WARNING OF THE LAST DAYS
WARNING OF THE LAST DAYS
  • 1 192
  • 968 422

วีดีโอ

MWISHO WA WACHUNGAJI WA UWONGO UTAKUWAJE? sikiliza paka mwisho.
มุมมอง 2774 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#subscribe
MAADIKO HAYA YAMEMKANGANYA SHAFI SHOMARI KUUSU UBATIZO.
มุมมอง 6099 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#subscribe
MIUJIZA YA UWONGO MUSIKITIINI NA KANISA ZA UWONGO
มุมมอง 95114 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#subscribe
TUTAISHI VIPI NYAKATI HIZI ZA HATARI
มุมมอง 226วันที่ผ่านมา
#subscribe subscribe
MATUKIO YA MWISHO NA MBINO FICHE YA SHETANI KATIKA MIUNGANIKO MINGI YA KIDUNIA.
มุมมอง 474วันที่ผ่านมา
#subscribe
AMRI KUMI NDIO NGUZO YA WASAFIRI WA MBINGUNI
มุมมอง 644วันที่ผ่านมา
#subscribe
ENTI MUNGU NI MIUNGU UWONGO WA PASTOR SEMBA WA TANZANIA
มุมมอง 1.5K14 วันที่ผ่านมา
#subscribe 20k
UISLAMU SIO DIN YA KWELI BY-SHEDRANK MWASONYA KUTOKA TANZANIA
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
UISLAMU SIO DIN YA KWELI BY-SHEDRANK MWASONYA KUTOKA TANZANIA
SHEDRACK MWASONYA KATIKA UBORA WAKE
มุมมอง 654หลายเดือนก่อน
SHEDRACK MWASONYA KATIKA UBORA WAKE
KARIBUNI WOTE KWA GROUP HII ILI TUFANIKISHE MKUTANO WA TANZANIA
มุมมอง 408หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWA GROUP HII ILI TUFANIKISHE MKUTANO WA TANZANIA
MWANKEMWA AJUI CHRISTMAS 🎄 NI YA WA PANGANI, SIO SHEREHE YA KWELI.
MWANKEMWA AJUI CHRISTMAS 🎄 NI YA WA PANGANI, SIO SHEREHE YA KWELI.
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA SEH 5 (PART 5)
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA SEH 5 (PART 5)
TUSALIE KATIKA KWELI, WOTE MAKUENI HAPPY SABBATH
มุมมอง 459หลายเดือนก่อน
TUSALIE KATIKA KWELI, WOTE MAKUENI HAPPY SABBATH
MWANKEMWA DANIEL -AKATAA UKWELI KUHUSU SUNDAY ☀️ LAW.
มุมมอง 2K2 หลายเดือนก่อน
MWANKEMWA DANIEL -AKATAA UKWELI KUHUSU SUNDAY ☀️ LAW.
KUZIMU NI WAPI- UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA
มุมมอง 8262 หลายเดือนก่อน
KUZIMU NI WAPI- UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA
FAHAMU KIINI CHA SHEREHE KAMA CHRISTMAS NA ZINGINEZO KUPITIA KITABU HIKI
มุมมอง 1912 หลายเดือนก่อน
FAHAMU KIINI CHA SHEREHE KAMA CHRISTMAS NA ZINGINEZO KUPITIA KITABU HIKI
THE ORIGIN OF THE CHRISTINE FESTIVAL(PLEASE HAVE THIS BOOK 📚)
มุมมอง 1432 หลายเดือนก่อน
THE ORIGIN OF THE CHRISTINE FESTIVAL(PLEASE HAVE THIS BOOK 📚)
NO TURNING BACK (AKUNA KURUDI NYUMA-CAMP MEETING AT KITENGELA)
มุมมอง 4782 หลายเดือนก่อน
NO TURNING BACK (AKUNA KURUDI NYUMA-CAMP MEETING AT KITENGELA)
UMUHIMU WA MAOMBI (THE POWER OF PRAYER)
มุมมอง 2412 หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA MAOMBI (THE POWER OF PRAYER)
UNYAKUO WA SIRI NI FUNDISHO LA UWONGO (SECRET RAPTURE IS NOT BIBILICAL)
มุมมอง 2872 หลายเดือนก่อน
UNYAKUO WA SIRI NI FUNDISHO LA UWONGO (SECRET RAPTURE IS NOT BIBILICAL)
WAKATI WA TAABU YA YAKOBO (THE TIME OF JACOB'S TROUBLE)
มุมมอง 5332 หลายเดือนก่อน
WAKATI WA TAABU YA YAKOBO (THE TIME OF JACOB'S TROUBLE)
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA ENTI HEKALU NYINGINE LITAJENGWA (part 4)
มุมมอง 6842 หลายเดือนก่อน
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA ENTI HEKALU NYINGINE LITAJENGWA (part 4)
USUHUDA WA MUSHIRIKI WA S.D.A GC ,WATU WANAEDELEA KUFUNGUKA MACHO.
มุมมอง 7372 หลายเดือนก่อน
USUHUDA WA MUSHIRIKI WA S.D.A GC ,WATU WANAEDELEA KUFUNGUKA MACHO.
UJUMBE KWA VIJANA WOTE (MARRIAGE ADVICE)
มุมมอง 4182 หลายเดือนก่อน
UJUMBE KWA VIJANA WOTE (MARRIAGE ADVICE)
JESUS IS THE SON OF GOD ACCORDING TO THE SCRIPTURES
มุมมอง 4232 หลายเดือนก่อน
JESUS IS THE SON OF GOD ACCORDING TO THE SCRIPTURES
KUMBE DANIEL MWANKEMWA ANAKULA NGURUWE.
มุมมอง 5082 หลายเดือนก่อน
KUMBE DANIEL MWANKEMWA ANAKULA NGURUWE.
HATIMAY DANIEL MWANKEMWA AMENITAFUTA , LIVE ON ONE
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
HATIMAY DANIEL MWANKEMWA AMENITAFUTA , LIVE ON ONE
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA KUUSU SABATO SEH 3
มุมมอง 5112 หลายเดือนก่อน
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA KUUSU SABATO SEH 3
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA KUUSU SABATO SEH 2
มุมมอง 8922 หลายเดือนก่อน
UWONGO WA DANIEL MWANKEMWA WAFICHULIWA KUUSU SABATO SEH 2

ความคิดเห็น

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Onyango barikiwa Sana mtumishi mahubiri Moto Moto

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen sana watumishi

  • @warningvoiceoflastdays5823
    @warningvoiceoflastdays5823 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Karibuni nyote

  • @AristoteNkurunziza
    @AristoteNkurunziza 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Awo wacoongo habajuwikitu , tunawasikiliza kutoka Goma SDA maranatha

  • @UhaiNzombe
    @UhaiNzombe 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Weka hubir zima tusikilize acha kunukuu point moja alaf unakuja na kelel zako apa nyie ndo mnasoma msitar mmoja kwny bible then mnaenda kufungua makanisa kwa faida yenu

    • @warningoflastdays254
      @warningoflastdays254 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani hii Ni nusu

    • @warningoflastdays254
      @warningoflastdays254 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ama auni

    • @UhaiNzombe
      @UhaiNzombe 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@warningoflastdays254 Ni nusu ndiyo alafu mnatakiwa muielewe point anayoizungumzia kwanza kasema miungu akaumba ww umemskia anasema miungu wakaumba acheni kiwachafua watumishi wa MUNGU mtapata laana

    • @warningoflastdays254
      @warningoflastdays254 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sikiliza kwaza usiwe mwempesa Wa kuhukumu

    • @UhaiNzombe
      @UhaiNzombe 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@warningoflastdays254 Wewe ndio umemhukum ebu tuma full video uone utavojifunga mwenyewe

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 วันที่ผ่านมา

    Mtume Muhammad ametabiriwa katika vitabu vilivopita huyo waraka bin naufal alikuwa ni msomi wa vitabu vilivopita ndio akajua kupitia hivo vitabu akajua kuwa Muhammad ni mtume wa Allah, wala sio kwamba huyo Waraka ndie aliemtuma mtume Muhammad, wewe Ndacha unapotosha watu wewe huna uwelewa wa kuujua uislamu

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 วันที่ผ่านมา

    Wacongo mujifunze biblia hamujui hata chembechembe munapindupinduwa maandiko biblia hamuyielewi hata kidogo

  • @AristoteNkurunziza
    @AristoteNkurunziza วันที่ผ่านมา

    Pastabarikiwasana Mungu akuwezeshe🎉

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 2 วันที่ผ่านมา

    Amen sana mtumishi

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 3 วันที่ผ่านมา

    This message is very true and I am always telling some Christians and there is in Ankole in Uganda an association called @Twezikye (let's bury each other) i.e (Tuzikane).I tell them not to join but thy Rebuke me badly.

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 3 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @alexmukama3801
    @alexmukama3801 3 วันที่ผ่านมา

    Thank you for teaching us n show people the light

  • @alexmukama3801
    @alexmukama3801 4 วันที่ผ่านมา

    Thank you man this shaff if you like the gospel come to Bible school you will know it nicely. Pls shaff come to Christ stop ignoring the word

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 3 วันที่ผ่านมา

      He has appreciated John 17:3 if he continues 4,5,6 he will learn that Jesus is the son of God fullstop

  • @alexmukama3801
    @alexmukama3801 4 วันที่ผ่านมา

    This man hi doesn't understand anything about Bible

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 3 วันที่ผ่านมา

      Shafi ama huyu mwalimu?? Huyu ni shujaa sana

  • @alexmukama3801
    @alexmukama3801 4 วันที่ผ่านมา

    Thank you sir for answering this man ..I told you Muslim the don't understand the gospel of Jesus Chris

  • @johnkamangara5426
    @johnkamangara5426 4 วันที่ผ่านมา

    na hua wanaa jitoa kupitia mandiko ya Biblia

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 4 วันที่ผ่านมา

    Kuna anayeamini kuwa E. G. White alikuwa nabii/mtumishi wa Yesu? Hasa tukizingatia vipimo vya andiko hili 👇 Gal 1:8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe. 9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 4 วันที่ผ่านมา

    Safari ya Washika Sabato (sio washika imani ya Yesu. "wengi" imani ya Yesu ni vazi tu la kondoo ingawa wao sio kondoo) : 👇 1. James Bates (who later changed his name to Joseph Bates) alianza kuhubiri watu washike sabato. miaka ya 1840s 2. William Miller akaja na ufunuo kuwa Yesu atarudi mwaka 1844, na E. G. White naye aliamini hayo. Alikuwa anahudhuria mikutano ya William Miller na kusubiri Yesu kurudi. 3. Ilipofika 1844 Yesu hakurudi, wale wafuasi waliovamiwa na hizo roho za mafundisho ya uongo wakawa very disappointed. 4. Badala ya kutubu, wale wafuasi wakakusanyana tena kuangalia walikosea wapi katika kila ambacho bado wanaamini ni kweli. Wakaja na maelezo kuwa William Miller alipiga hesabu sahihi ila alikosea tafsiri 🤣. 5. Hapo ukatengenezwa uongo mpya; ili wafuasi wasipotee, wakapewa uongo mwingine. 6. E. White akaoneshwa maono juu ya sabato. Akamtumia kama barua James Bates kuhusu maono hayo. Maono yake yalikuwa kwamba aliona kwenye hekalu la Mbinguni kuna vibao vya amri 10, lakini katika hizo 10, ya 4 (ya sabato) ndio ilikuwa inang'aa zaidi. 7. James Bates akayapa nguvu hayo maono kwa kusema kuwa ni maono kweli. 8. E. White akaendelea kupewa maono mengine mengi, kiasi kwamba kila anachofundisha anasema "nimeona/niliona". 9. Kulikuwa na hoja ya mafundisho mendin tofauto ambapo E. White alipingana na James Bates kwnye moja ya fundisho, lakini alitumia "nilioneshwa" kama uthibitisho wa anachoamini kuwa ni kweli. 10. E. White akapewa mafunuo kuwa mwaka 1844 ndio Yesu aliingia patakatifu pa patakatifu kwenye hekalu la mbinguni, na kwamba kabla ya hapo Yesu alikuwa hajaingia. Hii ni kinyume na kitabu cha Waebrania kinavyosema. 11. Wakaredefine upya maandiko yote yanayoonesha Yesu aliingia patakatifu pa patakatifu siku ile alipofufuka kutoa damu yake kwa ajili yetu. Wakafundisha kuwa tangu mwaka 1844 Yesu alipoingia patakatifu pa patakatifu, anafanya kazi ya "investigative judgment", yaani anafanya "hukumu ya upelelezi" kuhusu wewe, kuchunguza kama unastahili uzima au la. 12. E. White akaendelea kutetea maono yake kuhusu alichoona juu ya amri ya sabato, ndipo tukapata 7th Day Movement. Na vitabu vyake wafuasi wakavipa hadhi ya maandiko, ili hata ukikutana na uongo waziwazi usiseme ni uongo, udhani labda ni wewe tu hujaelewa. 13. Kwa namna hiyo, uongo umelindwa mpaka leo na hiyo cult inaendelea.

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 3 วันที่ผ่านมา

      I dnt see your argument Yani wewe soma Biblia kama E G White

    • @themessage3508
      @themessage3508 วันที่ผ่านมา

      Kasome tena mjoli

  • @Jbm-r5f
    @Jbm-r5f 4 วันที่ผ่านมา

    Kwel MUNGU anakitia nguvu

  • @GloireBora
    @GloireBora 4 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe ndugu katika kristo.

  • @warningvoiceoflastdays5823
    @warningvoiceoflastdays5823 4 วันที่ผ่านมา

    Sauti iko sawa ama Sio sawa

  • @warningvoiceoflastdays5823
    @warningvoiceoflastdays5823 4 วันที่ผ่านมา

    Karibuni nyote tujifuze

  • @JamesNyamunyamu
    @JamesNyamunyamu 4 วันที่ผ่านมา

    Nawaombea mfanikiwe

  • @MeshackKaboja
    @MeshackKaboja 4 วันที่ผ่านมา

    Kumbe huyu Seba hamna lolote kabisa

  • @mamalaozphilemonmtawali.8467
    @mamalaozphilemonmtawali.8467 4 วันที่ผ่านมา

    Amen mbarikiwe watumishi.

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 6 วันที่ผ่านมา

    Total confusion in ministries surely.....!!!

  • @thomasnizigiyimana5122
    @thomasnizigiyimana5122 6 วันที่ผ่านมา

    Your sound is not good

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 2 วันที่ผ่านมา

      Lakini ujumbe ni kweli kweli 🤝🤝🤝

  • @felixmuasya6601
    @felixmuasya6601 6 วันที่ผ่านมา

    Nice work brother ndeme. This is a eye opener to many.

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon 6 วันที่ผ่านมา

    Tujifunze siyo kutukana ndacha unalazimisha ukiona anapandisha sauti

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 6 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @cyrusmutsami1195
    @cyrusmutsami1195 6 วันที่ผ่านมา

    Tuned from Nyeri Town. Powerful teaching indeed.

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 6 วันที่ผ่านมา

      Huyu mtu na Familia ya Biblia Nuru ya Dunia wataenda mbali ili wanaitaji maombi sana 🙏🏿🙏🏿

  • @LangeEsau
    @LangeEsau 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa wakenya wabarikiwe sn nakama huwaelewi unaushabiki wa kidini hiyo ndiyo kweli

  • @cyrusmutsami1195
    @cyrusmutsami1195 8 วันที่ผ่านมา

    Tume kuwa nawe Kiroho.

  • @cyrusmutsami1195
    @cyrusmutsami1195 8 วันที่ผ่านมา

    Amina.

  • @PclaverNduwayezu
    @PclaverNduwayezu 8 วันที่ผ่านมา

    Ndacha asikose kufika hapa kwetu Burundi nasi

  • @PclaverNduwayezu
    @PclaverNduwayezu 8 วันที่ผ่านมา

    Karibuni kwetu nasi pasta Ndaci

  • @emmanuelmogunde1917
    @emmanuelmogunde1917 9 วันที่ผ่านมา

    MUNGU ABARIKI NENO LAKE❤

  • @dennismoses-ds4rx
    @dennismoses-ds4rx 10 วันที่ผ่านมา

    Amen kwamafundisho manzuri enderea kutuamsha makanisa mengi yakisabato yamerara ubarikiwe sana mutumishi wa mungu

  • @Gesareh-v4d
    @Gesareh-v4d 10 วันที่ผ่านมา

    Setan is busy day and night recruting agents to attack the church ,pstrs choirs through road accidents, others being poisoned, or killed kwa sababu ya kusimama imara na imani ya yesu kristo,wapendwa tuombeane

  • @IndalesioHenery
    @IndalesioHenery 10 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo yesu hakuleta Imani kama tunaiga wazee wetu. Yesu ni Bwana wa sabato

  • @phoibekoshuma1935
    @phoibekoshuma1935 10 วันที่ผ่านมา

    MUNGU NI MMOJA KATIKA ROHO NA MWANA

  • @GODFREYSABAYO-yz4qx
    @GODFREYSABAYO-yz4qx 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutie nguvu uzidi kutufungua macho Mimi Leo nimepata kitu kipia kwenye akili yangu

  • @JohnjohnMnonjela-br3xl
    @JohnjohnMnonjela-br3xl 10 วันที่ผ่านมา

    Piga kelele usiache paza sauti yako kama tarumbeta.......barikiwa sana mwalimu wangu

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 3 วันที่ผ่านมา

      I love these guys and I must join them to spread this information greatly

  • @EricMoreka-q6q
    @EricMoreka-q6q 11 วันที่ผ่านมา

    Wasabato walimkataa roho mtakifu wanahitaji kuongozwa Sara ya toba

  • @BenedictoTegezya-se8lc
    @BenedictoTegezya-se8lc 11 วันที่ผ่านมา

    Acha upumbavu,weka hubiri zima tusikilize

  • @simonnjuguna612
    @simonnjuguna612 11 วันที่ผ่านมา

    Exodus 34.27 And the LORD said unto Moses, Write thou these words: for after the tenor of these words I have made a covenant with thee and with Israel. 28 And he was there with the LORD forty days and forty nights; he did neither eat bread, nor drink water. And he wrote upon the tables the words of the covenant, the ten commandments. My question ❓ the second batch of the Ten Commandments, who wrote? God or Moses?

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu yupo

  • @byamasumakali2139
    @byamasumakali2139 12 วันที่ผ่านมา

    Amen sana watumishi wa Mungu