Ningekuwa na uwezo wa kubeba gharama zako ningekukaribisha kenya kwa masjid moja utupe hadith kadhaaa na mafunzo ya diini kama week mzima 😂😂😂 In shaa Allah
Jaman niwe mkwe wallah walasur angenioa uyu bwana ningepata starrh dunian na akheraa ningebadilika sana yalabii nikutanishee na shekhee uyu nikirud tanzania anioee❤❤❤
A s w nakuomba umwambie othman maalim atoe mawaidha kuhusu malezi ya watoto inaumiza Jamani kumwachia mama peke yake ndo aongee na watoto wapokosea baba naye aongee Jamani
❤❤❤Asalam aleikum warhamatullah wabatakatuh.. Maashaallah tabarakah Allah Alhamdulillah napenda sana mawaidha yake sheikh othman Allah akujaalie afya njema na uhai uzidi kutuelimisha insha Allah Amiin Ya Allah taqabal Dua insha Allah 🎉🎉🎉🎉
S alaikum warahmtullah wabarakaatuh sheikh Osman nampneda Sana mngu amzidishie amiiin Ombi langu Kama muislam kwa faida za sis sote Namuomba sheikh atuhadithie kisa Cha DHULQARNAIN
😊😊siku nitajipata katika darsa yako au khotuba yako nitakuwa na cheka sana mazungumzo yako na hadith zako hunifunza mengi na hekima hunizidishia
Ningekuwa na uwezo wa kubeba gharama zako ningekukaribisha kenya kwa masjid moja utupe hadith kadhaaa na mafunzo ya diini kama week mzima 😂😂😂 In shaa Allah
Safi
Nampenda sana sheikh othman maalim kwa ajili ya Allah
Me nilitamani Shkh. Othman Maaliim angekuwa Musft wa Africa nzima kulingana na Hekima Unyenyekevu wa Mafunzo yake yenye kueleweka😓🙏
Mashallah hotuba zako shekhe Huwa zinaishi ndani ya nafsi yangu
Mashaallah Allah akuhifadhi n akulinde kutokana na kila dhiki na Shari za dunia qaburin na qiama aamin tnakpend san kwaajil ya allah
Allah akupe maisha marefu,naakuzidishiyekherinyingi.
Jaman niwe mkwe wallah walasur angenioa uyu bwana ningepata starrh dunian na akheraa ningebadilika sana yalabii nikutanishee na shekhee uyu nikirud tanzania anioee❤❤❤
Allha akuzidishie elimu na akuruzuku fahamu sheikh wetu
mungu akuhifazi kwa matendo yako shehe wangu
Mashaallah mungu akupe mwisho mwema
A s w nakuomba umwambie othman maalim atoe mawaidha kuhusu malezi ya watoto inaumiza Jamani kumwachia mama peke yake ndo aongee na watoto wapokosea baba naye aongee Jamani
❤❤❤Asalam aleikum warhamatullah wabatakatuh.. Maashaallah tabarakah Allah Alhamdulillah napenda sana mawaidha yake sheikh othman Allah akujaalie afya njema na uhai uzidi kutuelimisha insha Allah Amiin Ya Allah taqabal Dua insha Allah 🎉🎉🎉🎉
Masha Allah...bahati gani mwenye amehuduria darsa ya shk uthman maalim...ya Rab nijalie angalau siku moja nipate kabla ya mauti
Allahuma ameen ya rabbali alameen
Ameen thuma ameen
S alaikum warahmtullah wabarakaatuh sheikh Osman nampneda Sana mngu amzidishie amiiin
Ombi langu Kama muislam kwa faida za sis sote
Namuomba sheikh atuhadithie kisa Cha DHULQARNAIN
Mashaallah mm napenda t qiraa chako cha quran
A s w nakuomba umwambie othman maalim atoe mawaidha kuhusu malezi ya watoto asiaxhiwe mama peke yake ndo aongee na watoto inaumiza Jamani shehe
Mashalah shekhe wng
Mashalah Allah akutunze❤
Mwenyezi MUNGU akulinde uendelee kutupa elimu
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri
ManshaAllah
Jazakumullah kheirun
احسنت يا شيخنا جزاك الله خير كثير
ماشاء الله تبارك الله يا شيخ
Mashaallah Allah akujaalie maisha marefu tuendelee kupata mawaidha yako ,allah atujalie tuwe pepon wote
Mashaallah shekhe, Allah atuhifadhi sote inshaallah!
Mashallah
ماشاء الله
Mashaallah.Allah akuzidishie Inshaallah kutuelimisha
Mungu akuzidishie shekhe we2 tunajivunia sana
Hakuna ila kuamrisha machafu wanaweza
Nakupenda san shkh wang inshaallah Allah akituek tukiwa wazima au tukiwa hai nakuomb uje unifungishe ndoa nikirudi Oman 🇴🇲
Mashallah
Mashllh
Othman malim mashallah 😊
ALLAH akukubali ndugu yangu uko vema
Hakika othoman nitunu tuliyepewa na alwa
Assalam Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh naomba mnisaidiye mada za Sheikh Othman Malimu zavisa vya Manabii
MashaAllah
Mashalaah
Ma sha Allah
❤
Hakika othoman amefudhu nataman niwe kama othoman maalm
Maulid hayafai na wala hakuna bidaaa mzur.......
Na wewe usiitwe jina maulidi badilisha haraka na upesi
Mashallah
Mashallah
Mashallah