

    • @allanalli5173
      @allanalli5173 4 หลายเดือนก่อน

      kwn baba levo n mchambuzi???

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu muongo sana wala msimwamini

  • @abeidrashid2574
    @abeidrashid2574 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hoja za kitoto sana momo anaongea ache pesa kwa ajili ya kuona mtoto siku ya kuzaliwa kweli uko anapoenda akuna ruhusa

    • @husseinmagessa7721
      @husseinmagessa7721 4 หลายเดือนก่อน +4

      2mia akili yanga sio wajinga kutangaza kuwa Aziz hajaongeza mkataba. kuilan hvyo na wew unaamn hapna me najua wanaksany pesa kiakr

  • @HamisiSalimu-d1n
    @HamisiSalimu-d1n 4 หลายเดือนก่อน

    Uyo kabaki kisa mwanamke

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 4 หลายเดือนก่อน +3

      We ulitaka abaki kwa sababu ya mangungu 🤣🤣🤣 ??