Fahamu Historia ya Pd Prosper Kessy, Padre Mkapuchin Anayetumia Sana Mitandao ya Kijamii Kuinjilisha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    Mawasiliano:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

ความคิดเห็น • 30

  • @user-lw7we3dj9i
    @user-lw7we3dj9i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante fr kwa historia yako

  • @ludanishirima5102
    @ludanishirima5102 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana padri uko vizuri Daines alikuwa nabii wako Mungu alimtumia kufikisha ujumbe

  • @johnmsaki9253
    @johnmsaki9253 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu nimependa sana hii stori imenikumbusha sana enzi Za shule ya Lasso umeongea kweli sana padri prosper kesy

  • @flavianarwebangira6726
    @flavianarwebangira6726 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza uendelee zaidi kiroho. Kazi yako ni njema sana.

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 2 ปีที่แล้ว +1

    Mipango wa Mungu ni wa ajabu Sana! Historia ya Padre Messy yakuvutia Sana. Hongera Fr. Jessy!

  • @kassimourio6879
    @kassimourio6879 2 ปีที่แล้ว +1

    Historia ya maisha yako iko makini sana Fr maana umegusa si tu maisha yako, umegusa na wale wote ambao wamekuwezesha kuwa hivyo ulivyo. Hongera sana Fr kwa mtiririko huo uliosheheni zama....nilitamani uongee hata masaa manne

  • @ednahmbwana3533
    @ednahmbwana3533 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Fr. Mungu alimtumia huyo mwalimu

  • @raykanyama4463
    @raykanyama4463 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sanaaaa father Mungu akulinde 💞💞💞💞

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 2 ปีที่แล้ว +1

    Ty...... Father

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumish wa Mungu Tyk.Shimbony shaafooo.ngirumia no yapfyo.

  • @stellamboya34
    @stellamboya34 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Kila kinyonge Mungu hukiinua .Nina mwinua Mungu wako

  • @gustavohugos7160
    @gustavohugos7160 2 ปีที่แล้ว +1

    Father kessy wa nyumbani uyoo mungu amlinde

  • @alexrumo5545
    @alexrumo5545 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana father,historia yako imenigusa mungu akulinde sana,

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 10 หลายเดือนก่อน

    Great...padri wetu ...I am from kirua as well

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu nimwema Hongera sn father

  • @ninjateamkids509
    @ninjateamkids509 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema🙌🙌

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 2 ปีที่แล้ว +1

    😇BARIKIWA SANA FATHER

  • @fina0788
    @fina0788 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba uyo namuelewa sanaa 😍😍mungu akuweke

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana father

  • @annanyenyembe9477
    @annanyenyembe9477 ปีที่แล้ว

    Hongera sana baba Kessy historia yako inafundisha sana.

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 ปีที่แล้ว

    Hata mm nimecheka sana.lkn tunabarikiwa kwa Madini yako sana

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndo alisemaga Kama unajua Una kichwa cha barafu usidhubutu kutembea juani

  • @wilbardkweka4572
    @wilbardkweka4572 2 ปีที่แล้ว

    Amina fr

  • @christinemasiaga863
    @christinemasiaga863 2 ปีที่แล้ว +1

    Semina yako ilitugusa sana wamama parokiani. Tunakusubiri tena kwa hamu kubwa.

  • @saidizusan7446
    @saidizusan7446 2 ปีที่แล้ว +1

    💞💞💞

  • @evaristos3414
    @evaristos3414 2 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅 Mwalimu Daines

  • @bongodramatv6269
    @bongodramatv6269 ปีที่แล้ว

    Baba Kessy namkubal sana mzee wa vichekesho na mafunzo huru sana.

  • @stellamboya34
    @stellamboya34 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Kila kinyonge Mungu hukiinua .Nina mwinua Mungu wako

    • @restitutamrosso6982
      @restitutamrosso6982 ปีที่แล้ว

      School mate. Kisomachi izidi kukua na kuzalisha kama wew.