Magonjwa ya macho na namna ya kujikinga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 18

  • @GrolyMwandemele-pr8rv
    @GrolyMwandemele-pr8rv ปีที่แล้ว

    Asante kwa SoMo mwanangu anavimba macho yote mawili naomba msaada

  • @jeniphalema2457
    @jeniphalema2457 2 ปีที่แล้ว +1

    Dokta mkuu wa macho

  • @JamilaMusa-vb4lv
    @JamilaMusa-vb4lv ปีที่แล้ว

    Jamani msaada jicho langu kunakitu kimeingia katikati yambon naakitaki kutoka yaani linatoka machozi Kila muda

  • @WaziriIbrahim-sp7hw
    @WaziriIbrahim-sp7hw 6 หลายเดือนก่อน

    Docter mwanangu anasumbuliwa n masikio

  • @GrolyMwandemele-pr8rv
    @GrolyMwandemele-pr8rv ปีที่แล้ว

    Mwanangu anavimba macho naomba msaada

  • @WaziriIbrahim-sp7hw
    @WaziriIbrahim-sp7hw 6 หลายเดือนก่อน

    Yameweka ukungu kama yanataka kutoa usaha atumie dawa gan

  • @rahemma3166
    @rahemma3166 2 ปีที่แล้ว

    Namba yako dokt nasumbuliwa na macho

  • @winniefelix5754
    @winniefelix5754 3 ปีที่แล้ว +1

    Mim macho yangu hayaumi na kuona naona vizuri tu lakin macho yangu yanachezacheza mda wote hayatulii na sijawai kwenda hospital kwa uchunguzi je naweza kwenda hospital na kutibiwa macho yangu yaachekuchezacheza tafadhali naomba msaada wako dokta.

  • @omarimilulu5231
    @omarimilulu5231 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi jicho langu moja limevimba na hutoa machozi je nawapataje

  • @pilimemba8339
    @pilimemba8339 3 ปีที่แล้ว +1

    Samahani Tunaweza pata namba ya dokta tusaidiye

  • @jumabwangama5306
    @jumabwangama5306 ปีที่แล้ว

    Macho yangu hayaumi lakini kitu cha karibu naona. Tatizo kubwa kama atakuwepo mbali ya mita tano nakuona lakini sura yako inaingia kiza sikuoni kukufahamu wewe nani. Ninapoangalia mwezi au nyota naona kama rays zake zimetawanyika zimekua nyingi

  • @mbomalocken1981
    @mbomalocken1981 ปีที่แล้ว

    Tatizo maswali ni mengi hakuna majibu, why?

  • @veronicamlay8999
    @veronicamlay8999 ปีที่แล้ว

    Nisaidie dot na presha ya macho na nimepata dawa lakini haishuki

  • @isayamaige7300
    @isayamaige7300 3 ปีที่แล้ว

    Mm tatizo langu no kwamba nimevimba kwenye nyusi tatizo Nini?

  • @ClementSitta8548
    @ClementSitta8548 3 ปีที่แล้ว +1

    Nisaidie namba ya doctor, Nina mwaka jicho moja halioni

  • @carolinekerio5753
    @carolinekerio5753 3 ปีที่แล้ว

    mtoto wangu anaumia jicho inamsumbuwa

  • @theopistakajuna2619
    @theopistakajuna2619 3 ปีที่แล้ว

    mtoto wa jicho