FAHAMU HISTORIA YA NGOMA YA WANGONI LIZOMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 11

  • @shyfettymtunda4935
    @shyfettymtunda4935 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni vizuri kurithisha hii ngoma kwa vizazi vijavyo. Vinginevyo utamaduni utatoweka. Maafisa utamaduni angalieni hili kwa jicho la tatu.

    • @agneskomba4865
      @agneskomba4865 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa Muhimu sana tutaishia kwenye masingeli tu.

    • @shyfettymtunda4935
      @shyfettymtunda4935 4 ปีที่แล้ว

      @@agneskomba4865 Kizazi cha viduku na singeli! Inasikitisha na kuumiza kwakweli.Maana Taifa lisilojua utamaduni wao ni sawa na Taifa mfu.

  • @petrocharles1000
    @petrocharles1000 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda ngoma zetu nimeazima cm ili nikumbushe yakwetu

  • @matokeokidatochanneelias4883
    @matokeokidatochanneelias4883 4 ปีที่แล้ว

    Huyo Bibi ni hatari yupo vizuri sana

  • @agneskomba4865
    @agneskomba4865 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo bibi tunamtunzaje ananidai kitenge

  • @zuhuramustafa3936
    @zuhuramustafa3936 4 ปีที่แล้ว

    Zuhura

  • @samalyoce6625
    @samalyoce6625 5 ปีที่แล้ว

    Muongo huyo hakuna tamaduni ya unyago na jando katika ungoni

    • @nonosuka4109
      @nonosuka4109 6 หลายเดือนก่อน

      ipo inategemea ni ukoo gan