OTHMAN MASOUD AHOJI UJENZI WA MASOKO ZANZIBAR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT - Wazalendo Zanzibar
Mhe. Othman Masoud Othman, amesema kwamba Waanchi
wanahitaji kujengewa misingi imara na bora ya kuwezeshwa
kiuchumi kwa kuwa lipo soko la uhakikla la kuweza wananchi
kuuza bidhaa zao za aina watakazozizalisha.
Mhe. Othman ameyasema hayo huko katika Jimbo la Wileza
kwen ye viwanja ya Stela madukani Daraja bovu alipohutubia
mkutano wa hadhara ikiwa ni mwendelezo wa mikutnao ya
chama hicho.
Amesema kwamba wajarisi amali wakiwemo mafundi seremala
wanavipaji na ujuzi mkubwa wa kuzalisha samani zinazohitaki
esana katika soko la ndani na nje ikiwemo kwenye hoteli utalii
zaidi ya 600 zilizopo, lakini anachohitaji ni kuwezeshwa
kutumia zana za kisasa ili azalishe bidhaa bora na kuweza
kupambana na umasikini.
Amfahamisha kwamba hoteli zote zilizopo zinamahitaji
makubwa ya bidhaa za ndani lakini kutokana na kutowezeshwa
wananchi Zaidi ya asilimia 80 ya mahitaji hayo ikiwemo mboga
mboga, mayai , nyama na vyenginevyo vinaagizwa kutoka nje
ya Zanzibar jambo ambalo lingezekana kuwepo kwa wananchi
wanaozalisha.
Sema babaaaaaa
bora wajenge hayo Majengo kuliko izo bilioni kuliwa na watu wachache
miliion 9 !!!😢😢😢 mm laki moja kwa mwezii
Riziki ya mtu huwezi kuila wewe,ndivo tulivoumbwa.Fanya kaziyo upate rizikiyo
PESA TAMUU
Bwana mdogo unapigiwa vingora unalala na majeshi mlandoni mshahara milioni 9 kila mwezi sisi unatufanya mapunguani na serikali Ya umoja ?
Usiseme sisi jisemee wewe mwenyewe tu. Sie wazanzibari tumeridhika na msimamo wake
Tunampendaga makamo wetu jisemee mwenyeoo matako wee
Sasa ndio vp mbona hueleweki
𝖧𝖺𝗐𝖺𝖾𝗅𝖾𝗐𝖾𝗄𝗂
Porojo zimeaza kitambo hakuna Ata moja linano fanyika
Ndio maana liko hilo porojo,maana hawabadiliki wala hawataki kubadilika ili kuepusha maafa ya 2020