KIJANA ATOA SADAKA MILIONI 400 KANISANI, AELEZA ALIPOZIPATA PESA ZOTE, WATU WABAKI MIDOMO WAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 156

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 ปีที่แล้ว +22

    Pesa huenda kwenye pesa. KKKT ni kanisa tajiri sana Tanzania, na Lina wafuwasi wafanya biashara wengi sana. Na unajuwa biashara ni biashara ni biashara. Wacha tunyamaze. Tanzania Kuna watu wenye pesa.

    • @thobiasbukali9008
      @thobiasbukali9008 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini useme hivyo,wakati matajiri wa kubwa hapa tz ni waislamu?

    • @evamwinga921
      @evamwinga921 3 ปีที่แล้ว +1

      Inapendeza, inatakiwa tubarikiwe kiroho na kimaisha inatakiwa tubarikiwe, baraka ziwe double double

    • @lastgospel706
      @lastgospel706 3 ปีที่แล้ว

      Lakn warom wametuzidi

    • @shemelaruhinda6113
      @shemelaruhinda6113 3 ปีที่แล้ว +3

      Mimi ni mwislamu naomba mniwezeshe nipate mtaji wa mama ntilie nitashukuru Sana 🙏

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว +1

      na hawajaokoka waliowengi

  • @hapyhongol8044
    @hapyhongol8044 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu nibariki na Mimi natamani kutoa Ila Sina mungu nibariki Ata kwa hiki kidogo niwe na Moyo Kama huuuu mmbarikiwe Sana na mungu awazidishie

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 3 ปีที่แล้ว +18

    Kuna nguvu kubwa katika kumtolea Mungu sadaka wabarikiwe Sana sana

    • @christemba5028
      @christemba5028 3 ปีที่แล้ว

      Wachagga wanajua siri ya kufanikiwa ni kumtolea Mungu. Hao woote nasikia majina ya kichagga tu. Walikua wanasema wachagga waizi kumbe siri ni kumtolea Mungu

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nafamila yangu tunatamani kumtolea Mungu nasi sadaka kubwaaa. Mpaka nimeona wivu. Mungu awabariki Sana.

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 3 ปีที่แล้ว

      Yani mimi nimependa, , wakkt hawana tamaa ya kufungua makani yao, wanachangia tu walilonalo linakuwa kubwa, angekuwa mtu mwingine, angetaka ufungue kanisa lake,, ni tamaa tu sadaka , watu wanataka ukubwa mpaka kanisani

    • @evamwinga921
      @evamwinga921 3 ปีที่แล้ว

      Sadaka hiyo hiyo ulinayo dada ukitoa kwa imani Mungu atakubariki na kukulinda na mabaya yooote

  • @dollamtui5849
    @dollamtui5849 3 ปีที่แล้ว +16

    Mungu nibariki na Mimi amen

    • @mariamnimbo8394
      @mariamnimbo8394 3 ปีที่แล้ว

      Hakika!
      Ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai, sadaka ni kila kwetu, kweli!!!!
      Mungu Mwenyenzi akuzidishie mara elfu, elfu.

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wangu! Mimi naomba jamani watu mniwezeshe mtaji mdogo angalau wa mama ntilie nakosa wa kunipa ata sh 100000 kumbe Kuna watu wanaela hadi raha mungu awabariki Sana tukumbuke nasi jamani wa ali ya chini.

  • @epifaniamwinuka7490
    @epifaniamwinuka7490 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 3 ปีที่แล้ว +6

    Kkkt wanajua maana ya utoaji tunamshukuru mwalimu Mwakasege kwa kutumiwa na MUNGU KUFUNDISHA UMUHIMU NA FAIDA YA KUTOA,

  • @barakakadiva5746
    @barakakadiva5746 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awabariki sana Uncle Davis and friends

  • @salometabu100
    @salometabu100 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana kaka David , maana imeandikwa kadri unavyomtolea Mungu ndivyo utakavyobarikiwa, Amen

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awabariki sana familia ya Davis Mwasha na wote waliochangia ujenzi wa kanisa .Mungu awape maisha marefu yenye heri na baraka tele katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai

  • @malupex6299
    @malupex6299 3 ปีที่แล้ว +16

    Jaribu kunitolea muone kama sitowabariki. Nitabariki familia zenu, nyumba zenu,mali zenu,mifugo yenu, ndoa yenu nk. Sadaka ina nguvu kubwa mbele za Mungu.

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 3 ปีที่แล้ว +1

      Huu ni tapeli wa hali ya juu. Pesa za KKKT zina ufisadi ndani yake. Tusidanganyike. Dini siku hizi ni biashara.

    • @hassanmody3005
      @hassanmody3005 3 ปีที่แล้ว

      La muhimu hizo pesa ni nani wanufaika? kama ni kwa ajili ya kuwasaidia maskini..ni vyema wangepeleka kwa walengwa direct

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 3 ปีที่แล้ว

      @@gracegrace6200 KKKT ni fisadi wakubwa bora niwagawie maskini njiani

  • @SelemanMuhamed-ir5zl
    @SelemanMuhamed-ir5zl ปีที่แล้ว

    Mungu Nomba Nibariki na mimi niweze kukutumikia na pesa zangu

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 3 ปีที่แล้ว +6

    Ubarikiwe sana 🙏

  • @stellarnzasaityuuywydryuyt891
    @stellarnzasaityuuywydryuyt891 ปีที่แล้ว

    Waaau director, you build the house of God,,,he will build yours always....

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 3 ปีที่แล้ว +5

    I like you guys shall God increase you in abundant🙏

  • @getrudalufega9770
    @getrudalufega9770 3 ปีที่แล้ว +7

    Vitu vyote ni Mali ya bwana mungu awabariki kwa kuziteka baraka hizi

  • @hosianamosha389
    @hosianamosha389 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu am bariki sana Next ni mimi

  • @juliethswai9716
    @juliethswai9716 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli Mungu awabariki sana,Mungu nisaidie na mimi kwa kweli,Mungu tusaidie ktk suala la utoaji.

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki Sana kwa utoaji huo

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 3 ปีที่แล้ว +1

    Toa kwa moyo na uchangie kwa kitu cha neema mungu atakusaidia ameen. Ushirikiano ndio muhimu.

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwabariki tena na tena,

  • @kidofongoo1505
    @kidofongoo1505 3 ปีที่แล้ว +1

    Wabarikiw sana kak zt

  • @masalagulangwa3702
    @masalagulangwa3702 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana

  • @davidlengidong
    @davidlengidong 3 ปีที่แล้ว

    Praise the Lord!!

  • @grolymushi7811
    @grolymushi7811 3 ปีที่แล้ว +11

    Million mia moja wakati milioni kumi tu ya mtaji inasumbua jamani bongo watu tunatofautiana

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 3 ปีที่แล้ว

      Naomba kama hutojali nikurekebishe kitu please 😊Niruhusu

    • @zawadirafael5921
      @zawadirafael5921 3 ปีที่แล้ว

      glory acha tu Mimi sh elfu ishirini tu ya kumpeleka mwanangu hospital imenishinda dear

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 3 ปีที่แล้ว

      @@zawadirafael5921 Nakutumiaje hela ya mtoto hospitali?

  • @liliankiondo4457
    @liliankiondo4457 3 ปีที่แล้ว

    Karibu kanisani kwetu na ss utufanyie changizo.Kikubwa Mungu aibariki sadaka yako na ikapate kibal mbele za Mungu

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 ปีที่แล้ว

    Mungu am.bariki na Mimi Mungu anijalie nipate kama yeye

  • @charlottempangala3881
    @charlottempangala3881 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jamani mwenye nacho anaongezewa, watu wanapesa sio hela.

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว +8

    Sadaka yenu ni kubwa,ila iwe safi,si ya dhuluma,wala wizi,wala udanganyifu,wala utapeli,wala ya kutoka katika zinaa,biashara zisizo halali kv bangi,au pombe,nk. Isaya 59:1-4. Na ninyi mnaoingia kanisani mkiwa mmejichubua,mmepaka poda, angle face,heleni,nguo fupi,nguo za kubana,mliosuka nywele,mliovaa Pete,heleni,mliochorwa tatoos,mliojipakaa ina,mlio na chuki na unafiki,mliokesha kwenye vileo ama uasherati na uzinzi,ama zinatokana na waganga au ushirikina,jitafakarini Kama mpo kwa Yesu au shetani. Mlilofanya ni jambo jema kama ni kutoka pato la haki

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli, hili ni jambo jema kama ni kutoka pato la haki...

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 3 ปีที่แล้ว

      Nawezen kukuhakikishia hizo sio pesa Safi.

    • @josephmusagasa5566
      @josephmusagasa5566 3 ปีที่แล้ว

      @@gracegrace6200 inawezekana usemalo,utanipa uhakika kwani hii dunia hadaa walimwengu shujaa

  • @stelayunami7779
    @stelayunami7779 ปีที่แล้ว

    Amejiwekea hazina mbinguni,,Huwa wema wa mtu hauonekani akiwa hai,mara nyingi akishakufa ndo mnawachosha waombolezaji na risala ndefu za kumsifia mwacheni amtolee Mungu wake nyie mnaaoongea mbovu kazi ya kuhukumu ni ya Mungu mwenyewe msimpangie mtu maisha,,,

  • @mackmneneiy7284
    @mackmneneiy7284 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Mungu mkubwa

  • @markmlay8196
    @markmlay8196 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว +5

    Ebwanaeeee watu wana ela mjini

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 3 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe,🙏 ila sidhani kama kunahaja ya kupostiwa kwenye mitandao, ili kufurahisha watu, ni Bora awe amefuraisha mungu

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeen kubwa

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 3 ปีที่แล้ว

    ECCLESIASTES 10:19....but money answerth all things
    All traps failed to catch Jesus Christ but when Chief of Priests gave 30 silver coins (money) to Judas they succeed (Mathew 16:15)
    Abraham the Father of Faith when he was in lack and want, this means he had no money for buying food (when there is famine we can buy from far countries) his wife Sarah was taken because she told kings Abraham is her brother in order to get favour Genesis: 12:16, 20:2, 26:6-11.
    A rich man got miracle because he gave to people and built a synagogue Luke 7:5.
    Next an altar of blessings built by Abraham Genesis 12, Galatians 3:13......In the mighty Name of Jesus Christ....

  • @vickiemerere4056
    @vickiemerere4056 3 ปีที่แล้ว

    Wajina wa mwanangu...nae awe na pesa kukuzidi kwa jina la Yesu

  • @habibkuya3327
    @habibkuya3327 3 ปีที่แล้ว +1

    Milioni 400 zipo wapi? Mbona title ya uongo? Au ndo taaluma yenyewe?

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 ปีที่แล้ว +2

    Wachagaa mungunimwema

  • @yunusimchala9306
    @yunusimchala9306 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa ndie mtz anaemiliki Gari la fahali Aina ya LAMBOGHIN ana hatari Atununulie seetscun huku TANDAHIMBA KWA AJILI YA VIPIMO VYA AFYA

  • @mimimanirakiza6478
    @mimimanirakiza6478 3 ปีที่แล้ว

    Jamani munajuwa kama sisi ndiye hekalu takatifi kwanini munaweka nguvu zaidi kwenye nyumba nyumba hizo kesho zinaweza zikawa kingine kisico mpendeza mungu someni mandiko mujuwe kweli .

  • @chalulumanyenga1151
    @chalulumanyenga1151 3 ปีที่แล้ว

    kwa kweli amemchagia mbuzi

  • @Adammbogo
    @Adammbogo ปีที่แล้ว

    Mkewake wa profesa j ana nguruwe anafuga wa bilioni 270

  • @michaelmenja4251
    @michaelmenja4251 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh! Si angenitafuta hata Mimi anigaie mi hapa kuna siku nimelala njaa afu hiyo misaada haitufikii sisi wahitaji

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 3 ปีที่แล้ว +1

    ieende mbeele injili hiyooooo iende mbeelee....

  • @abelsimon8830
    @abelsimon8830 3 ปีที่แล้ว

    Mmesha pata thawabu ya kushangiliwa

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 ปีที่แล้ว +6

    Imagine kuna mtu anaangalia hapa ,, yeye sadaka yake ni jero tu kila sunday..

    • @auntdorah9141
      @auntdorah9141 3 ปีที่แล้ว

      Mungu haangalii mkononi umebeba nini, bali moyo unasemaje, hivyo ww uliyetoa Jero kama kweli ndio uwezo wako baraka ziko palepale..
      Kinachotakiwa ni kumtolea Bwana bila choyo na kwa moyo wa kupenda.
      Mungu azidi kuwabariki wote..kutoa kuna baraka wapendwa.

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndosadaka inayouma

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 ปีที่แล้ว

    Mungu usinipite na mimi nipate pesa nichangie

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 ปีที่แล้ว

    Loo kweli kanisa shimoni sadaka anae toa ana tangaza neno lina sema ukitoa sadaka mkono waku shoto usione mbona mukitoa buku hamtangazi wazi nisifa ina tafutwa hapo wakuoneje kama tajili sasa yesu tusaidie wanadamu wanaona pesa nyingi lakini wewe ukamuona kikongwe nasadaka ndogo mh

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 3 ปีที่แล้ว

    Tajiri atazurumu masikini atajifichia kanisani, ufalume wa mbingu ni mkubwa sana mungu atulinde.

    • @youngbilioners4631
      @youngbilioners4631 3 ปีที่แล้ว

      Kunapoint apa wafanyakazi wake ukute wanamaisha magumu

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mhh, Kuna watu Wana mihela jamani.

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 3 ปีที่แล้ว +4

    Tz kuna watu wanapesa, ila wana hiari wagonjwa wafe,kwa kukosa matibabu,na pengine kakosa milioni mbilituu

    • @ابوفوادهطجخمخ
      @ابوفوادهطجخمخ 3 ปีที่แล้ว +1

      Nisawa lakini.kumtolea Mungu kunalipa zaidi maana unapotoa sadaka kwa Mungu anakuongezea nitofauti nakumsaidia binadamu ipo nivizuri pia kuwasaidia wagojwa Mungu kwanza

    • @alreadyblessed3474
      @alreadyblessed3474 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ابوفوادهطجخمخ Ni kweli kabisa , halafu pia shida za watu huwezi kuzimaliza utamsadia huyu leo bado siku nyingine atataka kingine, na mwingine pia atahitaji kile na kile, cha msingi ni kuomba Mungu atujalie kukidhi mahitaji yetu ya kila siku na kuwa na ziada kwa ajili ya kutatua changamoto za wengine pia kwa mapenzi ya Mungu.

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 3 ปีที่แล้ว

      @@ابوفوادهطجخمخ wewe ndiye umeandika mimavi haswaa Kwani ulisikia mungu ana shida na swadaka zako. Yeye alipo ni Tajiri. Unapotoa kuwasaidia watu maskini na wenye shida ni sawa na Umejitolea Mwenyewe Sadaka.

    • @Awatee
      @Awatee 3 ปีที่แล้ว

      @@annassuleiman4508 kabisa habibty

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 ปีที่แล้ว

      Jamani kwa shida za watu walizonazo unaweza kuzimaliza kweli! Hata ukiwapa watu wenye shida 1m kwa siku ukawapa watu100 huwezi kumaliza shida za watu wote

  • @frankmtei3017
    @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว +1

    Anza kutoa ulichonacho ni rahisi kufika kiwango cha kutoa hata zaidi ya hiyo

  • @fanuelymgabe3814
    @fanuelymgabe3814 3 ปีที่แล้ว +4

    Ukisema hela ngumu ..ninngum kwako ila kuna watu wanahela yani😂😂

  • @dicksonluena3266
    @dicksonluena3266 3 ปีที่แล้ว

    Usiige kunyakwa Tembo,,,,Alichotoa Kwake kidogo Anacho Zaidiyahapo

  • @aminamtikaonlinetv7305
    @aminamtikaonlinetv7305 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh...........hizi pesa jamani.
    Aiseeeeeee............watu wanapesa sana.

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

    Wakiristo wapo vizuri lkn isiwe wanawapiga sindano wengine

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 3 ปีที่แล้ว

    Msitoe Pesa tu ilimuonekane n.a. watu Toeni moyo yenu kwa Bwana n.a. kuwasaidia masikini n.a. wanani hiyo ndio sadakayakweli

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 3 ปีที่แล้ว

    Unajua mpaka Leo najiuliza kanisa Kama k.k.t mpaka leo ili wajenge ni mpka wazungushe bakuli huku likimiki miradi mikubwa Kaz yake nini na faida kwa mkrsto wa kawaida ninin?

  • @micmac7035
    @micmac7035 3 ปีที่แล้ว

    Jamani! Kuna tofauti Kati ya 400millions na 100millions jamani hata global? Views hazitafutwi kwa style hiyo

  • @amenipasanga9865
    @amenipasanga9865 3 ปีที่แล้ว

    Sadaka

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 3 ปีที่แล้ว

    Kabla ya 2025 na Mimi MUNGU anijalie niwe na uwezo wa kuchangia Mambo ya MUNGU pesa Kama hiyo

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 ปีที่แล้ว

    What a wasted money? Bora mkiwasaidia wanye uhitaji, KKKT ufisadi tu.

  • @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM
    @YINDIMAKUCHICHANEL-DOM 3 ปีที่แล้ว

    Tutafute hela jamani

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 3 ปีที่แล้ว

    David mosha tajirii

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 ปีที่แล้ว

    Sadaka!!!!

  • @youngbilioners4631
    @youngbilioners4631 3 ปีที่แล้ว

    Who is next it's me

  • @Adammbogo
    @Adammbogo ปีที่แล้ว

    Tajiri ukifa huozi

  • @paulfaustin8382
    @paulfaustin8382 3 ปีที่แล้ว +1

    Davis mosha ni bilionea, kwa mtu asiye mjua kwaiyo kutoa kiasi kama kile kwake kawaida, sio sisi makapuku.

    • @hellenmollel6679
      @hellenmollel6679 3 ปีที่แล้ว

      Sijawahi kumsikia huyu mtu kwa kweliii, hawa watu wangetusaidia tuu huku mahospitalini tukapata vifaa tiba jamani

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 3 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona hiyo 400m sijaiona? Nimeona 160m na nyie mmeanza uongo?

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 ปีที่แล้ว

    Kama sio movie hilo kanisa umaskini na michango basi! Labda tu viongozi wawe wabovu!

  • @ابوفوادهطجخمخ
    @ابوفوادهطجخمخ 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kunawatu wamebarikiwa na Mungu wanamtolea vilivyo

    • @humphreymosha1608
      @humphreymosha1608 3 ปีที่แล้ว +1

      Mh Devis Mosha hongera sana kwa utoaji wako

  • @lispafulgence9983
    @lispafulgence9983 3 ปีที่แล้ว

    Kunanguvu kwenye sadaka

  • @rosecornel8014
    @rosecornel8014 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani si anguswe na mimi anione hapa namaisha magumu kama nini hela ya kula tu shida

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 3 ปีที่แล้ว +1

      Fanya kazi.

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว

      Tafta ela kenge wee

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว +1

      Umekosa ya kula lkn umepata ya bando mungu anakuona

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 ปีที่แล้ว

      Pesa ya kula huna lakini unamilki smart phone na bando unanunua nyie ndio mnafanya kuombaomba iwe ajira

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetbertrwiza5982 hahaha aisee hilo jibu lako kuntu vijana hawataki fanya kazi ana tegemea apewe ela tuu kizembe haiwezekani

  • @emyemy2229
    @emyemy2229 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kunawatu wana pesa sijui wanafanyaje kuzipata

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 3 ปีที่แล้ว

    Masifatu.sadaka.haitangazwi.hata.mkono.wako.wakushoto.usijue

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 3 ปีที่แล้ว +3

    kutoa mapesa nyingi sio tatizo, ila tatizo nikwamba unatoa hiyo pesa ukiwa na uhusiano mzuri na Mungu? pia je! hizo pesa zako zinapatikana kwanjia halali? pia je! Unatoa katika roho na KWELI au unatoa ili usifiwe na watu?

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuuuu

  • @tonyipopo8920
    @tonyipopo8920 3 ปีที่แล้ว

    nyie mmeandika 400 yeye kasema 100 muache kuandika uongo

  • @stelayunami7779
    @stelayunami7779 ปีที่แล้ว

    Mlitaka akahongee mwacheni amtolee Muumba wakee,,,

  • @flightclubtanzania1638
    @flightclubtanzania1638 3 ปีที่แล้ว

    Davis Mosha billionea huyu jamaaaa

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 3 ปีที่แล้ว

    Siuchangie.madawa.sptalin.wamama.wanakufa.unaenda.kuwapa.wenyeuwezo

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 3 ปีที่แล้ว

    hizo pesa peleka mwenyewe kwa maskini nako ni vijijini watu wananjaa wana kiu ya maji wana na ni wagonjwa na wapo watu wamehukumiwa gerezani kwa uonevu huku familia zao zikiteseka na njaa hapo ndio Kristo alipotuagiza na pia washa moto wa upendo kwa vijana ili waweze kumuhubiri Kristo ulimwenguni kote nako huko ndipo utakapo pokea baraka zisizo kuwa na kifani

  • @simonraphaeli1426
    @simonraphaeli1426 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo inaitwa halambee mchango waujenzi siosadaka

    • @davidmtabuzi7369
      @davidmtabuzi7369 3 ปีที่แล้ว

      Unajua maana ya sadaka? Sadaka ni hali ya kujitoa katika jambo fulani linaloleta utukufu kwa Mungu, sasa ujenzi wa kanisa unaleta utukufu kwa shetani au kwako?

  • @elifrewjohn8723
    @elifrewjohn8723 3 ปีที่แล้ว

    Mbona sio million 400 as written to the title ☝️☝️☝️

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU natamani kukutolea lakini Sina ata pesa

  • @salehemaga8733
    @salehemaga8733 3 ปีที่แล้ว

    huku umeandika 400 kwanni mnakuwa machoko nyie

  • @majeshikuzenza7301
    @majeshikuzenza7301 3 ปีที่แล้ว

    Mhhh

    • @christopherkajuti3054
      @christopherkajuti3054 3 ปีที่แล้ว

      Jaman naomben no yake sadaka syo kutoa kanisan tu naomben no yake ninawatoto yatima wananielemea akinisaidia atabarikiwa sana

  • @malikally2253
    @malikally2253 3 ปีที่แล้ว

    Huyo mke alikua anagangaika na nywele alitaka azirushe ila ziligoma 😂😂

  • @joelnicas3133
    @joelnicas3133 3 ปีที่แล้ว

    Sadaka zakujionyesha mungu hazipokei

  • @jacobmakono6983
    @jacobmakono6983 3 ปีที่แล้ว

    Hujapanda kwenye udongo mzuri(kkkt)hapo umeliwa..mark my words!..ni shetani anatoa mfuko huu anapeleka huu..

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 3 ปีที่แล้ว

    Hamna sadaka hapo,tujifunze kwa wenzetu waislam ,,,mtu anapeleka sadaka kwa kuficha kanisan,,, wakristo bado tunakaushambaa,,sadaka ipo kwenye midea,,,,,hatari saan,,,kutafta umaarufu tu

    • @deborangura2712
      @deborangura2712 3 ปีที่แล้ว

      Hilo n changzo c sadaka ya Siri..Ni kutoa kwa kuhamasishana ili dhumuni litimie..kma kujengwa kanisa au kusomesha mtu kanisani n.k haipasei kuwa siri

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 3 ปีที่แล้ว

    .

  • @mcback4384
    @mcback4384 3 ปีที่แล้ว

    Hili kanisa linamiliki banks, insurance companies, hotels, schools, universities, investments za kutosha na bado wanachangisha pesa hata kwenye mambo madogo madogo, kuna jamaa wa bank 1 aliniambia haya makanisa kwa week 1 tu kwa mkoa mmoja tu wanaweza kuweka bank zaidi ya million 300 kama sadaka tu za waumini

  • @dicksonmagari8803
    @dicksonmagari8803 3 ปีที่แล้ว +1

    HAIMPENDEZI MUNGU HII KAMWE SADAKA HATA WA PEMBENI YAKO ASIJUE UMETOA NGAPI

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 3 ปีที่แล้ว +2

    Free mason wapo kanisani muwe makini KI-BIBLIA UNAPOTOA SADAKA HATA MKONO WAKO WA KUSHOTO USIJUE SASA MAMILIONI YA KUJITANGAZA HAYA WACHUNGAJI WAPENDA FEDHA SIKU HIZI NI MBAYA SANA.

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 ปีที่แล้ว

    . Dini siku hizi ndiyo imekuwa biashara kubwa duniani. KKKT imenyang’ang’anya wasiokuwa na sauti viwanja vyao na kujenga makanisa. Wakati wa awamu ya nne kulikuwa hakuna pa kuwapeleka. Waliwashika wahusika wote. Makanisa yalikuwa ya kusaidia wanyonge, hili ni kanisa la wafanya biashara wamejipenyeza ndani na kulitumia kufanya biashara zawo bila ya kubuguzwa. Ndiyo maana kanisa hili lilimuchukia sana Hayati Magufuli. Huu ndiyo ukweli. Haya nitapikieni niko tayari. Huu ndiyo ukweli.
    .