Police walikuwa wakaka watatu wamevaa kiurahia . Wamekuja hadi nyumbani kwangu. Wakajitambulisha nilikuwa na ndugu wang wa kike. Hawajanikamata ila wameniambia nahitajika kituoni nini case ya kujib. Wakaondoka. Mdogo wangu akawa anaisindikiza nikienda kituoni ila nikawa namuelekeza sehemu ambapo kuna hela aichukue ndo nikaamka
Shukran sana

Nimeota nikonaenda sokoni nikaona policie wanasimama kwenye bâtiment alafunikaona wengine wakija n'a mutu wame mushika nikaambiwa nipite nikasema nichunge mapilicie wapite kwanza
Ndoto ya kumwona mtu akiwa amechunwa au anachunwa ngozi yake kwa hiali yake ina maana gani?
Shukran sana