Ibraah: Nimelala kwenye stoo ya Konde Gang mwaka na miezi, hakuna mtu anajiamini kumzidi Harmonize

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Ibraah anafunguka historia yake na msoto aliopotia hadi kusainishwa na Harmonize kama msanii wa kwanza wa label ya Konde Music Worldwide
    #chillnasky

ความคิดเห็น • 236

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ 2 ปีที่แล้ว +47

    Napenda interviews zake maana haboi alafu anajua kujieleza big up Ibraah

  • @nasrikilapo5945
    @nasrikilapo5945 2 ปีที่แล้ว +29

    I braah anajua kujielez Sana Kama. unamkubali chiga gonga like

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 2 ปีที่แล้ว +24

    Mm huwa nakupenda sana Ibra unajiheshim unajiamini na unasauti nzuli mm napenda sana sauti yanko kwenye nyimbo zako mungu atakusaidia utafikisha ndoto zako😁🔥🔥🔥🔥

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 ปีที่แล้ว +35

    Halafu anatokea mtu umefanikiwa anaanza kukutukana bila sababu mtu umepitia changamoto nyingi sana za maisha mungu azidi kukufungulia Ibrah bila kukata tamaa 🔥🔥mungu mwema sana

  • @lewisdomician1634
    @lewisdomician1634 2 ปีที่แล้ว +9

    Kuna waandishi wa habari
    wanajua kufanya Interview
    aisee 👏🏽 Yani Hana hata
    sehemu moja anayo Soma
    lkn Interview Imesimama
    👏🏽👏🏽🙌🏾🙌🏾✊🏽✊🏽

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 2 ปีที่แล้ว +23

    Masuali bampa to bumpa kajitahidi sana kujibu with confidence..I love you and your music..BIG UP !!!!

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli wewe kijana mzuri saana. Umejieleza vizuri, na umepitia mausha magumu. Namuomba Mungu akuzidishie kl la heri. Story yako imenigusa sana. 💕

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 ปีที่แล้ว +24

    Chinga fundii wa music nakubali sana mwanangu💪💪

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 2 ปีที่แล้ว +9

    Unajua kujieleza nimependa utakuja kuwa na maisha mazuri unajua kujieleza…unajali na mamako siyo kama vijana wengine 🇺🇸

  • @ShamsaHuriya2023
    @ShamsaHuriya2023 2 ปีที่แล้ว +13

    Mtoto huyu Ibraah anashukuru saana na anamjua Mungu

  • @thebestmusic1603
    @thebestmusic1603 2 ปีที่แล้ว +6

    Daaaaah nimeenda kuangalia nyimbo zake za zaman daaah broo unatoka mbali kwali dogo i 🏆🏆🏆

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 2 ปีที่แล้ว +6

    Duh! Mungu ana namna anafungua njia jmn. Watu Wana mapto na kias inauma ila kama maumivu yenyewe yanakupeleka kwenye mafanikio ni kushukuru Mungu

  • @stivengerald613
    @stivengerald613 2 ปีที่แล้ว +23

    This guy is most talented and one day will surprise the world

  • @umutoni-roussel5233
    @umutoni-roussel5233 2 ปีที่แล้ว +16

    VERY NICE TO SEE IBRAAH CHILLING WITH SKY 🔥🔥🔥

  • @alexmanya6750
    @alexmanya6750 ปีที่แล้ว +2

    One of the best interviewing skills...I like the way the Interviewee flows with the story

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 2 ปีที่แล้ว +15

    Much love from Kenya 🇰🇪

  • @mpuyashows3826
    @mpuyashows3826 2 ปีที่แล้ว +11

    Sitosema is my favorite song from the album

  • @dorcasbarazani6001
    @dorcasbarazani6001 2 ปีที่แล้ว +11

    Hej bro interview zako zinakuga na nijenga sana.Ibrah kanipa nguvu kweli maisha iyi nikupambana kweli 🤗🇸🇪🇸🇪🇸🇪

  • @mosunday7014
    @mosunday7014 2 ปีที่แล้ว +8

    Dogo yuko vizuri kwenye kujibu haiboi kuiskiliza hii interview

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 ปีที่แล้ว +15

    Raha kufanya interview na msanii anayefunguka

  • @bobsalim4285
    @bobsalim4285 2 ปีที่แล้ว +7

    The only artist anaeongea real life bila kuongeza mambo ya uongo.
    Na anjua shortcut kusimulia story yake.

  • @michaeljm2739
    @michaeljm2739 2 ปีที่แล้ว +11

    Polesana kaka kipaji chako kimekuokoa

  • @officialInchakali
    @officialInchakali 2 ปีที่แล้ว +2

    Ibraah salute kama kawa upo vzuri....keep on going🔥🔥🔥

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu kijana yupo na talanta isipokua aliingia kwa Harmonize wakati vita dithi ya WCB imenoga huku tukimchamba Harmonize kwa mitandao ili hali kwa playlist ngoma zake ming kuliko za WCB... ni mashabiki tu, daily naskiza Harmonize, anyway... from Kenyans in diaspora ALL THE BEST... rudi tour USA upitie Seattle WA

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ 2 ปีที่แล้ว +20

    Keep it up sky for pushing this industry

  • @misheckbanda4008
    @misheckbanda4008 2 ปีที่แล้ว +3

    Zambian we love you ibraah and I don't know what I can say for you ibraah I like u and keep up the good work never give up brother 💗💗💗

  • @Eliaaroni
    @Eliaaroni 2 ปีที่แล้ว +13

    Chinga 🙌

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 2 ปีที่แล้ว +12

    LIFE NEVER COME EASY BRO... NMEPENDA

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 ปีที่แล้ว +8

    🤣🤣🤣 Ibrah umeni chekesha eti nilika saa moja sambili hadi sa8 uko vizuri

  • @karisacharo2074
    @karisacharo2074 2 ปีที่แล้ว +2

    Ibra bro congrats for the way you are answering questions, so matured answers. All the way from 254🇰🇪🇰🇪

  • @bobrudala3784
    @bobrudala3784 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuri,naamini itawafaa moyo wengi ambao wana shauku ya kuanza safari yao ya muziki
    Changamoto nI kitu cha kawaida katika shughuli yoyote naamini ipo siku Mungu atajaalia utafikia malengo na kutimiza ndoto zako,kikubwa kumtanguliza mwenyezi Mungu
    Hongera kwa mtayarishaji na kwa wale wote waliomfikisha hapo tuangalie mazuri na mchango wao katika safari yake kabla ya kuhukumu.
    Mtayarishaji wa kipindi pia unafanya kazi nzuri yenye mchango mkubwa katika tasnia.

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 2 ปีที่แล้ว +20

    This boy has gone thru alot.

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 ปีที่แล้ว +3

    Dogo yuko poa sana. Big up ibra. Jikaze toa hits kali za kisasa unajua sana.

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว +4

    Chinga unaakili sana unajitambua nimekubali Una majivuno

  • @muftimikuli3223
    @muftimikuli3223 2 ปีที่แล้ว +2

    Unamuacha msanii wako mwaka mmoja kwenye vumbi mpaka imemletea aleji hadi leo...we konde ulisaidiwa kwenye chumba kizuri ambacho hakina vumbi....hii kwakweli sijaipenda

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 2 ปีที่แล้ว +6

    Bravo Sky kwa interview nzuri

  • @faizsalim6327
    @faizsalim6327 2 ปีที่แล้ว +19

    Dope Mr. Sky for real you are good at your job and I like how you make the guest comfortable and ask good questions plus for real it's dope much love from @switzerland.

    • @Kobe_254
      @Kobe_254 2 ปีที่แล้ว

      akatuletee DUDUBAYA sasa..

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว

      Switzerland wapi? Mimi naishi Sisach Basel land

    • @faizsalim6327
      @faizsalim6327 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi niko Biel

  • @skylahbwoy4862
    @skylahbwoy4862 ปีที่แล้ว

    Napenda sana jinsi unavyojikakamua kwa vyovyote vile na pia kujieleza kwako umejiamini ibraah big up sana unaenda mbali ipo siku yako utafurahia

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 2 ปีที่แล้ว +12

    Nimemkubali kijana anajiamini sana Jana nilikuwa namsikiliza mpaka nainjoi

  • @amlimamouris..a9411
    @amlimamouris..a9411 2 ปีที่แล้ว +5

    Most Talented tongue...,!¡
    Big up....!!

  • @mgdleenknzo9297
    @mgdleenknzo9297 2 ปีที่แล้ว +6

    Zidii kuwa na kode atakufikisha mbali zaidi

  • @douglasbideri6113
    @douglasbideri6113 2 ปีที่แล้ว +3

    Ibraah mungu abaliki kipaji chako nakupenda Sana

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว +5

    Daah God bless Ibrah ❤️🙏🇨🇭

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 2 ปีที่แล้ว +6

    Ila sky unajua sana...eti Si ukae pale yule dada mrembo afu ulivyojua ana mtu wake ukakaza Kwa odemba😂😂😂nimecheka mpaka kcheko Cha nyongeza.

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah nice interview yani nilikuwa natoka nimerudi bado nikaiskiza in short nime enjy 🥰

  • @bahati1782
    @bahati1782 2 ปีที่แล้ว +3

    Ibra ana IQ kubwa sana🔥

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 2 ปีที่แล้ว +8

    Chinga 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍

  • @sammusic1580
    @sammusic1580 2 ปีที่แล้ว +12

    Touching story

  • @مونيكمونيك-ع1غ
    @مونيكمونيك-ع1غ 2 ปีที่แล้ว +7

    Good en matured interview

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว +9

    That is mean life is not easy

  • @officialicontawagmail.1707
    @officialicontawagmail.1707 2 ปีที่แล้ว +12

    Mtoto ibraah majibu km yantok Google

  • @Guled3
    @Guled3 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzanian are far ahead than Kenya in the online space.

  • @teckqeck5243
    @teckqeck5243 ปีที่แล้ว +1

    Mwanangu usimsahau mungu 🙏 ndio mtuwakwaza kukujalia wapili mama yako watatu mwanangu amonaizi mshkane ata km umetoka muwepamoja uwo usia wangu nakuombeheni duwasana mwanangu ushatoka duwa sana🤲🤲🤲🤲

  • @MH_Production_officiel
    @MH_Production_officiel 2 ปีที่แล้ว +15

    Force à vous ibraah 😍🇨🇩

  • @nononona7625
    @nononona7625 2 ปีที่แล้ว +1

    Umepitia mengi sana mungu akuzidishie pig up ibra

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ibraah angesoma angekuwa ana akil sana kwa sababu jins anavyojibu maswali ni kama mtu mwenye masters

  • @japhetkavishe8
    @japhetkavishe8 2 ปีที่แล้ว +2

    Anajua kujieleza kama kasoma hadi degree big up ibraa

  • @belzylucas7275
    @belzylucas7275 2 ปีที่แล้ว +1

    Sky interview zake zote nazipenda sana ibura ana talent keep up ❤

  • @malasemussa5313
    @malasemussa5313 2 ปีที่แล้ว +11

    Chingaaa 💪

  • @isackwsmithwsmith9027
    @isackwsmithwsmith9027 2 ปีที่แล้ว +3

    💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻 ibraah🔥🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿

  • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
    @tecratzmwakyambomwakyambo7243 2 ปีที่แล้ว +9

    Maisha hayaaa jamani..

  • @daudobnana3993
    @daudobnana3993 2 ปีที่แล้ว +5

    Very nice 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @officialzuuh4638
    @officialzuuh4638 2 ปีที่แล้ว +1

    That's why I love you guys mungu awazidishie you have my support

  • @ZhenGerald
    @ZhenGerald 2 ปีที่แล้ว +6

    Noma sana 💔

  • @halimaburhan1952
    @halimaburhan1952 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri ibra unajielewa Mungu akitangulie

  • @fridanatasha
    @fridanatasha 2 ปีที่แล้ว +4

    I like your job more love 💕💕💕💕+254

  • @safari23
    @safari23 ปีที่แล้ว

    Very wise young man…kudos to Skye a very professional interviewer

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 2 ปีที่แล้ว +6

    Sky naomba ulete killy au anjella

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 ปีที่แล้ว +1

    Smart 🤓 guy 👦 ❤ wajua kujielezea sana 👍👌

  • @kabebemazambi194
    @kabebemazambi194 2 ปีที่แล้ว +4

    😢😢😢😢 leo nikikuona nashtuka kumbe hato ndo umepitiya leo hiii na mimi natumia jina lako mjini 😢😢😢🙏🙏🙏🙏 life is challenging 😰

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 2 ปีที่แล้ว +1

    Hyu dogo ypo vzuri mno. Interview nzuri sana Sky.

  • @shijalupondeja908
    @shijalupondeja908 ปีที่แล้ว

    Pole sana Shemeji kwa Changamoto ulizopitia,,,aaaaa chingaaa

  • @sammusic1580
    @sammusic1580 2 ปีที่แล้ว +6

    Big up bro

  • @barakawegga8934
    @barakawegga8934 2 ปีที่แล้ว +1

    Ibra unajua kujielaza Big up,

  • @missafrican7080
    @missafrican7080 ปีที่แล้ว

    It's touching though bt keep it up bro💪much love from Kenya

  • @misheckbanda4008
    @misheckbanda4008 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nimwema ibraah

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 2 ปีที่แล้ว +2

    IBRA ANA AKILI SANA

  • @jacksonwambua5251
    @jacksonwambua5251 ปีที่แล้ว

    safi Ibraah; konde gang 👊👊👊🇹🇿

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 2 ปีที่แล้ว +2

    Ibra unanibu vizuri nakupongeza kwa hilo.wewe unakumbuka fadhila.wewe unatakiwa uwe mfano wa kuigwa.fatilia kisa cha nabii yusufu.pasi na. kutendewa maovu yakudumbukizwa shimon na nduguze asinge upata ufalme.

  • @mactweve3353
    @mactweve3353 ปีที่แล้ว

    Ibra pambana umenikumbusha mbali sana mdogo wangu

  • @chocolatevivian830
    @chocolatevivian830 2 ปีที่แล้ว +6

    Bigup sky 😍 😍 😍 😍

  • @user-zl3rj8tl3u
    @user-zl3rj8tl3u 2 หลายเดือนก่อน

    Big up sana bro IBRAH

  • @jenifagerald1822
    @jenifagerald1822 2 ปีที่แล้ว +6

    🔥🔥🔥

  • @fatma_sharif
    @fatma_sharif 2 ปีที่แล้ว +3

    Chinga 🔥🔥🔥🔥

  • @sharonjanery983
    @sharonjanery983 ปีที่แล้ว

    Ibraah ni motooo❤

  • @rockgsimbajike6557
    @rockgsimbajike6557 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana kondegang ataendelea kuwa tembo tembo
    Dogo I Fanya kazi usiogope hapo ni jeshi kubwa

  • @ShamsaHuriya2023
    @ShamsaHuriya2023 2 ปีที่แล้ว +2

    Inshaa Allaah atafanikiwa

  • @shuxbanaly4762
    @shuxbanaly4762 2 ปีที่แล้ว +3

    much love from burundi

  • @mbungewakujitegemea1399
    @mbungewakujitegemea1399 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali Sana Broo naiga mziki wako

  • @user-lr8mq7dg6w
    @user-lr8mq7dg6w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hapanahapa kondeboy

  • @tumainiezekiel8245
    @tumainiezekiel8245 ปีที่แล้ว

    Ibra unajuwa sana.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa mitihan uliyopitia,na ndio maana umefanikiwa.

  • @monicahkamuyu2371
    @monicahkamuyu2371 2 ปีที่แล้ว +1

    How can i miss his interviews yaani haboeshi

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal Sana broo

  • @kingthegrif3664
    @kingthegrif3664 ปีที่แล้ว +1

    😍😍😍🎼Jtm

  • @michaelrapchamic6700
    @michaelrapchamic6700 ปีที่แล้ว +1

    Broo me nipo wcb Ila ibrah unaupiga mwingi sana kuliko hta konde

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde daima

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 2 ปีที่แล้ว +2

    Chinga❤️❤️🙏🔥

  • @tabaroemmyyounusu8341
    @tabaroemmyyounusu8341 2 ปีที่แล้ว +5

    Tuletea na Anjella

  • @Kairu-Shiru
    @Kairu-Shiru 2 ปีที่แล้ว +1

    This make me shade tears 😭😭😭