Wote mnaosema hajajenga kwao mna akili ndogo kama kinyesi cha sisimizi,,,kumbukeni ibra katoka lini kimziki,,,so subirieni muda wa kusema ivo bado jaman
Is nice to go back there but be careful because he's not everyone is nice on you bro. Your place is your place no matter what. 🔥🔥. mother is mother no one like mother. Get a blessed for everyone who loves you. Broo.. Focus with your music because your music it's your food. THANK'S 4 harmonize. Big respect Conda gang.👏👏🔥🔥 +39.
Yani sipendagi miziki ya Dunia lkn nampenda sana maisha ya konde guys kwanza Jina la Lebo lenyewe ni la asiri KONDE BOY NYIMBO ZAKE HAMO PIA ZIMEKAA KIA SIRI NYINGI BIPASHO YAKE INAWAPATA WALENGWA KIU ZURI HAPENDI KUJIONYESHA YY NI WA VITI VILEFU HATAKI KUACHA KABISA ASIRI YAKE HARMONIZE
th-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/w-d-xo.html 👆👆👆👆👆👆👆 Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😭
Msanii yuafaa awe kielelezo kizuri yaani kioo cha jamii("inakuaje mume mzima amesonga na hata kuvaa vipuli kama Ciara na pia bila aibu Harmonise kaenda kijijini akiwa ivyo!??("hovyo sana")
Wanasema waswahili ata Kama wenihuni au mjinga kiasi gan bas huo ujinga wako fanya sehem zingine ukirud kwenu au ukiwa pamoja na wazaz ndugu jmaa badilika.sio Siri rajabu alipokuja apa nyumban chitohori sis tukajua chotara maana ayo maherini dah kawatia wazaz wake aibu wazee walimsema vibaya Sana ilakile kipande hawajakirusha kwenye mtandao.wale wakezake nisameheni maana kunawatu sikuzote wanabishana na ukwel
Manshalah mama ibra islam is peace and love
Alhamdulillah napenda vile mwajistili😍😍😍😍😍😍😍❤🙏
Thkns you are from where
Masha Allah mam yake Ibra nimependa kajistie masha Allah mungu akutunzie mama yako kaka
Waislam Tunamaneno mazuri saana ndo maana tunaongoza kwa vipaji. Mama kaongea vizuri saana
Acha udini kenge wew
Kabisa hapo umeongea
Viumbe kama hawa kuendelea n ngum san sabab ya udini t
Masha Allah mama yake Ibra nimependa kjistie blvzr sana Allah akutunzie mama yako kaka yng
Wow ,this is beautiful
Just support Ibrah please 🙏🙏
NATOKEA MSA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪KAMA UMEMUONA JUX WA CHITOHORI GONGA LIKE
Wote mnaosema hajajenga kwao mna akili ndogo kama kinyesi cha sisimizi,,,kumbukeni ibra katoka lini kimziki,,,so subirieni muda wa kusema ivo bado jaman
Nakubaliii Sana ngoma za harmonizee
Hivyo vpuli ndo cjamaindi 2 pekee lakini nakkubali my playlist ni yko 2 🔥❤
Congratulations 🎉🎉👏👏
They are proud of thier back grounds... lov that💗💗💗
Is nice to go back there but be careful because he's not everyone is nice on you bro. Your place is your place no matter what. 🔥🔥. mother is mother no one like mother. Get a blessed for everyone who loves you. Broo.. Focus with your music because your music it's your food. THANK'S 4 harmonize. Big respect Conda gang.👏👏🔥🔥 +39.
Uzuri wa konde gang hawafichi kwao maana
Tunapenda kumanisha hatunaga mbwembwe za kijinga sisi ndio sisi konde ngen
Ukiona hivyo jua wengne wazazi wao wapo town
Mkataa kwao mtumwa
Yani sipendagi miziki ya Dunia lkn nampenda sana maisha ya konde guys kwanza Jina la Lebo lenyewe ni la asiri KONDE BOY NYIMBO ZAKE HAMO PIA ZIMEKAA KIA SIRI NYINGI BIPASHO YAKE INAWAPATA WALENGWA KIU ZURI HAPENDI KUJIONYESHA YY NI WA VITI VILEFU HATAKI KUACHA KABISA ASIRI YAKE HARMONIZE
th-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/w-d-xo.html
👆👆👆👆👆👆👆
Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😭
Jamaa anavaa heleni kasuka Kama MWANAMKE bado kijola tu
Fuata maisha yako
Hiyo Helen pana km tundu lake la mavi
MASHAALLAH muwe mnakumbuka nyumban kwanza hongera sana Ibra
Nimependa ginsi Alhmdulillah Rabilallah amiin imetoshwa kinywani,Mashallah
Masha allah mama
Like kwa horm
Good sana kbs,akika inapendeza sana
Mkataa kwao mtumwa hongera sana mazee
Insha Allah ata fika mbali ibra awatunze Familia yake
Manshallah 🥰🥰🥰🥰🥰
Sasa hiyo helenii😂😂😂😂
Clouds naona mpo mnajisahaulisha kuwa WAAAAH ina 4M within one day
Haihusiani
😂😂ety waah
@@superherotv1750 haihusiani
Ludovic ,,,,kwahy
@@superherotv1750 ..
Mungu amfungulie mamake mzuri
Duh mpo dar mnastarehe wazazi mnashindwa ata kuwajengea ? Mama unamshukuru allah mwanao anfuata mambo ya shetani we unamshukuru allah
Jamani si ndio wameanza
@@jenyyusuph4973 sawa twawaombea salama
Jamani harmonize hizo heleni nini lakini mbona hivyo hahahhhh
Hahahaha
Hayo maheren mpaka yanaboaaaa
Mmhmh
Jamani ustar kazi mahereni ka mdada vile yanachefua kwa mtoto wa kiume jamani
Akina Dada acheni kutuzuia kuvaa vitu vizuri.
Nakubali kakk😮😮😮😮😮😮
Huyo kaka ake ana sauti nzuri Sana ya utangazaji
👍
Sana
My sentiments exactly
🙌🙌🙌
Gonga like Kama umemuelewa jux wa lukokoda 🤞🤞
Ma men km maniga according to jux
Beautiful
ibra jenga nyumba kwa MAMA
Jamani inshaalla atajenga mbona bado
Kabisa hapo umeongea ndiyo yuwaanza jamani
Atajenga
Good idea sio😀😀😀😀😀
Nice bro nyumbani n nyumbani
Msanii yuafaa awe kielelezo kizuri yaani kioo cha jamii("inakuaje mume mzima amesonga na hata kuvaa vipuli kama Ciara na pia bila aibu Harmonise kaenda kijijini akiwa ivyo!??("hovyo sana")
It is there Lifestyle man ,, everybody anachagua maisha yake
🙏🙏
Vrema nifurahaaa saaana kuonesha wazazi nawaripotoka❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Good Sana
Harmonic
Safiii
🔥🔥🔥🔥🔥
Nimeipenda
Good
Ndonini maskioni Konde. Uwo ni ushamba😀
Mwezangu so kwahizo hereni duuu hata kama ni msanii
🔥 🔥 🔥
Jamani nimempenda mdogo wake Chinga woyooooooo😂😂😂😂😂😂😂
WAJENGE KWAO
Sio kwake kwanza
Harmonize kajenga kwao ila ibra bado ndo kwanza anachpukia
Tumuombee dua inshallah
We umejinga au unasema viset tu
Jamani taratibu
Noma
Konde boy acha kusuka bhana na kuvaa hyo miheren
Mama hapo ulitakiwa kusikitika na sio kusukuru. uislamu haujaruhusu mziki. hio no laana na upotevu. Innalillahi wanna ilaihi rajiuun.
kama uisilam hauluhusu mzik na wewe unatafta nini kwenye mzik
Vipi ibra ujajengea wazazi... @MrAndem
Chinga big up
Nakubali sana konde
Good konde
😂 😂 😂 Ila iyo mihereniii
😂😂😂😂kama ya Sara wake
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Noma
@@vdjfbghrbfg8218 labda kamuazima 😂😂😂😂😂😂😂
Piga kelele kwa Kaka yake wweee🤝
R.I P CLOUDS PUMZIKAA KWA AMANIII😆😆😆
😀😀😀😀😀😀😀
Kazi nzul
Wa tisa kuccoment hapa
Ukipata nafasi ya kuzungumza zungumza point maniga ndo nini sasa, toa point watu wakuelewe
Hahahaha
Twamukubali🙏
La vie c'est comme ça
Powa like
Safi Sana Kaka konde
Rayvany
Harmonize msapoti dogo ajengee nao kwao please
On African
Oi
Chunga mama mtoto asije akaenda Freemason maana wanamuziki was Leo in shida
No. Feki life ❤️❤️❤️❤️❤️
Napenda sana aya maisha ya ukwel shavu ibra na konde boy nawapendajeee nataman kuwaonaaaa
Clouds mnayaweza mbona kahama hamuoneshi?
Kumb nauyo mmakonde duh
😁😂😁😂😂😁😁😂😂😂
Hereni na kusuka Islam. Inna lillah
Helen izoo
Mahereni gani sasa hayo kama wakike
👊👊
Wanasema waswahili ata Kama wenihuni au mjinga kiasi gan bas huo ujinga wako fanya sehem zingine ukirud kwenu au ukiwa pamoja na wazaz ndugu jmaa badilika.sio Siri rajabu alipokuja apa nyumban chitohori sis tukajua chotara maana ayo maherini dah kawatia wazaz wake aibu wazee walimsema vibaya Sana ilakile kipande hawajakirusha kwenye mtandao.wale wakezake nisameheni maana kunawatu sikuzote wanabishana na ukwel
Bv
kabisa kukumbuka mtaa bro..
Saf Sana konde gang kwa ujumla
Bg
Neno la mwisho kivipi😢
Heleni sio
kigari Rwanda
Gyn
Home boy🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
mapenzi
hhh
Mupoo
9
Jamani mjengee mm ako
Io hereni sasa
Duh jeshii jmn iyo miheleni iv dada ako atavaa nn?
Ibra jitahid san kumsaidia mama
Dogo ibrah ukipata jengea wazazi kwanza
Wasanii wakiume mnaboa hamuwez kuwa wasanii mpk mjifananishe na wanawake msiiieee😏😏😏na hao wazaz wenu sijui hawawaoni
Kuna makosa kibao unayafanya na wazazi wako wanakuona pia! Hata wao wanachoka
Mbona helen za kike kabisa😂
Na ipenda sn
Ibrah umsaidie mama ukiwa vzuri
Nan make