MY SPIRITUAL FATHER MOSSES MAGEMBE REV........ TANGU SIKU NIKUFAHAMU BWANA AMENIPA BADILIKO KUU HATA KATIKA HUDUMA YANGU PREACHING DOCTRINE HALISI NALIPATA UFAHAMU HUU KUTOKA KWAKO... MAONO YALE YA YOUNG MINISTERS..... YASIPOE BABA KIZAZI HII TUNAHITAJI KUPIKWA SAANA
Ubarikiwe sana Baba Mchungaji, sijajua sana kama injili hii toka Mzee KULOLA hadi sasa injili hii italeta mabadiliko sana Nchini kwetu na watu wote watakaoamini
Ubarikiwe sana Mch. Moses Magembe kwa ujumbe mzuri
Mungu akubariki mtumish
MY SPIRITUAL FATHER MOSSES MAGEMBE REV........ TANGU SIKU NIKUFAHAMU BWANA AMENIPA BADILIKO KUU HATA KATIKA HUDUMA YANGU PREACHING DOCTRINE HALISI NALIPATA UFAHAMU HUU KUTOKA KWAKO... MAONO YALE YA YOUNG MINISTERS..... YASIPOE BABA KIZAZI HII TUNAHITAJI KUPIKWA SAANA
Karibu nahuku kwetu tarime utupe neno.
Ubarikiwe sana Baba Mchungaji, sijajua sana kama injili hii toka Mzee KULOLA hadi sasa injili hii italeta mabadiliko sana Nchini kwetu na watu wote watakaoamini
Asante baba angu ubarikiwe Sana kwa neno la uzima
Amina
Weee wewe nakupenda sana unanipa shule kubwa sana MUNGU AKUBARIKI SANA
Libarikiwe tumbo lilokuzaa Mchungaji Magembe...yaani nimesikia Injili ambayo sijawahi kuisikia....kweli kweli kweli....sijui utafanyaje>>. Hii kweli iweze kuhubiriwa kila mahali...Tumekula matango mwitu yatosha...
Mungu atusaidie kwa habari ya wokovu wetu.
Amen...much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mahubiri ya juu mno.Daah barikiwa mtumishi.
Hakika you're true man of God
Ubarikiwe milele na milele, amina
Amen I'm blessed by your ministry man of God
Baba nabarikiwa sn na mahubiri yako Mungu akupe Nguvu Swali langu una kanisa lolote unalo simamia Arusha
Yupo dar es salaam majumba sita
Amina na asante Yesu
Amen!🇰🇪
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Powerful 💥💥💥
AMEN
Amen🇩🇪🤲🤲
Nakuamini Baba pigs kazi
Nikweli Baba sema tipon
Shida iko wapi nguvu za mungu kupotea nakanisan?
Nataka niingie kwenye huduma nifanyeje mtumishi wa MUNGU?