Vijana waliokuwa wahalifu Mombasa wabadili maisha
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2019
- Zaidi ya vijana 20 waliokuwa wakiwahangaisha wakazi wa Old Town mjini Mombasa wameamua kubadilika na kujihusisha na biashara za uvuvi
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya
Alhamdhulillah Allah awaongoze Kaka zetu wote in shaa Allah
اميم
Ameen rabbilalamiin
Amiin Amiin
Ameen yarabby
Hongera vinjana MUNGU ata bariki kazi ta mikono yenu
Ni kuchapa kazi tu sahii hamna mambo mengine wana💯 Mungu wa kwetu sote kaka zangu🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Allah aibariki kazi ya mikono yetu,Ameen🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Thank you JESUS CHRIST. .hakuna jambo ngumu Kwako. .twashukur Mungu Kwa ajiri ya watoto wetu
@alihamdhulilah kwa kweli
MASHA ALLAH,Allah awafungulie riziki za kheri kaka zetu na wengine pia wafate mkondo huu huu kama kule likoni pia twawaombea kwa Allah nao wabadilike inshaallah...Yani nimefurai sana kwa kuwajali vijana wetu,Mungu awabariki sana
Hawa wote tumeinukia pamoja alhamdulilah wamebadlisha maisha yao
Thank God, thank almighty brothers have changed. God bless them with daily bread, waiting to see more change.
Alhamdullillah mwenyeezi mungu awaongoze njia sahihi inshaallah 🙏🙏🙏
🤲🤲
ma sha Allah.... Allah azidi kuwaongoza such nice boys big up my brothers😘😘😘
Allahu akbar.
Twende kazi vijana Kula jasho na halali
Alhamdulillah Allah awafungulie kila LA kheri
Thank God na kazi nzuri kuwapa nafasi hi ya uvuvi badala yakuwafungha gerezani manake kuwafungha inawafanya wanazidi kukuwa sugu
Poa
Poa
Poa
Alhamdulillah twashkuru. Allah awaongoze na awatilie barka kazi yenu nzuri
Yale yakitambo yamepita hata nimekutana nao wameniambia “naomba unisamehe kwa yale ambayo yalipita” wamebadilika MashaAllah Allah awaongoze
Allah atawaongoza kwa njia ya sawa kwa kutafuta rizki za halali, twaombea kwa uwezo wa Allah awaepushe na balaa za dunia Ameen
YES YES YES VIJANA PONGEZI KUBWA KWENU MUNGU AWAONGOZE NA MUSIRUDI TENA KATIKA UHASI HUO WA MWANZO ONE LOVE WASELA
Allahu Akbr
Ma sha Allah.hongereni sana na Allah awaogoze zaidi ya hapo 🤲🤲🤲🇰🇪
Mashalaah mwenye ezi mungu awazidishie inshaalaah
Masha Allahuh mungu zidishie kuwa watu wema yarrab
😭Allah awaruzuku ya halali na afya njema.Furaha kwa watu WA MSA
kheri in sha Allah
Nikweli mashallah hawa vijana wamebadilika kweli Alhamdhulilah. Mungu awajalie kila LA kheri .
ALLHMDULLAH
ماشاله
Mungu ni mwema
Alhamdullilah watoto wetu twawashkuri na uamizi huu meema mungu awe radhi nanyi murudi kwa mungy mule jaoo ndururu but ya halali twawategemea nyinyi vijana wetu wapendwa nyinyi ndio ma baba wa kesho inshalla muwe na mungu na mungu hatowatupa
Mungu atazidi kuwaongoza nawawe na baraka Katika kazi zao namungu atawalinda Amin nawote ambao paka Sasa wapo bado pia mungu awaondolee zahama wamkumbuke mungu wao wawe na Imani .
Alhamdulillah tuko nao hawa wote mtaani and we feel safe. Alhamdulillah
Asanteni ,,,Mungu awabariki
Proud of u shaffi
ALLAH KAREEM WALLAH
Alhamdlillah
Amen mungu azidi kuwabadilisha na wengine
Mui huwa mwema
Ndio uunghwana hu fanya mui kukuwa mwema
Allahmdhulilah Mashallah mola awaongoze
MashAllah MashAllah MashAllah
Halleluyah, Yesu ni bwana.. Amen
Mtihani wa Allah
Allaah ya hadik👌👍
vizuri sana.... but sio mara ya kwanza kusema wanawacha uhalifu
Inshallah washaacha
@@yahyamaryamsaid5307 vizuri Allah awafungulie Barak inshaallah
Mungu awafungulie kila kheri...
alhamdulillah🙏
Alhamdulillah Allah Azidi Kuwa ogoza
allaha. azidi. kuwaogoza. zaidi
Alhamdhulillah
Mashallh❤
Waongo hawo wanadanganya bado wanakaba Na wanapora Ni juzi Tu Mzee wa watu alipigwa Na kuporwa kila kitu Sasa hawo Mimi nasema siku Yao ipo wasijesema tumewasahau walioyafanya
Muhimu sana vijana wangu nasikia furaha kwa minavyo amua sahii
Hakuna hongera mimi nikiwapata chuma tu
Wazazi mkono wapi msikie hii..Halafu utetee mtoto wako...et si mhalifu..Pongezi vijana chapen kazi Mungu awaone..
Allah awaongoze
Nice
Mashaallah
Lakini sai Kuna amani kiasi ukitembea old town
Aaiii....wanajifanya tu
Vijana kazini...tieni bidii na mungu atawasaidia
shafiq nice
Allah awakoe kabisa na msali sana
Allihamdulilah munqu azidi kuwaepushiya
Ambheele yuko wapi mbhona haonekani ama sura yake imebadilika mpaka hatambhuliki?
👍
Sawa boss
@@cattivostanco4579 Thank you for your like
mungu mkubwa atawalinda hapo na penginepo
Walipe kote walikoiba iliwasamehewe
Kama huwezi Kusema boti nyamaza
Aka choka mbaya 😂🤦♂️
Wamerudi tena!
K
j
Bullshit! Bullshit! Bullshit! What about those of us who have suffered in the hands of those terrorists??? Where do we get justice?? Mimi nikapata nafasi nzuri namaliza hao mikora kabisa, nkt! Still feeling the pain I went through in the hands of those thugs.
Kama mungu unamkosea kila leo na bado anakusamehe na unavuta pumzi zake na siku ukiomba msamaha anakusamehe ww kiumbe wa mungu kwanini usisamehe na kuacha yaliopita maana chuki na kiswasi haviishi unapolipiza na wao watalipiza je kumepatikana amani hapo? Kama ww ni muislamu ama mkristo then dini zote mbili zinatufundisha kusamehe na kusimamisha amani.
post
post
Wasingetulia mungewazika makaburini pumbavu nazi
Kwani wewe ukifa utazikwa wapi?
Badilika pia wacha matusi
Yale yakitambo yamepita hata nimekutana nao wameniambia “naomba unisamehe kwa yale ambayo yalipita” wamebadilika MashaAllah Allah awaongoze
Boti la bure hilo limeandikwa bendera ya Japan
Yale yakitambo yamepita hata nimekutana nao wameniambia “naomba unisamehe kwa yale ambayo yalipita” wamebadilika MashaAllah Allah awaongoze
Wallahi MashaAllah