SILENT FURY EP 20 | IMETAFSIRIWA KISWAHILI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024
- #michaellukindo
Hi, ...
1. Kumpa Dj Kahawa bofya : buymeacoffee.com/michaellukindo
2. Kununua Movie bofya : buymeacoffee.com/michaellukin...
3. Kujiunga WhatsApp ya Mashabiki bofya : chat.whatsapp.com/EBQ8Z8NsZda...
4. Kujiunga Membership bofya : / @iammichaellukindo
Kutuma Pesa / Muamala / DJ
----------------------------
Airtel money : 0683 12356 260
Vodacom Mpesa: 0754 270 937
Tigopesa : 0658 270 937
-----------------------JINA: MICHAEL MOSES LUKINDO
#viral #imetafsiriwa - บันเทิง
WhatsApp ya Mashabiki bofya : chat.whatsapp.com/EBQ8Z8NsZdaIMCr4HNbTT1
❤❤❤
Tumpe dj wetu likes jmn❤
Nimekuwa wa Kwanza leo naitwa Grace kutokea mufindi kwenye barid hukuuuuuuuu like zangu
Nzuri sana dj Ann natazama nkiwa Saudi Arabia riath city ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asanteeee dj mm na araf kutok Oman nakupenda dj wang❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nainjoy sn DJ movie n tamu sn LILiAN Nashela from Kenya nakupenda sn DJ wangu ❤❤☺️☺️
Leo nakuwa wakwanza ❤❤❤
Nainjoy nikiwa Oman zawadi aliy ❤️❤️❤️❤️ kwetu ni muleba bukoba tuko pamoja DJ
dj nilikuwa nimekumiss san mungu akulide jamani upone 🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako
Kazi nzur dj by warda from omni
Nice dj
Safi san dijjjj wangu tifa burundi niko iraq uko vzr sana asant kwakunifurahisha
Dj wetu upon vzuri
❤🎉 natizama kutoka Zanzibar
Dj asantesana nakupenda sana
Waooh! Mr mapokezi unajua. Sana😜
di nimekuwa nimekumiss wallah ❤❤❤❤❤❤
❤🎉
🎉🎉asante dj
DJ asante kwa burudani tunakupenda sana 🎉🎉🎉
Asañt sana dj rahma nikiwa dar kariakoo ❤❤❤❤❤
safi sana JD huna baya Sofia oscar kutoka kenya natazama nikiwa Saudia maua yako 🎉🎉🎉dj naomba muendelezo wa bad romance
Ivi vitu ukivikuta vya moto Kuna Raha yake❤❤
Pamoja dj
Wa kwanza leo like zagu
Nzuriiii jmn dj❤❤❤❤❤❤❤ sauti yako inazingua xana
Hapo ndo shwaaaa unanikosha Eva kutoka bukoba tz
Huna Baya DJ
DJ noma Niko Oman lakini niponaweye
Huna baya dj❤❤ huna kazi mbovu ManshaAllah ❤❤❤❤
Dj mbn watucheleweshea muendelezo umaz kutokea kenya kwale natazama nikiwa ukunda
Cholo from kigambon daresalaam. Hii ni ya motooo 🔥
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
😍😍😍
❤❤😊😊
Pole sana dj wetu ❤❤
❤❤
Asante
Jamani hanjio anatia huruma 😢😢😢😢😢😢
THUMA BEIBY HAPA DJ SAUTI HAIKO SAWA SIKUPATI VIZURI
D
Xaxa huyu bint hataki kujua hata mma yke
Bint nae anakusudi anafanya yale matukia aliokua akiyafanya utotoni😅
Jaman mbona Ina mikwarizo
DJ mbona mm ep ya 19 siipati
Uki SUBSCRIBE utaipata
Dj unaniangusha mbona 18 na 19 nimetafuta sikuona mm
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤