Mimi mke mdogo lakini huwa sipenfi mume wangu amdharau bi mkubwa kwasababu wametoka mbali na wana historia hivo nawashaur mnaoingia kwenye mahusiano na wake wadogo waheshimuni wake zenu rayvan fahyma kakuzalia
Love ends but respect remains, I can say Ray is smart and no need of him speaking evil against his baby mama cos they have a child together. So that doesn't mean he loves her but respects her, if he was in love with her then asinge muacha.
Kwani yy ndie wa kwanza kuachwa.ata bilget aliachana na mke wake nandio walitafuta pamoja,nawatt wa3 kwamyaka 27 namaisha yanaendelea.na yy atafte mwingine
I wish rayvanny would really follow his ♥, akie his baby mama loves him ,, paula is just wasting ur time , its not good to make her cry , i remember your wife had an interview with a certain person akasema hawezi kuuliza even if amekupata na mtu mwingine , surely mbona usimpende mke wako , so touching
He just had a kiddo w the girl while she was so young. She even converted her religion - then 'who' knows what transpired... That's common w most ' celebs' 🤷🏾
@@lariouskipspngeno9027 every woman is wife material it takes a real man to change perception hata malaya anaweza make bibi mzuri this is life fay is a baby mum and was a girlfriend there was no ring having a child doesn't mean your someone wife...
Ungesema utamchora mwanao mtoto wako ndo kila kitu kwako achana na sisi wanawake tunaeza geuka mda wowote kuna time hufika feelings huisha kabisa yani hufa kabisa you don't know what tomorrow maybe
Mdogo wangu Rayvani ukweli utaeendelea kujiumiza tu. Kumbuka aliekukumbia aliisha uonja muhogo wa jang'ombe. Karoti haikumfaa kakukimbia Huyu pia paula tulisha muojesha hogo la kiruguru hivyo basi atachukua manoti toka kwako na kutuletea wabebaji. Yaliyo tokea kwa famiya yanaenda kutokea kwa Paula. Pole in advance
@@hamzanasry8011 Paula ana kinywa kubwa akicheka meno zote inze atafikiria mamba🐊 n'a ivo ndo uchi wake uko kumbwa refu duuuuh ana pua mbaya si mzembo mamae kajala kamupita mbali n'a uzuri
Swali mmemuuliza gumu. Kwani kwa sasa Yuko kwenye penzi na Paula kwaiyo hawezi kumtaja fahma. Ila fahma ndio mwanamke ambae Yuko pia kwenye mawazo yake. Ndio maana kasema kuna heshima,mapenzi,na nk. Kwaiyo lazima hapo tuelewe ni kwnn kamtaja p kwakuwa mapenzi mapya.
Huyu mwanaume anampenda fahma sana hawez kumuongelea ubaya na hii ndo heshima bana kuachana na mtu haimaanishi useme ubaya bana kweli unaweza kukarejesha upendo kwa baby mama wake coz kastahamili sana fahma
Pole fayma wangu ray ni nyoka fanya yako my dear mungu akupe mume mwema haraka umsahau vann looh cna hamu wanaume hawa
Yaan hafai huyu vanboy anadhurumu nafsi ya mtoto ila hajui
Umeona
I like the way you respect your baby mama
Rhh
vanny boy namupenda
Fay all the way,we love and we always wish you all the best,it was hard for Ray to decide because he loved Fay
Anampenda Fayma n venye hataki kuxema.. Wanajuana sana.
Mimi mke mdogo lakini huwa sipenfi mume wangu amdharau bi mkubwa kwasababu wametoka mbali na wana historia hivo nawashaur mnaoingia kwenye mahusiano na wake wadogo waheshimuni wake zenu rayvan fahyma kakuzalia
Hongera sana
Fact
Swadakta
🤝🤝
Mh me atae kuwa mke mdog kwangu ataona moto
Team Fahyma❤️❤️❤️❤️❤️
🤗🤗💕💕💕
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Team fayhma mpo 🥰🥰🥰✋he loves her aache jokes
Love ends but respect remains, I can say Ray is smart and no need of him speaking evil against his baby mama cos they have a child together. So that doesn't mean he loves her but respects her, if he was in love with her then asinge muacha.
we love him so much 💗
I love the way Rayvanny amepea fahyvanny respect
Nigeria Tv th-cam.com/video/HE60C7k2dVs/w-d-xo.html
Yeah imekaa poa hyo
@@fredrickkisapile9761 🔥🔥🔥
@@Kingtiger98 x
Karibu usikie mzik mtamu kutoka kwa Manny mozzu msanii wa bongo freva kutoka Tanzanian
i love the way Vanny boy anashow respct zake kwa faymah
Rayvanny please just love your mummy's son like you love your son paula anakupoteza
Kuna love kuna heshima kuna uvumilivu....is goes to bby mama...
Me nampenda paula🥰❤️❤️❤️
It's like he is being forced to say but he love fayma ,, he still have the respect even after being in an a relationship with paula
Mshenzi utamtupa kama ulivyomtupa fayma inshallah yaarabi mbio za sakafuni huishia ukingoni acheni sifa wasanii wa tanzania
Unajua waliachana kisa nn? Acha kuwa social media judge..kuhukum vitu ambvy hujui undan wake
Kwani yy ndie wa kwanza kuachwa.ata bilget aliachana na mke wake nandio walitafuta pamoja,nawatt wa3 kwamyaka 27 namaisha yanaendelea.na yy atafte mwingine
@@hamzanasry8011 jina lako tu nimejiona shujaa Hamza
@@emmanueljoseph2576 😂😂😂💪
Hat hivyo wamekaa miak mingi bwan hat ajatoa mahar acha abadir mboga
Rayvan mjinga sana we nimkristo mke ni mmoja tu fahima
Fahyma is the woman to watch, I love and respect her alot.. she's brought Ray along way...hana shukrani.
I love her too,yani anaheshimu mausiano ya rayvan na adui ya Rayvan ni adui yangu mm
@@delinamwakili6179 you
Fahyma❣️❣️❣️❣️
Fayma
🌹🌹🌹🇰🇪😍😍
PAULA ❤❤❤ we umemteka RAYVANNY saana mpaka basi😂
Luv vanny anajitambuwa anajuwa kumuheshimu mzazi mwenziwe.....na anampenda paula wake
He loves fahyvanny❤
He said there is alot...first there is respect and much more...so izo poin amesema is going to bby mama
Vanny unatalent sio ya kuimba tuu unajua kujib had maswal umetisha mzeee
Paula siku zote ♥️♥️♥️ray kampenda Sana
Wewe jiniiiii rayvan unaaakili billions 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿nyeuseeeeh
Nani aliskia mshangao wa Rayvany 😃ah kutoka nyumba hadi mimba!
😁😁😁😁✌️😂
Fayma l love you my sister❤
I wish rayvanny would really follow his ♥, akie his baby mama loves him ,, paula is just wasting ur time , its not good to make her cry , i remember your wife had an interview with a certain person akasema hawezi kuuliza even if amekupata na mtu mwingine , surely mbona usimpende mke wako , so touching
yeah paula wasting your energy
He just had a kiddo w the girl while she was so young.
She even converted her religion - then 'who' knows what transpired...
That's common w most ' celebs' 🤷🏾
Hajaoa hata Paula anaweza zaa
Paula is a good person what makes you guys say his wasting rayvanny time🙄🙄
Lazima useme Paula maaana ndio uko nae ila point fayma
Anala uyu mwanaume
Waja afurahishe paula asije akalia
Kweli kabisa
Wenye akil ndio watakaoelewa kwamba fayma ndio anapendwa
@@leylamark3193 very true
Mungu akunyim vyote Ila siyo hakili,,,wanaume awa💔
umeona ndugu yani hawakosagi chakusema
Mungu anamuona
It's hard kuongelea fahma coz he's now with paula
Nigeria Tv th-cam.com/video/HE60C7k2dVs/w-d-xo.html
True
Exactly. Wrong question at d wrong time. Obviously hawezi kuongelea Fay. Nyumbani si kutawaka moto
Sure. He is trying to keep paula, but truth to be told, anapenda Fayma
no one is an angel ... it hurts me to Luz your baby mama for that lady ... family comes out...
This guy loves fayma
vs Randy
True
True
Why?
He respects her rather
Fahma ❤️❤️❤️❤️
Think this man he loves Fahyma ataiyo nyimbo wakaty akiwa na Fahyma
Waaooo nampenda Paula💯💯
Reyvani wew museng sana feyma mungu atamusaidia tu ubwa paul kuma ya mama yake kirofa atatemwa tuuuu nyoooooooo😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
naomba mungu unitoe rayvanny mie kutoka kenya
Wee Paula kibok mtto mtoto kwaelii❤❤
Its clear that FAYMA she's loved more...
th-cam.com/video/Fz8eTcx0Wzw/w-d-xo.html
Napenda kazi zake Rayvanny , , kazi na tuzo tunazo msee💥💥💥💥💥npige support pia 💁 wadau
Sema LilyOmmy ni Mtangazaji Mzuri sn anafurahisha kinomaa....bigup sn bro 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
umeona eeee 😂😂😂😂😂
@@ayshamahariq6665 ndio 😂😂
@@yohanakiyumbi4795 pamoja dogo lngu😂😂
@@ayshamahariq6665 Ppoa
@@yohanakiyumbi4795 🤝🤝 dogo lngu
siyo pw haki Hadi naumia kama ndo mm nimefanyiwa hvy fayma usjal mama mungu yupo
Fayma🙌🙌🙌❤️
Fahyvanny is wife material😍😍😍😍paula just wasting your time😂
Wote were not married to him bibi yake anaweza kuwa mwengine mtoto haimanishi huyo ndio husband
excactly
@@lariouskipspngeno9027 every woman is wife material it takes a real man to change perception hata malaya anaweza make bibi mzuri this is life fay is a baby mum and was a girlfriend there was no ring having a child doesn't mean your someone wife...
I liked the way u respect ur baby mama hata ka unampenda paula
Paula my favourite ❤
Kenya hatukuwa na vipodozi this is another raivanny sura kapakwa kabisaa
😁😁😁😁🙈💔
Nyie si hamtaki mtu apendeze🤣🤣🤣🤣alafu mnapenda watu wawe manunda.
Am live watching Joshua from UG.
Ray anampenda fahym inaonesha tu uyo paula anamchezea tu
Kweli maskini Paula anapotezewa muda
Wanaume hawa
@@fatimambaruku1833 Acha tu mapenzi ni upofu siku macho yake yakifunguliwa nakuona atajuta wallah
Exly Usha sema my
Mbona mnamsemea?vitu huja na kwenda,kumbukeni ata wakarudiana hawezi pendana kama awali
Ungesema utamchora mwanao mtoto wako ndo kila kitu kwako achana na sisi wanawake tunaeza geuka mda wowote kuna time hufika feelings huisha kabisa yani hufa kabisa you don't know what tomorrow maybe
Itamcosty kufuta tena c aulizie kajala n harmonize iliwakarimu kufuta tattoo.heri ya mtoto wake hangewahi waza kuifuta.but hivo ndo akili yake🤣🤣🤣🤣
OK it is true
Mdogo wangu Rayvani ukweli utaeendelea kujiumiza tu. Kumbuka aliekukumbia aliisha uonja muhogo wa jang'ombe. Karoti haikumfaa kakukimbia
Huyu pia paula tulisha muojesha hogo la kiruguru hivyo basi atachukua manoti toka kwako na kutuletea wabebaji. Yaliyo tokea kwa famiya yanaenda kutokea kwa Paula. Pole in advance
The media in the world is a dangerous instrument , and should respect the privacy of any person
😂😂😂😂nimerudi after vanny kamchora faymah tattoo😂😂😂😂🌹💕💕❣️
Haha 😂😂eee jameni
Chizi we weka Akiba ya maneno we bado mdogo sanaaaa Muombe Mungu sana
Apa alijibu vizuri kwa sababu ana hechimu fayma
Waoooo pga kelele kwa Paula wakeeeee nawapenda sana Paula na Vanny nanyi mupendane kwani kuachana majaliwa
Kwa mtazamo wangu nauhakika vanny boy anampenda fahma zaid mweny akil anaelewa
Kabisa
Umezunguka sana mzee wangu huo ni ukweli kwa Paula umetuama ila Fahma ulimpenda sana sijui kabugi nini!!!atajuta kukudharau
Hahahaaaaaaa
Vany anamupenda fahima
Mama mttoi ndo wa very good family
Wow..... Love you
Vanny Boy💪💪💪💪
2022 july paula you wapi internet never forgets
Fayma mzazi mwenzio
Dah pole fayma yan na nyimbo juu sema kaka kumbuka ulpotoka mapenz bhan
He loves Fayma
Nigeria Tv th-cam.com/video/HE60C7k2dVs/w-d-xo.html
Amemheshimu 2 kama mzazi mwenzie acha fikra potofu he loves Paula about fahyma iyo ni respect tu usifikrie sanaa😂😂😂
@@rastagirl7578 af huwa mnasahau kuwa moyo n siri ya mtu
Amemuheshimu fayma lkn love iko kwa Paula.
Uko bumbavuu sana we ray umesau fayma mkee wakwanza kakuzalia mtoto Mungu akusaidie we Ray ile kinywa kubwa la Paola kama mamba
Wewe tafta wako mwenye kinwa kidogo akupende kama rey anavyo mpenda Paula stupid
@@hamzanasry8011 😂😂😂binadamu tuko na shida sana eti mtu alazimishe mtazamo wake uwe wa mwenzake
@@hamzanasry8011 Paula ana kinywa kubwa akicheka meno zote inze atafikiria mamba🐊 n'a ivo ndo uchi wake uko kumbwa refu duuuuh ana pua mbaya si mzembo mamae kajala kamupita mbali n'a uzuri
Kwan Paula hana uke wakuzaaa ?? Ndio useme fayma amemzalia?? Paula pia naye anaeza zaaa na akue kama fayma mmmmmmmcccccchhhhhhwwwwwwweeeee🤧🤧🤧🤧
Asante
such kinda love faymah
fayma anaheshimiwa na ray wako na mtoto si mchezo paula atie bidii fayma ni mfanyibiashara ndio maana ray alipanic
Anampenda fayma uyooo
Swali mmemuuliza gumu. Kwani kwa sasa Yuko kwenye penzi na Paula kwaiyo hawezi kumtaja fahma. Ila fahma ndio mwanamke ambae Yuko pia kwenye mawazo yake. Ndio maana kasema kuna heshima,mapenzi,na nk. Kwaiyo lazima hapo tuelewe ni kwnn kamtaja p kwakuwa mapenzi mapya.
Unajikuta nani we maisha haya malipo ni hapa hapa duniani kwendaaaaaaaaaaaaa
Big up saan rayvany course Kila m2 ana haki ya kuchoose kile kilichopo moyon mwake
Nimependa anaonesha heshima kwa mzazi mwenzie kwa tunaojifanya hatuelewi ndo tunaona bado anampenda ingekua ivo kumrudia ingekua rahisi sana
👏👏👏
Umeelewa kama mimi good
Sio mbaya paula she is a women ipo siku mtaelewa kuwa paula anajielewa na ni best joice kwakweli
Kwel
Love you ♥️🤗 mama fayma
Iyo tatu nakubali Paula ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️anastaili 👌👌👌
So marvelous
Yaan vanny boy masikini unatia huruma kujieleza huwezagi kabisa nimejaribu kufuatilia interviews zako nyingi icho kipengele zero
Konde boy jeshiiiiiiiiiiiii goooooo Radio na TV out bhana
Labda awekwe tu kama Brand lkn hana pesa ya kufungua Radio..yule n kinyesi tuu alf bado n maskini
Duh hii ilikuwa ya lini jamanii aseeeh
I know you love Fahyma bro chall out
Huyu ni mkorofi Sana ndoa nayoo kwio kama Baba Yao diamond wote na Harmonize
Lemi leave a comment here...fyma is the best Paula is treating wounds fyma left you but no love
Nicely. Show
I know sahii utasema paula juu ndiye mko naye....but ray respect fahyma mwenye amekuzalia hadi mtoto mhandsome sana....may God forgive u rayvanny
Unajua nn kilfanya waachna..guys stop being social media judges
Kwani unajuwa nini kimefanya waka achana mpaka useme mungu amsamehe rey kama fahyma ndio kazinguwa unajuwa aJ?
Mercy umeongea point sana
@@junior-zj6bs hata kama cjui let him respect baby mama.(fahyma)izo ujinga zingine wajiekee
@@hamzanasry8011 yes let God forgive him ala!!Kwan ulitaka niseme nini...wanaume wasumbusufu Sana...nkt
Fahyma ni mama mtoto lazma amuheshimu
🥰🥰🥰
Fact dia
Msiri huyu handsome
Fayma apostiwe🤦🥰🥰
Upo swa kaka rayvanny juu SANA
We unampenda fayma
Nigeria Tv th-cam.com/video/HE60C7k2dVs/w-d-xo.html
Nigeria Tv th-cam.com/video/HE60C7k2dVs/w-d-xo.html
Huyu mwanaume anampenda fahma sana hawez kumuongelea ubaya na hii ndo heshima bana kuachana na mtu haimaanishi useme ubaya bana kweli unaweza kukarejesha upendo kwa baby mama wake coz kastahamili sana fahma
Maswali mengine bwana hivi wewe unategemea aseme anampenda fahyma ikiwa yuko kwenye mahusiano na paula.
Amo você rayvanny
Yani hiyo nyumba ni fahima na mwanae ndo wanaingia. Paula anapambwa tu muda ufike amteme
Paula ni mrembo
Hujawai ona mtuanaachw anawatt 5 analetwa mwanamkemwingine kwanyuma ilealojenga namamawatt wakwanz hiokawaidat
Yes he love fahyma
Much love
Likes za Paula jamenii🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥵🥰🥰🥰🥰🥰
Chui 💪💪🇹🇿🇹🇿❤❤
Bas faima anapendwa kwakua ni mtu aliemvumilia amemtoa mbali, nyie wanaume
Respect be mkubwa
Nigeria Tv th-cam.com/video/HE60C7k2dVs/w-d-xo.html
Hata huyo utamuchoka akuw hang hata faima umemutongo za unajihis kama umamupe nda kazi ndogo hoo hakil mbov wwciz banaume mikund
Nikwelii sanaaa.