RAYVANNY Alivyofanyiwa Surprise ya BIRTHDAY na FAHYMAH/MA-KISS kama YOTE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2023
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
----------------------------------------------------------------------------------- - บันเทิง
Rayvany unanikera sana kwann unamuumiza mwanamke mzuri like this uyu binti anakupenda kuliko wanawake wote duniani
Nimekuwa wa kwnz leo I love this enjoyment of the family best couple ever❤❤❤
Fayma anafaa kuolewa na Ray mahana wanaendana anamapendo uyu dada❤❤
Mwanamke anampenda sana hata kipindi reyivan yuko na paula sikusikiya akimsema vibaya
@@adamapollo9859 anajua yake tuu
@@adamapollo9859 ila kwel sikusikia akimsema vibaya
@@adamapollo9859walikua wameeachana ulitaka aseme nini?
Très bien wenye wivu wajinyonge famille nzuri sana muno musije kuzinguana tena iwe mwanzo na mwisho amen 🙏
Ray vanny chuii 🎂mtu wawatu huna Baya chuiii ❤️🇧🇮
Huyu mdada anampenda saana huyu jamaaa likini wanaume siku zote hawajui wanataka nini tuwaombee Kwa Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi na wafunge ndoa
🥹🥹❤️
Kama umeangalia unfaithful ukimuona volcan utajua aina ya wanaume
Amiiin🙏
Kbs
Uyu Dada anampenda Sana mchizi huo ndo ukweli
😂😂😂😂😂 Mungu atusimamie wadada tupendwe sio kupenda
Kabisa yani,anamando ya dhati kwa huyu mwamba aisee maana alipambania penzi lake mpaka likarudi.
Kabisa
@@nicewatson6264😂😂😂
Jamani yani faima kama analazimishaa upendo kwa rayvan,rayvan anapenda mutoto yake tu😂😂😂😂😂😂 joyeux anniversaire Rayvan tunawapenda
Naww umeona kumbe😂
Wooow🎉🎉vanny happy moments
Happy birthday Ray🎉❤❤
Mungu awaende mbere love you soooo much 😘🙏🏾
Woooow amazing sana❤❤
Nawapenda sana nice couple❤❤❤❤❤❤ fayvanboy!!!!!❤❤❤❤❤❤❤
Fayma mama usisikie ya mtu analazimishanini kwani wameludiana leo acheni wivu😂😂😂😂😂
Kwel wana wivu hao
Fey anampenda sana Ray jaman rakin cjui Kama mchizi yupo nae ki Life kabisa
Ray siku ya leo amekula lipstick zaidi ya keki😂
Weeee 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Beautiful Family 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Hadi raha jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Stick with Faymah Ray u guys make a great couple
Love u ray ❤ am a fun 🎉
Happy bathday Ray we ❤❤u
More achievement to your family mambo so ndo hayo familia ikiwa na amani
Nawapenda san ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
waoooooh fayma ilove tooo
Yes yuampenda sana Ray...❤
Mfunge ndoa jamani nawapenda sana ❤❤❤
Joyeux anniversaire ray🎉❤
❤❤❤ jamani raha mno
wow❤such a beautiful couple❤❤❤❤chuiiiiiii
Ray love fay always
❤❤❤
Faymer kalewa why jmn or ndo furaha na ray naye kanywaa duh htr but more life ray🥂🥂🎂
Fayma ana mapenzi ya dhati Kwa rey anafaa kuwa mama bora❤
Mungu awajalie ndoa
Smart sana❤
Yani mbona wanawake munatutia aibu , yani mama anaikaa uchi mbele ya Mutoto na watu ambao sio wa ume zako , mbona bwana wako kavaa manguo, jamani njoo mana wanawake tupo wengi motoni, na nyinyi ma shabiki wakusifia mambo Kama aya instead yakumushauri kwakweli moto unawachunga , tunamuomba Allah atupe mwisho mwema.
Hivi unajua Tanzania kuna makabila wanaziba tu maziwa na mbele na ile move nimesahu jina ,hiyo sio chupi ni gauni inasidilia na kikaptula life Yao ya kizungu usikustue we angalia tu video
@@allthingdranabeautyhata ile ya Odama akaangalie walivovaa
@@allthingdranabeauty😂😂😂
Vizuri xna fahyma rayvanny n wako bana aiiiiih
Very nice 👌
Shda ya upendo unaempenda hakupendi naye anampenda m2 mwngne😂😂🙌🙌😢😭
Ni kweli kabisa yani
Sio poa
Yani mapenzi yakulazimisha sio lay km hayupo😂😂😂😂
Umeona ee
Nimeiona hyo
kweli kabisaa hamna mapenzi apo
@@faridaabdallah7424Yap tumeona hampi nafasi 😂😂😂
Nilikuwa natafuta hii comment!! Yani na ndowa anaiomba kwa nguvuu ..
🎉🎉❤❤
Aki pesa wewe 🥰🥰🥰
Mbinu ya kumshikilia mpenzi kwa nyuma kama fayma apo nshapata bado mubebe sasa😅😅😅😅😅😅😅maana sikwa kumngangania ivo❤❤❤❤
😂😂😂😆
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakukubali Sana rayvanny
Mm nawapenda sana hajana nawao makasiriko mbali
Faymah anapenda huyu jamàa but jamaa hayuko proud na bibi yake ye anapenda tu mtoi wake 😢
Rey Fanya vyote ila usijemuacha mama mtoto wako man wazuri niwengi kweli ila kumpata mwenyew mapemzi ya dhati ndy balaa so usije muacha ana sifa zote nakupenda fehvan mm shabiki yenu
Kabisaaaa mwambie uyo mimi mwenyew nawapenda sana hawa wazaz wawil
Mwanamke kafa kaoza ❤
❤️❤️❤️❤️
Welcome to GOMA CONGO DRC 🇨🇩 Le 26
Faymah loves ray too much,,,ray stop hurting faymah,she is kind loving woman.i really love her.short like me😂
Ila mh atali fey ananpenda sana lei jamni
I love u Co much nakuoa
Sasa nguo Kama hiyo mrs dah😊
❤❤❤❤🎉
Jamani mbona upo uchi dada haifai mtoto yupo aona kila kitu Jamani muogopeni mungu 😢😢😢😢😢
Wewe where did u see God talking about dressing bad or good. U had it from humans not God. Every age has its dressing cod this lady still young ok.
@@shamlimah5682 nafikiri dini zote hazipendi kukaa namna hiyo sio yong or old brother vipi wazungumza hivyo
Dada samahani.
Unajua kk
Ila walipendeza jameni🤣❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥
❤️❤️❤️❤️❤️🗺️
Nyumba ya huba ❤😂
🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤
Halafu huyu Kaka kama analazimishwa ivi
Nawapenda
🌼🌸🌼🌸🌼🧡💛💗💓🌷
Mungu awalinde sana
Jaman fah hongera
Chuiii 🐯❤️🌍
Anasifa Sana huyu dada 😂😂😂😂
😂😂😂acha awakereeeeee
Haki Yake, na Halali Yake ❤❤
Nawapenda jamani
Na walivyowafup ❤❤😂😂😂😂
Justice for paula 😂😂😂😂😂
Kweli fayma ana mpendaaa
Kuna kitu skielewi hii nyumba nliskia Niya nandy inayotumika kweny huba na nyie mnasema nandy na bilnas wametokea au sio yao
Jaman wanawake sisi fay anampenda mwanaume mpaka anaumwa ila mwanaume somwelew
Mbona kama Fayma ana force ? Ray anajaribu kumukimbia ila Fayma anakaba kabisa
@@allthingdranabeauty Aki force sana atakufa na presha ju jama ni star tena anahela anaweza akatoka na demu wowote mwenye anataka
Tena anakaba huku anamvutaa… maskini huyu binti na ndowa anaiomba kwa vishindo…
@@rahmaarrington9019 asant kua ona iyo nilizani ni pekeangu nilieona 😅😅😅
Muombeeni dua
Nimeamini sanaya sasaivi aiyendi bila kiki kwaiyo waliamua kutuoneshea ƙuwa wameachana ili watu wafatilie birthday wasani bwana eti mume mmmmmmm na bado mungu tusaidie tufunge ndoa mwakauu kiki zingine bwana
Kihalali ni mume Wake .. bila kuping
Mbona uyu dada analazimisha uyu kaka
Nimependa hapo nakuoa soon
Hiii sio suprise mtu kajipoadoa kabisa alafu iwe suprise mmmh wabongo bhna wanajja kutudanganya huku
Rayvvan akili haiko apo😂😂
Ati Ray is how old
Jamani mkona shida nyinyi
Mumee🤷♀️🤷♀️🤣🤣🤣ila ray unastuka nn sasa😢😢😂😂
Shogaaa fayvan
Dear the dress code hapana...😢😢😢
Et analamisha😂😂😂😂😂Ila wabongo
😂😂😂😂😂
Hapo hakuna Cha harusi wala lolote kupoteza wakati tu ray will never marry her at all
Wivu ama ,si uwaombee Mungu wafanye nikah.
@@chefhalimah4085 are you really a Muslim ? Then if so you in courage them to do zinna before marriage yes ? Cause if she is a real Muslim she has to stick to her points of Islam ama ni wale wale sio hatuitaki dini twataka Dunia sio ?
Kuwaombea mungu na wafanya zinaa
Muombee Mungu usihukumu,kazi ya kuhukumu muachie Allah,ata wewe mwenyewe uko na dhambi zako nyingi tu.
@@chefhalimah4085 ahhhh kweli tuna shida sisi binadamu wewe yaani watetema vitendo viovu wanavyofanya? Dini imesema zinaa ni haram na wao wajua uzuri sana sio kwamba hawajui ati alafu uwaombee mungu ?uislamu hauna mambo hayo, ufanye jambo na wajua kwamba ni dhambi na walifanya .basi ndio dhambi mbaya zaidi kufanya dhambi na wajua kua nikosa
Hi❤😢😢😮is
Oka,,the other side to the 😊😮😢wwriy
😢😢😢😢😢vipi uchi huo mbele ya mutoto? Muna tiya aibu kueli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Ila jamn mm naon Kam ray anaona kero tu anavyomkumbatia kumbatia fay yaan Kam anajibembelezesh hv ila cwez sem san wanajua Yao moyoni but mm kwamtazam wang hapo hakun mapenz mwanaum anampenda mtot wak tu
Mbona fay hampi amani mume kambana sana😮😮😮
Is the son seeing this love birds kissing
Mbona kama wamelewa jmn🤣🤣
Mmmmh acha Marioo akasirike na Abby Cham kwani Kwa hiki Paula kagoma kutoa Uroda 😅😅😅😅😂😂
😂😂😂
Papa Raivane mimi Nina kukumbusha usikuwe unatuka Paula kajala sababu yéyé anajuwa Siri ya Mali yako nilikuonaka kumaombi yenu napaula juyanini haukubebaka faima ulishamba ule mtoto alikunyazia kwaule Siri yamaombiyenu
Faima ni mzur lakin jirekebishe hayo mavazi
Safarii ukiachwa utapelekwa hospital mwaume si wa kumwamini
😂😂😂😂😂mungu awafanyie wepesi ila wefay punguza kuvaa nguo za uchi unamdharaulisha ndugu yetu iga mfano wa nandy
Fahyma anaonyesha asa kama ana force anatumia nguvu kubwa
Naona hata mm
yaani huyu dada ndio ingekua dadaangu,duuuuh sema basi tuu yaani hajielewi kabisa
Rayvanny ki ukweli akili yake hapo aipo namuona kabisaaa anafanya tu bora liende
Exactly yaan
😂😂😂😂Ila haya maisha fay anajitahid maskini
Hahahahah jmn wanawake Kaz tunayo🤣🤣
Nilijua nimeona pekeyangu
Kweli kabisa hahahaaaaa
Hata huoni ray hakutaki😂😂😂
😢😢😢😢😢mi nimeona kama analazimisha
anajitia aibu tuu