Luhaga Mpina Kuwaburuza Mahakamani Spika, Bashe na Mwiguli, Akumbuka Wito Alopewa na Kinana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina ambaye hivi karibuni alipewa adhabu ya kutohudhuria baadhi ya viao vya Bunge amesema kuwa ndani ya saa 24 kutoka Julai 29, 2024 amepanga kufungua kesi tatu tofauti ikiwemo kupinga uamuzi wa Spika wa Bunge la Tanzania kumpa adhabu.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 6