Licardo momo unaujua mpir sana ufafanua vizuri sana sana ubora nitofsuti na perfomance msije sema kanunua mechi masna hamna jema kwa yanga nyinyi wachambuzi
Sasa ww akili yako ndogo wachambuzi waiongelee Simba kwa lipi imepigwa mara4 haijabeba makombe mara3 mfululizo mbaya zaidi ipo shirikisho alafu inakuzidi pointi tumia akili yako tu ya kawaida lazima uende na trending

singida akicheza na simba tutajua ni papatu papatu au bora🤣🤣
Quality na Ubora 😂😂😂
Bila ya kuzungumzia yanga wachambuzi hamuwezi kupata pesa