Alhamdulilahi rabilalammina Mweyezi Mungu awalipe duniani mpaka siku yamwisho nanaomba Mwenyezi Mungu anijalie nikutane nanyinyi ili niwaunge mkono Naitwa Abdurahmani Mustafa Muhammad Nashukuru
Hawa wakristu hiyo kitu inaitwa divai iliwaharibu akili sasa ata kwa akili ya kawaida mbona wasifikirie tu kati ya Kuku na Yai kilianza kitu gani!??ndo ashindwe kmleta yesu bila baba uwiii yaan adi vinakera iyo usumbfu yote😢😢😢poleni walim wetu
السلام عليكم ورجمة الله وبركاته استاذ سالم mimi ni malim ibrahim niko bura tana hio daawa mtaani muna fanya tu kule hata sisi tuna hitaji sana bura tana river kwahivyo mutajuwa hio mungu awa lipe kheri nyingi insha allah hizi kilips nazifatilia kila siku❤
@@NathanielNathan-m4otangu lini wanadamu na majini wakawa kitu kimoja? Elewa kuwa majini pia ni viumbe wa mwenyezi mungu. Allah aliwaumba watu na akawaumba majini ili wote wamuabudu yeye pekee.
@@NathanielNathan-m4o toa andiko kwa Qur'an kuwa shetani ni mwisilamu kama wewe ni mkweli. Wacha uwongo wa vitabu vingine ambavyo vimeandikwa na watu. Qur'an ndio msema kweli maneno ya Allah.
Asalamu aleykum sheikh salim. One point. Wakati Una soma bombe most Una chukuwa sana. Nuh .(CS) wakiwa wana Sema ane kunya nige. Penda hapo usene according the bible. Sis. Hatu amini hayo but u say that and also not good. Jizakalaah kheyr
maswali mengine ni ya ushabiki tu,ivi huko Congo wanapigana na Rwanda uko na asilimia kubwa ni Wakristo kila mtu saa ii kanyamaza hakuna anaeitwa Terrorist lakini Waislam tumenyamaza hatusemi Wakristo wanapigana...yani ata mi nashangaa sana
Wakristo wako na shida tu ya kuelewa mambo....na ukijaribu kuwafundisha wanajifanya wajuaji....wakristo kuweni tu humble kwa mafundisho na muufungukeni akili jameni
@@NathanielNathan-m4o akuna kitu ndacha anajua kwa uislamu...na quran akuna day inaeza kuwa wrong ata siku moja....unlike bible which has alot of internal contradiction....so bible is just fake and am sorry if this will touch you
@@isaa_ogutu My brother it looks like you believe what sheikhs says that there is no contradiction in your Qur'an.Soma Sanaa manuscript ndio utajua Kuna shida.Quran mnayosoma ni 1924 Cairo edition ndio maana unasema Iko sawa na bado hiyo nayo Iko na so many contradictions.Sorry too bro
kwanza ni kundi moja ya majini waliamini baada ya kusikiza Qurani na sio wote. kwa hivyo, wale waliokataa kuamini Qurani wamesema ni wajinga na wanamini Mungu ana mtoto, Wanaoamini Mungu ana mtoto ni wakristo.Na pia Marko 3:11 inasema "Na pepo wachafu, kila walipomwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu".
@@salimdaawah123Sura 72:3 majini wanasema Allah hana mwana Wala mke kama tu wanavyosema waislam.Kwa hiyo majini,shetani na waislam ni kitu kimoja.Mohamed alimpigisha shetani shahada 😂
@@NathanielNathan-m4o hahaaaaaaa kwa bibilia Marko 3:11 mapepo wachafu wanasema Yesu ni mwana wa Mungu na wakristo wanasema hivyo hivyo si imani yenu ni Moja
Masha Allah mola awajalie kheri
Alhamdulillah kwa neema ya uislam. Dini ni moja tu aliyoileta mwenyezimungu. Mashekhe wetu Allah awajazi kheri mnafanya kazi nzuri .
Mashallah barakallahu fiikum
Nilikuwa najiita mkristo lkn bila ubishi na kufuata haki sahi mimi ni muislamu ,, Alhamdulillah 🤲
Masha Allah karibu sana
Mungu akupe maisha maxuri kaka na akuongoze, akulipe malipo maxuri duniani na akhera
Mashallah Allah atuongoze in sha Allah ❤❤
Mashallah Allah akufishe ukiwa mwisilam
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
TabarkAllah Team.
WaIslamu, mwisho wa Mwezi ume fika.
PLEASE Changeni for this Dawah Team, kila mwexi, hata kama ni 100 Bob.
No ya kutuma plz
Allah awalipe nyote number+254 727 431 691 hii kazi ya daawah sometimes ni ngumu juu ya usafiri
ALLAH awabaeiki kwa kusema ukweli
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Alhamdulilah
Alhamdulilahi rabilalammina
Mweyezi Mungu awalipe duniani mpaka siku yamwisho nanaomba Mwenyezi Mungu anijalie nikutane nanyinyi ili niwaunge mkono
Naitwa Abdurahmani Mustafa Muhammad Nashukuru
Aamiin amiin amiin sote Allah atupe jannatul firdaus
Walykum salam
Nawafuatiliaa sanaaa mashalaaaa
Assalam alaikum warahmatullah...asanteni mashekhe wetu kwa kurudi tena
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah tuko
Somwtimws pia msali jamaa sala hapo hapo pia waone... Mashallah kazi nzuri Mwenyezi Mungu awabariki.
Inn shaa Allah
Walaikum assalam warahmatullahi wabarakatuh
Masha Alla
Masha Allah
Mashallah
Wow Mashallah
Masha Allah
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... alhamdulillah bineematul Islam.... Allah awahifadhi nyote na awalalipe jannatul firdaus
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
Nimekuwa mtu watisa kwa views wakwanza kwa like na comments
Asallama alaykum warhama tullah wabarakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
Asante sana, we have been waiting for new episodes. Alhamduli-llah
Masha Allah
leo mashaAllah utamu baada ya kungoja sana,
waalaikum salamu NshaAllah daawa tamu yani naburudika leo ntalala na furaha
Masha Allah alhamdulillah
Ile kungoja nimengoja.. weee..Alhamdulillah
Asalam aleikum warahma turullahi wabarakatuh daaa
Kumbe tuko wengi wakungojea 😂😂
Ma sha Allah tabaraka llah
@@Noorein-ws8wk tuko wengi sana🤣🤣🤣
@@Nora-v1m3p shukran🫶🫶
Alhamdulillah leo nitalala vzuri nmewamiss sana
🫶🫶🫶🫶🫶
Masha Allah
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh allahumma awalipeni kheri nyingi❤❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Hawa wakristu hiyo kitu inaitwa divai iliwaharibu akili sasa ata kwa akili ya kawaida mbona wasifikirie tu kati ya Kuku na Yai kilianza kitu gani!??ndo ashindwe kmleta yesu bila baba uwiii yaan adi vinakera iyo usumbfu yote😢😢😢poleni walim wetu
Eti yesu alivaa trouser!!!!
Ndio wakristo wanasema
Huyo akili yake iko mbaliii😂😂😂😂😂
@@Hi_20206 😂🤣🤣🤣🔥
Sheikh Aliiii 😂😂 1:09 mwana alitoka kwa masikio😅😅!!!
Alhamdulai nilkuwa nimengoja daawa ❤️🤍 mashalla
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh karibu
@@salimdaawah123 mashaalla
السلام عليكم ورجمة الله وبركاته استاذ سالم mimi ni malim ibrahim niko bura tana hio daawa mtaani muna fanya tu kule hata sisi tuna hitaji sana bura tana river kwahivyo mutajuwa hio mungu awa lipe kheri nyingi insha allah hizi kilips nazifatilia kila siku❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutapanga
Tushukuru sote tulio zaliwa kua waislaam
Mashaalah Asalam aleykum
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Mara hii tumengoja sana ..ila hatuwalaumu sababu tunajua hali yenu katika maisha
Yeah huwa sometimes hali inakuwa ngumu sana sana kwa usafiri lakini alhamdulillah tunashukuru tumerudi
Poleni sana.. wengine hatuna msaada wa kuwapa zaidi ya kuombea dua kwa Allah akufanyie wepesi katika hizo harakat zenu
Asalam alaikum mashekh wetu tuliwa miss sana masha Allah dawa kama kawaida
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Mmekua wapi😮😮
Tulikuwa area tu but alhamdulillah tumerudi kwa viwanja vya daawah
HIVI WAKRISTO MUMESHINDWA NAMAJINI WAMEIYAMINI QURAANI .MASHEHE WETU WANAWAPENDELEYA KUWAONYESHA NJIYA ILIYO NAUHAKI .NAPIYA MUKIAMBIWA MUTOWE ANDIKO HAMUNA .MASHEHE WANATOWA MAANDIKO
Kwa hiyo waislam na majini kitu kimoja?😂😂
@@NathanielNathan-m4otangu lini wanadamu na majini wakawa kitu kimoja? Elewa kuwa majini pia ni viumbe wa mwenyezi mungu. Allah aliwaumba watu na akawaumba majini ili wote wamuabudu yeye pekee.
@@ibruzah001 majini ni waislam.shetani alislimishwa na mohamed.Soma ulimwengu wa majine ukurasa wa 20
@@NathanielNathan-m4o toa andiko kwa Qur'an kuwa shetani ni mwisilamu kama wewe ni mkweli. Wacha uwongo wa vitabu vingine ambavyo vimeandikwa na watu. Qur'an ndio msema kweli maneno ya Allah.
@@ibruzah001 Soma asilia ya majini ukurasa wa 20.Acha kuogopa vitabu zeni.
Asalamu aleykum sheikh salim. One point. Wakati Una soma bombe most Una chukuwa sana. Nuh .(CS) wakiwa wana Sema ane kunya nige. Penda hapo usene according the bible. Sis. Hatu amini hayo but u say that and also not good. Jizakalaah kheyr
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Yani Hawa sijui wanaendaga kufanya nn khuko makanisani
Mariam anafaa ashtaki hawa watu juu wanampokonya mtoto na kumpka mungu
Kabisa Allah awafungue macho waione haki na waifuate
maswali mengine ni ya ushabiki tu,ivi huko Congo wanapigana na Rwanda uko na asilimia kubwa ni Wakristo kila mtu saa ii kanyamaza hakuna anaeitwa Terrorist lakini Waislam tumenyamaza hatusemi Wakristo wanapigana...yani ata mi nashangaa sana
Hawa makafiri wakikaa makanisani Mazi Yao nikuwadanganya watu ndio wakawapata wengi kuingua kule kanisani kutunga mambo yalokuwa hayapo.
Allah awaongoze waione haki na waifuate
Wakristo wako na shida tu ya kuelewa mambo....na ukijaribu kuwafundisha wanajifanya wajuaji....wakristo kuweni tu humble kwa mafundisho na muufungukeni akili jameni
Njoo Kwa Ndacha usikize mafundisho ya kweli ya kiislamu
@@NathanielNathan-m4o akuna kitu ndacha anajua kwa uislamu...na quran akuna day inaeza kuwa wrong ata siku moja....unlike bible which has alot of internal contradiction....so bible is just fake and am sorry if this will touch you
@@isaa_ogutu My brother it looks like you believe what sheikhs says that there is no contradiction in your Qur'an.Soma Sanaa manuscript ndio utajua Kuna shida.Quran mnayosoma ni 1924 Cairo edition ndio maana unasema Iko sawa na bado hiyo nayo Iko na so many contradictions.Sorry too bro
@@NathanielNathan-m4oQur'an ipo moja tu duniani kote
Always have 2 microphone s, wakristo wakianza kubishana unawaachia mic wawili😂
Inn shaa Allah
kwanza ni kundi moja ya majini waliamini baada ya kusikiza Qurani na sio wote. kwa hivyo, wale waliokataa kuamini Qurani wamesema ni wajinga na wanamini Mungu ana mtoto, Wanaoamini Mungu ana mtoto ni wakristo.Na pia Marko 3:11 inasema "Na pepo wachafu, kila walipomwona, walianguka mbele yake, wakalia wakisema, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu".
Asilia ya majini ukurasa wa 20
Mohamed ndiye alislimisha shetani.Kwa saa hii shetani ni muislam.😢
Hahaaaaaaa na bibilia 1 Timothy 1:20 inasema shetani ni mwalimu wa wakristo
@@NathanielNathan-m4otupe ilo andiko