JEE TALAKA BILA MASHAHIDI INAHESABIWA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • rai 3 za wanavyuoni kuhusu talaka bila mashahidi kama hua imepita au haikupita

ความคิดเห็น • 51

  • @user-cw4ne1qz4p
    @user-cw4ne1qz4p 27 วันที่ผ่านมา

    Asalama alekum me nilimfumaniya mume ndani kitandani na mwanamke, alafu alikuwa ana kesi nyengine ya wanawake akafungwa me nikajuwa siku kashatiwa jela yy na wazazi wake hakuwahi kuniambiy ki2 chochote , pia Apo mwanza akiliniacha takala2 na siku na mfumania alinitamkiaya mwisho Saiv kashatoka jela anasema ya mwisho hajaniacha ila Me simtaki kwasabb izo aloniafanyia na nilimvumiliya , kwa muda wa miaka5 na alikuwa akinipiga ss me saivi sipo nilisafiri nataka nikirudi nende kwa kazi je, hii inakuwaje

    • @user-cw4ne1qz4p
      @user-cw4ne1qz4p 27 วันที่ผ่านมา

      Na aliponiacha walikuwa hakuna mashahidi na katamkaa na me kwa maumivu alonipa na jisi nilivoishi naye pia Toka aliponiowa hakuwahi kunihudumikiya Bali me ndio nilikuwa na muhifadhi kwasabb nafanya kazi lakini malipo yake ndio hayo ananitiliya wanawake chumbani kwangu pia kunipiga ndio kawaida yake lakini mwisho Allah akamuhukumu kwa zinaa zake akifunguwa bila me kuelewa kinachoenelea chochote me nakuja juwa kashafungwa ss nataka nende kikadai talaka kubwa kazi

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  26 วันที่ผ่านมา

      Ws siku ikiwa mume humtaki ,uko na haki kudai talaka na uwachane nae

  • @hamzaausiy5821
    @hamzaausiy5821 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kati ya Sayyidna Aliy na Ibni Abbas ambao wameishi ni na mtume s .a. w kwanini tufuate rai ya hawa maimamu wengine?

  • @alakhy9448
    @alakhy9448 2 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum,sheikh shukran sana Allah akulipe heri kwa darsa zako hizi.
    Naomba ukipata muda utuelezee juu ya suala la sala ya jamaa msikitini ni wajibu au sunna,maana naona kuna mkanganyiko kidogo.

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  2 ปีที่แล้ว

      Ws inshallah

    • @hassansimba7276
      @hassansimba7276 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@USTADHHUDHEIFAAssalaam alaykum Sheikh

  • @user-ue5ek3vu6w
    @user-ue5ek3vu6w 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa mtume amesema kuwa talaka haina utan sasa hawa mashahid wanin? Mbona ukimuambia mke nimekuacha ishaakiwa talaka na mtume amesema utani wake ndo ukweli wake jee wapi imetajwa lazima mashahidi? Naomba dalili ya hii😊

  • @sikuzani-yf3vf
    @sikuzani-yf3vf ปีที่แล้ว

    A,alykum nauliza talak moja half hujarejew inasihi kupewa yapili

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 ปีที่แล้ว

    Bahari nyengine za ufasaha ni Rizki kutoka kw Allah husilazimishe

  • @shabaniselemani9159
    @shabaniselemani9159 ปีที่แล้ว

    Je wakati wa mtume talaka ilikuwa inahesabiwa bila ya mashahidi wawili au ilikuaje wakati wa mtume maana izo zote ni lai za wanachuoni na maswahaba je kwa mtume je ilikuje?

  • @shabaniselemani9159
    @shabaniselemani9159 ปีที่แล้ว

    Sheikh mi naomba unisaidie ivo vitabu vinaitwaje ambavyo vinaeleza kuwa talaka bila shaidi haikubaliki

  • @nadiaramadhani4398
    @nadiaramadhani4398 ปีที่แล้ว

    Asalam alykum

  • @MishelBarasaotukoOtuko-nf3fe
    @MishelBarasaotukoOtuko-nf3fe 10 หลายเดือนก่อน

    Samahani na akikupa talaka Kwa kukupigia SIM inakubalika

  • @halimaidhrarkurae1178
    @halimaidhrarkurae1178 ปีที่แล้ว

    Je kama Shahidi Ni mmoja hukmu yake nini Ustadh.

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  ปีที่แล้ว

      Sharti ni wawili,bila wawili itakua haijatimia

  • @zuhurasuleiman4986
    @zuhurasuleiman4986 10 หลายเดือนก่อน

    Nia inatosha akitamka TU

  • @shabaniselemani9159
    @shabaniselemani9159 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo sheikh ukimpa talaka mkeo na zikatimia tatu na wakati unampa hapakuwa na mashaidi kwaiyo uyo bado mkeo kwa mujibu wa izo rai tatu

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  ปีที่แล้ว

      Hao wanaosema ni lazima mashahidi,wanasema hio sio talaka bali ni upuuzi hamna talaka yeyote

    • @shabaniselemani9159
      @shabaniselemani9159 ปีที่แล้ว

      @@USTADHHUDHEIFA ok sawa na nikiifuata iyo fatuha na wakati nishampa talaka tatu je sipati zambi maana mimi ni mmoja wavilo janga

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  ปีที่แล้ว +1

      @@shabaniselemani9159 upate dhambj vp na ww umeamua kufuata rai hio

    • @tawadudihaji3907
      @tawadudihaji3907 10 หลายเดือนก่อน

      Hahah

    • @shabaniselemani9159
      @shabaniselemani9159 10 หลายเดือนก่อน

      @@tawadudihaji3907 mbona kama umeshangaaa au

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukran kwa darsa lako, Allah akulipe kila la kheri
    Nina swali dogo katika Mada hii.
    Nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho
    Nimepata faida kuwa, kumbe Kuna maswahaba kama Ali Ibn Abi Talib na Matabiina wakubwa walikuwa na rai kuwa talaka bila mashahidi haijapita
    Nina maswali madogo mawili ya nyongeza
    1. Je mm nimemuandikia talaka mke wangu ya sms nikamtumia, na yeye mke wangu akaipokea na hajaisambaza kwa mtu yoyote. Je itahesabika kuwa ni talaka ya bila ushahidi?
    2. Haya maelezo ya kuwa Ali Ibn Abii Talib na baadhi ya Matabiina Wana Msimamo kuwa talaka bila mashahidi haiswihi, maelezo haya naweza kuyapata katika vitabu gani vya madhehebu ya ahli sunna Wal jamaa?

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  2 ปีที่แล้ว

      Aa angalia kwenye hivi vitabu
      الاءستئناس لتصحيح انكحة الناس
      مصنف عبدالرزق
      الدار المنثور الحافظ السيوطى

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 ปีที่แล้ว

      @@USTADHHUDHEIFA shukran, unaweza kunitajia kurasa za maudhui hii, maana nimefatilia bado sijafanikiwa

    • @shabaniselemani9159
      @shabaniselemani9159 ปีที่แล้ว

      @@abujamalaalghammawiy7470 vp umefuatilia ilo swala kama takaka haiswih bila mashahidi ipo kwenye vitabu gani

    • @tawadudihaji3907
      @tawadudihaji3907 10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna talaki isio swih wakati umempa shahid Allah

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 10 หลายเดือนก่อน

      Haya nisaidie ushahidi kuwa talaka imeswihi kwasababu shahidi ni Allah, halafu mashahidi wanakuwaga wawili, sasa Allah ni mmoja, na shahidi mwengine atakuwa nani?

  • @mammpiko9801
    @mammpiko9801 ปีที่แล้ว

    Kutowa talaka na kilevi inaswikhi

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  ปีที่แล้ว

      Shukran kwa swali lako,plz angalia hio mada kwa channel yangu

  • @mammpiko9801
    @mammpiko9801 ปีที่แล้ว

    Km umelewa Alf ukatowa talaka

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  ปีที่แล้ว

      Shukran kwa swali lako,angalia kwa channel yangu utaipata hio mada

    • @mabrozacpmstancesa1207
      @mabrozacpmstancesa1207 ปีที่แล้ว

      @@USTADHHUDHEIFA Samahani shekhe naomba namba Yako nnashida

  • @ibrahimusaid2145
    @ibrahimusaid2145 2 ปีที่แล้ว

    Swali hapo kwenye mashahidi, je talaka ikiwa kwenye maandishi hufaa kua ushahidi

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  2 ปีที่แล้ว

      Hebu eleza vizuru sijaelewa

    • @kautharramadhan-ej2iy
      @kautharramadhan-ej2iy ปีที่แล้ว

      @@USTADHHUDHEIFA ustadh assalam Aleykum.....ustadh naomba kujua kuhusu swali langu ikiwa mume katamka kwa watu kua nimemuacha s mke wangu bila kumtamkia mke mwenyewe je imeswihi

    • @USTADHHUDHEIFA
      @USTADHHUDHEIFA  ปีที่แล้ว

      @@kautharramadhan-ej2iy haijaswihi,talaka ni baina yako ww na mke na mashahidi

    • @kautharramadhan-ej2iy
      @kautharramadhan-ej2iy ปีที่แล้ว

      @@USTADHHUDHEIFA kwahy ni lazima anitamkie na s kutamka kwa watu

    • @kautharramadhan-ej2iy
      @kautharramadhan-ej2iy ปีที่แล้ว

      @@USTADHHUDHEIFA naomba namba yako ustadh nikupigie