Sasa hivyo vipanga mnaumiza raia wa kawaida hau viongozi? Mnaowatesa ni wananchi wa kawaida ambao na wenyewe pia wanahangaika, hao viongozi wanaowatumia uwa mnauwa family zao hau mnauwa hao wenzenu ambao wanahangaika? Msijusifie uislam kuuwa ni dhambi haijalishi ni sababu ya maisha magumu hau ni kupenda kwenu
@@mansoormannix1753 sikiliza hiyo clip vizuri utamsikia akimuongea au anaye wadhamini usijitie uziwi na upofu tumia akili ya kizaliwa usijifanye pumbumbu!
DCI wameona hii, Kukosa kaz Io sio sabab ya kumfanya binadamu apoteze maisha, wangap hawana kaz na wametulia, watu wanafanya ukulima na vitu vingine lakin sio kupokonya watoto wa shule mabag na kudhulumu mama mjazito
Wewe Uwislamu ni unadhifu hakuna kufa kawaida Mutaumia Mumezalewa likoni mme kulia likoni Kenya Amuijui hayo maneno yenu Mnayo danganywa ni Sonko hole wenu Yeye mwenyewe SONKO mwizi Mtaumia .
Waache ujinga na uvivu hawa wachangamke watafute kazi hata wanaowaangamiza hawana hatia wajue pia Mungu halali ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga pia.
Si lazima mtu aandikwe kazi, tafuta mbinu za kujitegemea. Doing crime with the excuse of unemployment is not an excuse, Islam forbid stealing or harming innocent people and there's no paradise for murderers my friend. Try to create your own jobs rather than looking for excuses.
The government must not entertain the militias muderers. Matiangi Vijana yako tuma Kwa hii fifaranga vya SONKO Wanacheza na maisha ya wakenya Eti wataendeleza kupinga Wakenya Mapanga Kwani Mombasa hakuna Sirkali ya kulinda Wakenya MATIANGI hawa wawe mfano kwa wengine wao Kutisha Maisha ya wakenya wa Mombasa county. Hawa awastaili kuwa miongoni Mwa RAIA Wema. WATENGWE Kivyovyote vile.
Remember pwani si Kenya guy? The government purged him out. Under no circumstance can you threaten a government. Issues addressed are legit but committing a crime as a form of bargain then you loss the course. Lastly huislamu si ithini ya kujipiga kifua
hawa matiangi enda uwamalize moja moja wawache ujinga Sisi sote hatuna kazi serikalini mbona hatapiga watu mapanga kwani kma niwaislam kweli muuwe watu kisha pepo uingie we bc mungu takua sio msawa washenzi nyie
Vijana acheni hizo mm nilikua muhuni 1993 nilikua na story yakutafutiwa kazi na sikupewa 1997 mwenyewe nikachangamka biashara ya marondo ikanitoa kwa umaskini na uhuni
Sasa anatishia serikali ya nini, eleza shida zako but usitishie serikali. Uhuru ametendekeza sana hawa watu. Lets hope Ruto awatengeze hawa kunguru once & for all 💯🤞
Hawa kweli akili zao Nina maradhi.... Yani huku Kufa ndio upate pepo wakuchukuliaje? Sio ufe ukifanya uhalifu, dhulma ama uharibifu katika ardhi. Ni ufe Ukiutetea uislamu ama ufe katika kutetea haki yako wakati wadhulumiwa. Wala sio uuwe watu wasokuwa na hatia ukitarajia pepo. UTAKWENDA MOTONI KWA UPUZI WAKO MWENYEWE
Huyo Jaja Bempa alikua lini chafu ..huyo ndio anaetumua vijana vibaya sana hayo maneno ni Jaja ..ndio mwenye kupanga act iyo..vijana wetu ni kazi ndio hawataki kujituma..
Yaani mnaambia serikali kwamba nilazima kazi ama muendelee kuuwa wanainchi,,,,,,noma hii nanyi kama nipesa mlipawa mtaje majina ya wanasiasa ageni kabisa
Huu ni ujingaa wa sonkoo peana hamsini hamsini na ugovernor huupati I.a na swali ni kwambaa wako wapii walindaa usalama lazima vijanaa wakamatwe kwa kuogeaaa upuzii kama huu
tusahau yaliyopita kweli vijana wametuumiza but facts wameongea bad leadership is the cause of evrythg that is happening in mombasa. any leader ambaye ataangalia hawa vijana we should all vote for him for a better future
Sonko ataka hawa vijana washikwe ndio aende awatowee.. Ndio ajulikane mombasa.. Hawa vijana hawa ata I'd ya Kenya na kura.. Sonko ndio ata arebu mombasa ilembaya
Hawa vijana they only need food ni njaa ndio inawasumbua ju hata nguvu ya kukata mtu Hawana, nashangaa they are group leaders and they look like Streets kids wapewe ugali na samaki washibe kwanza then will deal with them when their stomach is full
Mutasubiri sana kWa serikali labda resasi. Hata hamuna haya kusema kua munafanya uhalifu kuumiza watu Sababu ni kukosa kazi . Kwani hao wanasiasa si muliwachagua nyinyi wenyewe miaka yote !!!!!! Sasa munalilia nini?
Who am I to judge? Anyone who confess his /her sins is the wise one ever these youths deserves the best Kenya sahi maisha ni ngumu hata tulio na kazi twalia 😭😭😭jee wasio na kazi 😭😭sasa wameanza kusema sonko has employed thugs, nop mimi I prefer sonko kuliko hao watoto wa makochini 😏😏
Hawa ambhawo wamekoment hapa chini ya video ndiwo wanawachokora vijana ambhawo wanaoamua kuwacaha uhalifu na kusarenda ili koti iweze kuwasamehe ama kuwapunguzia kifungho chao
watoto wamakochini tu hawa sio wahuni makatuni tu wana haribu jina la uislamu wanafkir ni sifa uislamu haufundishi uhuni acheni kujificha ndani ya uislamu tabu mnajitakia wenyewe kazi mtapewa watu wangapi bahari free kueni wavuvi
Mombasa palikuwa na wahuni wenye roho mbaya ata iyo yake ni kidogo sana...walijitia wababe hawaelewi lakini makende zilitulizwa tu na sai wengi wao wamejitaftia kazi wenyewe bila ya mtu yoyote kuwatafutia....wengine pia walikarangizwa venye uyu kishipa ywasema kuwa haogopi kufa, ngoja apatane na wazee wa team building askari roho zao zilizikwa lakini bado wako hai ndo watafurahi.....ukitaka sonko tafuta sonko pole pole bila kutishia watu Bure nyote kidongoni chakula Cha mchwa.... anyway just a reminder Kenya police believe in bullets more than discussions💯
uislam haifundishi muvute bangi na maunga kisha muje kuuwe watu kisha ati hakuna kazi mtauliwa hapa na Kwa mungu motoni
😂
Waisilamu hatuungi mkono uhuni don't blame people by doing what's wrong,Allah like a person who change and even people like
Uislamu ni amani
My brothers tuko wengi sanaa hatuna makazi mukisema mumechoka urongo tuko wengi tumechokaaa ileee mbayaa pia sisi twaeza weka panga juu
Ukifariki leo ♌️ utamwambia mungu ulikatakata watu juu ya kukosa kazi lazy,,,, iness,,
Sasa hivyo vipanga mnaumiza raia wa kawaida hau viongozi? Mnaowatesa ni wananchi wa kawaida ambao na wenyewe pia wanahangaika, hao viongozi wanaowatumia uwa mnauwa family zao hau mnauwa hao wenzenu ambao wanahangaika? Msijusifie uislam kuuwa ni dhambi haijalishi ni sababu ya maisha magumu hau ni kupenda kwenu
Maskini pesa mbaya washapewa miatanotano waatarisha maisha.wenye vipanga uwezi waona hapa.
Nawahurumia hao vijana
Mushatumwa nyinyi
Nani kawatuma?
@@mansoormannix1753 sikiliza hiyo clip vizuri utamsikia akimuongea au anaye wadhamini usijitie uziwi na upofu tumia akili ya kizaliwa usijifanye pumbumbu!
@@chozilasamaki5473 amemention Joho kisha huyu jamaa anaitwa khalid kasema washatumwa nami namuuliza Khalid nani kawatuma
wawekwe tu risasi na serikali
DCI wameona hii,
Kukosa kaz Io sio sabab ya kumfanya binadamu apoteze maisha, wangap hawana kaz na wametulia, watu wanafanya ukulima na vitu vingine lakin sio kupokonya watoto wa shule mabag na kudhulumu mama mjazito
😱
Inna lillah waina lillah rajiun
Wewe Uwislamu ni unadhifu hakuna kufa kawaida Mutaumia Mumezalewa likoni mme kulia likoni Kenya Amuijui hayo maneno yenu Mnayo danganywa ni Sonko hole wenu Yeye mwenyewe SONKO mwizi Mtaumia .
Duuuh 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
Waache ujinga na uvivu hawa wachangamke watafute kazi hata wanaowaangamiza hawana hatia wajue pia Mungu halali ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga pia.
Bt vipanga sio kwa raia ambao hawana makosa hiyo siyo sawa
Mtihani wallahi 😰
Hawamjui hata mungu hao
The guys are correct, honour the orders and everybody will be safe.
Subhaana llah mmeua wengi mno
Si lazima mtu aandikwe kazi, tafuta mbinu za kujitegemea.
Doing crime with the excuse of unemployment is not an excuse, Islam forbid stealing or harming innocent people and there's no paradise for murderers my friend.
Try to create your own jobs rather than looking for excuses.
Hanma kazi nendeni kwa hao magavana mukawangaishe lakini co raiya wacyo kuwa na hatia
Wombeni mungu, sonko atawashika mkono.
Bangi na njaa ni akili vumbi😅😂🤣
Wezesha ma youth
Najua Nn Wanapitia Ndugu Zangu Hata Sisi Kufanikiwa Ni Mungu Tu Lakini Idleness Ni Sumu Mbaya Sana
The government must not entertain the militias muderers. Matiangi Vijana yako tuma Kwa hii fifaranga vya SONKO Wanacheza na maisha ya wakenya Eti wataendeleza kupinga Wakenya Mapanga Kwani Mombasa hakuna Sirkali ya kulinda Wakenya MATIANGI hawa wawe mfano kwa wengine wao Kutisha Maisha ya wakenya wa Mombasa county. Hawa awastaili kuwa miongoni Mwa RAIA Wema. WATENGWE Kivyovyote vile.
Police should arrest all of them
Ignore Sonko at your own peril, this guy is a street hustler and he understands the plight of ordinary people.
U don't need to be a governor to do that fanya kama wataka Na una nia
Remember pwani si Kenya guy? The government purged him out. Under no circumstance can you threaten a government. Issues addressed are legit but committing a crime as a form of bargain then you loss the course. Lastly huislamu si ithini ya kujipiga kifua
Muguhawape..niayakubadilika.kakazagu
Muwache ujinga kudhuru watu tafuteni safari muondoke mujitafutie
hawa matiangi enda uwamalize moja moja wawache ujinga Sisi sote hatuna kazi serikalini mbona hatapiga watu mapanga kwani kma niwaislam kweli muuwe watu kisha pepo uingie we bc mungu takua sio msawa washenzi nyie
Mimi naona afadhali washikwe wauwawe wamalizwe hatakama hawaogopi kula waooo
Vijana acheni hizo mm nilikua muhuni 1993 nilikua na story yakutafutiwa kazi na sikupewa 1997 mwenyewe nikachangamka biashara ya marondo ikanitoa kwa umaskini na uhuni
❤
Sasa anatishia serikali ya nini, eleza shida zako but usitishie serikali. Uhuru ametendekeza sana hawa watu. Lets hope Ruto awatengeze hawa kunguru once & for all 💯🤞
Jamaa / kaka akavaa jezi ya Chicago bulls lakini ya sema Lakers….
Hapo ni big problem
Sasa mbona hamuendi kumdhuru huyo mhusika mwajeruhi watu tu
Nenda mkazengee godowni mkapige ungara,nguvu yenyewe hamna za kubeba gunia kilo60
Chaka to chaka my foot wahuni njaa wa kiduruma na wadigo hawa kusoma pumbavuu ati hamu wezi ona pepo mpaka mfe ume ongea ushuzi
Xaana chaka
Hawa kweli akili zao Nina maradhi.... Yani huku Kufa ndio upate pepo wakuchukuliaje?
Sio ufe ukifanya uhalifu, dhulma ama uharibifu katika ardhi. Ni ufe Ukiutetea uislamu ama ufe katika kutetea haki yako wakati wadhulumiwa. Wala sio uuwe watu wasokuwa na hatia ukitarajia pepo. UTAKWENDA MOTONI KWA UPUZI WAKO MWENYEWE
Sasa kama waishi na nyanya sasa naona wataka kuishi na kitunguu thomo🤣🤣
Futeni unga na bangi risasi haijui bangi
Shenzi type, endeleeni mfe hamna faida, wala governor mnamsingizia,
Uchungu sana
Huyo Jaja Bempa alikua lini chafu ..huyo ndio anaetumua vijana vibaya sana hayo maneno ni Jaja ..ndio mwenye kupanga act iyo..vijana wetu ni kazi ndio hawataki kujituma..
Sawa Jaja Ameongea Na Hao Vijana .....Nyinyi Kama Wakazi yaelekea Wapi Likoni Ama Hamuoni
Tanzania yako haya jamani sasa gavana mbaya sana duuu auliwe
Allah awaongoze Hawa vijana
Ameen
Aamin waskitisha sana
Hakuna pepo ya kupiga watu mapanga na kuuza bangi! Sonko ulishindwa na kazi kwenu bara kwa hiyo hukuona kwengine pakuchezea ispokuwa pwani?
We tulia wcha kijana aje afanye kazi
Kwani huku hakuna wenyewe?
Hamjitumii
Nilijua wanatumiwa Hawa ndungu zetu
Washikwe hawa
Ni kifu wakisubirii 2 hao kuna ya zaidi ya 3letters wako wpi saii
Kama huo gopi kwa nini mwajificha
Yaani mnaambia serikali kwamba nilazima kazi ama muendelee kuuwa wanainchi,,,,,,noma hii nanyi kama nipesa mlipawa mtaje majina ya wanasiasa ageni kabisa
Sasa cmtafute hao wanasiasa mbona mnaduru watu hawa hatia nyinyi ninwajinga tu
Wacheni kujiita waislamu uwisilamu si kupinga watu mapanga
Aki true
Haya pelekeni jela wakapate mikate yakila siku
Maisha mafupi rudini na mujisalimishe kwa mungu nae ndie mwenye kuruzuku waja wake
Siwaende wakafanye mjengo. Vijana barobaro mnataka kula kirahisi na bahari kubwa iko krb na nyie acheni uvivu na kutumia madawa ya kulevya.
Sonko apana brother
We hata kazini utaramba faida gani
Huu ni ujingaa wa sonkoo peana hamsini hamsini na ugovernor huupati I.a na swali ni kwambaa wako wapii walindaa usalama lazima vijanaa wakamatwe kwa kuogeaaa upuzii kama huu
Hawa wasakwe wapigwe marisasi
Nenda katafuta Kazi za mjengo,dini yenu hairuhusu
😅😅😅
tusahau yaliyopita kweli vijana wametuumiza but facts wameongea bad leadership is the cause of evrythg that is happening in mombasa. any leader ambaye ataangalia hawa vijana we should all vote for him for a better future
Sonko keshafungiwa, hawezi tena kugombea ugavana
Sasa mushajitowa sura ngoje mkono wa sheria uwatie mikononi sasa
Jaja wacha kuongea upuzi ww umeoa juzi tu ww leo hii umekuwa chafu wacha kutumia vijana vibaya
Huyu anatoka mtaa gani bro kama ambae nilimuona ujamaa
Wazazi wataanza kulia..
Hivyo vipanga pigeni hao viongozi..🤔🤔..
Muelekeo Hadi utafute mwenyewe, wengine wetu tumeuza sukuma na kadhalika ,mbona hatukuchagua panga,mwisho wenu pia itakua hivyo hivyo
Msiingize dini kwa uhalifu
Raia Sisi makosa yetu iko wapi, nendeni mkampige joho na wenzake
Sonko ataka hawa vijana washikwe ndio aende awatowee.. Ndio ajulikane mombasa.. Hawa vijana hawa ata I'd ya Kenya na kura.. Sonko ndio ata arebu mombasa ilembaya
Wakenya, tusaidie vijana...ni bora kwataftia Ajira ya aina yoyote, hatakama ni Mia mbili kwa siku....
Sisi wenyewe hatuna ajira na hatukati watu vipanga.
Jaja Bempa uache kutumia vijana wa migomban vbaya wew..jaja tafuta kazi za kufanya...kazi wanazikimbia wenyewe.
Sasa c mukawakate ao mnaowapa kura na awawapenajira mbn muwaumize wanaoteseka kama nyinyi
Nyote mumeisha
Hawa vijana they only need food ni njaa ndio inawasumbua ju hata nguvu ya kukata mtu Hawana, nashangaa they are group leaders and they look like Streets kids wapewe ugali na samaki washibe kwanza then will deal with them when their stomach is full
Cocaine kwa sanaaaa, ndio sababu wamekonda.
cheki sura zao vile zilivyo mbaya
Na sasa wamwera ama koti wakiwasumbhua hawa vijana basi watahisabika kama wakumbhavu kubwa na siri za gavana zimefichuliwa kuna zaidi ya hayo kujua?
sasa where is the government,ama bado they are waiting for evidence?
RIP
Suluhisho.ni uislam utawale.kama serikali utamaliza matatizo.yote
Mutasubiri sana kWa serikali labda resasi. Hata hamuna haya kusema kua munafanya uhalifu kuumiza watu Sababu ni kukosa kazi . Kwani hao wanasiasa si muliwachagua nyinyi wenyewe miaka yote !!!!!! Sasa munalilia nini?
Wanasiasa wanakata viuno majukwaani
uislamu hausemi utende dhambi, ili uwende peponi, acheni kuongea upuzi nyinyi, tafuteni vibarua mfanye
Mmmh and they say they are muslims nkt
Who am I to judge? Anyone who confess his /her sins is the wise one ever these youths deserves the best Kenya sahi maisha ni ngumu hata tulio na kazi twalia 😭😭😭jee wasio na kazi 😭😭sasa wameanza kusema sonko has employed thugs, nop mimi I prefer sonko kuliko hao watoto wa makochini 😏😏
Piga risasi wao wameuwa watu wangapi hakuna msamaha wala hawata badilika hao
Mola ajua yote usishtumu yeyote
@@jamesamimo4578 wanapo uwa
@@omarswaleh6082 pamoja bro nimekuelewa sasa
Tatizo mumelalisha akili zenu kutegemea wanasiasa
Hawa ambhawo wamekoment hapa chini ya video ndiwo wanawachokora vijana ambhawo wanaoamua kuwacaha uhalifu na kusarenda ili koti iweze kuwasamehe ama kuwapunguzia kifungho chao
matiangi hawa wanatisha serikali na nyinyi mko endeni mkawauwe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@naturetrend2023 ndio dawa yao
endeni mkavue mkalime mkauze njugu sio kuandikwa kazi hatuezi watu wote
Kwa Ivo wakikatakata watu ndio wanalipwa ama si KAZI ni mingi TU ATA wanted awakusoma
endeni mkavue mkalime mkauze njugu sio kuandikwa kazi
Hawa wanafaa kufungwa wanatuharibia watoto shenzi
wallah yan n shida kweli😢😢Allah atunusur n vizazi vyetu🙏🙏🙏
@@halimamimarich3799 Amiin Amiin Amiin
watoto wamakochini tu hawa sio wahuni makatuni tu wana haribu jina la uislamu wanafkir ni sifa uislamu haufundishi uhuni acheni kujificha ndani ya uislamu tabu mnajitakia wenyewe kazi mtapewa watu wangapi bahari free kueni wavuvi
Huyu sonko kelele tu na alifutwa kazi nairobi
Wapewe hata tender ya kusimamia vyo vya ummah wasimamie na kupata ajira.
Hawatafanya watasema kazi Gani hii yakisengee😂
death around the corner
Mombasa palikuwa na wahuni wenye roho mbaya ata iyo yake ni kidogo sana...walijitia wababe hawaelewi lakini makende zilitulizwa tu na sai wengi wao wamejitaftia kazi wenyewe bila ya mtu yoyote kuwatafutia....wengine pia walikarangizwa venye uyu kishipa ywasema kuwa haogopi kufa, ngoja apatane na wazee wa team building askari roho zao zilizikwa lakini bado wako hai ndo watafurahi.....ukitaka sonko tafuta sonko pole pole bila kutishia watu Bure nyote kidongoni chakula Cha mchwa.... anyway just a reminder Kenya police believe in bullets more than discussions💯
Better tell them, you live by the sword,you die by the sword, whatever you do to any body whether good turn or bad,so shall it be,
Ehhhhhh njoo KiSAUNI Ww⚒🗡⚔
Hawa wenyewe ata akuna mtu anaweza rusha panga wanavamia wamama wasoko