LEO MUISLAMU AMEFIKA (KISII DAY 12 UJUMBE UNAEDELEA)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
- WARNING OF LAST DAYS, ni channel ya kujulisha watu ukweli na kitabu cha mwenyezi mungu,nakutagaza ujumbe wa malaika wa tatu(ufunuo 14:6-5)_lego letu nikutetea Neno la MUNGU yaani bibilia , ili tuweke wazi Imani ya kweli,pia kuwajulisha kabila zote na jamaa na dunia zima ujumbe wa malaika wa tatu yaani ujumbe wa mwisho
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa Kazi ambayo Munafanya
2 Timothy 4:3-4
Nangojea mdahalo pamoja na waislamu wa kisii
Dacha kibiko yao, waambie ukweli , wewe fanya kazi ya mungu vile umetumwa mwenye atafuata atauona ufalme wa mungu
Asanteni sanà
Ndacha ni kiboko cha waislamu
Kiboko Cha wasiojielewa ,mzee wa kubandika bandika maandiko na kuwaziba macho wakristo 😂😂😂
Kama maandiko ipi
Mungu hawabe hekima na mahalifa
Uislamu ni hatari sana
@@macdonaldotieno5010 toa andiko...
@@ibruzah001Q2:63 Q72:1-14
Quran 72:1-3
4:79
Akuna mali mungu atakuja kujukwa dini ,mungu ako nahaja n mioyo iliyo mkupali mtu ameajana n yaulimwengu akafwata amri z mungu kwa ivio tuzpoteze watu waupilie wamgeukie mungu wane na dambi mwili wako ndio hekalu dakatifu
Watu watakufa juu wamegeukiwa dambi kuliko kumgeukia mungu n wafikilia serekari itawazaidia by now niww na mungu wako ata pastor awezi kukujuwa mbingu geuka mpone n muwe nauzima w mlele
Mungu hufnya maujiza kupitia manabii zake.
Amen hallelujah
Mahubiri mazuri sana
Mchungaji Ndacha ule mdahalo wa mwezi wa nane kule Tanzania ni lini?
Ndacha barikiwa wewe na roho yako ni mwalimu tosha kwa kutupea injili
wakiristo mufahamu kua waisilamu ibada yao ni mara tano kila siku na ijumaa iko katika hizo mara tano kisha ijumaa iko time ya mchana swala ya dhuhri haijakua speshol kama wakiristo munavyo dai
sabato imebadilishiwa siku nyengine kwa mujibu wa bibilia je ni ipi wambie wakiristo wafahamu ndacha ni ipi?
Ukisonga Songa ivyo uguzie wajane tunaumia mioyoni mwetu na Tuko na watoto waizo Boma
neno sisi linalo muhusu mungu katika quran inamaanisha utukufu hata katika bibilia imefasiriwa hivyo wacha kudangaya watu ndacha
😂😂😂 ndacha safii huyo muislam hana lolote
Huyu muislamu ambambanya mbambanya maandiko bila ya kuelewa maana ya maandiko mengine😂😂😂
Waislam mlikua maficho ya kiarabu sasa ilitabiriws Kila kinachojificha kitafichuliwa wakati umefika
Mungu kamleta huyo
Ndacha si muongo maana vitabu vyote vipi hapo na mashehe wapi. Waislam mmepotea saaana
Wana utatu na waislam tulieni mpate dawa
L
Unamungu wangapi?
Dini yako gani?
Kimaandiko😂😂😂😂😂
Ndacha ni mwongo sana. Hakuna chochote anafunza ila ni kuwapoteza tu watu. Kazi yake ni kuweka maandiko viraka na kugeuza maandiko ili aeneza hoja zake za uwongo.
Anajua ukweli ni Uisilamu, lakini anakataa maandiko sahihi kwa sababu ya ukafiri wake.
Hoja yako kaka... njoo wazi kwa mada
@opujejoshmahjoshmah1432 Hoja yangu iko wazi kaka... Ndacha awache kueneza uwongo. Afunze imani yake bila ya kuingilia imani ya wengine.
Lakini kwa sababu imani yake ni ya uwongo na batili, anajaribu kupaka imani ya wengine matope ili aonekane msafi. Hana lolote la kufunza watu kuhusu imani yake ya uwongo.
Kama kweli imani yake ni ya kweli, si afunze watu kuhusu ibada sahihi, namna ya kuishi, maisha ya akhera, matendo mazuri na mabaya, na kadhalika.
Uisilamu ndio dini ya haki na ukweli ambae ina mafundisho haya yote.
Pole
Pole
@@lupakisyomwasibata7062 pole ya nini??