Hadithi ya Time wa Muambe aliye kitandani kwa miaka 25 |GG Podcast
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ค. 2023
- Time Saleh Ali alizaliwa mzima na akaishi na uzima wake hadi alipofika umri wa miaka 12 akiwa darasa la sita, lakini kwa miaka 25 sasa amekuwa mgonjwa wa kitandani. Hapo hapo alipo, ni mtungaji mzuri wa ushairi. GG Podcast inazungumza naye. Msikilize.
- บันเทิง
Allah amfanyie wepesi ampe subra
wenye uwezo wajitahidi wamuone na tumsaidie ki hali na maji hivi kwa mfano kila alieona clip hii akamchangia walau elf 2000 tunadhani nikiasi gani atakipata nawenye uwezo wafanye kadri ya uwezo wao Allah ndie mlipaji
pole sana, Allah akupe subra kwa huo mitihan uliyokupata
Allah amuafu na wagonjwa wote jamia... amin
Inaskitisha sana lkn yote ni mipango ya M. Mungu na pia kuna kheir ndani yk.
M. Mungu ampe shifaa yk Amiin
Mungu aendelee kukupa subra mama etu naakuponye kwa rehma zake
Yaa Rabbi mnyanyue na irudi Afya yake
YAA ALLAH MJAALIE SHIFAA YAA RABBI AAMIN
Allah akupe Shifaa InshaAllah
Allah amfanyiye shifaa
Allah yashfee ya rubb
Allah atampa shifaa Kwa haraka
Allah akupe shifaa dada, amiin.
Subira ndio jiwe la ibada mola atakuponya inshallah
Subhanallah mtihani Allah atamfanyia wepesi hakuna kubwa kwa Allah atainuka in Shaa Allah tumshukuru Allah kwa neema ya uzima Alhamdulillah
اللهم رب الناس مذهب البأس اشف انت الشافي وعاف انت المعافي لا شفاء الا شفائك شفاء لا يغادر سقما ولا الما ياوافي ياكافي ياحميد يامجيد ارفع عنها وعن جميع المسلمين كل تعب شديد والمرض الشديد
Mola ampe afia amuinue atembee kama wenzake
Aamiin
Aamin Yaarabbil Aalamin
Allah ashfik yarabii
Alhmdulillah...kweli binadamu ni wakushukuru kwa kila halii 😢 Hatujuwii ataa sekunde yetu
allah amhifadhi bi time ishallah
Tunamuomba Allah ampe afya njema pamoja na sisi.
Allah akuponye ponyo LA haraka Kwa uwezo wake na utukufu wake.
عجلها الله بالشفاء والعافية
kaka mimi nakutakia kila la kheri katika maisha yako allah akuhifadhi nimepata elmu kubwa kutia mafunzo yako
ما شاء الله
Ya rabbi Mwenyewezimungu ni mtosha wa kukuponya, ln Shaa Alwah vuta subra.
Allah atampa shifaa kwa rehma zake mtumbatu mwenzangu wa muambe ila muambe jmn hakuendelei kwa mmbo ya uswahil
Allahu mustard´aanu
Allah akufanyie wepesi ndugu yetu. Upowe na usimame.
Allah ampe shifaa ilio Kamil na ampatoe matibabu maskini
اللهم اشفها شفاء لا يغادر سقما ولا الما
Serikali msaidie pia
Mungu akufanyie wepesi
Ewe mola wa mbingu na aridhi mpe e shufaa dada yetu time kwa uwezo wako na kudurazako
Ameen ya rabby
Time ni mwanangu namjua mpaka chumba chake. Anakaa Muwambe kwa Mgogo ama Kwaumbaju ukitoka Ukichomao,Kijiwambo kisha ndio unaingia mtaa anaoishi yeye Bi Time.
Uswahili huo
Kweli anaumwa binafsi nshafika kumuona maana mm ni mshairi na yy pia ni mshair
Ypo muambe sehem nami nikamuone insha allah
Allah muafu mja wako huyu
Huo ni uswahili
Allah yuko pamoj na wewe dada Atakufanyia wepec utapona
Ameen ya rabby
Uswahili huo