Ramadhan madogo umetoa hoja ya maana. Utaratibu wa mnada unawapa fursa na kuwagawa walaji katika matabaka, nakuonekana kua samaki hawatoshi, hebu tungalifikiria upya kadhia hii ukizingatia kua madalali wao ndio wanufaika wa mnada kuliko hata wavuvi ukilinganisha na work load iliotumika. Zen nachukua fursa ya kuwapongeza kwa docmentary nzur
sasa ivi inachangia asilimia 5 na sisi wengine tunakula vidagaa mana hawanunuliki jee ikishangia asilimia 10 si ndo itakua balaa au mimi nafahamu vibaya ?
Ramadhan madogo umetoa hoja ya maana.
Utaratibu wa mnada unawapa fursa na kuwagawa walaji katika matabaka, nakuonekana kua samaki hawatoshi, hebu tungalifikiria upya kadhia hii ukizingatia kua madalali wao ndio wanufaika wa mnada kuliko hata wavuvi ukilinganisha na work load iliotumika.
Zen nachukua fursa ya kuwapongeza kwa docmentary nzur
Asante sana kwa kuwa sehemu ya wafuatiliaji wetu.
Mnadanganya takwimu za kupika maana sijaona kupimwa kwa kilo ingawa mezani naziona.
sasa ivi inachangia asilimia 5 na sisi wengine tunakula vidagaa mana hawanunuliki jee ikishangia asilimia 10 si ndo itakua balaa au mimi nafahamu vibaya ?
😂😂😂😂 itakapo ikiingia Asilimia 10 itakuwa bei Poa maaana Samaki watakuwa wengi 😀😀
Acha watu wachume hawaangaliii mtu wanaangalia matumbo yao tu lkn mm namshaur wazir siku moja aende uko baharini
Mana Yale ndio hivo hivo ulivofahamu, hahaha.
utakula broila