Muhammad Bachu AWASAMBARATISHA MAJADIDA WOTE KWA MANENO YA MAULAMAA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @jamilanassor6975
    @jamilanassor6975 ปีที่แล้ว

    Ma sha allah natamani vijana wetu wonte waende mwendo wako bachu allah waogoze vijana wetu wonte ameen

  • @azirymohamed7656
    @azirymohamed7656 ปีที่แล้ว

    Bachu bachu mashaallah nataka nikukabidhi mwangu Mohammed miaka 5 utembenae tu abebemkoba wako wa vitabu

  • @shekhmansoor5421
    @shekhmansoor5421 2 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah wallahi shekh unatufunza wengi Allah akufanyie wepesi katika juhudi zako na ningekua na uwezo ninge kuja kuhudhuria darsa zako live

    • @abuuirfan9523
      @abuuirfan9523 2 ปีที่แล้ว

      Hata na mimi pia nina azma hiyo

  • @zaheeralarmiye2468
    @zaheeralarmiye2468 2 ปีที่แล้ว +3

    Bahati nzuri kumbe mnajijua vizuri kama nyie mawahabi ni masheytwani.
    Na nyie ndo mlio uleta huu mfarakano ktk uislam.

    • @khamisptrany9393
      @khamisptrany9393 2 ปีที่แล้ว

      Muwahabi hakanyagi ardhi yoyote ila arainajis kwa fitna zao, na wala hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake
      . Ovyoooo inapapurana kama mijikewenza yagombea mume

  • @ummaumona6593
    @ummaumona6593 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah.. Hebu mfatilie sheikh fauzani wallahi mche Allah kwa kutoeka maneno ya sheikh fauzani katika sehemu yake

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว

    MAASHAALLAH ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA AKULINDE

  • @ZuhraMiraji
    @ZuhraMiraji ปีที่แล้ว

    Allah akuongoze
    Kasome wewe acha porojo
    Hujielew

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 ปีที่แล้ว

    masha llah
    shekh kijana mwenzetu vijana tucmame ktk hakki
    cıo kuwaachia wazeee ndıo
    wanatupeleka ktk Barzanji
    halafu husema ohhhh
    mtume SAW cjuı cku ya kiyaaama nn
    ıpuuıız mtupu
    Jazakum Allah khayran
    Muhammad Bachu

  • @jabalutv3359
    @jabalutv3359 2 ปีที่แล้ว +3

    Jazzakallahu khayran sheikh

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    وَيَوْمَ يَعَضُّ الظَّالِمُ عَلَىٰ يَدَيْهِ يَقُولُ يَا لَيْتَنِي اتَّخَذْتُ مَعَ الرَّسُولِ سَبِيلًا (27) يَا وَيْلَتَىٰ لَيْتَنِي لَمْ أَتَّخِذْ فُلَانًا خَلِيلًا

  • @AlHilaalyOnlineTV
    @AlHilaalyOnlineTV 2 ปีที่แล้ว +7

    Naona umekubuhu kwenye uhizbi

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    قَدْ كَانَتْ لَكُمْ أُسْوَةٌ حَسَنَةٌ فِي إِبْرَاهِيمَ وَالَّذِينَ مَعَهُ إِذْ قَالُوا لِقَوْمِهِمْ إِنَّا بُرَآءُ مِنكُمْ وَمِمَّا تَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّهِ كَفَرْنَا بِكُمْ وَبَدَا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمُ الْعَدَاوَةُ وَالْبَغْضَاءُ أَبَدًا حَتَّىٰ تُؤْمِنُوا بِاللَّهِ وَحْدَهُ

  • @hawahasan7705
    @hawahasan7705 หลายเดือนก่อน

    Mashaalaaa

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    عن أبي سعيد الخدري رضي الله عنه قال : سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول : ( من رأى منكم منكرا فليغيره بيده ، فإن لم يستطع فبلسانه ، فإن لم يستطع فبقلبه ، وذلك أضعف الإيمان ) رواه مسلم

  • @nasilukilawaga7094
    @nasilukilawaga7094 2 ปีที่แล้ว

    Duh! Allah akuongoze

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 2 ปีที่แล้ว

    Tofauti ya Mohamed na Baba ake ni moja,we Muhamed umekaa sana kimipasho wakati Maalim Bachu alijikita sana kwenye madundisho..hana mipasho..very occasion hugusia mada zenye ikhtilafu,kwani msimamo wake ulishaeleweka zamani ...tafadhali jitafakari

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا عَدُوِّي وَعَدُوَّكُمْ أَوْلِيَاءَ تُلْقُونَ إِلَيْهِم بِالْمَوَدَّةِ وَقَدْ كَفَرُوا بِمَا جَاءَكُم مِّنَ الْحَقِّ

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    Allah pia ameusema vibaya kujikusanya kwa pamoja wakati tonatafautiana katika itqaad
    تَحْسَبُهُمْ جَمِيعًا وَقُلُوبُهُمْ شَتَّىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَوْمٌ لَّا يَعْقِلُونَ

  • @mtagalalahmtagalalah1018
    @mtagalalahmtagalalah1018 2 ปีที่แล้ว +1

    Akhy baba yako alikua Ni shekh mweny hekima Sana

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 ปีที่แล้ว +1

    Naogopa yasije yakatokea Yale wakati wamaswahaba zikapotea Roho za waislam wao kwa wao chanzo ilikua fitna nahichi kinachoendelea baina ya waislam wazamahizi nifitna kubwa naimeshakolea ALLAH atuhifadhi

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa Sheikh wetu Muhammad nacho shukan sana kwa kuwanyoosha icho chama cha masalafiya jadidah

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    Na Allah pia anaeleza moja ya sababu ya kutofautiana na kua makundi ni kunyamaziana mabaya wanayotenda baadhi yetu, hivyo na kunasihi ndugi yangu hicho unachokiongea hapo tambua kua ni makosa, na inahitajika toba ya wazi juu ya jambo unalolitenda.

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah yaa sheikh muhamed,yani nikisikiliza maneno yako na maneno ya sheikh swaleh al fauzani yanafanana kwaio ni wazi kabisa maneno yako yanaenda sambamba na maneno ya maulamaa,kwaio nakuomba viunganishe na vipande vya sheikh swaleh al fauzani ili watu waamini hasa kama haya mambo yapo na pia watu wajue haki kisawa sawa.
    Kwa hakika sisi tutaendelea kukuombea dua sheikh muhamed ili uendelee kupambanua haki na batwil.

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 ปีที่แล้ว

      @@matendupiterngoge8707 ikiwa yeye anae amri mema na kukataza mabaya unamwita hana adabu je na hawa ambao hawapo ktk mstari wa sawa sawa tuwaite vipi.
      Haki ndio inazingatiwa ata itoke kwa shetani.

    • @saidali9379
      @saidali9379 2 ปีที่แล้ว

      Allah akujazi kila kheri insha Allah amlipe kheri sheikh Nassor Bachu! Babayo!

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    وعن أَبي موسى الأَشعَرِيِّ : أَن النَّبِيَّ ﷺ قَالَ: إِنَّما مثَلُ الجلِيس الصَّالِحِ وَجَلِيسِ السُّوءِ: كَحَامِلِ المِسْكِ، وَنَافِخِ الْكِيرِ، فَحامِلُ المِسْكِ إِمَّا أَنْ يُحْذِيَكَ، وَإِمَّا أَنْ تَبْتَاعَ مِنْهُ، وَإِمَّا أَنْ تَجِدَ مِنْهُ ريحًا طيِّبةً، ونَافِخُ الكِيرِ إِمَّا أَن يَحْرِقَ ثِيابَكَ، وإمَّا أَنْ تَجِدَ مِنْهُ رِيحًا مُنْتِنَةً متفقٌ عَلَيهِ.

  • @zuwenasleiman3587
    @zuwenasleiman3587 2 ปีที่แล้ว

    Bachu nakupenda kwa misimamo yako

  • @manhajisalafi8355
    @manhajisalafi8355 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha ujinga ww unajiona sheikh kasome kwaxaa

  • @AlHilaalyOnlineTV
    @AlHilaalyOnlineTV 2 ปีที่แล้ว +8

    Duuh povu la kutoka..watu wameshawaelewa..nyinyi ni mahizbi...mche mola wako we kijana

  • @saidirashid7552
    @saidirashid7552 2 ปีที่แล้ว +1

    Unasema kweli Sheikh Allah akulipe

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 ปีที่แล้ว

    Uislam umebakia ni kuradiana tu huku mashia wanakufurusha maswahaba,huku masalafy jadidi wanaritadisha waislam,

  • @amourshehe5373
    @amourshehe5373 2 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa shehe

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    Pia kusema maovu ya mtu anayechafua dini katika hali ya kutahadharisha watu au kuatambulisha watu si katika kusengenya wanachuoni wamekusanya beti ya kua mambo sita si ktk kusengenya wamesema
    قدح ليس بغيبة في الستة - متظالم ومعارف ومحاذر
    ومضاهر فسق ومستفت ومن - طلب الإعانة في إزالة منكر
    Ndio maana katika dini kuna mlango waitwa jerh wa taadil

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 2 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar

  • @allysalim5946
    @allysalim5946 2 ปีที่แล้ว +1

    Majadida ni mayahudi vimsikit vyao vina peramid

    • @suleymannassoro3709
      @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

      Usibeze misikiti usije ukaingia katika kufuru akhy,
      Allah anasema
      وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّهِ
      Na hata msikiti wa mtume ulikua wa makuti ya mtende na madongo je waweza beza hicho, Allah akuongoze

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    Kisikiti kidogo kama kitundu chendege Mche mola omba toba hapo

  • @sudikisebengo8414
    @sudikisebengo8414 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulipe kila juhud unazozifanya mwenye akili ameelewa km atakuckilza kwa makini had mwixho bila ya uxhabiki uliyoyazungumza

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 2 ปีที่แล้ว

    Sasa hiyo yakusema huu ni usheitwani unakidhibiti gani kwa hayo majadida?
    Mbona hatujaona Shekh kaya aynisha kwa watu flani nyinyi mbina mwa ainisha kwa watu flani hilo kigezo mmekitolea wapi?

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 2 ปีที่แล้ว

    Kubwa jinga hili halijui kunukuu maneno ya wanachuon

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Acha papapra acha dawa ikuingie

  • @husseinabdul7948
    @husseinabdul7948 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah !Wazee wetu elimu yao ilkua ndogo vyuo vichache lkn hao wachache walionekana wengi ktk jami na elimu yao ndogo ilileta tija sehem kubwa kwa masikitiko makubwa leo vyuo vingi wasomi wengi lkn heshima ya uislam inaondka taratibu sie atuoni ila twa flai kutupiana mabango tu Allah s.w.t atuhifadh na atuzidishie elimu na aturudhuku ufahamu

  • @ummaumona6593
    @ummaumona6593 2 ปีที่แล้ว

    Ndo wanazuoni wa sunna

  • @husseinabdul7948
    @husseinabdul7948 2 ปีที่แล้ว

    Kila 1 wetu awe makini na ije ihisia ya uzuni kwa haya yanayo endelea ktk mujitamaa w kislam n khatari tusichukulie simple like that issue km hiz nyuma pasije kua n nguvu - . Natuwe makiini uislam usije alibikia mikononi mwetu maana din n Aamana . Sio simba na Yanga

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

    Huyo ni Wahhabi na hao anaowazozea pia ni MaWahhabi. Majina yao mabayaaaa!!! Majadida, Masalafi na Maanswari, wanachuana mchuano mkali kabisaaaa!!!! Sie yetu macho. Karibuni watashikiana mapanga.

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuwa nkifatilia mwanzo ilmu yako illa naona umeanza kuwa mhizbi umeanza kufata maslahi kuanzia nimeondoka katika mitandao hii yako naku unsurbsribe

    • @muslimmassoud2673
      @muslimmassoud2673 2 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @nasibuabasi4701
      @nasibuabasi4701 ปีที่แล้ว

      Sasa hapa unamuambia nani maana shekh ananukuu maneno ya wanachuoni nahii ndio shida yenu majadida

    • @nasibuabasi4701
      @nasibuabasi4701 ปีที่แล้ว

      Majadida hawataki kuwambiwa ukweli

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 2 ปีที่แล้ว +1

    Tusubiri rududd zitamiminika kama mvua

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 2 ปีที่แล้ว

      Unaijua swala yako vzur lakini? au we ni mshabiki wa raddi tu

  • @abumaryam283
    @abumaryam283 2 ปีที่แล้ว

    Kusoma ibara za kiarabu huwezi kuvitaja vitabu huwezi
    Kuwa taja maulaam huwezi
    Kila nikikutaza ume jawaa na riaaa
    Na kikii

  • @ABC-ls7jg
    @ABC-ls7jg 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe msemaji ushatukana na kuwasema wangapi?
    Je uliwafuata kuwanasihi?
    Mbona wewe hukubaliani na dalili za wengine katika waislamu?
    Baina ya Barahiyani na Abul Fadhl nani alieanza kumsema mwenzake?
    Msikiti hata uwe mdogo si jambo jema kuubeza kwasababu ni nyumba ya Allah na hutajwa yeye ndani yake

  • @suleymannassoro3709
    @suleymannassoro3709 ปีที่แล้ว

    Akhy wallah naandika hizi comment wakat nasikiliza hii audio nimegundua makosa mengi kisha kuna baadhi ya Ayaaat unatafsiri kinyumenyume wakati Allah amesema
    وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ افْتَرَىٰ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ وَهُوَ يُدْعَىٰ إِلَى الْإِسْلَامِ ۚ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

  • @bibiekuloga8608
    @bibiekuloga8608 2 ปีที่แล้ว

    Ww Bachu simtuwasu nn a unatetea usuf naww ndio shetwan ameku pitia una chuki aunakitu wewe niasidiwasunna

  • @YahyaAbdul-hafidhi
    @YahyaAbdul-hafidhi ปีที่แล้ว

    Tokea upite munaqasha wewe mtoto wa bachu umetoka hadhi kwangu kwasababu wewe ni mbishi na huna jawabu utakalo pewa likawa sawa kwako wewe hukusoma umesoma ubishi tu nakama ijaza wewe umeivaa haswa unawatukanisha walimu wako walokusomesha ukaidi na utovu wa adabu

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri 2 ปีที่แล้ว

    Tunamngoja humeyd amwage razi🤣🤣🤣

    • @muslimmassoud2673
      @muslimmassoud2673 2 ปีที่แล้ว

      Uyo sheikh Abdallah humeid mda wa kukaa na kuskiliza hana

    • @dullahmihuri
      @dullahmihuri 2 ปีที่แล้ว

      @@muslimmassoud2673 Nadhan haumajua🤣🤣🤣 Km kuna bingwa wa radd afrika mashariki hii bc yeye namba moja, mbili, na tatu

    • @dullahmihuri
      @dullahmihuri 2 ปีที่แล้ว

      @@muslimmassoud2673 Humjui humeyd ww

    • @muslimmassoud2673
      @muslimmassoud2673 2 ปีที่แล้ว

      @@dullahmihuri cw

    • @alhamdulillahalhamdulillah7529
      @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 ปีที่แล้ว

      Yaani nimecheka wasomi wazama hizi Allah awaongoze

  • @saidihaji3739
    @saidihaji3739 2 ปีที่แล้ว

    MAWAHABI WANAKULANA WAO KWA WAO
    ...... ...... ....... ..... ...
    NA KILA SIKU WATAZIDI KUGAWANYIKA MAKUNDI MAKUNDI ..
    MMEWAGAWA SAANA WAISLAMU..
    SASA ALLAH ANAKUONESHENI MATOKEO YA KAZI ZENU .
    .............. ......... ...........
    UMMA ULIKUWA KITU KIMOJA LAKIN BAADA YA KUJA MAWAHABI WAMEUFARAKANISHA MAKUNDI MAKUNDI ...
    ........... ............ ......... .......
    SASA ONJENI MATOKEO YA KAZI YENU .

  • @algakire
    @algakire 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunamiss darsa za nahwu kbsa😑😑😑

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahahahaha. Pole sana

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 ปีที่แล้ว

    Wahabi vs jadida = vurugu tupu

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 2 ปีที่แล้ว

    Naona kuna watu wana comment mara 5 au zaid maudhui yeny kufanan lengo lenu ni nn??
    ... au kam mwaona ayasemayo shaykh Muhammad sio ya sawa ...elezeni tu kwa ubainifu kama kuna haja ya kufany hivyo laaa kama si hivyo kaen kimya ..watu watafaham bi idhnillah...

    • @jumaali6101
      @jumaali6101 2 ปีที่แล้ว

      ao wanaojitapa kua ni wasomi na masheikh wao basi wanaelewa na wanafahamu vizuri anchoongea sheikh Muhammad lakn kwa sababu mifano yao ipo kwenye Qur an hawatoikubali haqqi

    • @nuramoboy
      @nuramoboy 2 ปีที่แล้ว

      Sh namkubali sana ,baba ake alikuwa ni maalim wangu pale Rahaleo,na kikwajuni kabla hata msikiti haujajengwa,tofauti kule tulikuwa tunasoma darsa huyu mipasho tuuu na yeye kukandia wengine..Shekhe tafadhali wacha hitilafu unayosema ni kweli ila usifanye challenge

    • @salimmote8431
      @salimmote8431 2 ปีที่แล้ว

      Mashallah maneno hayo yasiwe ya upende na mshikamano uwe kwa waisilamu wote isionekane anawarekebisha kundi moja lishikamane kwa kuleta kejeli kwa waislam wengine tushikamane mwanamme asimzarau mwanamme mwenzie na mwanamke asimzarau mwanamke mwenzie huenda huyo unae mzarau akawa mbora mbele ya Allah