MWENGE WA KAUNTI | Marufuku ya Muguka ( Part 3 )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 4 หลายเดือนก่อน +8

    kama ulaji wa mugukaa na miraa hauna madhara basi wapeni watoto wenu shule

    • @adnanadan457
      @adnanadan457 4 หลายเดือนก่อน +1

      Under age of consent its not legal but above 18 years thats university and college material adults mbona tu tunasaga kwa raha zetu

  • @bekamwaba3571
    @bekamwaba3571 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wallahi koti ikikataa kuskiza maamuzi yetu kama wapwani tutarudisha vuguvugu la kujitenga...hii upumbavu tumechoka nao

  • @MamyHamso
    @MamyHamso 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa wameru ni waongo mbona hawana mishipa ya vichwa kama wa pwani 😂😂😂kwendeni zenu fanyeni chakula kama vyakula vya kawaida

    • @eriksenmwenda2262
      @eriksenmwenda2262 4 หลายเดือนก่อน +1

      Chizi wew😂😂😂😂

    • @denwaizkenya8772
      @denwaizkenya8772 4 หลายเดือนก่อน +2

      Wameru wanakula chakula Kabla wakule Miraa sasa kama hao wapwani wanasahau. Kula chakula what do you expect

    • @MamyHamso
      @MamyHamso 4 หลายเดือนก่อน

      @@denwaizkenya8772 ndio hatutaki kwani pwani ndio kuna pesa ya kenya county zengine ni makaratasi?

  • @mbagajmfalme-simbaa
    @mbagajmfalme-simbaa 4 หลายเดือนก่อน +5

    Uzeni kwenu huko kwani ni lazima muuze mombasa au pwani

  • @halimamistri8638
    @halimamistri8638 4 หลายเดือนก่อน +7

    Wanatumiye miraa kummaliza watu wengie kuleni nyinyi wamero

  • @halimamistri8638
    @halimamistri8638 4 หลายเดือนก่อน +5

    Muguka Ibaniwe kabisa

  • @halimamistri8638
    @halimamistri8638 4 หลายเดือนก่อน +4

    Miraa Muguka impinge marufuku kabisa.

  • @alfanmwatamu9030
    @alfanmwatamu9030 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uzianeni wenyewe sio lazima mtuletee sisi ama hamna midomo yakutafuna wenye midomo ni wa pwani? HATUNA HAJA NAYO kuleni wenyewe

  • @sirn1246
    @sirn1246 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wapige marufuku hio uchafu kabisa, hata meno wanaume hawana

  • @elizabethpflug1304
    @elizabethpflug1304 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii matawi ni mbaya hata kula kwa mtu ni kuona Haya bele za watu lakini ni biashara ya watu. Wanataka pesa kuendesha family Za kumi watu warundi home wakae bila hii matawi. Wakipatikana wafungwe maisha. 😊

  • @bekamwaba3571
    @bekamwaba3571 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tumieni huko kwenu sio huku kwetu amba

  • @adamjin777
    @adamjin777 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wat wa Central walime na wauze huku huku Central. Tatizo limeisha

  • @kinara5365
    @kinara5365 4 หลายเดือนก่อน +1

    kama miraa haina shida kuleni huko kwenu. na kama Mombasa kuna wameru Wacha warudi meru wakakule goks lao

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 หลายเดือนก่อน +2

    This meeting of the president and his remarks must be presented as contempt of court. How did he discuss an issue that was in court. He has done it to influence the courts to rule in one sides favour

  • @MombasaKwetu-ft9ky
    @MombasaKwetu-ft9ky 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uzeni kwenu sio lazima coast

  • @abaraqoabaraqo4999
    @abaraqoabaraqo4999 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mooka I answer ako na nadara nyingi

  • @halimamistri8638
    @halimamistri8638 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kuleni nyinyi wamero

  • @IsmailBaya
    @IsmailBaya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uzeni kwenu

  • @allanmureithi8692
    @allanmureithi8692 4 หลายเดือนก่อน +3

    Papa festus🎉🎉🎉🎉leo haulii

  • @IbrahimHassanChuricha
    @IbrahimHassanChuricha 4 หลายเดือนก่อน

    Mira na mokoka ni kuhasarisha wegene na wegen ana faidika Tena wakati hii 💯 Percent out 50 percent ni wanafunzi

  • @AliabdullahAbdullah-pu2ww
    @AliabdullahAbdullah-pu2ww 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli mugoka sioulevi ispokua inapunguza Kasi za ngino maana ukila mgokaa kuwaza kutafuta eti mrembo uinjoi nae kimapenzi na pia imezuia pia ubakaji imepungua

  • @MohamedBabu-us1nq
    @MohamedBabu-us1nq 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nasema mongokaa si bayaa lakini chida wanafunzi dio wana harabika tunaoba wanafuzi wanzuie kuuziwa

  • @kingpusha-nu6km
    @kingpusha-nu6km 4 หลายเดือนก่อน

    kijeni kisauni Abdul Swamadh tumpe habariyake

  • @RamadhaniMathenge
    @RamadhaniMathenge 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi sikubaliani na hiyo makataa ya mikuka kwani nikukeuka haki kwani mikukaa hijasibiswa na kitengo cha afia tuabiwee mikukaa hiliuwa nani hichini pili sile pombee zinauzwa kwa vilabu kote hichini pia ni atia mimi nakubaliana na makataa ya mahakama

  • @faizalabdi7873
    @faizalabdi7873 4 หลายเดือนก่อน

    14:00 hana menu, KINAYA hiyo

  • @IsmailBaya
    @IsmailBaya 4 หลายเดือนก่อน

    Si lazima mtuletee uku uzeni uko mbali

  • @NewtonNjeru-p9s
    @NewtonNjeru-p9s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Utazuiya mtu addicted aji sasa

  • @KennethMutembei-jl5po
    @KennethMutembei-jl5po 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii biashara imesaidia wengi ki uchumi

    • @jojiado
      @jojiado 4 หลายเดือนก่อน

      Hata bangi na cocain sio

  • @ruthkarimi2646
    @ruthkarimi2646 4 หลายเดือนก่อน

    Zipungwe kabisa inaharibu watoto

  • @howto3013
    @howto3013 4 หลายเดือนก่อน

    Lakini ulevi hawajaban pombe

  • @SIDI1590
    @SIDI1590 4 หลายเดือนก่อน

    This is politics mazee

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 4 หลายเดือนก่อน

    Sleepless huoni nimaradhi

  • @dickensojiambo275
    @dickensojiambo275 4 หลายเดือนก่อน

    Muguka unachapa kazi umechangamka ni stimulants

  • @conquerorvictor5072
    @conquerorvictor5072 4 หลายเดือนก่อน

    Miraa ni poa

  • @SIDI1590
    @SIDI1590 4 หลายเดือนก่อน

    Should not be sold to anyone under 18

  • @AliabdullahAbdullah-pu2ww
    @AliabdullahAbdullah-pu2ww 4 หลายเดือนก่อน

    Ngono

  • @tida3727
    @tida3727 4 หลายเดือนก่อน +1

    But for sure mogoka nikama haina effect sana.
    Ilikuwa marufuku like for a week..
    Acha tupige marufuju bangi n others at least for 3days tuone kama uchizi utakuwa ama ni vipi.
    Mogoka tumeona hata hawajachange lolote.They were ok n normal.we really observed this

    • @-xm6qj
      @-xm6qj 4 หลายเดือนก่อน

      Watu huku Mombasa wajipara kama samaki wasema nini wewe

    • @tida3727
      @tida3727 4 หลายเดือนก่อน

      @@-xm6qj sijaona hayo majirani Wa mogoka wengi..hayo sijayaona hata.

    • @-xm6qj
      @-xm6qj 4 หลายเดือนก่อน

      @@tida3727 uzeni kwenu tuache tule unga wetu na tunywe mnazi wetu pandeni mugoka kwenu muuzie huko huko kwenu

    • @tida3727
      @tida3727 4 หลายเดือนก่อน

      @@-xm6qj are you taking it personal. Nani kakwabia Mombasa ni ya kwako peke yako?!.
      Ulizaliwa Mombasani peke yako kwani..
      Talk sense acha kufikiria halfpint...alafu waangazia watoto wetu walambe unga?!/kutojielewa ni ugojwa hauna tiba kweli...
      Wewe ni mzazi Wa nani lakini..I pity your generation.

    • @-xm6qj
      @-xm6qj 4 หลายเดือนก่อน

      @@tida3727 kikuyuni NI kwa wakikuyu kama ujaluoni NI kwa wajaluo... Mombasa na pwani NI kwa waswahili na mijikenda... Usiwahi sahau KUWA Sisi ndio the first civilization in the east African region... Tukipigana na Portuguese for 200 good years nyingi nmulikua hamujui hata kama kuna kitu inaitwa bahari you were still hunter gathers... Ndio maana mpka waleo mukija Mombasa munaitwa wanyika.. meaning half savage. Mswahili anaitwa muungwana meaning the civilised... Nairobi ilijengwa na mbritish juzi so yes Mombasa sio kwenu

  • @halimamistri8638
    @halimamistri8638 4 หลายเดือนก่อน

    Inaharibu watu wengine watu wegine wanatiya mfukuko

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani mombasa sio kenya ama mnataka kusema nini...wameru mnakaa smart sana congratulations 👏🎉muguka to the world

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 4 หลายเดือนก่อน

    Pikeni mule na Sima washenziiii

  • @halimamistri8638
    @halimamistri8638 4 หลายเดือนก่อน

    Watowe meraa , walime mahindi

  • @adnanshariff9359
    @adnanshariff9359 4 หลายเดือนก่อน

    Wameru wanatumia spells kuuza mogokaa so ndio maana imeanza kuchizisha watu

  • @Vincentmwangi-co8hr
    @Vincentmwangi-co8hr 3 หลายเดือนก่อน

    Munguka nibaya xna

  • @Vincentmwangi-co8hr
    @Vincentmwangi-co8hr 3 หลายเดือนก่อน

    Kweni zeni

  • @mosesmwema7829
    @mosesmwema7829 4 หลายเดือนก่อน

    Rais anafaa asikize pande zote mbili .

  • @barista631
    @barista631 4 หลายเดือนก่อน

    Wote zamani mbona mliacha

  • @jojiado
    @jojiado 4 หลายเดือนก่อน

    Jaba, bangi,