Inawezekana mwanamke kujistiri vizuri na kwenda sehemu ya starehe 🎉🎉 much love to geah na wengine waliojistiri mimi ni mkristo lakini nimependa mfano huo
hiyo sababu ya kuzaa haina uzito ni bahat Tu Mungu kampa lkn pia anajitunza na anafanya mazoez ..... huyu dada ni mcheza karate nzur km hujui @@zainabuyusuph4502
Walete wale wakusindikizwa na mziki kwa nyuma🤣 anayejua anajua bhana live bila chenga big sanaaaa💗💗💗💗Lady Jay Dee ako na pure talent❤❤
Inawezekana mwanamke kujistiri vizuri na kwenda sehemu ya starehe 🎉🎉 much love to geah na wengine waliojistiri mimi ni mkristo lakini nimependa mfano huo
Kwl huyyu dd hachuji kila siku mpya na nyimbo zake zina ujumbe hazichuji
Exactly my dear na sijamsikia kupiga kelele kuomba kupendwa Ila vitoto vya buku 2 perepecge nyingi mziki SKU mbili hauna ladha
5 songs almost and all LIVE, Congratulation Lady Jay Dee.
Lady thank you so much for music 🎼❤
Yaan huyu Dada Mashaallah anazidi kuwa bint yaan anarudi nyuma hazeheki Mashaallah ❤
Yani huyu hazeeki Kwa sababu mbili kwanza anahela pili hajazaa unajua ukizaa unazeeka
hiyo sababu ya kuzaa haina uzito
ni bahat Tu Mungu kampa lkn pia anajitunza na anafanya mazoez .....
huyu dada ni mcheza karate nzur km hujui @@zainabuyusuph4502
Pongez kwako ledy jed ❤
Jide anajitunza hazeeki
Mashallah❤🎉
Comandoo umetisha❤
Mbona umeuwa sanaaa? Wafundishe watakuelewa2
Namkubali komado jideee
Ujumbe mzuri sana ,,
Comando jide stage ujaitendea haki all in all huchuj mama ❤❤
Kukupenda siachagi dada
I ❤u jidde ua my dream
Mtu mmoja awaambie wale jamaa watazame na kusikia hapa
❤❤❤❤nilitaka kusema hivyo😂😂😂😂
Naenjoy this live music.. big up❤ ila jiachie zaidi na nyimbo zako creativity kupambiza pia leading mic ingeongezwa kuliko backup wa kiume
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ naomba tuMumgu kimoyomoyo
Waoooo! Yaaani huchuji dada
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nampenda sana huyu dada jamani ❤❤❤❤🎉
twende mbele turudi nyuma geah anatunza ten hahahah sijapenda
Sauti. Nzuri sana. Nakupenda
❤❤❤🎉
Mwenye namba yake naomba anipatie
Jaydee uishi millennium dada,upo poasana
❤❤
❤area
❤❤❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹
❤❤❤❤
Jide foerver
❤❤❤
Jamani big 5{❤❤❤❤❤}
On fire dada command ❤
❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤
Dada yetu kila siku uko bintiii
❤❤❤❤❤❤❤
💪💪👏👏👏👏
❤❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹
❤❤❤
❤️❤️❤️❤️
❤❤❤
❤❤❤❤