'Mathee wa Ngara' ashtakiwa kwa ulanguzi wa dawa za kulevya tena

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Nancy Indoveria Kigunzu anayefahamika kama "Mathee wa Ngara" na watu wengine wawili wamekanusha mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Hii ni baada ya kudaiwa kukamatwa na bangi ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni tano. Kigunzu na wenzake watasalia korokoroni hadi Jumatatu wiki ijayo

ความคิดเห็น • 2