Jinsi ya kurecord Video yenye ubora kwa kutumia Smartphone

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 96

  • @harrietmashalla766
    @harrietmashalla766 ปีที่แล้ว +1

    Asante nimejifunza vizuri

  • @deeportraits6919
    @deeportraits6919 6 ปีที่แล้ว +2

    One man with alot of skills
    Asante kaka sisi tunafaidika na unachofanya #richskills

  • @benjaminikazi
    @benjaminikazi ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤ One love brother

  • @chekatucomedy
    @chekatucomedy 2 ปีที่แล้ว

    Asante brow kwamafunzo yako nimazuri nimependa

  • @VictorKamara-l6q
    @VictorKamara-l6q 2 หลายเดือนก่อน

    safi

  • @Azad_khan7799
    @Azad_khan7799 4 ปีที่แล้ว +1

    Vzr

  • @ArielPierro-ci2zd
    @ArielPierro-ci2zd 8 หลายเดือนก่อน

    Dah.thanks brother

  • @emgotailoring
    @emgotailoring 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana ngoja nifanyie kazi hilisomo.

  • @itmcofficial3138
    @itmcofficial3138 3 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa vizurii

  • @mjcatlover2967
    @mjcatlover2967 6 ปีที่แล้ว +1

    safi mkuu nakufuatilia vyema

  • @elgothedrummer8433
    @elgothedrummer8433 2 ปีที่แล้ว

    thanks nmejifunza kitu🙏

  • @dimisttv8588
    @dimisttv8588 4 ปีที่แล้ว

    Bro nimeelew kazi yako kiukwel unafndisha vizur natamn kuwa mwanafunzi wako ntajisikia furaha saaana maana hii fani naipenda

  • @nyamongoonline4167
    @nyamongoonline4167 6 ปีที่แล้ว +1

    Kazi Nzurii keep it broo

  • @mugishawilfred
    @mugishawilfred 6 ปีที่แล้ว

    Nashkr xn kk kw somo zuri nakubali xn kazi zk

  • @josephinenoah9486
    @josephinenoah9486 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda

  • @xmp_music
    @xmp_music 5 ปีที่แล้ว

    iko poa sana

  • @galaxysizya9078
    @galaxysizya9078 5 ปีที่แล้ว

    good sana kaka, mm pia nataman sana kuwa director nashukueu kwamchango wako

  • @gabbygryphon5912
    @gabbygryphon5912 6 ปีที่แล้ว

    Safi kaka

  • @kilirombo4603
    @kilirombo4603 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana mkuu hapo umeelezea vzr zaidi hata mtu akitumia camera kubwa asipofuata muongozo huo atapata picha mbov tuu

  • @Eng.Makelele
    @Eng.Makelele 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana kaka! Keep on pushing

  • @Runnext1708
    @Runnext1708 6 วันที่ผ่านมา

    Blessed

  • @Mshamba_Art
    @Mshamba_Art ปีที่แล้ว

    Big up.. Broo

  • @mwlpaulnghumbujanila6264
    @mwlpaulnghumbujanila6264 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mwezeshaji, mimi naomba uniambie kama unajua mic. ya bei ya chini kabisa, ni sh ngap

  • @GodopeTZA
    @GodopeTZA 6 ปีที่แล้ว

    Broooo this is wat I needed

  • @comfortjoel8961
    @comfortjoel8961 5 ปีที่แล้ว

    Thanx bro, keep it up

  • @minjingumines7573
    @minjingumines7573 3 ปีที่แล้ว

    shukurani kaka

  • @ssafricancreator9151
    @ssafricancreator9151 6 ปีที่แล้ว

    Kizazi sana ndugu

  • @ustazinabhan7926
    @ustazinabhan7926 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukru Sana kwa elimu zuri

  • @yamungukakokorubeni2739
    @yamungukakokorubeni2739 2 ปีที่แล้ว

    nice sana kaka vp utu unawezaje kuweka rangi kwenye video ya wimbo au picha

  • @mwlpaulnghumbujanila6264
    @mwlpaulnghumbujanila6264 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mwezeshaji, mimi naomba uniambie kama unajua mic. ya bei ya chini kabisa

  • @directorfrowin
    @directorfrowin 6 ปีที่แล้ว

    asante kaka

  • @zainamzirai7943
    @zainamzirai7943 5 ปีที่แล้ว +1

    izo mic za kunasa sauti ni tazipataje kwauku ARUSHA na ni bei gan brother

  • @worldsuccesstz5569
    @worldsuccesstz5569 6 ปีที่แล้ว

    Pamoja Mwalimu

  • @kingxtar02
    @kingxtar02 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mm nxhukur xan ila
    Nawezaj kupat stand kam hyo uloitumia hap na bei yak ipoj

  • @mwl.njakachai2986
    @mwl.njakachai2986 6 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA MKUU

  • @ndigwakohance8435
    @ndigwakohance8435 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 5 ปีที่แล้ว

    Asanteh cn bro

  • @talentedyoungsartgroupphil467
    @talentedyoungsartgroupphil467 4 ปีที่แล้ว

    Asalamu aleiku naomba usauri ya kuchukua video kupitiya cm na video ikapendeza na isiingie sauti za nznje

  • @ayubuhenry5426
    @ayubuhenry5426 6 ปีที่แล้ว +1

    naam hapo ni jumlisha na zidisha, hamna toa wala gawanya.
    uko vizuri sana ila tu hapo mwishoni hujavunja cm kweli make.
    ila pongez mkuu kwa mambo yako mzur, mm nikirecord huwa natumia kuedt kwa software iitwayo Kinemaster

  • @emahitube
    @emahitube 6 ปีที่แล้ว +1

    Bro nimerudi nmekukuta kazi Nzuri bro
    Asante
    *Phone rotation* pia Ni muhimu? au sio bro

  • @luckizadickson5682
    @luckizadickson5682 2 ปีที่แล้ว

    Naombi Kama Unaweza kunifundisha jinsi ya kudanlwoad video Transaction for Adobe premiere pro

  • @haykermrema
    @haykermrema 6 ปีที่แล้ว

    rich ivi ni wapi ntapata tripod kwa apa dar...izo ndogo za sim? plz help

    • @haykermrema
      @haykermrema 6 ปีที่แล้ว

      Richstar asante rich be blessed

  • @isachardware8752
    @isachardware8752 6 ปีที่แล้ว

    Thanks bro

  • @kizaziperfect
    @kizaziperfect 5 ปีที่แล้ว

    Kaka ninawezaje kupata microphone ya simu na inauzwa shingap

  • @mirnavideoproduction3665
    @mirnavideoproduction3665 6 ปีที่แล้ว

    Ebwana Richstar safi sana, Ila mm nna suali nataka kuuliza hiv! Je ni vitu gani vya muhimu kurikod ktk shughuli yaani harusi au chai?

  • @mimiboss3152
    @mimiboss3152 6 ปีที่แล้ว

    Safisana

  • @KhalimaSilas
    @KhalimaSilas 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanini me simu yangu nkirekod video inatoka vzr lkn ukimutumia mtu au kupost inakuwa na chengq chenga

  • @davidkalingathephotoman2079
    @davidkalingathephotoman2079 5 ปีที่แล้ว

    Exactly

  • @neemaemmanuel5555
    @neemaemmanuel5555 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Arusha tunakuitaji utufundishe tunapenda kz zako

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 ปีที่แล้ว

      Aisee asanteni sana nitaluja tuombe Uhai

  • @isackkibona5189
    @isackkibona5189 6 ปีที่แล้ว

    Habr bro hiyo stand ndogo ni gharama kiasi gani na ntaipataje

  • @gninejackson4842
    @gninejackson4842 3 ปีที่แล้ว

    Nishow ni simu gani yenye kamera safi hata kushoot video

  • @lonardhumbu1878
    @lonardhumbu1878 3 ปีที่แล้ว

    Dj nataka korekod sm nyingne

  • @wasafisongsnow1818
    @wasafisongsnow1818 6 ปีที่แล้ว

    Huwa natumia sana sm ku shoot lakini sauti inakua ndogo, sasa mic ya bei rehisi inaitwaje niweze kuipata kaka

  • @Hisabatitz
    @Hisabatitz 2 หลายเดือนก่อน

    Leo nipo naangalia videos zenye mafunzo makubwa zaidi

  • @deklein4731
    @deklein4731 6 ปีที่แล้ว

    Asee xafi xana fanya kufungua chuo me ntakua wa Kwanza kujoin

  • @davidmagundu2285
    @davidmagundu2285 6 ปีที่แล้ว

    Nmependa sana hiyo behind the scene 😂😂

  • @amosmachage4160
    @amosmachage4160 4 ปีที่แล้ว +1

    Smart phone inachukua video yenye mb nyingi sana je wakati wa editing mb zinaweza kupungua?

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว +1

      Enategemeana na programu utakayo editia, ila mara nyingi hupungua

  • @mwebraniaonline7001
    @mwebraniaonline7001 6 ปีที่แล้ว

    UNAELEWEKA SANA

  • @dennisngela8311
    @dennisngela8311 2 ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi

  • @minjingumines7573
    @minjingumines7573 3 ปีที่แล้ว

    kaka na iyo maic naweza kupata kwa shiling ngapi

  • @PeterMaina-tm7ff
    @PeterMaina-tm7ff 7 หลายเดือนก่อน

    Njinsi ya kurecodi nyimbo ukitumia smart phone

  • @rehemakhamisi9124
    @rehemakhamisi9124 3 ปีที่แล้ว +1

    Hassani88

  • @bhuhembastudiohataree6172
    @bhuhembastudiohataree6172 3 ปีที่แล้ว

    Ivi w3 inauwezo wa kushut

  • @Romeomromaproduction6307
    @Romeomromaproduction6307 4 ปีที่แล้ว

    🇺🇸 NAKUKUBALI SANA

  • @kukufarmtz8202
    @kukufarmtz8202 6 ปีที่แล้ว

    Bro richstar naomba link ya adobe cc2015

  • @crazzybuder5328
    @crazzybuder5328 6 ปีที่แล้ว

    Kk naomba msada Wa link ya adobe

  • @LupiaClassic
    @LupiaClassic 6 ปีที่แล้ว +1

    Bro Nakubali Sana,ila Me huwa Natumia Viva video Pro Ata kuedit Music Video Na video Ikatoka Fresh Kama Imeedit Computer,ila Hiyo app ya Adobe Ya Kweny smatPhone cjawah Kuiona Inapatkana Wap??

  • @lamdalily1753
    @lamdalily1753 6 ปีที่แล้ว

    Thixha

  • @bestkilimanjarohike
    @bestkilimanjarohike 5 ปีที่แล้ว

    Bro editing ndo bado inanizngua nielekeze how kupitia laptop

  • @mnyanjoka7231
    @mnyanjoka7231 6 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako kamanda

  • @setadonati4639
    @setadonati4639 6 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza bro, natumia fl studio 10 niki clone nakua sioni zile keys nilizopiga awali

  • @yohanabahatikabengo3974
    @yohanabahatikabengo3974 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Luka-lv2kf
    @Luka-lv2kf 6 ปีที่แล้ว

    Saf kk naomba namba yako kk

  • @gabbygryphon5912
    @gabbygryphon5912 6 ปีที่แล้ว

    Kaka rich mm nmepakua app ya adobe premiere kwenye simu yangu . Ila nikiifungua inadai email na nikisha weka email bado inakataa yani sioni muelekeo kabsaa

    • @paigrace4906
      @paigrace4906 4 ปีที่แล้ว

      Hawa wanakuwaga waongo wanataka viws nyingi kwenye channel zao wanavyo eleza vitu ukifanya wewe nu unafuatilia vile vile unakuta inashindikana

  • @romypanchflavisnmtewele9242
    @romypanchflavisnmtewele9242 3 ปีที่แล้ว

    Fail unalo recodia linaitwaje

  • @YussufOthman-td4bv
    @YussufOthman-td4bv ปีที่แล้ว

    Hello manbo vp eti drone zinaanz na shingapi

  • @redicoTv
    @redicoTv 6 ปีที่แล้ว

    Kaka Rich nina shida na wewe, shida ya kibiashara naomba namba yako au naomba nicheki kwa hapa 0769823407

  • @kusinidigital2000
    @kusinidigital2000 6 ปีที่แล้ว

    Mi ninashida sana ya kuongea na wewe Kwa simu kama kijanamwezangu nakuomba sana namba ya simu ni 0757925745
    stevenkugomba@gmail.com
    au Facebook Steven Kugomba nitumie namba yako nitakupigia plz

  • @ummyhhussein2524
    @ummyhhussein2524 5 ปีที่แล้ว

    MTU akitak kujifunza

  • @aidanmedia6492
    @aidanmedia6492 5 ปีที่แล้ว

    bro mi nashida na namba yk
    mi yangu ii 0621419282

  • @Matimila_Boy
    @Matimila_Boy 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana